Nani anasikiliza hii hotuba baada ya mzee wetu Ali Hassan Mwinyi kufariki ni nani? Inna lilah Wainna ilayhi Raajiuun.
@SalumKanju-ik1bk4 ай бұрын
ndio naisikiza hapa, mungu ampokee mwinyi katika waja wema
@habibusalum18494 ай бұрын
Kunajambo la kujifunza
@lucypius44144 ай бұрын
Nakata vitunguu hapa😢😢😢
@mirajintandu97874 ай бұрын
😢😢😢😢leo tr.29 nmerudi tena hapa baada ya kufariki mzee wetu mzee wa Ruksa. R.I.P mzee wetu
@joycefelix90473 жыл бұрын
Jamani nimerudia sana kumsikiliza huyu Mzee Wetu. Hasa yale maeneo aliyotuvunja mbavu......kama nawe umerudia achia like please
@tausially13773 жыл бұрын
Yule mwanetu aitwa nani vile mungu akulinde babu
@AzainTv3 жыл бұрын
@@tausially1377 😂😂
@lucytewele22113 жыл бұрын
Kwa kweli nampenda
@lucytewele22113 жыл бұрын
Namsikilizia mpk saiv jamani anaongea kweli
@thobiasodhiambo95533 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu, baba yetu, babu yetu mzee Mwinyi. Wewe ni CHUMA nakukubali sana. Sikuisikiliza hotuba yako hii laivu lakini imenilazimu kuitafuta ili nipate kukusikiliza. Nimefarajika sana kwa busara zako. Kama nawe unamtakia maisha marefu mzee Mwinyi, achia LIKE za kutosha.
@ngedekimolo85124 ай бұрын
Inna LILLAH wainna ilayh raajiuun. Ameenda Mzee mwinyi kwa mila wake.Allah akusamehe makosa yako na akujaalie qaul thaabit
@lynelee58463 жыл бұрын
Wazee wa busara kama hawa ukifaulu kuwafikia hakikisha unapokea neno la kukufaidi toka kwao Maana wana vitu vingi sana vya kutuachia kama vijana na sio rahisi sana kuwapata walio zeeka na akili timamu much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🙌
@theafricanphilosopherqueen30323 жыл бұрын
Reading without glasses at 95!wow, much respect, President Mwinyi, thank you for making the widow smile 🙂
@kamaratsalimsafari88383 жыл бұрын
Much respect great n funny speech without glasses but nime notice karatasi ya kwanza ameiregelea mara 2 almost to start third reading from the same notes🤣poni na huyu kaka aliekuja muonyesha nxt notes about Mama Samia 🤣so funny
@noelimafwele6023 жыл бұрын
96
@kiri58073 жыл бұрын
mamaangu ni mtu mzima na havai glasses , ameekewa glass ndani ya macho yake .inawezekana naye yuko hivyo.
@kiri58073 жыл бұрын
hizi lenses wanazovaa warembo kuweka na kuondoa ni km zile zakuonea ila hiyo inaeka chini ya ugamba wa jicho kwenye duara nyeusi .
@user-gv4jx2fp4u4 ай бұрын
Yaani ni neema
@suma25533 жыл бұрын
Nimependa zaidi pale alipomuadress mwanae wa kumzaa, "Mheshimiwa Dr. Hussein Mwinyi". Kubwa sana hili
@abubakarimlyandi89663 жыл бұрын
Mwinyi mungu akujaalie afya na nguv pamoja na uhai mreefu baba wewe ni mshauri
@neemajoseph71463 жыл бұрын
Mungu akulinde baba binafsi nakupenda 2. Nikiulizwa. Kwanii nakupendasijuwi
@neemakaluwa21463 жыл бұрын
@@neemajoseph7146 wajina 🤣🤣🤣
@neemajoseph71463 жыл бұрын
@@neemakaluwa2146 nambie wajina
@fatunam77213 жыл бұрын
I just love former President Mwinyi. Ingawa tuko kwenye huzuni lakini katufariji sana na vichekesho vyake
@KUTOKA-ep2fk3 жыл бұрын
Lipo kusudi la MUNGU kwa kulala huyu Kijana wetu, watanzania tuwe na amani! Maana hata walionia mabaya juu ya taifa letu hawawezi kwa jina la Yesu kwa sababu MUNGU wetu yupo juu ya maadui zetu! Na MUNGU wetu atatupigania........maono ya kweli hayafi!
