maa shaa Allah kwa ufafanuz nzuri Allah akulipe khery kwa ukumbusho. lakin pia masufi mrekebishe yafuatayo 1. miguu yenu haigusani wakati wa swala❌ swalini kama mtume na masalafy✅✅ 2. miguu msielekeze mashariki na magharibi❌ elekezeni qiblah kama mtume na masalafi ✅ 3. msiswali mahala bila sutrah❌❌ 4. msiswali miskiti yenye makaburi❌❌ ama ondoeni msikiti au kabur✅✅ 5. mkiswali nyoosheni swafu zenu vizuri kama mtume na masalafi ✅✅ 6. mkimaliza kiswali imamu asielekee mashariki❌❌ awaelekee maamuma✅✅ 7. mkimaliza swala mdhukuruni Allah ✅✅ wala msiombe dua ❌❌ 8. kama nimekuudhi usinitukane❌❌ malaika wanaandika kila unachosema✅✅ 9. sijaandika yote kwa ajili ya kuleta mzozo❌❌ bali nawapendelea kheri✅✅ #nuru_ya_sunnah @nuru_ya_sunnah
@saidtembele30706 ай бұрын
Allah akulipe kila la kher akhy
@AdnanMohammed-l6i6 ай бұрын
Baarakallah akhy
@sadru57106 ай бұрын
Allah akubaarik akhy...
@kitosio6 ай бұрын
Jazaaka الله خير
@bagalucha6 ай бұрын
Usufi ni mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana zaidi ya Quran majumbani ,na misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,imo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na mahambali wa Saudia,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
@AbuuUmary6 ай бұрын
Namna ziko tatu unaweza Anza kitendo kisha takbeer ama takbeer kisha kitendo ama kitendo na takbeer kwa wakati mmoja NJIA zote ni sawa nenda ukatazame swift swala ya shaykh Alban sherhe ya shaykh bazamuul
@ShukriShakir-pb3zc6 ай бұрын
Yataka angalau ufanye Safari yakwenda Makkah alafu uende kwao huko ummul Quraa uwaeleze hao mashekhe utawapata na uwaeleze makosa Yao na insha'Allah watakusikiliza
@9119-r4t3 ай бұрын
Hahaha. Ataenda mwambia nani kiyarabu chake nichakukata kata
@massoudomar96516 ай бұрын
Shukran sana Sheikh... Tunahitaji pia kujua ni wakati gani maamuma anatakiwa kumfuata imamu wake.
@YahyaAli-o9z3 ай бұрын
Asslm alykm: hivi ww haji upepo umesoma lini ww kazi yako unasbr mtu akosee upate kumkosoa hivi ndivo alivofundisha allh na mtume hauna elimu na ww pia so mkamilifu unakosea makosa ya kusoma na uandishi wako pia Rudi usome vzr
@hythamhashiem44585 ай бұрын
صدقت استاذ حاج
@selemaniayubu1156 ай бұрын
MashaALLAH,upo sahihi, tatizo watu wengi wavivu kuisoma Swala matokeo yake wanafata mkumbo Tu, ALLAH Akulipe Kheri nyingi
@dhaham15476 ай бұрын
Kasomeni wacheni kuwakosoa wanazuoni
@AbuuSumayyah-rh7oi2 ай бұрын
Wavivu wa kwanza kuisoma dini yenu ni wewe na hiyu mjinga mwezio ulie muunga mkono ktk upuuzi alio uzungumzaa
@HashimSalim-qj7zn5 ай бұрын
KWA HILI TUKO PAMOJA MAANA HATA SHEIKH HASSAN SALMAAN (ABUU UBAIDA) Rahmatullahi ilaihi., Amelielezea vzr sana ktk kitabu chake KAULU LIMUBIIN FII AKHTWAI LIMUSWALLIIN
@Hawanalugha2555 ай бұрын
Ww haji upepo unahekma sana katika maongozi lkn pia unatakiwa usome uwe katk njia ya hakk una matatzo kdg Allah akuongoze ktk njia ya sawa sawa
@HashimBilemile6 ай бұрын
Yule ni doctor sawa eeeee maimam wa pale wanaelimu kubwa
@IssaNasir-v2e6 ай бұрын
Kwann usingetumia maimam wa mtambani na kichangani lengo lako ni kudhalilisha watu ambao allaah amewapa utakufa kwa husda haji ushuzi
@AnsabMahmoud6 ай бұрын
Jamaa watafuta Kiki kwa nguvu
@kariukihassandawah4476 ай бұрын
Unatafuta umarufu na maimamu wa makka pole sana!
