MAKUBALIANO YA SIRI YANAYO FICWA KUHUSU SEREKALI YA CONGO NA CORNEILLE NANGAA

  Рет қаралды 23,317

Tanganyika TV

Tanganyika TV

Күн бұрын

Пікірлер: 169
@Deborahzabusu
@Deborahzabusu 2 ай бұрын
Ni kweli❤❤❤uko mwana siasa wa kweli
@MusacarahOlivier
@MusacarahOlivier 2 ай бұрын
Thanks you so much my friend UNAONGEA ukweli kabisa Sasa Congo Ayo ni MUNGU tu 😢
@TchikomaLazar
@TchikomaLazar 2 ай бұрын
vizuri kaka niko goma
@SardouMutund
@SardouMutund 2 ай бұрын
Merci pour la revelation
@BlaiseLwamba
@BlaiseLwamba 2 ай бұрын
Toka kalemie Tanganyika mimi ni Blaise, aksanti sana ndugu Omari.
@JulesMusangila
@JulesMusangila 2 ай бұрын
Félicitations uko naongea kueli buana unaonekana kueli ukona utshungu wa intshi kueli munge patikana watu hâta kumi kamawewe Ndani yamuji hu kemi ingekuwa muzuri merci
@deokoyantarugera
@deokoyantarugera 2 ай бұрын
Ahsante bwana! Maongezi mazuri saana! Vive Tanganika tv
@emmanuelamonique7308
@emmanuelamonique7308 2 ай бұрын
Bon sujet monsieur les journalistes
@mulondalwessorocky
@mulondalwessorocky 2 ай бұрын
Kwa kweli mpendwa unayosema ni kweli
@ElishaMunguakonkwa
@ElishaMunguakonkwa 2 ай бұрын
Hiyo ni kweli mpendwa muzalendo mwenzangu
@SaidNgozi
@SaidNgozi 2 ай бұрын
Brother Abari za Asubuhi unacho zungumza niukweli mtupu pamajo nakua kiswahili kinakusumbua Ila unaongea point, kabisa chamsingi D.R.C hamna Uongozi,kiongozi kama yule hana xifa yakua Rais.pole xana Ila Uwe Makini maana Ukweli wako Unaweza kukuponza kwenye serekali kama hiyo ya najambazi Ahsante
@odettekamanzi4842
@odettekamanzi4842 2 ай бұрын
Asante sana. Naomba wa souscribers wakjfawate. Uko na analyse nzuri sana.
@African_001
@African_001 2 ай бұрын
Asante sana ndugu yangu alakini nina swali moja ba Congolese habaone kama inatosha kuwa muaiyi maisha
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 2 ай бұрын
Asante sana ndugu blaise
@MichelOmbaOKITO
@MichelOmbaOKITO 2 ай бұрын
MERCI SAANA NAZAIDI
@alimasikambale7529
@alimasikambale7529 2 ай бұрын
Merci beaucoup
@BinMasengo
@BinMasengo 2 ай бұрын
Hayo ndiyo masungumuzo yanahofunvuwa vichwa.Endeleya mwanainchi
@uviranyumbani
@uviranyumbani 2 ай бұрын
Merci sana bro vraiment ivi pouvoire ya ba tchilombo iko na ma problems sana
@MutulaSafari
@MutulaSafari 2 ай бұрын
@@uviranyumbani Auwezi ji uliza kwanini aongelei kuusu Joseph kabila alie changanya Maskari wa Rwanda 🇷🇼 na wakongo? Huyo jamaa anaongea kama vile ni wale waliletwa na Na Mzee laurant
@hudumablack9339
@hudumablack9339 2 ай бұрын
Pamoja sana brother 🙏
@NshamambaEvariste
@NshamambaEvariste 2 ай бұрын
Nakukubali Ku masemo Yako!
@odettekamanzi4842
@odettekamanzi4842 2 ай бұрын
Aksanti sana. Unasema vizuri sana
@lambertlundambo5196
@lambertlundambo5196 2 ай бұрын
Jambo ndugu , Ni mefurahi sana na kipindi chako ya leo, ivi na kuwa abonné kwako. Yote unasema ni ukweli, na sema asanti sana na kazi unafanya.
