Majibu ya kielimu kwa Jahil Muhammad Bachu || Ustadh Haji Upepo حفظه الله

  Рет қаралды 21,829

Haji Upepo Online tv

Haji Upepo Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 388
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 4 ай бұрын
Mungu atuhifadhi na atupe husnil khatima Aamiin. Haki iko wazi na atakao atafuwata.
@YusufMatianyi1388
@YusufMatianyi1388 Жыл бұрын
Jazakallahu kheyra,Ustadh Allah Akulipe hadi uridhie ,We love you too in shaa Allah, Allah Akuhifadhii na Husdah Usichoke Kumkosoa Kasuku Na Pia Shiekh Kishki Akosea Sana Na Yeye Anapenda kutoa hukmu huku Akisingizia wanavyuoni ja Maswala ya Arafa na mengineo plz Shiekh wetu Usichoke Plz! plz!! Allah Atakulipa in shaa Allah kwa kazi nzuri hio
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Жыл бұрын
Mnajitahidi sana kuharibiana nakuvunjiana heshima huku mnaacha wavulana wanalawitiana nawengine wanauana ....acheni maneno matupu hayafai fajyeni vitendo .mnatutia aibu tu hakuna ufahari katka dunia mcheni mungu
@infocontentchannel
@infocontentchannel Жыл бұрын
Ustadh Haji Allah akuhifadh akuzidishie Elimu na usiache kusoma ili kuzidi kuihami Dini ya Allah, na kuwazindua Hawa Waenda mbio bi'idhnillah.
@yusufuzuberi9884
@yusufuzuberi9884 Жыл бұрын
Maulidi haiwezi kua haq upepo
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 6 ай бұрын
BACHU kafungiwa zanzibar sasa yupo kwa mashoga zake tanga na Mombasa anaropokwa tu
@AliKhatib-vy1oj
@AliKhatib-vy1oj 6 ай бұрын
Ww haji upepo naona kila mtu wagomban naye eee yaonesha kua ima ushekhe mkubwa cn au nijahili kubwa ila mm nahis ujahili murakab eeee
@AliKhatib-vy1oj
@AliKhatib-vy1oj 6 ай бұрын
​@@sleemhamoud4394 jaribu kutumia lukha mzur
@AliKhatib-vy1oj
@AliKhatib-vy1oj 6 ай бұрын
Haji upepo maan ya wahabi mnni kwan
@sleemhamoud4394
@sleemhamoud4394 6 ай бұрын
@@AliKhatib-vy1oj wahabi ni systems iliyo weka na watawala wa kiyahudi ili waweze utawala mfano ipo leo tunamuona mafuta na genge lake likiwashutumu n kuwalaani waarabu na kuwasapoti mayahudi
@zanlec7357
@zanlec7357 8 ай бұрын
Haji Upepo. Nenda kasome kijana mdogo ELIMU YAKO NI NDOGO N DUNI MNO. CC MASALAFY HATUNA MASHAKA NA MASHEIKH ZETU
@mussaissa6796
@mussaissa6796 6 ай бұрын
EEE ILA MNA MASHAKA NA MASHEIKH WA WENZENU, WAO PIA HAWANA MASHAKA NA MASHEIKH ZAO ILA MASHAKA NA MASHEIKH ZENU.
@nasrarichadi2278
@nasrarichadi2278 3 ай бұрын
Dah wewe unaasubi kwa hiyo huwezi kuelewa hata uambiweje
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 Жыл бұрын
Shukran shehe wangu :Muhamad Bachu hanachochote cha kusema katika dini , hana vyombo va kielimu venye kumsaidia katika kuogelea katika bahari ya elimu. Namuomba al-akh muhamad bachu asione aibu arudi darasani asome tena lakini pia sisi sote tuzidi kusoma ili tukisema ,au tukifanya tujue twafanya nini
@musakulapha9882
@musakulapha9882 Жыл бұрын
Wa Allah c pendeli lkn sheikh Muhammad bachu anatoa ilmu ya faida ...aneleweka yaani ..hapa naona porojo...samahani lkn..
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 Жыл бұрын
@@musakulapha9882 tusiwekeni chuki mbele katika mas'ala ya elimu . elimu ina mapito yake huo ndo ukweli
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 Жыл бұрын
@@musakulapha9882 tuweni watu wa kutofautisha kati ya ufasaha katika kuzungumza na ufahamu wa kielimu kupitia vyombo va kielimu ,sikila mfasaha huwa ana elimu na sikila mwenye elimu anaweza kuwa mfasaha katika kuongea lakini upo uwezekano mtu akawa mfasaha na akawa na elimu, muhamad bachu anaufasaha katika kuongea lakini hana vyombo va kielimu venye kumpitisha mapito ya kielimu nawala simdharau illa, ila kama hio ya kutojitambua kuwa kitu flani hajui anayo na mtu kujijua kuwa kitu flani sina sio aibu bali aibu nikuongea kitu bila ya ufahamu mkubwa wa kile kitu kisha ukadai kuwa hivo unavoelezea ndivo sawa wakati sivo kiuhakika
@SaidAli-r2d
@SaidAli-r2d Жыл бұрын
Maashallah waweke saw haw mawahabi
@HassanNtunda
@HassanNtunda Жыл бұрын
Allah atuongoze. Atupe elimu.Atuoneshe haki kuwa ni haki ili tuweze kuifuata na atuoneshe batili kuwa ni batili na tuweze kuiacha
@zanzibarfin5789
@zanzibarfin5789 Жыл бұрын
Asante. Sana kwa kutuelimisha Allah akulipe heri. Huyu Kibachu hana jipya hata kofia hajui inavaliw vp.