@amiriamiri-i6i6 ай бұрын
Usiseme halina ikhtilafu kijana moja kwa moja sema hujaona wanawachuoni wamesemaje kwenye Hilo
@saidyissa85396 ай бұрын
Usiseme sababu za kipuuzi tumia kauli zenye busara na ulinganie kwa hekma na maneno mazuri.
@NassoroJuma-xg8ky6 ай бұрын
We shekh fyatu kaa chini usome cyo kitabu kimoj ndy uwaanze uwadui
@elbattawy286414 күн бұрын
Mimi nafkiri si kwa sababu ya kufuata mike, Imamu Sudas kwa mfano kama ataianza takbira kuanzia chini wakati anainuka bila shaka wako maamuma ambao watawahi kusimama sawa sawa yeye hajasimama sawa na sasa hili mimi naona ndio baya zaidi, italeta ile kumtangulia imamu maana kuna watu walio safu za nyuma ambao hawamuoni imamu akiinuka wao wakisikia tu takbira watakuwa juu muda huo huo wakati Imamu anajikongoja kusimama. litakuwa kosa kubwa zaidi
@hamishasan77376 ай бұрын
Kwa sisi tunaojua mifumo ya audio simuelewi anazungumzia nini maana spika ndio zinachelewa kutoa sauti yeye aliishasema kabla ,nenda makka kaa nyuma ya imam usikie ndio utakuja kuongea uyasemayo
@bagalucha6 ай бұрын
Huyu hujamjua bado?,analake alilolikusudia,yeye anatengeneza farka, zake zipo kwa masheikh wa kisaudia siku zote,kubwa zaidi huwa anatafuta umaarufu,elimu haswa haipo,iangalie kwa makini,utaona vipande vya kuunga unga unga vya klipu,kuna Al Basalam Shafii,ambaye ni mpotoshaji wa kishia,wanafanana hulka zao.
@fatimasaid94696 ай бұрын
Alhamdulilah. Ustadh Ahsante kwa kutujuza ila kwa khekima na busara ni bora ungefanya mpka ukakutana nao hao maimau ili tujue kma yye mwenyewe amekosea na ajirekebishe kuliko kutoa tu fatua na wee ni viongozi w umma hapo ndio tunapovurugana ssi kwa ssi .me nadhani tumia hikimakwanza ya kuuliza na ssi utupe faida kuliko kujirikodi tu na kutoa makosa . Huu utakua mpasuko mkubwa.
@IssaNasir-v2e6 ай бұрын
Hana nafas ya kukutana nao labda amtume sheikh wake mufti hivi huyu ni upepo hana adabu hawez kupata watu wa kumpokea
@mussamohamed56624 ай бұрын
Dini ni kusoma si ushabiki, na kusoma kuna kuzidiana pamoja na ukweli kwamba hakuna ajuae kila kitu, ila lililodhahiri ni kuwa, mtu ambae elimu yake ya dini haina shaka imethibitika ukubwa wake na utaalam wake ni lazima umuheshimu hasa unapomkosoa, isije mwisho wa siku ukajaonekana hujui ukisemacho, umemaliza primary unataka kushindana na mwenye phd! Elimu ya dini haibahatishwi, ni lazima usome kweli kweli..
@DiudaKozi-qu8sl5 ай бұрын
Uyo Haji upepo hajui kusoma Kur ani
@AllySalim-ov3jn6 ай бұрын
Ahsante mwalimu shukran
@KhalidMkubwa-x3g3 ай бұрын
Aslm aykm mwalim ningelipend kuongea kiarab ili wenyew wakufaham sio tu kutufahamish ss ss tushafaham bad wao
@amiriamiri-i6i6 ай бұрын
Swali je hayo makosa yanaharibu swala?
