MAKONGORO NYERERE Mbele ya MAGUFULI na MAMA NYERERE Achafua HALI ya HEWA, "SLAA Ametoka JALALANI?"

  Рет қаралды 239,311

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAKONGORO NYERERE Mbele ya MAGUFULI na MAMA NYERERE Achafua HALI ya HEWA, "SLAA Ametoka JALALANI?"
Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 5, 2020 DKT Magufuli anaendelea na mikutano ya hadhara ambapo amefika Mara kuomba wananchi wampigie kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 253
@yohanamaswizilo3030
@yohanamaswizilo3030 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Tanzania nhi yangu ni zuri sana
@wilsonmasaindiammasi2779
@wilsonmasaindiammasi2779 4 жыл бұрын
CCM inavipaji hongera Makongoro hotuba nzuri sana uko makini
@majiliokalorymtwange8920
@majiliokalorymtwange8920 3 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeee
@msomiitanga5050
@msomiitanga5050 4 жыл бұрын
HUJAELEWA VIZURI DISHI LIMEYUMBA
@zaidathuman6067
@zaidathuman6067 4 жыл бұрын
Tuliza kichwa mkuu hapo kuna fumbo ndani yake
@piusinchobe4302
@piusinchobe4302 4 жыл бұрын
magufuli oyeee naona msoma imetisha unapita kwa kura nyingi sana
@daudipeterstephano4460
@daudipeterstephano4460 4 жыл бұрын
Wewe jamaa shida maisha marefu kwako Makongoro 🙏🙏🙏🙏
@matildamkombachepa4320
@matildamkombachepa4320 4 жыл бұрын
Hawatusumbui hao mabwenge bwenge, Rais wetu ni Magufuli
@issatarimo364
@issatarimo364 4 жыл бұрын
Kweli
@issatarimo364
@issatarimo364 4 жыл бұрын
Kweli
@raphaeltmasu4318
@raphaeltmasu4318 4 жыл бұрын
Kumbe yanga chadema
@masoudkipara5053
@masoudkipara5053 4 жыл бұрын
Com ina watu wa maana hataki tupu🤣🤣 wapinzan wanaongea namaneno kbaaao alafu wanajibiwa na maneno ma3 tu🤣🤣🤣
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
October 28
@daudipeterstephano4460
@daudipeterstephano4460 4 жыл бұрын
Wacha kabisa jamaa amewapiga kishikaji wakiwa na akili watajielewa walivyovunjwa.
@sabasnuguna394
@sabasnuguna394 4 жыл бұрын
ccm oyoooooo magufur no 1
@abubakarikisuju80
@abubakarikisuju80 2 жыл бұрын
Huyu kalewa gongo
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
Waafrika tutabaki kuwa watumwa hadi kiyama.
@hamedabashir9
@hamedabashir9 4 жыл бұрын
Umeraximishwa kukomente
@freddymurinde9149
@freddymurinde9149 4 жыл бұрын
Ukawa iliwashinda leo hii hawa vioja wanaota ndoto tu.makufuli baba leo. Watake wasitake watafundishwa adabu tuu
@zaitunissa7007
@zaitunissa7007 4 жыл бұрын
Ccm ni naipend siku zote za maisha yangu .babu mpaka mjukuu...ccm hoyeeee
@alexmpeli3350
@alexmpeli3350 4 жыл бұрын
Sema wanasiasa wanamaneno meng sanaa lakin kwa utulivu nmeelewa point ni nn na nasema kaongea point nzur sanaa
@edwinfernandes8881
@edwinfernandes8881 4 жыл бұрын
Nimekuelewa wapinzani lazima wawepo...makongoro juuu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 жыл бұрын
Unafanana na Baba yetu Nyerere
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Watabaki kutmika hivyo hivyo!!! Ubunge wa East Afrca walikunyima!! Juz tu ubune wa butiama wote wawili wajumbe wakafanya yao!! Sasa leo mmesombwa mpaka na bibi Maria mnamchosha bure!!! Mi naamini siku mkienda upinzani nyota zenu zitarejea!! CCM inawahofia!!!!!
@emmanuelmashauri8949
@emmanuelmashauri8949 4 жыл бұрын
@@raphaelsamwel2640 hawa hata km wakikosa hivyo ulivyovitaja hawana shda na Pesa za madafu wanakula Pesa za nchi mpk wajukuu zao
@wazirituppa6739
@wazirituppa6739 4 жыл бұрын
Hizo Simulizi ya Yanga Na Simba Zinamaana Kubwa Sana
@efraimjackisonmapambano938
@efraimjackisonmapambano938 4 жыл бұрын
Kweli kaka unasemakweri nimekuelewa.
@fidelmbai3642
@fidelmbai3642 4 жыл бұрын
Fainali ya Simba na Stera Abdjan ilichezwa tarehe 26.11.1993 na siyo mwaka 1992. Safi sana Mzee Makongoro🙏🏼🙏🏼
@victorsadalah1723
@victorsadalah1723 4 жыл бұрын
Wajumbe walikuwa sahihi..
@magorymara5515
@magorymara5515 4 жыл бұрын
Bega kwa Bega na Magufuli wapinzani subilin kwanza tunaujenzi wetu tunamalizia bila Magu hakuna litakalofanyika. Wapinzan mtaturudisha kwenye bra bra za zamani mtatelekeza miradi yetu
@johnmuyendi7841
@johnmuyendi7841 4 жыл бұрын
Edelea mbele iko sawa magufuli hoyeeeeee
@simonwambura2594
@simonwambura2594 4 жыл бұрын
Wewe mpinzani hatari!!, Nimekubali
@jameskisinga5886
@jameskisinga5886 4 жыл бұрын
Jamaaa pumba nyingi sana Mzee nyerere atakuwa anajiuliza sana huko nani mrithi wa akili yangu
@siaammo1104
@siaammo1104 4 жыл бұрын
hahahahahahahahahah sanaaaaa
@frankkimboka7491
@frankkimboka7491 4 жыл бұрын
Mjinga haelewi akielewa show imeisha Makongoro nimekuelewa sanaaaaaaa
@daudipeterstephano4460
@daudipeterstephano4460 4 жыл бұрын
Jamaa amevunja penyewe
@amanibusara3121
@amanibusara3121 4 жыл бұрын
Nampenda huyu jamaa ni mcheshi kwelikweli kama rais Nyerere. Mungu abariki familia ya Nyerere.
@missmwayway4704
@missmwayway4704 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umechafua hali ya hewa Makongorooooooooo wape wape wapeeeeeeeee vidonge vyaoooooooooooooo
@nyangehassan902
@nyangehassan902 4 жыл бұрын
Huyu jamaa wakati akiwa sec alikuwa Bondia
@hassankhalif5147
@hassankhalif5147 4 жыл бұрын
Magufuli oooye ,ccm oyee ,ccm mambo yote
@33-synchronized
@33-synchronized 4 жыл бұрын
Makongoro ni comedian ila anaakili nying ata ka anapata kura 5
@annawilliam9276
@annawilliam9276 4 жыл бұрын
Ana methali Kama baba wa taifa nyerere
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 4 жыл бұрын
Kura za maoni alipata 3.Makongoro mmekwama wapi?????
@ananiaamwigavile5826
@ananiaamwigavile5826 4 жыл бұрын
Kaka ilo jiko la mkaa lisilokumbatiwa tumeisha lijua; juzijuzi walikuwa wanaomba mchango wa kununulia mkaa.
@SaidHaji-jf4re
@SaidHaji-jf4re 7 ай бұрын
Cv
@shaby988
@shaby988 4 жыл бұрын
😂😂😂😂kwel ni ngumu ujenge nyumba akakae mwingine upinzani futa wazo kabisa labda petro afufuke
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 4 жыл бұрын
Kama umemuona Musiba ngonga Like
@josephmemba6503
@josephmemba6503 4 жыл бұрын
Masikin kangi
@genius8524
@genius8524 4 жыл бұрын
Hakuna jipya wewe maneno mengi sana.wala sikwwlewi hata kidigo.
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 4 жыл бұрын
Makongoro 😂😂😂Dah Hata Kujal Muda Hamna Kaletewa Kataratasi ya Kwanza Kasoma Kakausha Ikaja tena ya Pili Et Usjal Namaliza Sasa Hiv Nipe Dk 2😂😂😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 жыл бұрын
mie nilitamani tuu aendelee kuongea kwa kweli maana dah anaongea kututia moyo
@aggreymsemwa1249
@aggreymsemwa1249 4 жыл бұрын
@@jedidahbintidaudi8241 😂😂Kwakwel yan
@ericklucas7196
@ericklucas7196 4 жыл бұрын
Hata kama atapita aache ubaguzi sisi wote ni walipakodi wa tz tunahitaji Kodi zetu zitusaidie sio za ccm
@festuschunya7067
@festuschunya7067 4 жыл бұрын
Hana kipaji cha kujieleza wala kuongea sera et kofia Hoyaaa miwani hoyee..
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Eti rungwe anagawa ubwabwa
@vincentmokenye4465
@vincentmokenye4465 4 жыл бұрын
Ndio wahi
@johnnsomi9726
@johnnsomi9726 4 жыл бұрын
Hahahaha
@Limbakale260
@Limbakale260 4 жыл бұрын
Dah! Haya madogo mazito sana.
@yassinm69
@yassinm69 4 жыл бұрын
Makogoro bestowed the habit and technics of his Lt.father mwalimu Julius nyerere .Magufuli oyeeee
@malickkasuga4805
@malickkasuga4805 4 жыл бұрын
Wenye akili tuuu
@petersubeth402
@petersubeth402 3 жыл бұрын
Napenda makongoro nyerere awe. Raisi wa awamu ya sita
@hasanikajembe8848
@hasanikajembe8848 4 жыл бұрын
Kumbe Simba levo ya lipuli!!!
@saidishomary1955
@saidishomary1955 4 жыл бұрын
Mngefungwa 4 bila km.level ya lipuli
@hasanikajembe8848
@hasanikajembe8848 4 жыл бұрын
4 za kununua!tungejuaje Kama Morrison asingesema kwamba Kuna mtu wa Simba amempatia kias flan Cha Dolla!hamnajipya mikia!!nguvu ya soda
@hasanikajembe8848
@hasanikajembe8848 4 жыл бұрын
Umesahau kwamba tshishimbi pia alitoa arsist ya goli za Simba!
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 4 жыл бұрын
@@hasanikajembe8848 kumbe kikundi chenu kilikuwa kinamtegemea Morison sasa msimu huu mnakula zilezile 5 za Kipindi kile utopolo nyie 4 hazikuwatosha
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 4 жыл бұрын
Magu ametoa silaha za siri za CCM kutoka kwenye Banker leo .
@sethwilson4346
@sethwilson4346 4 жыл бұрын
Duuuh, ndani ya dak2 namaliza, halslafu anachukua dak20.
@nelsonchivaula6574
@nelsonchivaula6574 4 жыл бұрын
Mikogo ya mwalimu kacopy Sana huyu jamaa
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Hajacopy kaka hivyo ni vitu vya kijenetiki hata wewe kuna vitu unafanana km sio na baba yako basi mama yako so usishangae makongoro kuongea au kufanya vitu km marehemu baba yake
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 4 жыл бұрын
Mzee ww du hongera Kwa misamiati na muongeaji sana
@mtakatifubony1829
@mtakatifubony1829 4 жыл бұрын
Ccm baba lao na ni mama lao pia
@mwaminikibi9563
@mwaminikibi9563 4 жыл бұрын
Ccm hoeee
@mwaminikibi9563
@mwaminikibi9563 4 жыл бұрын
Safi Sana jembe rangu
@simonwambura2594
@simonwambura2594 4 жыл бұрын
Unamwombea kura, au unamdhalilisha?, Inaonekana CCM haiko Moyoni mwako ni aibu tupu!!!
@madirishasimon9692
@madirishasimon9692 3 жыл бұрын
Na Mimi sikumwelewa
@awadhlema5859
@awadhlema5859 4 жыл бұрын
Pamoja na maneno mazuri lkn ulichosha.maneno yako tafuta mkutano wako au wa mtu mwingine..mpaka wamekufukuza coz sio mahali pake
@manyerereibrahim6847
@manyerereibrahim6847 4 жыл бұрын
Mbona yeye mwenyewe hana ustaarabu
@zaitunissa7007
@zaitunissa7007 4 жыл бұрын
Ccm kiboko cha wapinzani ccm inatama
@richshayo4924
@richshayo4924 4 жыл бұрын
Chidbenz wa Tarime
@sultantz7635
@sultantz7635 4 жыл бұрын
Mshikaji sijui anaongea nini?