@إلىاللهمرجعناجميعا
@إلىاللهمرجعناجميعا Жыл бұрын
Shkh haji tunashukuru kwa darsa zako Ila ningeomba Umwite huyu bacho kweny mjadala kuhusu tawasul n'a maulidi ili tupate faida n'a sisi wanafunzi
@MAPETEE
@MAPETEE Жыл бұрын
Asante sana shekh haji ume ongea vzr sanaa. Mm kila siku mm nasema uyu Bachu nimpotoshaji mkubwa ila kwanza baba yak kupotosha watu Zanzibar na yy Afuatilia uovu
@JafariKivugo
@JafariKivugo Жыл бұрын
Kak acha kumsem mtu kuwa Ni muov Mzee wawt nassoro bachu msikiliz vzr
@saidmuhd611
@saidmuhd611 Жыл бұрын
Hii ni hazina yetu, Allah akupe umri mrefu afya na tawfiq ya kubainisha hila zao hawa. Binafsi nilisoma kwao ila nilishindwa kuelewana nao Mwisho nikasamehe
@SalumAli-jr9iu
@SalumAli-jr9iu Жыл бұрын
Jazaakallahu lkheir
@ashuramikidadi4568
@ashuramikidadi4568 Жыл бұрын
Innaalillaah wainnaailaih rajioun matusi tupunguzeee
@thamani5842
@thamani5842 Жыл бұрын
Jazakallahu khaira shekh, kazi nzuri endelea kutufundisha shekh, mana hata hao mawahabi wafata mkumbo hawajui siri au lengo hasa la mawahabi. ALLAH atuongoze njia ilionyooka.
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 Жыл бұрын
😂😂😂😂 yani masufi hata mtu akinya msikitini madamu ni sufi mnawezq mpongeza kwakweli
@ABDULLAOALI
@ABDULLAOALI Жыл бұрын
Tengeni mda mkasomeushauri wang
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Жыл бұрын
Haji upepo we ni utopolo huna hoja yamsingi
@issaabdallah1205
@issaabdallah1205 3 ай бұрын
Haji upepo basi kama hayana sanadi huwo ni uwongo na dini yetu haiyendeshwi na uwogo
@Madhwihajamal
@Madhwihajamal Жыл бұрын
Shukran shekhe Haji musiwaache hawa mawahabi hata dama ni virus mno
@ibnuhajartvonline2448
@ibnuhajartvonline2448 Жыл бұрын
Mbona sheikh unakosea katika kusoma
@dennisajayi1785
@dennisajayi1785 Жыл бұрын
BACHU NENDA MAMBRUI UKASOMESHWEE AU UTAZIDI KUPOTEYA NA KUPOTEZA WAFUASI WA KIWAHABI AMBAO HAWANA ELIMU
@mngwaliis-haka5348
@mngwaliis-haka5348 Жыл бұрын
Mashallah sheikh Hajji Allah akupe kila la kher
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Wao masufi anaondoa mwenendo mtume wetu na kuweka myenendo Yao ya kisufi na kishia
@faridahmed6296
@faridahmed6296 Жыл бұрын
Wewe una shaka shk hajji Na mungu kumu weka mtume kwenye arshi yake
@allyalhilaal2106
@allyalhilaal2106 Жыл бұрын
"من أصغى بسمعه إلى صاحب بدعة ، وهو يعلم : خرج من عصمة الله ، ووكل إلى نفسه. وعنه: من يسمع ببدعة فلا يحكها لجلسائه لا يلقيها في قلوبهم". ثم قال: " قلت : أكثر أئمة السلف على هذا التحذير ؛ يرون أن القلوب ضعيفة، والشبه خطافة " انتهى من "سير أعلام النبلاء" (7/ 261). وفقنا الله وإياك لما يحب ويرضى. والله أعلم.
@allyalhilaal2106
@allyalhilaal2106 Жыл бұрын
الحمد لله. أولا: لم يقل ابن تيمية رحمه الله إن الله يجلس نبيه محمدا صلى الله عليه وسلم على العرش، وإنما نقل أثر مجاهد في ذلك، ونقل قبول السلف له. وأثر مجاهد في إقعاد النبي صلى الله عليه وسلم على العرش، رواه أبو بكر الخلال في "السنة" عن غير واحد عن محمد بْنُ فُضَيْلٍ، عَنْ لَيْثٍ، عَنْ مُجَاهِدٍ قال في قوله تعالى: (عَسَى أَنْ يَبْعَثَكَ رَبُّكَ مَقَامًا مَحْمُودًا) الإسراء/ 79 ، قَالَ: " يُجْلِسُهُ عَلَى الْعَرْشِ". وفي رواية: قَالَ: "يُقْعِدُهُ عَلَى الْعَرْشِ". وينظر: "السنة للخلال" (1/ 213) وما بعدها. قال شيخ الإسلام ابن تيمية رحمه الله: " حدث العلماء المرضيون وأولياؤه المقبولون: أن محمدا رسول الله صلى الله عليه وسلم يجلسه ربه على العرش معه ، روى ذلك محمد بن فضيل عن ليث عن مجاهد؛ في تفسير: عسى أن يبعثك ربك مقاما محمودا وذكر ذلك من وجوه أخرى مرفوعة وغير مرفوعة. قال ابن جرير: وهذا ليس مناقضا لما استفاضت به الأحاديث من أن المقام المحمود هو الشفاعة باتفاق الأئمة من جميع من ينتحل الإسلام ويدعيه لا يقول إن إجلاسه على العرش منكر - وإنما أنكره بعض الجهمية- ولا ذكرُه في تفسير الآية منكر" . انتهى من "مجموع الفتاوى"(4/ 374). وينظر كلام ابن جرير رحمه الله في تفسيره (17/ 531). كما ينظر: كتاب "السنة" للخلال، وكتاب "العرش"، للذهبي (2/ 273 - 282)، ففيهما النقل عن جماعة من أئمة السلف ، ممن قبل هذا الأثر، منهم أحمد بن حنبل، وإسحاق بن راهويه، وأبو عبيد القاسم بن سلاَّم، وغيرهم. وأما رأي شيخ الإسلام نفسه، فيؤخذ من قوله: " وإنما الثابت أنه عن مجاهد وغيره من السلف، وكان السلف والأئمة يروونه ولا ينكرونه، ويتلقونه بالقبول. وقد يقال: إن مثل هذا لا يقال إلا توفيقاً، لكن لا بد من الفرق بين ما ثبت من ألفاظ الرسول، وما ثبت من كلام غيره، سواء كان من المقبول أو المردود" انتهى من "درء التعارض" (5/ 237).