@IbrahimNtirenganya6 ай бұрын
Allah Akbar Akbar Masufi wamepindukiya Ilimu chache mpaka wamefikia kuwakosowa maulama mbona nivyema kama wataka thawabu wakosowe masufi wenzako makosa yao nimakubwa tena yaaibu
Nenda ukasome zaidi hawafuati mic bali akisema Allahu Akbar akiwa chini wengi watamuhalifu imamu ambalo ni kosa kubwa
@abdulazizabuu6 ай бұрын
Swadakta
@abdulqaadrilaurian37006 ай бұрын
Hivi hajui kuwa akimtaja Allah tabarakah akiwa hajanyoka wengi watatofautiana na imam
@AkidaSimba-b1b6 ай бұрын
n
@AkidaSimba-b1b6 ай бұрын
Haj upepo elimu huna ivo ndio sahihi asiende maamuma nanimam acha ujinga uwo Sunnah ipo ivo
@kingsaid32606 ай бұрын
Tumeambiwa tufuate kitendo baada ya takbira ya imamu, sasa imamu hana kosa wala kusema udhuru kuleta takbira baada ya kitendo ili tu akwepe maamuma asimuhalifu isipokuwa sisi maamuma tuache pupa na tujifunze kuwa na adabu katika ssala haswa safu za kwanza, badala ya kusikiliza na kuifuata takbira tunaangalia vitendo vya imamu.
@salahhddindasuvic64476 ай бұрын
Usikosoe wanazuoni.
@salimabddala37586 ай бұрын
UST. UKIFANYA HIVYO utawakuta maamuma WAKO washakutangulia zamaani
@kingsaid32606 ай бұрын
Tumeambiwa tufuate kitendo baada ya takbira ya imamu, sasa imamu hana kosa wala kusema udhuru kuleta takbira baada ya kitendo ili tu akwepe maamuma asimuhalifu isipokuwa sisi maamuma tuache pupa na tujifunze kuwa na adabu katika ssala haswa safu za kwanza, badala ya kusikiliza na kuifuata takbira tunaangalia vitendo vya imamu.
@Hussein-l6v6 ай бұрын
Mtume sw amesema kila binaadam anakosea kwaivo sudesi akiwa kama maadamu lazimaakosee mtume hasemiuongo shekh
@ayyanabdi53076 ай бұрын
Nenda ukasome zaidi wewe hauna ilmi kuliko maimamu wa Makkah hawa maimamu wanafaa kuheshimiwa sana kwa hii dunia sasa wewe sheikh unasema makosa yao mbele ya watu hata hauisi aibu ama nini walahi maimamu wa makkah hawana makosa hata kidogo unataka kusema ukona ilmi kuliko sheikh Saudi al shurema amh sudais amh yasser al dowsary usiwai rudie hivo tena sheikh haji upepo🙏🙏
@TpPt-do5vg6 ай бұрын
Wew ndio mwenye makosa jiangalie Bila hivo utapazw
@ismailomar92485 ай бұрын
Hawa ndo wale wakisoma kdog2 wnajiona wao nd wamebobea katika kila fani acha ria shee kasome ach kutafta umaaruf a kpumbav hna elimu mzushi mkubw
@kaonekakaoneka98156 ай бұрын
Na siku ukipata nafasi utuletee na mazuri Yao
@RamadhaniRasuli-s2b3 ай бұрын
wew ni mjinga ktk uislam wako
@huseinomary8086 ай бұрын
Mmh jmn tumche Allah tabaraka wataala
@zainabzanzibar15186 ай бұрын
Sasa huyu anawakosoa mashekhe yeye mwenyewe ata kutamka Bismillah kwa ufasaha hawezi 😢
@9119-r4t3 ай бұрын
Kijana soma uzidi kupoteza wapumbavu wenzako. Manake nimewahi kukuona kanzu yako iko chini kama mwanamke. Kwani hilo kosa hulijuwi sio
@saidhamis-e4y20 күн бұрын
Soma wew ni elimu tu ndo shida
@zuberkasim71506 ай бұрын
Upo sahihi kabisa nasio hilotu Ata Ktk kujipanga kwenye swafa mabega inatakiwa yagusane na vifundo vya miguu vigusane utanuwe miguu usawa wakifua chako lakini watu tumekuwa tukifanya mambo yahovyo ujeuri yani nishida shukrani sana
@coyancodavao40046 ай бұрын
Mabega yanagusana vp? Umezowea misamba
@AbuuUmary6 ай бұрын
Nenda ukasome bado sana mzee
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm5 ай бұрын
Huwez kumkosoa mtu wa makka kina na wew mwalimu wako wew ni nan? Kama hajatkea huko Madina? Nenda kasome chenga wew au unataman kunifurahisha kuzungmza wew?