@felixmkl3851
@felixmkl3851 2 ай бұрын
Siasa ya uwongo kwa niaba ya wananchi ni ukorofi, usaliti mkubwa sana...✓😎
@UzimaMuside
@UzimaMuside 2 ай бұрын
Bwana mutangazaji tunakushuku kwakutu ambia ukweli président wetu anajuwa Copé iyi
@PatchoKulu
@PatchoKulu 2 ай бұрын
Una sema vizuri sana kabisa.
@JordanMurara
@JordanMurara 2 ай бұрын
He speak the truth about this gouvernement
@mbonihankuyeclaudemichel7019
@mbonihankuyeclaudemichel7019 2 ай бұрын
hii ndio mala yangu ya kwanza kukusikia na umeongea vizuli sana! watu wa eastern congo ( nord kivu na sud kivu) musipojitetea hakuna mtu atakuja kuwatetea! mupe support wazalendo alafu nawo wapige m23 bila kusikia maagizo kutoka kinshasa! au moins tusikie nord kivu na sud kivu inaongozwa na wazalendo kuliko kusikia ati inaongozwa na m23. kulialia mbere ya inchi zingine haitasaidia kwasababu hakuna mtu anaitaji machonzi yenu! pale watu wanaweza wasaidia ni burundi pekeake kwasababu hatuwezi kubali m23 isogereye mipaka yetu! kama mtu amevamia ardi (territoire) yako, hakuna mambo za kuomba ruhusa ati marekani ama UN. mupige kabisa alafu nae akisikia kichapo ataenda kushitaki!!
@NshamambaEvariste
@NshamambaEvariste 2 ай бұрын
Vos analyses son fondées!
@ndayishimiyejean6262
@ndayishimiyejean6262 2 ай бұрын
Mukongomanii anaonaonambali nakuombeya maisha marefu
@stephanengongo7744
@stephanengongo7744 2 ай бұрын
Mara yangu ya kwanza kukufata aksanti sana ndugu yangu kazana vilevile na mungu akulinde
@EustacheBikari
@EustacheBikari 2 ай бұрын
Hiyo ni kweli hatuna president kbs haangaliye interet za population mawazo yake nisawa ya president waburundi wa congomani tusimame tuseme hatuna president nikupola tu
@BarazaFaraypapy
@BarazaFaraypapy 2 ай бұрын
Bro nimekupenda sana jikaze Wende soma mu Russie wenda putine anaweza kusaidia ukarudia kutengeneza inchi
@RushimishaBienvenu
@RushimishaBienvenu 2 ай бұрын
Merci beaucoup courage
@alainkiza9733
@alainkiza9733 2 ай бұрын
Salute mzee kwa uchambuzi
@MazimpakaJeanmare
@MazimpakaJeanmare 2 ай бұрын
Usichoke enderea kuwafundisha wacongomani mwisho wataerewa
@DoksJules004
@DoksJules004 2 ай бұрын
Jambo ndugu ni mara ya kwanza kikufata mungu akubariki.
@JonathanMukuna-x8h
@JonathanMukuna-x8h 2 ай бұрын
Duku,asantesana,apanafa,tayote,unasema,apa,Nikokatanga,asati
@dollarskatembobob8896
@dollarskatembobob8896 2 ай бұрын
And I gotta subscribed your channel bro God bless you 🙏
@buregeyaahadi1401
@buregeyaahadi1401 2 ай бұрын
Asante sana ndugu
@DavidDavid-i4j
@DavidDavid-i4j 2 ай бұрын
Iyon kweli kabisa ndugu yangu mukongo mani njon adui yeah mwezake mukongo mani iyon njon point
@MazimpakaJeanmare
@MazimpakaJeanmare 2 ай бұрын
Pore sana ndugu yangu Congo inahitaji Wana mapinduzi kama wewe dawa ni kuwa na Rais anayetanguriza Congo kwanza sio wezi Marais wote wariotawara Congo
@PicOiseau
@PicOiseau 2 ай бұрын
Bien parlé merci votre numéro svp bonne journée
@JonasAmisiheradi
@JonasAmisiheradi 2 ай бұрын
Nime kusali Tokea Lubumbashi
@djomfamfaume4341
@djomfamfaume4341 2 ай бұрын
Kweli husemwa.Unayosema akuna wakuyapinga mtangazaji.
@jean-marieyamba5397
@jean-marieyamba5397 2 ай бұрын
kweli ndugu tuko nweye! feelix ni mwehu
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 2 ай бұрын
Nafkiri umeongea vizuri Ndugu!!!!!