@allyalhilaal2106
@allyalhilaal2106 Жыл бұрын
ينسب إليه في هذه المسألة، حتى يظن الظان أن ابن تيمية يشبه الله بالشاب الأمرد. وإنما هذه رؤيا منام، في حديث يرويه الأئمة، فلا لوم على شيخ الإسلام في روايته. قال رحمه الله : " فالإنسان قد يرى ربه في المنام ويخاطبه ، فهذا حق في الرؤيا . ولا يجوز أن يعتقد أن الله في نفسه مثل ما رأى في المنام ، فإن سائر ما يُرى في المنام ، لا يجب أن يكون مماثلا . ولكن لا بد أن تكون الصورة التي رآه فيها : مناسبة ، ومشابهة لاعتقاده في ربه . فإن كان إيمانه واعتقاده مطابقا ، أتي من الصور، وسمع من الكلام: ما يناسب ذلك، وإلا كان بالعكس . قال بعض المشايخ: إذا رأى العبد ربه في صورة كانت تلك الصورة حجابا بينه وبين الله . وما زال الصالحون وغيرهم يرون ربهم في المنام ، ويخاطبهم ، وما أظن عاقلا ينكر ذلك ؛ فإن وجود هذا مما لا يمكن دفعه ... وليس في رؤية الله في المنام نقص ولا عيب ، يتعلق به سبحانه وتعالى ، وإنما ذلك بحسب حال الرائي ، وصحة إيمانه وفساده ، واستقامة حاله وانحرافه. وقول من يقول : ما خطر بالبال أو دار في الخيال ، فالله بخلافه ، ونحو ذلك إذا حمل على مثل هذا ، كان محملاً صحيحاً ، فلا نعتقد أن ما تخيّله الإنسان ، في منامه أو يقظته ، من الصور : أن الله في نفسه مثل ذلك ، فإنه ليس هو في نفسه مثل ذلك ، بل نفس الجن والملائكة لا يتصورها الإنسان ويتخيلها على حقيقتها ، بل هي على خلاف ما يتخيله ويتصوره ، في منامه ويقظته ، وإن كان ما رآه مناسبا مشابها لها ، فالله تعالى أجل وأعظم ". انتهى من "بيان تلبيس الجهمية" (1/ 325).
@allyalhilaal2106
@allyalhilaal2106 Жыл бұрын
لَرِزْقُنَا مَا لَهُ مِنْ نَفَادٍ ) ص/54 . فتسلسل الحوادث في المستقبل، لا يمنع من كونه تعالى هو الآخر، وكذلك تسلسل الحوادث في الماضي لا يمنع من كونه هو الأول. والقول بحوادث لا أول لها، أو بالقدم النوعي للحوادث لا محذور فيه، كما نص على ذلك غير واحد من محققي المتكلمين ، كالأرموي، والدواني، ومحمد عبده، ومحمد بخيت المطيعي، بل هو مقتضى أسماء الله وصفاته وأنه لم يزل خلاقا عليما، ونكتفي هنا بنقل كلام المحقق الدواني. قال رحمه الله: "وأنت مما سبق خبير بأنه يمكن صدور العالم ، مع حدوثه على هذا الوجه، فلا يلزم القدم الشخصي في شيء من أجزاء العالم، بل القدم الجنسي، بأن يكون فرد من أفراد العالم لا يزال على سبيل التعاقب موجودا" انتهى من "شرحه على العضدية" ص 10. والنصيحة لك أن تقبل على تعلم العلم النافع- لا سيما وأنت في هذه السن المبكرة- وألا تنشغل بالشبهات والردود، فإن هذا يصد عن كثير من العلم. فاحرص على قراءة كتب السلف، وتلقي العلم على أيدي الثقات، واحذر الشبهات والنظر في كتب المخالفين ومواقعهم، فإن القلوب ضعيفة والشبه خطافة. قال الذهبي رحمه الله ، وساق قول سفيان: "من أصغى بسمعه إلى صاحب بدعة ، وهو يعلم : خرج من عصمة الله ، ووكل إلى نفسه. وعنه: من يسمع ببدعة فلا يحكها لجلسائه لا يلقيها في قلوبهم". ثم قال: " قلت : أكثر أئمة السلف على هذا التحذير ؛ يرون أن القلوب ضعيفة، والشبه خطافة " انتهى من "سير أعلام النبلاء" (7/ 261). وفقنا الله وإياك لما يحب ويرضى. والله أعلم.
@MajutoRajabu-r9v
@MajutoRajabu-r9v 7 ай бұрын
HUYU BACHU NI KICHAA .