@angelmaufi3 жыл бұрын
Amina
@elibaricklaizer56713 жыл бұрын
Magufuli ameenda lakn. Bado yupo Mungu aliyetuleteaga
@neemakaluwa21463 жыл бұрын
Ameen 🙏
@naomyndopi53552 жыл бұрын
Amen
@millowamilonga Жыл бұрын
Eti kwa jina la yesu ni nani huyo yesu?
@lysabantu24903 жыл бұрын
Jamani, that was sweet. Mwenyezi mungu akulinde. You are such a blessing Baba Mzee Alhassan Mwinyi. Thank you very much for bringing laughter on such a somber day.🙏🏾🇹🇿💚
Umeongea katika ukweli kutoka moyoni Nimependa risala yako kwa Watanzania wote na Mwwnyezi Mungu atakulinda
@thebosslady45973 жыл бұрын
Mwinyi yuko vizur anasoma bila miwani God bless you grand papaa
@diyembarak55064 ай бұрын
mashaAllah Tabarakah Allah
@diyembarak55064 ай бұрын
Allah amjaalie kaul thabit
@theshindikasfun51984 ай бұрын
What a great tribute ! RIP our dear Presidents, Magufuli and Mzee Mwinyi 🙏🏿🤲🏼🫶🏾
@ayubumdolo2593 жыл бұрын
Nafarajika sana kumuona raisi ambaye hakuniongoza yaan nilikua bado sijazaliwa leo namskia nimefarijika sana ubarikiwe sana
@glorykalunga48493 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba hakika unafurahisha
@conrad49503 жыл бұрын
Oh wow..may God bless President Mwinyi..such a humorous soul..iv laughed so hard even though I was sad. RIP Mangufuli.
@mjahmed38093 жыл бұрын
Babu hassan mwinyi long life bi idhni Llahah, you made my day
@mbarikiwambarikiwa39883 жыл бұрын
Ishi miaka mingi mh mstaafu Ally Hassan Mwinyi.
@josephmateru88923 жыл бұрын
Umeongea mambo mengi sana ya msingi japo umetufurahisha sana umefanyi kamfaraja
@mariamnimbo83943 жыл бұрын
Nakuunga mkono mzee Mwinyi, kweli JPM kafanya mengi mno, mno, makubwa na mazuri ya maana. RIP JPM baba!!!!!!!!
@Minsirerickjuniorofficial12723 жыл бұрын
Nampenda sana huyu raisi kwa unyenyekevu na heshima yake,hana kiburi ya kustaafu ,mungu akupee maisha marefu babu
@benedictmrisho18004 ай бұрын
Uliwahi ona waombolezaji wakipiga makofi? Marachache sana. Mzee wa busara huyo RIP Mzee Mwinyi.
@habibasimba13873 жыл бұрын
Mzee wa ruska 😍😍😍😍 my mum told me alot of goods abt him
@nestinaviolachemba79143 жыл бұрын
Me too yani
@abelmkiba5433 жыл бұрын
Goods si ni bidhaa hizo au mi ndo sielewi
@thomasgogomoka64043 жыл бұрын
Goods umezingua na wewe Goods ni bidhaa.
@lightrich64363 жыл бұрын
@@thomasgogomoka6404 mambo
@thomasgogomoka64043 жыл бұрын
@@lightrich6436 hii
@ismailyusuph7403 жыл бұрын
Aisee kuna Watu MUNGU kawajaalia udongo mzuri’ miaka 96 bado angali anafanya baadhi ya mambo kwa ufasaha...!...Ahsante Mzee Mwinyi Kwa kuwafariji wafiwa ..!
@amidumselle56593 жыл бұрын
Anasoma bila hata kuwa na miwan lakin vijana wa miaka 12 tu saizi hawezi kukaa bila miwani
@shyfettymtunda46194 ай бұрын
Dah!! Innalillah wainna ilayh rajiun Mzee Ruksa 😭😭😭 Ulikuwa huna baya maskini baba wa watu.