@delphinmabilo6579
@delphinmabilo6579 2 ай бұрын
safi sana
@EdoBahati
@EdoBahati 2 ай бұрын
Bonsoir à tous,kaka uko nasema kweli.
@kambaviva4980
@kambaviva4980 2 ай бұрын
Haujui fafanua habari. Wende🎉ujifinze Tena namna ya kufafanua habari
@KandundaoMundeke
@KandundaoMundeke 2 ай бұрын
Tuongeye maneno ya kuimarisha amani ya kudumu ya inchi yetu hapana tena maneno ya kusemasema maneno yabila tena ukomo ya amani leo.
@FranciscoVolovich-x3v
@FranciscoVolovich-x3v 2 ай бұрын
Ile njo kweli kabisa kazana mukubwa
@kambaviva4980
@kambaviva4980 2 ай бұрын
Wewe🎉eleza hayo makubaliyano ni gani. Il ne faut pas terv..
@NyakuzaYolande
@NyakuzaYolande 2 ай бұрын
Si réellement comment nos frontières sont libres l,udps vraiment nous sommes déçu Fathsi premier complice '
@DavidDavid-i4j
@DavidDavid-i4j 2 ай бұрын
Congolein njon adui wamezake mukongomani ndugu yangu
@jamesbigaya1578
@jamesbigaya1578 2 ай бұрын
👍👍👍
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 2 ай бұрын
Hasante sana Traore 2 wa Kongo
@lwangacharles7514
@lwangacharles7514 2 ай бұрын
Aca wongo . Rwanda haiko kwenu . Tshilombo aliwadanganya .
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 2 ай бұрын
Unawashwa kuma.
@omariselemani6578
@omariselemani6578 2 ай бұрын
Wakongomani hawajui siasa na kama wanajua , si wazalendo Pia kuongoza nchi sio hadi usome sana no waweza kuwa na elimu kidogo na ukaongoza watu isipokuwa ni kuwa mzalendo
@NsamambaKisenge
@NsamambaKisenge 2 ай бұрын
Wewe mwongo, n'a uchambuzi Yako,
@levimukwiza1582
@levimukwiza1582 2 ай бұрын
Inchi inaenda Vibaya chambo yako mon fils Jounaliste.
@kasongoJacques-ee2je
@kasongoJacques-ee2je 2 ай бұрын
Soyez patriote soyez congolais
@Patrick-n2u
@Patrick-n2u 2 ай бұрын
Duuuh!! Mnamitiani wacongo tatizo kila mmoja anajiangalia kibinafsi
@mrhayaaa4194
@mrhayaaa4194 2 ай бұрын
ni macozi kwangu!! what a waste of useless leaders.
@MunangakayotoAmuri
@MunangakayotoAmuri 2 ай бұрын
Akanti ndugu yangu, maonyi yako niya lazima kwa wa ngongomani wote.
@mbayomaiko
@mbayomaiko 2 ай бұрын
Niwambie kitu ndungu zangu wote mnao fuata hii taharifa kagame alifanya kazi kubwa sana pamoja na wamarecani ili kutuendesha kwatahari zauwongo unajuwa kwamba ukitaka kumuhuwa mbwa wako mpe jina mbaya ndo kazi wanayo fanya kwa ajili ya Tchisekedituweni makini ungekuwepo pale leo ungekuwa tayari wamesha kukata kichwa bro
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 2 ай бұрын
Kuma ya mama yako
@mbayomaiko
@mbayomaiko 2 ай бұрын
@@Kulimagolddrc bro najuwa wewe ni mnyarwanda nahongrlea waKongo wenzangu atakae nielewa atajuwa nacho kisema kwahiyo wewe kama unakuja kijifanya matusi kwakuwa wewe ni mnyaranda broo aunisumbui ninachojuwa mimi siko marecani bure udongo huo paka damu yamwisho ndo atapitikana mshindi
@sebihogoChristophe
@sebihogoChristophe 2 ай бұрын
Unasema ukweli baba
@PalukuRigobertKanzokolo
@PalukuRigobertKanzokolo 2 ай бұрын
Akili timamu unayo ndungu.Ufafanuzi ni Bora .
@djumaadrien2793
@djumaadrien2793 2 ай бұрын
🎉
@opangobrunoduciel6152
@opangobrunoduciel6152 2 ай бұрын
Uyo diama onaongeya lakini Nanga action anafanya ju inamutia kama m23 because the friend of your enemy is your enemy.