@rahakesho6 ай бұрын
Wacha kukosoa mashkhe kwa matamanio ya mafsi yako kwa sababy ya madh'hab na chuki za mashkhe wa saudia
@finestabuu5 ай бұрын
Sitaki kukujudge ila hivi umesoma Sana kuliko sheikh sudai 🤔🤔🤔mungu akusamehe ila kama wewe umesoma Sana wachana na mungu ahukumu makosa ya binadamu na wewe utupee hutuba sio kujaribu kukosoa
@SalumuMatimbwa6 ай бұрын
Umesoma hadith moja unakuja kupotosha watu huku
@Allybinamour6 ай бұрын
wakipatikana watu km nyinyi 10 tu, uislamu itakua ni dini ya mipasho kila siku,ikiwa kila afanyae kosa mwenziwe amkosoe kweny vyombo vya hbr km ww. ni vizur ungewauliza wamekamata hoja gani wangekueleza. muogopeni mola wenu jamani na acheni riyaa
Shekh achakutafuta kiki kwa kuwa kosoa mashe wenzaki
@allysalimu3386 ай бұрын
Weye wafurahisha kweli ani una ilimu kushinda! Mashekh dini iliko toka?
@dullahsaleh85075 ай бұрын
Kwani wao sio binadamu?
@NasoroZubery5 ай бұрын
Sasa sisi tunafaidika nn apo shekhe…? Kama makosa ni ya kwao then unatuambia sisi how?😂
@SalumHamad-vr2je6 ай бұрын
Nasaha baada ya fatwa au mawaidha vema sema Allahu Aalam
@shahamzanda58576 ай бұрын
Kwahiyo Sudais Hana swala mpaka leo au unatuambiaje msomi wetu wa Afrika Mashariki
@tajiribarua3 ай бұрын
Ustaadhi/kuna baadhi ya maamuma ni vijana kuliko maimamu ukileta takbira wanaweza kumtangulia imamu je kama anafanya hivyo kama dharura itafaa?
@planetanimals95476 ай бұрын
Umekosea hapo kutaja watu au mataifa tu umetoa mafunzo lkn mafunzo yko yatachochea chuki baina yawaislam, hakika hao nimashekhe wakubwa kuliko ww
@bagalucha6 ай бұрын
Tupe hizo dalili zenye ushahidi wa hayo unayoyasema,kwa reference,si utuoneshe video,bila ya kutupa reference,kwa hili ungetuonesha mfano wewe binafsi
@ahmedchoden99706 ай бұрын
Sw but hamna asiekosea katka huu ulimwengu sheikh
@JannatTahmid6 ай бұрын
Ndio,Kuna makosa ya kuto kujua na makosa ya Bahati mbaya.
@rashidichuri11496 ай бұрын
usianze kazi yakipuuz kama hii usione umesoma sana eimu nibahari
@SwahibuSembaruku6 күн бұрын
Shkh elim ni bahari jifunze hao unaokosoa ni wanazuoni wakubwa itapendeza zaid akhy kwenda kuwauliza ni kawnin labda wanafanya hivyo then uweze kutoka fatuaa zako
@abdurrahmanali97336 ай бұрын
هداك الله
@abuuhumaidsalumassalafiyy36886 ай бұрын
Nenda ukasome vizuri babu mana sio shekhe kasome aina za kuleta takbira
@dullahsaleh85075 ай бұрын
Wewe uliesoma tupe elimu.