@MohammedMohammed-y8c
@MohammedMohammed-y8c 2 ай бұрын
هل هو من الكتاب أم السنة؟
@mussaissa6796
@mussaissa6796 6 ай бұрын
فإن لم تفعلوا ولن تفعلوا فالتقوا النار التي وقودها الناس والحجارة أعدت للكافرين
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 Жыл бұрын
ALLAH anamuuliza aadam unamjua mtume hali alishamwambia amswalie jee hapa zinagongana
@shabaniissa3464
@shabaniissa3464 Жыл бұрын
Maelezo umeyakiliza vizuri ?
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 Жыл бұрын
​@@shabaniissa3464ndio
@khamisabdi723
@khamisabdi723 Жыл бұрын
Mashekh huu upepo kweli mm nataka ushahidi kwake wa ibadan hii ya mauled kama ni ibadan ina mafundisho kamili katika vibabu sahihi
@MohamefMullah
@MohamefMullah Жыл бұрын
Sheikh Haji upepo Mimi nimefahamu zaman sana Muhammad Bachu hamna kitu ni debe tupu kichwa kitupu na hata Hawa wanaomsapoti pia ni vichwa maji hawajielewi wanafuata upepo tu mwalimu wao hajasoma na hao wafuataji nao hawajasoma ni porojo tu kwenda mbele na kufru zao hao mawahabiiiii
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Shukran shukran shukran sanaa shekhe
@MohdKhamisSoud
@MohdKhamisSoud Жыл бұрын
We pumbavu sana
@khamismussa1599
@khamismussa1599 Жыл бұрын
Allah akubariki sana.Tumekuelewa sanaaa.
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Sheikh samahani huyu mtoto wabachu usimvishe jina la Muhammad,hata kama ni jina lake ,Bora umuite mtoto wa bachu.kama alivyoitwa Muhammad bin abdulwahabi akaitwa wahabi,na huyo aitwe mtoto wa bachu inatosha,lkn ukimuita Muhammad mna confuse watu.
@solomomadej
@solomomadej Жыл бұрын
A alaykum Allah akuhifadhi na akuzidishie elimu
@mjedamjeda4734
@mjedamjeda4734 Жыл бұрын
UPEPO BACHU UPO NAE ZANZIBAR MIAKA YTE KWANINI USIWEKE MNAKASHA TU MPKAAA BACHO ATOKA HAPO NA KWENNDA TANGA NA MOMBASA WEWE KAZI KUJIFUNGIA CHUMBANI NA MKE WAKO UKAJIRIKODI KISHI WATU KWENYE MITANDAO HII NIDHAMU YA KIKE WEKA MEZA 2 TUMALIZE UTATA ACHA KUTIA HURUMA UPEPO
@makameshibli2797
@makameshibli2797 Жыл бұрын
nakupingeza Shekh Kwa kusisitiza magroup yote ya some Kwani elimu ndo Kila kitu
@alyaislam2226
@alyaislam2226 Жыл бұрын
Bachu humjui ni chizi alisema mwenyewe bachu ana tafuta maisha
@ShabanHassan-td3lx
@ShabanHassan-td3lx Жыл бұрын
Innahllilah wa innah ilah rajiuun mch Allah ndgiang hajji
@omarbadawy-y3s
@omarbadawy-y3s Жыл бұрын
Haji myoshe huyu chizi
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg Жыл бұрын
Jamani mashekh tafadhalini mbona Kuna watu wabaya na wapotoshaji hamutoki povu kuwaraddi munakosowana wenyewe Kwa wenyewe Kwa faida ya Nan ,ivi mitaala hii ya kukashifiana,kutukana kutiana aibu mmetoa wp ktk dini?
@Haarun-h4q
@Haarun-h4q Жыл бұрын
MAWLID ni UZUSHI. Allah na Mtume Muhammad wote hawakutufundisha ibada hiyo.Washabiki wa MAWLID wanatumia nguvu nyingi kuhalalisha kuhalalisha
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Changia mada hujaambiwa maulid usiwe na jazba ndugu
@Mushkey-r8x
@Mushkey-r8x 6 ай бұрын
Mm nachoshwa na hizi namna ya ukosoaji, lugha, sio ktk namna uisilamu umetuelekeza
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Sheikh Muhammad Bacho,sindano imewaingia,endelea na dawaya kuitangazia haki,Allah akulinde na radhi za Allah ziwe juu yako,sindano inafanya kazi
@feizalmas
@feizalmas 3 ай бұрын
Hujitambui ndomana unasema hayo
@manrectorz
@manrectorz Жыл бұрын
UNGEACHA UJINGA UKAACHA UPUMBAVU, UKAACHA UCHAWA KWA MASHEKH WENU WA KITWARIQA. BASI UNGEKUWA KIJANA MZURI MBELE ZETU NA MBELE ZA MUNGU. ILA WEWE UPO TAYARI KUFANYA JAMBO LA KUWAPENDEZA WATU ILIMRADI WAFURAHI ILA UMCHUKIZE ALLAH NA MTUME WAKE😢😢😢
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Жыл бұрын
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri,
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Жыл бұрын
Maashaallah ustadhi haji
@salimobeid1470
@salimobeid1470 Жыл бұрын
Asante sana alhaji upepo kwa ufafanuzi wenye ufasaha mkubwa kwa aliekua na akili atafahamu la kama atakua ni mtu wa jazba na kufata mkumbo haoni kitu hapa mimi nilichojifunza hapa leo hii miwahabi wao wanachokisema hará kama si mtume basi hicho ni sahihi Lakin wanazuoni wengine wakisema wasiokua wao hao wazushi dahh acheni haya mambo miwahabi
@salminimaloki1992
@salminimaloki1992 Жыл бұрын
Jazakallah khairan
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Жыл бұрын
Kwa nini mawahhab wanajaziba sana,wanafundishwa chuoni?
