MAKONDA: "Endeleeni Kunitukana, ila Ukiitwa Kimbia Usisubiri Nikufate"

  Рет қаралды 46,737

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@hamidajuma7804
@hamidajuma7804 6 жыл бұрын
Baba umewanyosha Wanaume wanaotelekeza watoto. Mwenyezi Mungu akubariki sana tena sana Makonda Makonda Baba Mwenyezi Mungu Akulipe
@angelakundi1059
@angelakundi1059 6 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa hili.
@emanuelngusa8161
@emanuelngusa8161 6 жыл бұрын
hongera sana mkuu wamkoa kwa jitihada zako, mh. makonda
@dorahmathias5476
@dorahmathias5476 6 жыл бұрын
Asante makonda piga kaz baba Mungu atakuwezesha
@navoneiwamgonja9010
@navoneiwamgonja9010 6 жыл бұрын
Mungu akubariki ufanikishe ndoto zako
@mamyabdalah885
@mamyabdalah885 6 жыл бұрын
Asante sana mkuu mungu akubariki sana
@marwaiboroshaisombe6304
@marwaiboroshaisombe6304 6 жыл бұрын
mungu akuongezee ujasili wazidi kuuliza unautoa hwezi kktotoresha wanawake Kama vifaranga alaf klea hataki
@danielbugwema6969
@danielbugwema6969 6 жыл бұрын
Hata nakuja nimetelekezwa Mkuu maana hata mama zetu wametufanya tuonekani mayatima
@henrykulwa6659
@henrykulwa6659 6 жыл бұрын
Asante makonda
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 6 жыл бұрын
Makonda Mungu akujarie mafunuo zaidi! Mpaka vidume tuwe makini kutekeleza majukumu yetu!
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Yaani wewe unafanya vitu vimekuzidi umri Wako, mungu awe nawe milele nakupenda sana
@joasalfred4503
@joasalfred4503 6 жыл бұрын
Daaaaa.......wewe ni kiongozi wa namna ya pekee,piga kazi mkuu na Mungu akutetee akupe uzima tele na hekma na nguvu za kuendelea kuchapa kazi.
@masungakasanda3575
@masungakasanda3575 6 жыл бұрын
kwa kweli makonda chapa kazi maana kwenye jambo zuriii vipangimizi haziishi
@mamyabdalah885
@mamyabdalah885 6 жыл бұрын
Yani nakupenda makonda mpaka naumwa mungu akubariki sana
@dinakidai4118
@dinakidai4118 6 жыл бұрын
yaaani Mungu akutunzeer
@MarsUk-cg1gq
@MarsUk-cg1gq 6 жыл бұрын
Vumilia na yote wanayo kukashifu kiukweli haifai KWA binadam kwani wao walio zaa na wakawatupa mahodari Sana mungu anaweza kuwanyanya na wakawa hawana hao watoto washenzi Sana tumewachoka kabisa
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 6 жыл бұрын
Uyu jamaa mungu amzidishie sana.
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Wewe ni mti Wa matunda mengi na nimatamu mno , mawe lazima utapigwa , vumilia mungu yupamoja sanaudikate tamaa.
@ednagagur7522
@ednagagur7522 6 жыл бұрын
Ali M1966 àà8
@سلمىسيف-غ7خ
@سلمىسيف-غ7خ 6 жыл бұрын
Hongera sana kaka nipo oman ningeungana naww maana nimetelekezewa mtoto pia nimefurahi sana kwakulitambua Hilo jukumu Mungu ibariki Tanzania
@shamsaismail7707
@shamsaismail7707 6 жыл бұрын
سلمى سيف Mungu akubariki Makonda na akuzidishie Afya njema Akulinde na kila baya (IN-SHAA-ALLAH )
@wazirihongo3761
@wazirihongo3761 6 жыл бұрын
سلمى سيف ي سلمي تقوآله
@japhetsamwelmangala8224
@japhetsamwelmangala8224 6 жыл бұрын
fanya kazi kaka usitazame sura za watu
@dianahamischi3417
@dianahamischi3417 6 жыл бұрын
سلمى سيفnambie dada uko oman sehem gan
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 6 жыл бұрын
Barikiwa sana Makonda.