@sendeesupriydewoochiagaliy7474
@sendeesupriydewoochiagaliy7474 2 ай бұрын
Viogonzi wa Congomani ni vibaraka Vijana amukeni!!!
@AbasiNazo
@AbasiNazo 2 ай бұрын
Mipaka haifungwi kwasababu serekali haijuwi kama kun a vita
@uwimanaissa8755
@uwimanaissa8755 2 ай бұрын
Tribalisme , corruption , nepotisme njo binaua Congo .
@NtahoZuberi
@NtahoZuberi 2 ай бұрын
Tupekweli omari traore nipe nambazako nitume ukuu wa africa
@SaidNgozi
@SaidNgozi 2 ай бұрын
Jamaa nimfanyakazi,kwajina lingine nikibaraka wa wazungu yey,kgme,na m7 wote ni Magang,star niwezi
@ratohabi6459
@ratohabi6459 2 ай бұрын
Mukubali kabila la banyarwanda kama ni raia ya DRC kama bengine. Matatizo itaisha.
@dollarskatembobob8896
@dollarskatembobob8896 2 ай бұрын
Nimekubaliana nawe moja kwa moja mwamba.
@alainkiza9733
@alainkiza9733 2 ай бұрын
Ba kinoit banatuitaka sie ba Kivu tuko ba Rwandes main isingelikuwa bazalendo kama Congo ilasha enda
@AlbertKAGANDALUSHUMBA
@AlbertKAGANDALUSHUMBA 2 ай бұрын
Il faudrait que la Diaspora congolaise depose une plainte vs Felix Antoine tshisekedi tshilombo pout enrichissement illicite, Detournements et assassinats des congolais.
@NyakuzaYolande
@NyakuzaYolande 2 ай бұрын
Sasa ile mafuta wana chimbula wapi?
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 2 ай бұрын
Ziwa albert
@lwangacharles7514
@lwangacharles7514 2 ай бұрын
Mutafungua maco siku gani ? FDLR muna iweka kwenu na interet gni???
@kasongoJacques-ee2je
@kasongoJacques-ee2je 2 ай бұрын
Ukufunga Batu y'a Goma baata kufa
@danielaugustin2754
@danielaugustin2754 2 ай бұрын
Shida ni kwamba, kuko udhaifu wa wafanya siasa wa Congo, akuna wa kumwambia Felix moja, mbili uachie madaraka(demissioner).
@NdayishimiyeJacques-e6z
@NdayishimiyeJacques-e6z 2 ай бұрын
Nisirigani?
@PacifiqueKulondwa
@PacifiqueKulondwa 2 ай бұрын
Basi afanye nini yeye mwizi mukubwa,aliiba kura zake fayulu Martin, inchi gani duniani kura za ucaguzi zidumu jumaa pia vyombo viketi nyumbani mwa mutu?
@alphavet6912
@alphavet6912 2 ай бұрын
Speculations
@LumumbaRemy
@LumumbaRemy 2 ай бұрын
Nilibambiaka systeme Kilombo ndi anatumalizaka. Wote ni wa AFC/M23 na Felix ndie kiyongozi wawo.
@degratiasse
@degratiasse 2 ай бұрын
Unastahili ile poste, sasa kule kwenu kinshasa munaikaliya kuongeya alakini hakukuwake réaction, sisi tuko nateseka uku ku EST ya RDC. Mushaka shindwa kutshuka ku barabara nakusema NON et STOP kwa vita ambaye iko napitika uku kwetu ku EST?
@alphavet6912
@alphavet6912 2 ай бұрын
Chisekedi... Kwanini hataki kuzungumza na waasi wakati hao waasi Wana nguvu za kijeshi.kulko yeye.?? Je anangojea washike nchi yote ???
@MutulaSafari
@MutulaSafari 2 ай бұрын
Wewe ni zaidi ya mchawi
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 2 ай бұрын
👊🏻
@delphinmartial07
@delphinmartial07 2 ай бұрын
Usiongelee mambo ya Congo kama hauko emo
@levimukwiza1582
@levimukwiza1582 2 ай бұрын
Ça fait 64 ans Conco inajitawala. Hatuna balabala hatuna masomo hatuna Courant hatuna maji hatuna meandered yoyote. Lakini wimbo tu ni RWANDA INATUVAMIA. Tribalisme inapita kipimo srt à L'EST du pays. Tosha blancketi ku macho yenu tujenge nchi kwa umoja ndipo tutapata maendeleo.
