wallahi nimejifunza mengi Allah akuhifadhi Ustadh wetu
@bimariam96542 жыл бұрын
Kweli wanawake tuko na mtihan mikubwa be maana twafanya vitu bila ya kufaham nn maana yake subhanallah shukran shekh wetu
@UmmuSumayyah-e5vАй бұрын
Maa shaa Allah nimejifunza mambo mengi biidhnillah napenda sana mawaidha ya shekh bafana
@abcmnbb26102 ай бұрын
Mashaallah tabarakaah Shukran Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri sana Yaarabi tupe mwisho mwema Mungu akuifazi inshaallah
@HassanJoho-j5u Жыл бұрын
Sh abaye amenifuza mengi, Allah akulipe hapa duniani n ahere,abaye ana namba yake anipe
@muwayimusilimu3746 Жыл бұрын
MashaAllah ústadh nimejifunza mengi kwa hii clip shukran Sheikh wetu Allah SW Akulipe Kwa kila la kheri Dunian na Akheran.
@ARNOLDKARISA-fs3ht Жыл бұрын
amiin
@MohamedMeja2 ай бұрын
Masha allah mungu akujazi
@SaumJuma-ng4vj9 ай бұрын
Shukran jazzaka Allah kheir
@hassanmwangi65098 ай бұрын
Ma shaa Allah
@yigamuzamiru12955 ай бұрын
Asante Sana Shykh Said Bafana
@KaburaKadebuye9 ай бұрын
Burundi Alley : shukuran nimenogea kabisa
@AimanMuscaan-qk5kd5 ай бұрын
Shukran shekh nmeji funza mingi alhamdulillah lkn nko na maswali machache
@aminakiure5 ай бұрын
Alahuma.bariky
@MussaSondo-o6u2 ай бұрын
Allah akbaru
@halimaissack47195 ай бұрын
Allahuma barik
@mwanaidinamteje47662 жыл бұрын
Maashaallah
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Shukran jazzakka ALLAH kheir
@abfullmajied60923 ай бұрын
Naykumbuke kuna wenzake wanafanya nyiradi 10000 sasa siijui hapo umewaza watu wote ni wavivu
@yusufadanmoha3112 жыл бұрын
MashaAllah ❤🤍
@رقيهعلي-غ7س Жыл бұрын
Assume aiaykum
@Buddy9072 Жыл бұрын
فقد روى الإمام أحمد في مسنده عن العرباض ابن سارية، عن النبي صلى الله عليه وسلم، قال: إني عبد الله في أم الكتاب لخاتم النبيين، وأن آدم لمنجدل في طينته، وسأنبئكم بتأويل ذلك: دعوة أبي إبراهيم، وبشرى عيسى قومه، ورؤيا أمي التي رأت أنه خرج منها نور أضاءت له قصور الشام، وكذلك ترى أمهات النبيين صلوات الله عليهم. ورواه الحاكم وصححه، ووافقه الذهبي. Naomba mtafute Bafana akueleze hii hadithi au akudhaifishie pia ni sawa. Kisha ndio upime munayoelezwa na hawa watu yapo ama ni uzushi??? Na hii hadithi Bafana ataidhoofisha vipi ama ataifahamisha vipi, ama hakuwa ameiona? Bafana huna heshima na Mtume Muhammad wewe. Waongea nini
@abfullmajied60923 ай бұрын
Fundisha kitu ya maana ulamaa wa kisa sa hapo unamtumia mic 🎤 kukataza shanga zakuzibitia hesabu acha kukataza unayoyatenda hizi mmelishwa ninii nyie wahabiya??
@aminasaid65552 ай бұрын
Allah akujaalie mdomo mwema usio na kero mbele ya waumin wenzio.
@UmmuSumayyah-e5vАй бұрын
Subhana Allah muogope Allah kwa maneno yako Allah akujalie hekima ta kuongea
@SaumMwamrezi-wo8vkАй бұрын
Kama ujamuelewa sikiza tena kwa makini hajakaza kutumia shanga kwa tasbihi amesema haitaweza kukitetea yaumul Kiama nivzr kutumia kiungo chako cha mwili ambapo ni mkono