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 6 жыл бұрын
Yes dude! Piga kazi bruh!
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 6 жыл бұрын
We Makonda fanya kazi tu kwani wanaume wamezidi kutelekeza watoto watakaokuwa wanalalamika hajafikwa
@victorsolomon2140
@victorsolomon2140 6 жыл бұрын
Big up sana makonda.
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 6 жыл бұрын
makonda kweli were nice fundi....
@zainabualtz1455
@zainabualtz1455 6 жыл бұрын
😃😃😃😃😃 wambiee haoo Mungu akulinde kaka ata yesu alitukanwa sembuse ww
@fortunatamfinanga287
@fortunatamfinanga287 6 жыл бұрын
Kaziii nzuriiiiiiii
@leilainnocent6532
@leilainnocent6532 6 жыл бұрын
Hata Yesu alitukanwa usiwaangalie hao wadhaifu.
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Hapo sawa watajielewa
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Augustine Mhangazo hivyohvyo mh pongezi kwako
@mayungakidoyayi9566
@mayungakidoyayi9566 6 жыл бұрын
Wewe ni jembe piga kazi usigeuke nyuma utakua jiwe songa mbele
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
Viongozi wanatakiwa kuwa kama makonda mbunifu sana, wabuni mbinu mbali mbali kutatua matatizo ya wananchi
@samsonmwaipwisi313
@samsonmwaipwisi313 6 жыл бұрын
Emanuel Mlowe Hakuna kiongozi hapo
@geoffrieymollel2178
@geoffrieymollel2178 6 жыл бұрын
Makonda sio karma anabuni mambo haha, la hasha duniani kote Kuna sheria ya haki ya mtoto kulelewa na baba na mama awe hawara mchepuko au wa ndoa. Huko Ktk nchi zingine inaitwa " child support" tena kwa taarifa ni kwamba, kama baba unafanya kazi serikali inakata mkwanja huko huko , wewe unapewa taarifa tu. Good job Makonda , chapa kazi .
@MarsUk-cg1gq
@MarsUk-cg1gq 6 жыл бұрын
Makonda furahi tuu usijali tupo na wewe Kaka moendwa tunakupenda Sana na utalipwa na mungu unayo huzuni Ila unafuraha Sana moyoni mwako
@hamidajuma7804
@hamidajuma7804 6 жыл бұрын
Anaekubeza hana hakili hata kidogo. Mwenyezi Mungu akuzidishie. wewe ni Jembe Kabisa. Rais magufuli Hajakosea kukuchagua. Tena wewe Umeletwa Mwenyezi Mungu Aje kutetea wanyonge. Abalikiwe Rais magufuli kukuchagua uwe mkuu wa mkoa wetu. wewe nijembe tuu.
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 Жыл бұрын
We miss you! What did he do to be dumped like that.
@stevenjackson1582
@stevenjackson1582 6 жыл бұрын
Mr makonda endelea kushika msimamo huo kwa ustawi WA taifa letu akina mama wakiwa na furaha nchi yetu itakuwa na amani akina mama wakiwa na hasira hakuna amani ya kweli.
@merymrema420
@merymrema420 6 жыл бұрын
MUNGU akuwezeshe makonda
@ibrahimwerejuma4816
@ibrahimwerejuma4816 6 жыл бұрын
Watanzania mimi ni mkenya lakini nawaomba baada ya rais Magufuli kumaliza muhula wake naomba uchaguzi ujao muidhinishe huyu makonda awe rais wa tanzania.
@matobholwamanonu5919
@matobholwamanonu5919 6 жыл бұрын
Hivi wale walikuwa wanampinga makonda itakuwa wanamichepuka sana....