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Жыл бұрын
msipeane majina mabaya
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Жыл бұрын
unasoma kwa shidashida sana
@HijaMussa-v5r
@HijaMussa-v5r Жыл бұрын
Kukosea ni maumbile ya binaadamu lakini, isiwe wakikosea mashekh wengine mtu anakua mkali lakini wakikosea mashekh wake anakaa kimya. Tuwe waadilifu.
@IssaHamisi-z2v
@IssaHamisi-z2v Жыл бұрын
Tambua malipo ni hapa kwa baadhi ya matendo matendo, kama alivyo bacho hukosoa wana wa chuoni walio kufa nae atafanyiwa hivyo hivyo
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Haswaaaaas tuweni na inswaaf
@KhalidIssa-k9j
@KhalidIssa-k9j Жыл бұрын
Hivi hunakazi ya kufanya?
@azizisingi7068
@azizisingi7068 Жыл бұрын
Kuwaraddi mawahabi ndo kazi kubwa
@nasrarichadi2278
@nasrarichadi2278 6 ай бұрын
Kazi anayo ya kuwapa dos wagonjwa na wengi miongoni mwao wanapona.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Ktk Quran Tukufu na Sunnah tumefundishwa namna bora ya kukosoa. Misingi ya kulingania inapaswa kufauatwa na walinganiaji wote ili kupata kuridhiwa na ALLAH SUBHANAHU. WATAALA..
@ABASIKIKUMBI
@ABASIKIKUMBI 6 ай бұрын
hata maswahaba walikosoana na waovu walikuwepo je waache kukosoana wakakemewe waovu?
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 6 ай бұрын
@@ABASIKIKUMBI Sahihi, comment yangu ipo wazi. Kukosoa ni sehemu katika kazi Tukufu sana ya Daawa. Usulubu Daawa nini maana yake...?
@mohamedmasoud3561
@mohamedmasoud3561 Жыл бұрын
Assalaam Aleykum, sheikh hapo kidogo umenichanganya, vipi unataka dalili (Hadith) ya Tauba ya Nabii Adam wakati imeelezewa kwa vizuri katika Surat Aaraf aya 23. Asaa umepitikiwa, Mola awaongoze masheikh wetu nyote wewe pamoja na Muhammad Bachu ila nawausia muwe na uslubi mzuri wa mijadala Mambo ya kutusiana hayaleti faida kwa Umma
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
BACHU HAKATAI HAO WANAZUONI,,,MUNGU AMETUPA AKILI,,KUNA VISA UKISKIA HADI AKILI YENYEW INAGOMA,UNAONA KABISA HIKI KIMETUNGWA...NA NDO POINT KUBWA YA BACHU
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Na Mtume saw amekataza kutumia akili yako kupima dini.
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 KAMA WATU WASINGETUMIA AKILI ZAO,,,WE LEO USINGEANDIKA HAPA...
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@hassanbakari4525 KUPIMA DINI. sio lazma useme kama hujafahamu nilichosema. Hukmu ya dini hutumii akili ila sheria ya kiislamu
@BinBadru
@BinBadru Жыл бұрын
Mwanachuoni nae mtu anapatia na kukosea,mnamwita muislam mwenzenu jahil! Sio vizuri
@Amna-v8z
@Amna-v8z Жыл бұрын
Hahahaha wafurahisha ustadh mungu akuweke
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder Жыл бұрын
Huyo ni kama tv, Remote iko Saudi.
@gureymedia400
@gureymedia400 Жыл бұрын
Kuna watu hawajui uislamu na nyinyi maustadh ni matusi
@binismail8527
@binismail8527 Жыл бұрын
We kijana mbona unatuootezea mb zetu.mm sijaona hasa unachomaanisha
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 2 ай бұрын
Kwani umelazimishwa kusikiliza?
@allyalhilaal2106
@allyalhilaal2106 Жыл бұрын
"Inamtosha mtu kua muongo kuhadithia kila anachosikia"
@ibnuidrisa3996
@ibnuidrisa3996 Жыл бұрын
Pumbavu wew
@user.-_5943
@user.-_5943 Жыл бұрын
SubhanaAllah 😢 Hili kweli Laskitisha hivi Mtu watukana Kisa mtu Kanunu maneno ya Mtume Swalallahu Aalayhi wassalam 😢 وعنْ أَبي هُريْرة  أنَّ النبيَّ ﷺ قَالَ: كَفَى بالمَرءِ كَذِبًا أنْ يُحَدِّثَ بِكُلِّ مَا سمعِ رواه مسلم. Huu ndio ujahil mulioujaza masufi hadith hamuzijui na Mwajifanya wa kali Kutukana Watu😢
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Жыл бұрын
Duh mwanzoni bachu ilikuwa na muwelewa sana lkn kila siku zikienda naanza kufamu kama anatupeleka siko na mpotoshaji na nikimtazama machoni tu namuona kuwa ni muongo
@aymanmangube4092
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
una elimu kubwa sana wewe yani unamtazama tu mtu machoni kisha inakubainikia kwamba ni muongo
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Bachu hana elmu yoyote ila kuropokwa sana
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Жыл бұрын
@@aymanmangube4092 ndio ndugu yangu mwanachuoni unamjua na mbabaifu unamjua kwa kuangalia tu
@aymanmangube4092
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
@@jakuabdull34 binafsi namuelewa sana Muhammad Bachu maneno mengi akiongea ananukuu vitabu hawa wengine naona mengi wanayizungumza yanatoka vichwani mwao hasa kwenye jambo la ufahamu wa Kitabu na Sunna
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Жыл бұрын
@aymanmangube4092 c kumuelewa mtu kubwa nikutafuta haki kwa hili nimekaa nikatafakari nikaona ananitoa kwenye haki na kubwa zaidi naangalia mantik za hoja hoja zake nyingi c za kujenga umoja wa kiislam bali ni kuvuruga umoja wa kiislam
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Shekh haji nipo na wewe na unaenda vizuri ila wasia wangu jitahidi usijifunze kupoteza dakika kwenye kulaumu au kusimanga au kurefusha maneno kwasababu waskilizaji Alhamdulillah tuna akili vizuri basi weka point bila kuchelewa iwe faida tupu ili tupende kurejea clip kusikiliza. Weka point yake kisha weka jibu kwa ufupi kabisa.