@kennedysuwa5910
@kennedysuwa5910 4 жыл бұрын
lissu bado mgonjwa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Acha ganja
@estermpagama9664
@estermpagama9664 4 жыл бұрын
Haswa apelekwe mirembe
@immaculatenjiku1706
@immaculatenjiku1706 4 жыл бұрын
Magufuli rais wetu oyeeeeeeeeeeee. Makongoro una matani marefu asante umenichekesha sana
@allinfoafricannetworks2900
@allinfoafricannetworks2900 4 жыл бұрын
NAFIKIRI SEMI HAZILIZISHI KTK HADHARA: Bali kwa wenye akili tu.
@josephkamala399
@josephkamala399 3 жыл бұрын
MAGUFULI ARUSHS
@thomasnyambibo7062
@thomasnyambibo7062 4 жыл бұрын
Wewe ninoma nikikumbuka ya wasira toka unasoma wasira yupo paka sasa yupo
@stellamwagil8587
@stellamwagil8587 4 жыл бұрын
Son like father
@henryxavery1713
@henryxavery1713 4 жыл бұрын
Big up Makongoro,..
@curtisnash4476
@curtisnash4476 3 жыл бұрын
Instablaster.
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 4 жыл бұрын
WATANI WA JADI
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 4 жыл бұрын
Wewe huna nini makongoro?
@ictshinyanga1795
@ictshinyanga1795 4 жыл бұрын
Huyu jamaa makongolo hana sera analeta story za kahawa tu naona wanajuta kumpa mic
@bongoyote1151
@bongoyote1151 4 жыл бұрын
Mokongoro. Umezeeka. sioni cha maana kwako unampotezea mh muda
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Nyerere family kiukweli ccm imewatenga mnajitutumua tu!!!m
@alloycemark5763
@alloycemark5763 4 жыл бұрын
Ndio ivo
@amanafi1288
@amanafi1288 4 жыл бұрын
Haki ya pension iko pale pale mengine hamna wa kumlaum ni kujiongeza tuu...
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Uongo,,,,mbona hajakaribishwa mama yako hapo mbele!!!!
@babymbaga6733
@babymbaga6733 4 жыл бұрын
Piga kelele kwa magu wakeeee hapa kazi too
@barakamwamkinga4624
@barakamwamkinga4624 4 жыл бұрын
Mnafeli wapi watawala?
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 4 жыл бұрын
Wengine Wote ni wahuni.walaghai wa nchi kama Lisu mwenye uraia wa nchi mbili wakati Tanzania hairuhusu
@muniramatinga6232
@muniramatinga6232 4 жыл бұрын
Umejuaje?
@veronicamchilo8552
@veronicamchilo8552 4 жыл бұрын
Watu wamejaaa ila hawana furaha
@hadijamatola5230
@hadijamatola5230 4 жыл бұрын
Nenda ukawafuraishe shoga angu
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 4 жыл бұрын
Makongoro Ni Raha sanaaa kumsikia Mizaha mingi
@eventelias3566
@eventelias3566 4 жыл бұрын
Aibu naona mimi☹☹🤨🤨
@artaldmdex8962
@artaldmdex8962 4 жыл бұрын
Yes nw I knw why a postor's child can be a robber.
@salimrashidy6926
@salimrashidy6926 4 жыл бұрын
Ako magu safi sana w ndo tzs
@jonathannzagamba5253
@jonathannzagamba5253 4 жыл бұрын
Jaman kama nyerere vile kna kasauti fulan kam ka nyerere kwel like father like son
@timothmziray4709
@timothmziray4709 4 жыл бұрын
Baba wa Taifa aliwaacha wanae kwenye hali isiyo nzuriii, Njaa sio nzuri
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Mwenzake mwinyi mwanae anaukwaa uraisi wa Zenji nyerere alizingua sana na itikadi zake za kijamaa
@ratifahassani2232
@ratifahassani2232 4 жыл бұрын
Ccm baba laoo
@juliascherehani2330
@juliascherehani2330 4 жыл бұрын
R. I. p chadema mbele yenu nyuma yetu tuliwachukia San kwa kupingapinga shetan Hawa chome moto
@monicarishael6512
@monicarishael6512 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅
@danielfrank303
@danielfrank303 4 жыл бұрын
Huyo atakuwa Last born
@deborahjoseph838
@deborahjoseph838 4 жыл бұрын
Gongo sio chai
@msomiitanga5050
@msomiitanga5050 4 жыл бұрын
KABUDI KASEMA MWENYEWE KATOKA MAJALALANI. WW HUJUI?
@Limbakale260
@Limbakale260 4 жыл бұрын
Maana yake apo ni madongo tu.
@pachamondyismailthabit5175
@pachamondyismailthabit5175 4 жыл бұрын
Hotuba gani iyo kma hujasoma
@emilmrutu7236
@emilmrutu7236 4 жыл бұрын
Hongera mnafanya vizuri
@hamismuhile3667
@hamismuhile3667 4 жыл бұрын
Uko sawa makongoro
@msomiitanga5050
@msomiitanga5050 4 жыл бұрын
UPINZANI LAZIMA UWEPO HATA HAMTAKI
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 4 жыл бұрын
Hivi mbona mikutano ya ccm imekua na watoto wengi hivyo au kujaza uwanja,,wanafunzi wanaenda kufanyaje huko
@salymkitumbika8644
@salymkitumbika8644 4 жыл бұрын
Hata yesu kristo aliwaita watoto wadogo kwa maana ufalme wa mbingu ni wao,
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
Mzik
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 4 жыл бұрын
Makokongoro mbona coni sera
@ntemichalya8599
@ntemichalya8599 4 жыл бұрын
Tulieni sis ndo ccm subr tuwachagulie magufuri raise was kweli
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 жыл бұрын
@@ntemichalya8599 Ni kweli ccm toka tupae uhuruni wao tu ndo wanaongoza miaka 60. Hata vyooo shuleni bado shida! Chama la hovyo kise..! Mtu anajenga kiwanja cha kimataifa kijijini kwake kwa pesa za umma kinyume na utaratibu!! Chama knamkenulia meno!!! Muulizeni yalomkuta zuma! Kujenga tu nyumba na swiming pool kwa pesa za umma kilichomkuta!! Nyerere angekuwepo huyu Mg fool angepingwa na kukataliwa na kukemewa!!!! Uwizi!
@sulekibombwe1367
@sulekibombwe1367 4 жыл бұрын
naona ujinga tu makongolo wewe kwenu kunanuka njaaa sasaiv ata amkumbukwiiii
@dominicbikolo9534
@dominicbikolo9534 4 жыл бұрын
Mmefanana sura mpaka tabia pia saut dogo makongoro balaaaa
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 жыл бұрын
Mambo ya jenetiki hayo baba
@tabumussa6705
@tabumussa6705 4 жыл бұрын
Uyu baba naona kidogo sijui
@presseg.6362
@presseg.6362 4 жыл бұрын
Magufuli juuuuuuuu%%%@ Tunakupenda Sana.
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 4 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeee Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeee CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 4 жыл бұрын
One LOVE CCM juu zaidi
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 4 жыл бұрын
MAGUFULI ameshapita walah hadi raha sana Mm niko nje ya nchi lakin Najisikia furaha sana. Kura yangu kwa Magufuli number 1
@azizaz1628
@azizaz1628 4 жыл бұрын
Makongoro muongog mm yanga nawajua vzr'haaa
@rosemongi5273
@rosemongi5273 4 жыл бұрын
Bas makongoro omba kura acha hizo za Simba na yanga.
@anyelwisyestephen4690
@anyelwisyestephen4690 4 жыл бұрын
Ahahaaaaaaaaaaa
@HopeTv-v3m
@HopeTv-v3m 4 жыл бұрын
Ndugu zangu watanzania mkikumbuka historia ya libya mtachaguwa kwa akili,huyu magufuli ni mfano wa cadafi kwa sasa ,mtakapo poteza bahati mliyopewa na Mungu mtalia na kusaga meno.
@charlesjacob1273
@charlesjacob1273 4 жыл бұрын
Jalalani kweli
@odilinadonald9461
@odilinadonald9461 4 жыл бұрын
Mi sielewi
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 4 жыл бұрын
Huyu jamaa vipi
@sulubumrambakakorogo9084
@sulubumrambakakorogo9084 4 жыл бұрын
Naskia wataweza kweliii @simba
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
MAKONGORO NYERERE
1:09:15
Maulid Madeni
Рет қаралды 189 М.
UTACHEKA VITUKO VYA RC MAKONGORO, AWAVUNJA MBAVU WADAU NANENANE
8:11
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48