Natowa pole kwa wandugu zangu wa Baraka. Mungu azidi kuwa tianguvu kwahii changamoto za maisha munazo pitia. Niko na tumaini mutapata msaada mdaa sio mrefu. Nawapenda Sana
@ramsonmwenetango83527 ай бұрын
Poleni Sana ndugu zangu kwa ili janga lililo wafikia, mungu awafanyie upesi, I'm so proud of my 4fothers tribe, and I wish to visit this historic land, iyi inchi inapaswa kuongozwa na mbembe otherwise nothing will come through
@lunangabenjamin31217 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu yote hayo ni changa moto za maisha ila haifai kukata tamaa.mzidi kupambania maisha yenu kitu chalazima sana maishani.dada umesema jambo lamaana sana tatizo ni serikali na siyo nyinyi serikali nyingi za ki africa ni mbovu sana na waongo wezi wanapenda rushwa kuzidi hata ngono.kwanini kutegemeya mtu aliye marekani na inchi za mbali na viongozi wapo hapo hapo. Ivi kwanini mlipe kodi?mama yemo shule yangu ya msingi,na mwenge wa taifa.ipo siku nitafika baraka,kujikumbusha mengi.❤
@didierilombe55727 ай бұрын
Poleni ndugu zetu wa baraka bana ba m'senge .
@ClaverSelemani7 ай бұрын
Poleni sana ndugu zng 😢😢
@YoungKiller-un5jq7 ай бұрын
Poleni sana aisee😢🇨🇩🇨🇩
@suzanne95177 ай бұрын
Poleni sana wa ndugu zetu
@Floribert57 ай бұрын
Lazima Kisekedi ako kama mutu kweli anashinda kuvimba mashavu tu hatuoni sie people bora tutawaliwe na watu wengine ambao wanatupatia amani ya sisi
@JacquesJoseph-rg9kh7 ай бұрын
Poleni sana aisee 😢😢🙆🏾♂️🇨🇩
@imanimulumbilwa60567 ай бұрын
Poleni sana wapendwa
@Floribert57 ай бұрын
Huyo msenge Rais ni mubutu kabisa maana ana kaa Kinshasa tu sisi tuna kufa na maji njaa eti Congo très richer hapana mali ambazo hazina manufaa kwa wanainchi wake ni zanini hakuna kumchagua tena
@alfinmbilinyi59857 ай бұрын
Maji ya tanganyika?Hapo ombeni fidia Tanzania iwalipe maji yake yanaingia kwenye majumba hii ni balaa poleni sana wakongo Tz tunawapenda sana
@Fatima-v9k6f2 ай бұрын
Pole ni san
@BienvenueBisimwa-rn9rn7 ай бұрын
Polenisana
@selemanimichel68197 ай бұрын
Cool
@FilbertKalembe-fy4oq5 ай бұрын
Sasa huu umoja wa afrika unafanya kazi gani au nimafisadi haya ndo majanga wanatakiwa kusaidia ni inshu ya vita tuu ndo wanareta wanajeshi ala majanga kama hayo ndo hawaoni wizi wa madini pole wakongomani