@BinDaudy-ch2cc
@BinDaudy-ch2cc Жыл бұрын
Shekh comment yako nzuri lakin hata wao mawahabi hawana point pekeake ispokua anaongea Sanaa sasa lazima nasisi tuende vile tunavyoona inafaa kuendanao hivyo shekh haji upepo endelea hivyo hivyo hawajamaa lazima wajibiwe Ila wasitukanwe tu.
@barzaqtradingcompany8541
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Kiongozi wa wakundi bidaa hili ni Shetani, hawa masufi ni صم بكم و عمي
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@barzaqtradingcompany8541 UNGEJIBU HOJA BASI TUNGEFAHAMU, MAZALI HOJA ZIMEKYSHINDA NA HUTAKI KUWA SUFI BASI WEWE NI SUMMUN BIKMUN UMYUN. maana umepewa hoja una masikio ila husikii na hoja huna.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@BinDaudy-ch2cc HAWA MAWAHABI MBURU MATARI, 😁, WAO WANAFKIRI WAKISHAMUITA MTU GHURAFI NDIO AYA AU HADITHI KWAO 🤣
@ramsorama9765
@ramsorama9765 Жыл бұрын
Sheikh uko vizuri lkn unazunguka sanaaa nenda kwa point yako.mm n mfuasi wako
@HassanSalim-hl8qs
@HassanSalim-hl8qs Жыл бұрын
Naona upepo kampiga mwenzake alama ya x kuonyesha kwamba yeye ndie yupo sahihi
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Sio kuonyesha, hata nikisikiliza naona hivyo 😁
@faridahmed6296
@faridahmed6296 Жыл бұрын
Mm ni shk Fareed kutoka Kenya nakufunza kidogo ujuwe viyumbe vyote wanamkimbiliya Allah mimi nakufunza Allah Anamtaka mtume mohamed s. a. w. Nitafute nikupe Aya 3
@mohamedmlacha276
@mohamedmlacha276 Жыл бұрын
kwani mmekosa mada za kuzungumza mitandaoni zaidi ya kukosoana kila siku nawaomba fanyeni kwa vitendo ili tupate kujifunza kwenu kwa matendo punguzeni mijadala mitandaoni
@JafariKivugo
@JafariKivugo Жыл бұрын
Shekh zangu waislamu wenzangu mtume Muhammad s,a,w hiv kweli ndo alivyo tufundisha kuwa muislamu mwenzako anapokosea unamsema mbele ya hazara jmn tunaelekea wapi ndug zangu jaman man sikuhz mashekh zetu hiyo tabia imeenea san mtu akikosea kitu kesho yake wampost na kumsema hiv kweli jamn waislamu mashekh zetu jamn
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Mbona Bachu humwambii
@faridahmed6296
@faridahmed6296 Жыл бұрын
Makhurafi mwajulikana kugauza manaa na kuongeya manaa.
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 Жыл бұрын
wewe unakubali Mtume atawekwa ktk Arshi ya Allah!!!au nini hujafahamu hapo?kuna kufru kuliko hiyo
@ibraa1157
@ibraa1157 Жыл бұрын
Huyu bachu hana jipya yeye ni kujipiga kifua tuu na kupayuka kupotosha umma tu ...Allah Amsamehe mana anako kwenda sipo na haambiliki
@MussaYasini
@MussaYasini Жыл бұрын
Haha maskin makhurafi acheni kuetetea nakushabikia upotevu mh hiv hapo kitugan haswa kaongea kama dalili yakudhibitisha alichokikanusha bacho!?
@AmirMbuyu
@AmirMbuyu Жыл бұрын
Hadi inafikia mtu kuitwa JAHLI kwa hitlafu ya MAULID...EEH ALLAH MTUKUFU TUJAALIE KUIJUA HAKI NA KUIFUATA TUEPUSHE NA UZUSHI YAAA RABB
@abuushakiraddausiy8666
@abuushakiraddausiy8666 Жыл бұрын
Hunapwentii bana watafuta umaarufuuu hunatofauti na yule mzee wa majazi
@malikikibarua9306
@malikikibarua9306 Жыл бұрын
Haji huna ilimu yakumkosoa shekh bachu msitunge tunge mtaulizwa siku ya mwisho
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
NA kuelewa sana shekh ❤❤❤❤❤tena unamuweza bachu kama kule mombasa 😂😂😂
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
Hupitwi maryam, hongera yako ALLAH akubariki
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
@@Ahmadasshii-raazy8888 😂😂😂upo kumbe ostaz
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Жыл бұрын
SHEKHE HIVI UMEFIKILIA KABLA HUJAONGEA AU
@SwafiyaAlhussein
@SwafiyaAlhussein 6 ай бұрын
Mashekhe jamani sasa imekua ni kujibizana kwa mitandao kwa nini hamuekani uso kwa macho ?
@MussaYasini
@MussaYasini Жыл бұрын
Makhuraf acheni ushabiki hii nidini hiv daliligan hapo kaitoa kuthibitisha yale bacho alio sema kua niongo??! Mh allah atuongoze kuifuata sunnah na kuachana na bidaa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Bachu katanguliwa na mwanachuoni gani akasema kuwa ni uongo?. Bachu si ndio aliosema kwenye mnaqasha wa MAMBRUI kuwa hakuna mwanachuoni aliosema kuwa ni uongo wala hajaona yeye, ILA KAONGEA KWA SHAHAWA ZAKE, SASA KAMA SHAHAWA ZAKE NDIO DALILI KWENU MAWAHABI BASI SAWA😁
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Sheikh Muhammad N Bachu atasikilizwa mpaka kifwa Kwa ukweli wake.
@jumafaki2891
@jumafaki2891 Жыл бұрын
Hivo wewe hufahamu kua bachu ni mgonjwa wa akili umekaa ati bachu atasikilizwa Mpaka kiama bachu Hamna kitu hajui hata hukumu za Hadith ni dude lipo tu na makelele mengi basi
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 Жыл бұрын
Muhammad Bacho chizi
@AbubakarShelali
@AbubakarShelali Жыл бұрын
Shukran sana al akh umemnyoosha vzr mashaallah lkn ilikuwa vzr umuachie ustadh said maana akisikia jina la ustadh said hasimami
@mwanakheri2880
@mwanakheri2880 Жыл бұрын
Mpaka mikojo ilimtoka
@hassanimuhammad777
@hassanimuhammad777 Жыл бұрын
SIKUZOTE ANAE ZUNGUMZA UKWELI HUITWA MWEHU. ILO SI AJABU KWA WATU WASUNNAT KUPOKEYA MATUSI. NYINYI NI WATU WA UZUSHI NYINYI SI AHLI SUNNAT ACHANI KUJIWEKA SEHEMU MUSIO IPENDA UJIITE MTU WA SUNNAT NA WEWE HUTAKI SUNNAT .
@hawasheha8520
@hawasheha8520 Жыл бұрын
muche kutukanana hamna ushehe
@hashimshaban914
@hashimshaban914 Жыл бұрын
Kwa uislaam hakuna wa haabi wala maulidiyyi ni kufata quran na sunnah ya mtume swa Pia weewe ugopa Allah wee hajji na pia kua na ikhlaas huna ikhlaas kwa maneeno yaako tafuta ilmu Miimi sisapooti mtu yeyoote katika nyiinyi
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 Жыл бұрын
Mtume atawekwa kwenye Arshi?haya maneno hayajasemwa na huyo Sheikh wenu?
@ibnuhajartvonline2448
@ibnuhajartvonline2448 Жыл бұрын
Na SISI wasikilizaji. Pia tunahiji Kwa sheikh Hajji. Je KUMZULIA MTUME. Sio katika madhambi makubwa?
@Dr.Malik_Elkindy
@Dr.Malik_Elkindy Жыл бұрын
Nafkiri rada ya wanavyuoni alowatusi ishampata
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 6 ай бұрын
tatizo lenu hamjitambui mnalazimisha maneno ya watu kuwa kweli ya mungu punguzeni sifa kwahiyo Adam alimswalia Muhammad vitu vingine tumieni akili nionyesheni nabii aliyemswalia Muhammad punguzeni utahira
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Жыл бұрын
Katika maisha nimeyaelewa makundi mawili ndo yenye kuuchafua uislamu.Kundi la Masufi na kundi la Mashia.Makundi hayo yote wanapenda kuzichafua ibada alizotufundisha Mtume wetu na kuweka zao remix ilikuzichafua ibada tulizofundisha na Mtume Muhammad ().
@rashidsuleiman9253
@rashidsuleiman9253 Жыл бұрын
Kuna kundi moja umelisahau. kundi la Mohammed Abdulwahab
@AbuSahilHafidh
@AbuSahilHafidh Жыл бұрын
Sh said kwann usende moja kwa moja juu ya alichokisema sh bachu kuhusu mahari je kapatia ama kakosea ili kma kumraddi umraddi hapa coz hapa ndipo alipoogelea yeye
@HombeloZabron-ki9xo
@HombeloZabron-ki9xo Жыл бұрын
Bona na kajibu hayo nimane ya wanavyuoni kuhusu ya kweli au c yakweli hayo hajacbiti ya hayana manufaaa kwetu waislam ukiyakubali sawa ukiyakataa sawa Mana hayaaneno ni wanachuoni hamna Mana yakumgobeza anaye kubali na kukataa
@MussaYasini
@MussaYasini Жыл бұрын
Mbn sijaskia inatolewa dalili hapo yyte yakupinga alio yasema?!
@HassanSalum-w5v
@HassanSalum-w5v 3 ай бұрын
Wewe haji upepo wewe mm nakufahamu vizuri msikiti wa nyumba 2 hata hutba kuipanga hujui labda uzushi ndio unaufahamu sufi wewe usufi ni uchizi
@faridahmed6296
@faridahmed6296 Жыл бұрын
Mohamad bachu muache njoo kwangu. Shk huja
@KhatibKhamis-ig8hk
@KhatibKhamis-ig8hk 6 ай бұрын
ILIKUAJE UKAMUENDEKEZA IBRAHIM YY ANA CHETI KIPI ?
@giltaemi4017
@giltaemi4017 Жыл бұрын
{ هُوَ ٱلَّذِیۤ أَنزَلَ عَلَیۡكَ ٱلۡكِتَـٰبَ مِنۡهُ ءَایَـٰتࣱ مُّحۡكَمَـٰتٌ هُنَّ أُمُّ ٱلۡكِتَـٰبِ وَأُخَرُ مُتَشَـٰبِهَـٰتࣱۖ فَأَمَّا ٱلَّذِینَ فِی قُلُوبِهِمۡ زَیۡغࣱ فَیَتَّبِعُونَ مَا تَشَـٰبَهَ مِنۡهُ ٱبۡتِغَاۤءَ ٱلۡفِتۡنَةِ وَٱبۡتِغَاۤءَ تَأۡوِیلِهِۦۖ وَمَا یَعۡلَمُ تَأۡوِیلَهُۥۤ إِلَّا ٱللَّهُۗ وَٱلرَّ ٰ⁠سِخُونَ فِی ٱلۡعِلۡمِ یَقُولُونَ ءَامَنَّا بِهِۦ كُلࣱّ مِّنۡ عِندِ رَبِّنَاۗ وَمَا یَذَّكَّرُ إِلَّاۤ أُو۟لُوا۟ ٱلۡأَلۡبَـٰبِ } [Surah Āli-ʿImrān: 7] Allah alisha maliza zani mizozo kama hiii. Allah amesha weka wazi kwamba katika dalili zake zipo zilizo za waziwazi na za utata ndani. Na wale wenye upotofu mioyono mwao ndo wanafata utata utata kutafuta fitina.
@KidijeiNuru
@KidijeiNuru Жыл бұрын
Mjibuni kielimu hatutaki maelezo. Maelezo pelekeno polisi, mafisadi wa dini nyinyi
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Sio lazima ufuate bachu laa ikrah fii dini..muhimu ujumbe umeupata..
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Hawa watu wa tarika uwongo wameuweka mbele,wacheni kumkufuru Allah,msimzulie Allah uwongo,Hilo ni kosa kubwa,msitake kumshirikisha Allah na binaadamu,keshasema hana mshirika,wacheni unafiki,wewe bado ni kitoto,kuwa kwanza halafu tena,naona mapema
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 Жыл бұрын
Bachu rudi shule tafadhari kila siku unazidi kuumbuka
@MohdKhamisSoud
@MohdKhamisSoud Жыл бұрын
Masufi kadhaabuun
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
حقيقة مهر سيدنا آدم لأمنا حواء جاء في “المواهب اللدنية” للقسطلاني وشرحها للزرقاني ” ج 1 ص 25″ أن الله ـ سبحانه ـ لما خَلق آدمَ خلق له حواءَ من ضِلَع من أضلاعه اليسرى وهو نائم فلما استيقظ ورآها سكَن إليها ومدّ يده إليها فمنعته الملائكةُ حتى يؤدِّي مهرَها، فقال: وما مهرُها؟ قالوا: تصلِّي على محمد ـ صلى الله عليه وسلم ـ ثلاثَ مرات. وذكر ابن الجوزي المتوفى سنة 795هـ في كتابه “سلوة الأحزان” أنها لما سمعتْ كلام الملائكة طلبت مَهرها من آدم، فسأل ربَّه كم يُعطيها؟ فقال: صل على حبيبي محمد بن عبد الله عشرين مرة، ففعل، وجاء في بعض الروايات أن اللهَ زوّجه إيّاها وخطب في ذلك خطبة
@salumsimba693
@salumsimba693 Жыл бұрын
Swali la msingi huu ushahidi NI wa KWELI au USHAHIDI TU KUTOKA KATIKA KITABU
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Kweli kabisa na tena sio hii peke yake Riwaya ziko nyingi. Ni uzuri tukisoma elimu na tukitaka elimu mpaka tuyende tukae chini tusomeshwe lkni kama ni hapa kwa nitandaoni hamna kitu
@BinBadru
@BinBadru Жыл бұрын
Cc tunataka koran au hadith hatutaki rai za mtu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Huku ndio kupotea wewe tukikuuliza wataka Quran na Hadithi unayo Aya ya Quran au Hadithi inayo sema haya maneno sio kweli? Alafu ndugu yangu Elimu huwezi kuijua lazima upitie kwa wanazuoni. Na kama unavyo sema hutaki rai za mtu basi na shekhe wako usikae kumsikiza si ni mtu?
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@salumsimba693 SUALI LA MSINGI NI HILI @ WANACHUONI WOTE WALIOTEGEMEWA HAWAKUPINGA NA WAMEIONA NA WAMEIPOKEA RIWAYA HII INGAWA HAIKUWA KATIKA MEZANI KAMILI @ JEE UTAWAFATA WANAVYUONI WEMA KUPOKEA KAMA ILIVYO NA UKWELI WAKE UMUACHIE ALLAH SW AU WEWE UTAPINGA ILI UWENDE KINYUME NA WATANGULIZI WOTE?, NA JE UKIPINGA, UNAYO DALILI YA KUSEMA HII NI UONGO?
@faridahmed6296
@faridahmed6296 Жыл бұрын
Wewe hukuja na hoja moja umepawa maneno yote muliyo nayo ya hayaa zenu.
@faridahmed6296
@faridahmed6296 Жыл бұрын
Hakuna kutawasal kwa watu munawo wataja adulljadir jela I na wengi neo mungu yuwapekweshwa pekee yake tawasal Kwake allah hali
SHEIKH SAID ATOA SOMO JIJINI DSM, MTOTO WA BACHU USIPOELEWA HAPA BASI
19:54
MAJIBU KWA KIBARAKA WA QASSIM MAFUTA JADIDA HASSAN WAZIRI || Muhammad Bachu
1:06:29
RADDI NA NASAHA KWA BINTI WA KIWAHABI || USTADH HAJI UPEPO حفظه الله
21:03
BACHU KIMEMRAMBA TENA MWANAMKE AENDELEA KUMTIA DARSA ZANZIBAR
13:46
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 10 М.
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 55 М.