@issaabdallah76606 ай бұрын
Sikuhizi vijana mkisha soma vitabu viwili vitatu mnakuwa watoa fatwa na kuwakosoa wanazuoni
@TwabaryAbdallah6 ай бұрын
Bado huja maliza kunyonya kanyonye tena miaka miwili ndio uje ujifunze kusema
@abughaneem92203 ай бұрын
Wewe unaelimu gani ya kukosowa maimamu wa maka kama umeshidwa kupata umarufu kwenu unataka upate umarufu makah acha utoto
@HashimBilemile6 ай бұрын
Tunajua unatafuta kufahamika mitandaoni ndo ujifanye kuwakosoa maimam wa makka
@KidijeiNuru6 ай бұрын
We fyatu kweli, samiya au sami a, kalale huko
@hassancharo14966 ай бұрын
NI VIZURI UENDE UKA WAREBESHE MANA HII LUGHA UNA TUMIYA SIDHANI KAMA WANAI ELEWA
@muhammadjuma84576 ай бұрын
Hapana hakikisheni ikiwe kuna makosa wacha yasemwe kua Maka sio kigezo twende kunako usahihi
@salmaabdulrahman55125 ай бұрын
Mhh unakosoa maimamu
@bindawoodahmed96666 ай бұрын
Ikiwa imamu ataleta takbir wakati yupo chini pia ni kosa kwa sababu Maamuma watamtangulia ni Sawa kuleta takbir karibu ya kufika juu . Kutafuta makosa kwa mashekhe wa juu ni kosa kwa mtu mdogo mwenye elimu chache
@salimhamad43636 ай бұрын
sio samia hemu kasome lugha kwanza
@saidkipalo44276 ай бұрын
Wewe lugha Unaijua lkn au ndio mihemko Uyu Ustadh Lugha anaijua vizuri mno au tufanye battle kati yako na yeye tumjue Nani anae ijua Lugha Vizuri...........
@AllyAhmad-zg2yp6 ай бұрын
Hata mtume angekuwepo ungemkosoa wkt yeye ndio swahib sharia
@MteleShadia-lc6gi6 ай бұрын
Haoo NI mashekh wakubwa ,,elimu yao NI kubwa kuliko wew kwhy wew usiwah kuwakosoa Hao mashekh wakubwa wa makha,, wa dunia,, elimu yao NI pana,,kuliko ww ,,Kama kweli we unajiweza ,,tengeneza mjadala nao ,,Kama kweli we NI bigwa wa kukosoa,,,ndo tukujuwe
@khalifakyabitara47616 ай бұрын
Dogo soma kwanza vizuri ndo uje ufundishe
@KhamisHamad-gk7eh6 ай бұрын
usiwe kama bacho usikosowe wanawachuoni wakosowe wanaokufuru kwanini ukosowi wailamu wanaoingia madukani na masanamu kwani mtume alinua kwa kelele mbona husemi
@ismailburhan86225 ай бұрын
Shkh kasome bado kabsa hujawa na point bado za kuwakosoa maimamu wakubwa wa haram...... Fikiri hao ni nani na wanaowaongoza....
@mazruqmohammed41086 ай бұрын
Kosoa waswahil wenzako pengine unaweza kupata umaarufu si mashekh kama hawa wewe elimu wenyewe mtihan
@royal29916 ай бұрын
Apa umefeli
@allymtito81176 ай бұрын
Hii yote kwako ndugu yaonyesha waongea bila elemu, sas km waona maimamu wa maqah wanakosea, kwani uliambiwa ufuate maqah au ufuate quruan na suna kwa ufahamu wa maswahaba!!!
@hafidhbakari65296 ай бұрын
Lakini hayo maneno ukiyatamka yakiendana na kitendo si yatatoka maana yake.mfano Aallaahuu akbaar ni sahihi hivi
@nassorokusyoka6 ай бұрын
Kisomo chako kidogo.Kasome kwa Wenye kisomo
@SheikhYussuf-iv6lo6 ай бұрын
ww kwel mjinga soma kwanza alaf ndo uje uweleze unaonekana una chuki t na mashek wa haram sasa znethibit kwa Mtume S.A.W aina zote mbili nakunasih soma kwanza alaf ndo uje uongee kwan muda mwengine mtu mjinga hujulikana anapoongea km ivi sasa tumefaham ww ni mjinga juu ya ilo
@watchenyoyyourday26695 ай бұрын
Uongea kiarabu ili Sheikh Yasirr aelewee
@MubarakaKambale6 ай бұрын
Sheikh Ina kubaliwa
@uthmanmaluja70056 ай бұрын
Nimegindua kuwa hata wewe mwenyewe elimu yako ndogo sanaaa katika hizo takbiraati za intiqalali Kuna riwaya zaidi ya moja hiyo unayesema wewe pia ukinyenyuka unasoma takbira ukiwa juu imethibiti pia soma kijana usikurupuke
@ChamaChaMapinduzi-qz5ni6 ай бұрын
Huyu nae anataka kiki
@abuusabeel59346 ай бұрын
Wacha upumbavu wa kutak umashuhuri... rudi ukasome uelewe ni wakati gani imam anatakiwa aseme takbira.. na kasome ujeu ni wakati gani maamuma wanTakiwa wamfate imam.. Acha upumbavu w kutFuta Kiki RUDI UKASOME MJINGA WEWE
@ttyyyyuuuuuu5 ай бұрын
Comments nyingi zinaonesha kuwa baadhi ya watu hawajapendezewa kukoselewa Maimamu wakubwa wa Haram, kwanza tujue kuwa Allah pekee ndie aliyekamilika, huyu Ustadh hapa katoa Hadithi inayothibitisha makosa yanayofanyika kutoka kwa Maimamu wakubwa yanayosabisha wengine kuiga bila ya elimu, maana makosa yanayofanyika katika Haram yanasababisha kuonekana sio makosa. Tupokee haki hata ikiwa kutoka kwa aduwi yetu, haina maana ukimpenda mtu ndio mkamilifu, hamna ruhusa ya kumkosoa.