@tedisangaa8886
@tedisangaa8886 6 жыл бұрын
Watu wanakazana kuwa wanaume wanatelekeza watoto nao Dada zetu wamezidi kuvuvua
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
Vikao Viki anza machangudoa nao huhamia Dodoma, nao niwabunge? Au ndowahudum wao?
@samusonibalazingiza3689
@samusonibalazingiza3689 6 жыл бұрын
Yangu macho
@wahazaben7964
@wahazaben7964 6 жыл бұрын
Kweli itaishi milele ukiamua kutenda haki tenda haki katika mambo yote what about rule of law
@nzumbimatondo4780
@nzumbimatondo4780 6 жыл бұрын
wanaokumeza kwa jambo hili ni wale wazinzi
@denismgashe5989
@denismgashe5989 6 жыл бұрын
Balkiwa baba umetenda jambo jema na mama zetu nao wapumue
@kallahassan4896
@kallahassan4896 6 жыл бұрын
huyu jamaa kweli nikiongozi
@catherinekanyangali4940
@catherinekanyangali4940 6 жыл бұрын
wacha waongee huwezi kumzuia binadamu mwenye kinywa
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
Wazinzi wanachukia makonda.
@hassanrwitita2503
@hassanrwitita2503 6 жыл бұрын
Lakini uzae angalau kamoja kwani unatoa mapovu lakini unaongea kibata kama bata fulani usimtaje sna mungu kwani we mwenyewe u ndumilakuwili
@utukufueliya5279
@utukufueliya5279 6 жыл бұрын
ni aibu kwa wabunge wa ccm kuungana na lowasa
@youngdonnyhalf-life9175
@youngdonnyhalf-life9175 6 жыл бұрын
fanya kazi kiongozi those are normal challenges
@Manfilly
@Manfilly 6 жыл бұрын
Young Donny Half-Life True
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
Wabunge wanapoenda kwe bye vikao wengi WAP huchukua wanafunzi Na makahaba Kyle dodoma
@MarsUk-cg1gq
@MarsUk-cg1gq 6 жыл бұрын
Wanajidai kuficha Moto wakati moshi unaonekana wapuuzi achana nao
@zulfamnzava6735
@zulfamnzava6735 6 жыл бұрын
Tuko pamoja MKUU hata Mimi nimetelekezwa na baba ila namuachia mungu
@philipongenzatv
@philipongenzatv 6 жыл бұрын
Toka inch iundwe hakuna mkuu was mkoa aliyefanya ivoo
@emanuelmlowe6854
@emanuelmlowe6854 6 жыл бұрын
Michepuko cy ishu
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 6 жыл бұрын
Kanuni na taratibu zifuatwe.
@mamyabdalah885
@mamyabdalah885 6 жыл бұрын
Wanao mbeza huyu makonda ni wajinga tuu huwezi mtukana kiongozi kama huyu anae tetea wanyonge wajinga tuu piga kazi baba
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 6 жыл бұрын
makonda shkamoo
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 6 жыл бұрын
nimekuelewa mzee baba... umetisha ndugu yangu
@kuchiafricancinema
@kuchiafricancinema 6 жыл бұрын
Shoga huyu anawatesa wanawake mbulula
@isackandrew8620
@isackandrew8620 6 жыл бұрын
Saddy Junior Unamjuaje kama c na ww shoga achakutukana mtu anaesimamia majukumu yake
@salmadashlaquimanelaquiman4427
@salmadashlaquimanelaquiman4427 6 жыл бұрын
Piga kaz kka
@jeftajosiah40
@jeftajosiah40 6 жыл бұрын
Penda Sana makona we nikomesha wajinga
@laymapeace4538
@laymapeace4538 6 жыл бұрын
boya tu wewe makonda karekebishe kwanza familia yako
@jamyjandro8901
@jamyjandro8901 6 жыл бұрын
Mwazan Gomaa boya mwenywe ndo nyie mnao telekeza watoto bwege weeeee kubali tu yaisheeeee nini kupingaa ukwelii
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН