Ki ukweli mm huwa pia nafurahi Ally Kamwe anajua kujera na jambo lake haliishii mapema😂😂😂😂😂
@joachimluhamo30422 ай бұрын
Ally Kamwe upo vizuri sana the way unavyojua kupangilia nini uongee , nini usiongee , kiufupi hukurupuki hongera sana
@5googleuuu7272 ай бұрын
APEWE MAUA YAKE.. NA MUNGU AMUJALIE. AFYA NJEMA NA FURAHA NDANI YA MOYO WAKE TUNAMUOMBEA DUA NJEMA. FIDUNIYA. FILIAKHERA. ALLAHU MA'AMIINA 👏👏👏👏👏👏🇴🇲🇴🇲🇴🇲💛💚💛💚
@SylvesterKameo2 ай бұрын
Hongera sana Ally Kamwe nacwanachama wa Tawi la Kimara stop over! Mi ni mwanachama, naomba namba ya mawasiliano ya Idara ya masoko, kwani nimelipia ada ya mwaka huu pasipo mrejesho!
@rehemamahendeka-rm2ek2 ай бұрын
Chanda chema huvikwa pete,endelea kula raha kjn wetu Ally S.Kamwe,hayo ndio matunda ya ufanic wa kazi bora kwa Yanga yetu,SUPU YA KUKU WA KIENYEJI ni tamu hadi jino la gego,Mungu akulinde na maadui,Amin !
@fatmaomar83352 ай бұрын
Yanga bingwa inshaallah daima mbele nyuma mwiko kazi iendelee💚💚💛💛🤲🤲🙏
@HamisiJafari-p5z2 ай бұрын
Hongera sana ally kamwe kazi nzuri kwenye team yetu hii tunakukubali😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@GeorgeKifaru2 ай бұрын
Mungu Akubariki sana m/ kiti wa wasemaji Afrika
@rukiakyaka18272 ай бұрын
Alhamndulilah M/Mungu kwakumuwezesha uwezo Kijana wetu Mashaallah