@JeromeMunyangeyo
@JeromeMunyangeyo 2 ай бұрын
Kisengiti anatumikia mumakwapa yakangame na museveni nakabila enibi kubuka hiyi nipronglama minanfasa nonasisi wacongo mani natukolona kuyungands na Rawanda mwanzo nikabila kisengeti ni photo
@Lavieka
@Lavieka 2 ай бұрын
Kwa nini, haku sema hapo mbele, kwa sababu hana tena madaraka anapenda sasa tukubali nini hapo… 2028 njo final.
@JeanBaraka-pu5xo
@JeanBaraka-pu5xo 2 ай бұрын
nikweli.ndugu.njovile.serekali.ya.bwizi.tu
@jafaricharles2975
@jafaricharles2975 2 ай бұрын
Unasema kueli kabisa kabisa
@KB-rd9vg
@KB-rd9vg 2 ай бұрын
🛑🛑🛑Ukweri kabisa. Hatuna President
@JeromeMunyangeyo
@JeromeMunyangeyo 2 ай бұрын
Pronglame mafuta ya unganda kubuka vitayeyi irikuwandemirisisi kwenye bahali turiunjishewa nakabila kubu barimarizishindazawa zamafuta ndiyo hauwaziku njuamambo ya mafuta iranimunca waripangakuchezza unganda ndiyo inantese congo ndiyokwenyi vitairitokeya
@lwambafataki5880
@lwambafataki5880 2 ай бұрын
Je, siku ambayo utakuja kuelewa ukweli kwamba serekali kumbe haikuweza kufanya makubaliano na AFC ya akina Naanga utasimama na kutuambia kuwa kwakweli ulikuwa uwongo?
@didierilombe5572
@didierilombe5572 2 ай бұрын
Kweni wewe kwa akili yako unahona que inchi iko ina henda pazuri? Ao ni mateso tu . Kwani falix iko na tengeneza inchi ao kina bomowa inchi. Santiment ita watesa . Mutakufa hivyo hivyo katika mateso.😅
@JeromeMunyangeyo
@JeromeMunyangeyo 2 ай бұрын
Pronglame mafuta ya unganda kubuka vitayeyi irikuwandemirisisi kwenye bahali turiunjishewa nakabila kubu barimarizishindazawa zamafuta ndiyo hauwaziku njuamambo ya mafuta iranimunca waripangakuchezza
@adolphyamin1245
@adolphyamin1245 2 ай бұрын
Il y a la diplomatie qui est privilégiée dans cette agression injuste du Rwanda sur la RDC, joseph Kabila ndiye mtu pekee ambaye aliacha inchi katika mikono ya Rwanda (accord 2009 confirmé en 2013) ndio maana Colonel Mamadou aliuawa kusudi aache kupiga m23 sababu accord ilikuwa tayari kati ya Kabila na Rwanda. Tshisekedi alikiuka zile accord ndo sababu m23 walianza vita tena sababu Tshisekedi aliamuwa kupinga accord za Kabila na Rwanda anataka ku libéré inchi par les solutions diplomatiques ndomana iko pole pole sana. Iyi chaîne iko naongelea Tshisekedi vibaya lakini tatizo ya Congo sio tatizo ya Burkina Faso wala Mali... Kabla yakulaumu raisi tujifunze kujua Congo iko na tatizo gani na ilianza wakati gani
@buregeyaahadi1401
@buregeyaahadi1401 2 ай бұрын
Swali yangu ni FAIDA GANI ITAKAYO LETWA NA M23 MU CONGO YETU
Jeshi la DRC lathibitisha kuchukuliwa kwa mji wa Bunagana.
30:04
VOA Swahili
Рет қаралды 22 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
DRC CONGO: YALIYO TOKEA KWENYE MAKAZI YA RAISI MSTAFU JOSEPH KABILA
24:31
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
DONTA TV
Рет қаралды 1,7 МЛН
Ni nde ushobora kuzatsinda intambara ya Israel na Iran?
14:13
TV1 Rwanda
Рет қаралды 25 М.
What is Turkey's agenda in Africa?
10:51
GZT
Рет қаралды 171 М.
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24