@ameirameir43496 ай бұрын
Si kweli hawafuati maik. Mbona akitoa salamu maik sauti inatoka na wakati kakaa kitako na inawezekana kuna mpishano wa sauti
@arifali39426 ай бұрын
Sasa salam atawez vp kuifata maik na ndio kashakaa chini
@AminaJuma-r4v6 ай бұрын
Allah mtukufu akupe mwesho mwema shehk 🎉🎉🎉
@shabanihugo83326 ай бұрын
Wew ni mchanga ktk elimu bwana mdogo
@mzeerajab91546 ай бұрын
Uchanga na upevu haviwi hoja katika dini.Dalili ndio inayotakiwa.
@isaliisu34086 ай бұрын
Naona hawapingi hoja wanakupinga wewe ukiona hivyo ujuwe umewashika na kwasababu limefanywa saudiya masafi utagombana nao
@RamadhaniMsukuma6 ай бұрын
Naomba unitumie namba yako pls
@huseinsuleiman15806 ай бұрын
Acha ria elimu yako haijafikia kuwakosoa viongozi wako wa dini alafu inaonyesha huwaheshimu hata wazazi wako
@abbaspaziaog21886 ай бұрын
Hajji upepo wa ushuzi juha uhl bidaah jizushi
@arifali39426 ай бұрын
Kivip yan hatujaelew kivp ni juha yaan mtu wa bidaa ni kivp inaingilian vp hpo tueke waz
@mhusinigau32316 ай бұрын
Acha makasiriko we pimbi wa kiwahabiya
@arifali39426 ай бұрын
Aache makasiriko kwel
@mazruqmohammed41086 ай бұрын
Wewe unataka umaarufu wala hupati
@IssaNasir-v2e6 ай бұрын
Unajua kuna aina nyingi za upepo sasa usijekuwa wewe upepo wa ule unaomtoka
@jumamohammed27486 ай бұрын
Hebu weka CV yako kwanza ili tukujua
@MuhidiniNassor6 ай бұрын
Kwanza ungetuekea CV ya MTUME(S.A.W)
@abdul-rahmanfakijuma18796 ай бұрын
Ibada ya swala ni ngumu watu tunahisi ni jambo jepesi mno kumbe ibada ni nzito mno lazima tuisome tuijue na tuifahamu
@musaomar41846 ай бұрын
Huna hoja za kimsingi rudi usome
@jumaothman94496 ай бұрын
Upepo!
@salumhassanallymkurdistan70066 ай бұрын
MIMI NAULIZA IMAMU AKIIVUTA TAKBIRA SII ATAKWENDA NAO SAWA MAAMUMA NA MAAMUMA AKIMTANGULIA IMAMU ATAKUWA AMEFANYA KOSA?
@kingsaid32606 ай бұрын
Tumeambiwa tufuate kitendo baada ya takbira ya imamu, sasa imamu hana kosa wala kusema udhuru kuleta takbira baada ya kitendo ili tu akwepe maamuma asimuhalifu isipokuwa sisi maamuma tuache pupa na tujifunze kuwa na adabu katika ssala haswa safu za kwanza, badala ya kusikiliza na kuifuata takbira tunaangalia vitendo vya imamu.
@dhwahiqudumila38946 ай бұрын
Wajibu wako ni ufundishe watu sio kuonyesha makosa ya watu Sasa na hao pia wana hoja zao ambazo wewe huzijui au huziitaki