@aminaathumani31483 жыл бұрын
Kweli kulia kupo na kucheka kupo asante mzee wetu mwinyi umefanya tutabasam haliyakuwa tunamajonzi makubwa
@HeriMagwaza-cd4wg4 ай бұрын
Rara salama mzee
@amenemhurt88173 жыл бұрын
95 but still going strong. Much respect 🙏 Rest in peace JPM🙏
@everkabete66453 жыл бұрын
wooow is 95,I can't believe it because he doesn't look that age
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
And he can read without glasses 👓
@user-es1rv7sn2p4 ай бұрын
Hii ndiyo hotuba pendwa toka kwa mzee Rukhsa 😂 mpk watu walisahau km wamefiwa, nilitamani ufikishe miaka 100 tukufanyie birthday ya Taifa lakini Mungu amekuhitaji kabla.. Nakuliliaa mzee Mwinyi. Allaahumma ghfirlahu wa Arhamahu wa Maskanahu fil JANNATUL FIRDAOUS... Innaa lillaah wainnaa ilayhi raajioun 🙏🙏🙏
@margarethsaramaki39663 жыл бұрын
Amina mzee Mwinyi maneno mazuri RIP John Magufuli
@user-eq3pt7uu9i4 ай бұрын
RIP mzee mwinyii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nilikupenda Sana hii siku ulitufurahisha but now haupo nas .. pumzika kwa Aman😭😭😭😭😭😭😭
@@yasodishonest9792 Ni ngumu lkn hivyo ndio inavyotakiwa yaani Machungu aliyonayo Mama Janeth Hakika hayana mfano Mungu ndie ajuae walau akipata ahueni ya kupoza Machungu sio vibaya
@mumyhendry29193 жыл бұрын
Ulijua kutupotezea stress kwa muda Baba😂😂😂
@ibrayomapenzi70483 жыл бұрын
MI NI FUNDI MIWANI MARA NYING SANA WATU WAKIFIKA MIAKA 40 Wanaanza kuvaa miwani za kusomea LAKINI MZEE MWINYI BADO YUPO NGANGARI HAIJALISH MIAKA GANI YUPO ILA BADO ANASOMA BILA YA MIWANI , NA UJASIRI WA KUONGEA UPO VILE VILE NIMEPENDA SANA
@jonaskabonda7413 жыл бұрын
Kweli kabisa mzee Mwinyi yeye wa kipekee
@mwadinihaji77403 жыл бұрын
Masha Allah , yaani mpaka raha mzee Mwinyi
@swaleheismail463 жыл бұрын
Jamanii ukiona kitu hukijui we nenda ukamuulize mama siti ,daaaahhh mzee Allah akupe umri mrefu zaidiiii
@sniperislam45474 ай бұрын
Nimejikuta nacheka alivyo sema inatosha eeenh 😂😂😂 dah allah akupe qauli thaabit na kaburi lako liwe viwanja miongon mwa viwanja vya peponi nakukumbuka ulikuja shulen kwetu azam kufungua msikit pale azam complex kwa sheykh twalibu
@kamaratsalimsafari88383 жыл бұрын
Ha ha ha 🤣Nimejishtukizia tu nacheka automatically 🤣Hawa ndo wahenga wetu, na sikweli ka nxt generation tutapata tena wazee wenye busara na matamshi ya ucheshi ka hawa
@kaizamulinda6333 жыл бұрын
Thank you for making Janet smile at least. You are aging with your charm and wisdom grandpa
@azizamuhali55313 жыл бұрын
Mimi binafsi nakupenda Mh. Rais mstaa babu yangu Mwinyi ni utukufu kwa Mungu kukupa maisha marefu na akujaalie zaid na zaid ili atukuzwe sana Mungu wetu 😁😀😊
@yasodishonest97923 жыл бұрын
MZee mwinyi. umli umeenda unatuchekesha bana.Asante kwakuleta tabasam kwa wafiwa
@jamesmgimba74033 жыл бұрын
Raha sana kuwa na mzee kama wewe
@AllyMwazoa3 ай бұрын
Moyo mweupe msafi wa kidhahabu alioumiliki huyu mzee mungu amrehemu na amuweke mahala pema peponi
@mohammedmbaya51942 жыл бұрын
Asante mzee wetu kwa kutufaliji mungu akupe umri mrefu
@rithamzuri4 ай бұрын
Rest in power Babu yangu..yn umeenda hata miwani hujavaa?
@conneykinya23953 жыл бұрын
Mungu akujalie maisha marefu,yenye afya na nguvu..through this anointing of life,I tap the same in Jesus name.Amen,Amen.
@khadijamzuri86793 жыл бұрын
Sasa na mwanao hussen ajipange na yy nae ni rais ayafanye kama hayo
@rehemashabaniameen4 ай бұрын
Leo nimerudi kuzitazama hii hotuba ya Raisi wangu Mwinyi upunike kwa kwa Amani
@user-oe7kc1jm3q4 ай бұрын
Mimi pia nimerudi tena kuitazama Rest in peace Mwinyi