Makosa Yanayopelekea Vifaranga Wengi Kudumaa

  Рет қаралды 17,653

Kuku Village

Kuku Village

Күн бұрын

Habari, Mwana Kuku Village leo ninakuletea mambo mbali mbali yanayopelekea Vifaranga Wengi kudumaa hivyo kuathiri Ukuaji, uzalishaji na hata faida katika biashara ya ufugaji.
baadhi ya mambo hayo ni pamoja na
1. Kuchanganya Vifaranga Wa umri tofauti
2. Chakula kuwa Na ubora hafifu
na mengine mengi fuatilia mpaka mwisho karibu.....

Пікірлер: 10
@jaclinelaurence7931
@jaclinelaurence7931 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu
@saidhamisi2795
@saidhamisi2795 3 жыл бұрын
Asante Sana mafunzo yako mazuri
@priscaabdallah3236
@priscaabdallah3236 2 жыл бұрын
Asante kwa darasa zuri Mungu akubarki. Nikweli ufugaji unachangamoto nyingi wengi huwa tunakata tamaa
@tabumussa6705
@tabumussa6705 3 жыл бұрын
Tunateseka sana wafugaji
@neemainabikorwa5570
@neemainabikorwa5570 3 жыл бұрын
Asante sana
@linamacha7686
@linamacha7686 3 жыл бұрын
🙏🙏
@willibardtungaraza4643
@willibardtungaraza4643 3 жыл бұрын
Je nikiitaji vifaranga njian rahis ni ipi
@KukuVillage
@KukuVillage 3 жыл бұрын
Tupigie 0621063255
@tabumussa6705
@tabumussa6705 3 жыл бұрын
Tupe kaifa
@johnparesso8606
@johnparesso8606 2 жыл бұрын
Samahani naomba kujua kuku chotara(croillers) 500 tangu wakiwa vifaranga wa siku hadi kuanza kutaga watatumia gharama gani kwa chakula na chanjo?
Njia Za Kupunguza Gharama Za Kulea Vifaranga Wa Kienyeji Mpaka 3%.
11:13
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 58 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 4 МЛН
KUTOKA CANADA NAKUANZA UFUGAJ     ufugaji unaIipa usiKate tamaa
8:22
Mutafarm TV
Рет қаралды 3,3 М.
IJUE HILL FARM TANZANIA KWA UNDANI ZAIDI
29:07
Hill Group Tanzania
Рет қаралды 7 М.
MTEJA AKABIDHIWA MASHINE YA KUTOTOLESHA MAYAI YA KUKU ZAIDI YA 1000
11:29
JINSI YA KUKAGUA MAYAI YENYE MBEGU
4:13
Ask Incubators Tz
Рет қаралды 19 М.
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН