MAKUBWA, MTANZANIA ALIYEGUNDUA DAWA YA UKIMWI AELEZEA CHANZO CHA DAWA HIYO,MSIKILIZE AKIFUNGUKA

  Рет қаралды 27,541

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@daudimwangoka4356
@daudimwangoka4356 2 ай бұрын
Dokiter. Mungu. Akulinde. Utaokoa. Watanzania. Wengi
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 10 ай бұрын
Mama Samia tusaidie mpe ushirikiano mpe kazi ndugu yan gu Msigwa awe waziri wa afya
@JosephJulus-wi6xy
@JosephJulus-wi6xy 4 ай бұрын
Hyo dawa inapatikana kwa Gani
@AnathIssa
@AnathIssa 11 күн бұрын
Emwenyezi mungu mlinde huyu kwa msaada halio huleta nchini mungu tusaidie
@shhjab3621
@shhjab3621 8 сағат бұрын
Na nchi jirani zinapatikana wapi?
@BUYEGILAZARO-dx5ug
@BUYEGILAZARO-dx5ug Жыл бұрын
Hongera nimekusoma,,
@AminaDesgner
@AminaDesgner 2 ай бұрын
Munguakulinde
@jaydjuma8255
@jaydjuma8255 Жыл бұрын
Lakini jamani Africa sis tunalana gani lakini mbona maisha yetu Yana zidi kuzorota sana day by day kisa ubinafsi sana watu wanateketea na watu mpo
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 3 күн бұрын
Nahitaji kukuona 🙏🙏🙏
@SalviusLupenza
@SalviusLupenza 11 ай бұрын
Mungu akulinde Mr msigwa
@wilsonslaa5533
@wilsonslaa5533 7 ай бұрын
Mungu akusaidie San uendelee ivo ivo
@StephanoWiliam-oy5bz
@StephanoWiliam-oy5bz 8 ай бұрын
Namba brother
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Be bless kaka usife moyo kama unsitaji clincl mororogo nitakuoa bei nafuu kabisa weka simu nitakupigia
@masalachifumbo389
@masalachifumbo389 Жыл бұрын
Musigwa ijtahidi dawa yoko saidia watu wapone mambo haha magu biyashala ya dunia watu watalala bila kula
@MackHd-u2r
@MackHd-u2r 10 ай бұрын
Mungu akubarik
@NuruBakari-w7l
@NuruBakari-w7l 3 ай бұрын
Hiyo dawa angeigundua mzungu wala kusingekuwa na kikwazo lakini mwafrika mmmm tutakapotoa taarifa ulimwenguni tunaogopa tutakosa missada kwa hisani ya mareka lakin inshallah tunazidi kumuomba mw MUNGU atie wepesi kwa hilo
@reubenjoram9675
@reubenjoram9675 8 ай бұрын
Hongera sana tumechoka nahisi hali
@FrancineLuciaAssani
@FrancineLuciaAssani Ай бұрын
Jambo ukweli nime kubali somo lako
@ElizabethNdalahwa-x5n
@ElizabethNdalahwa-x5n 11 ай бұрын
Mnaomponda huyu tr ndo mabarozi wa vvu mnatetea matumbo yenu mnafulahia watu wateseke dawa isipatkane na mungu amekataa kamleta huyo kuikomboa dunia.
@DeborahElias-qr7gu
@DeborahElias-qr7gu 17 күн бұрын
Nitumie namba
@mildredsophia7122
@mildredsophia7122 Жыл бұрын
May God preserve you for us. Kuna watu wengi wanatumia HIV kama kitega uchumi na hawataki tiba ipatikane.
@habibahamisi2367
@habibahamisi2367 4 ай бұрын
Dr,selikali hautakubali kukutangaza kwasabababu hawana uchungu na watu wao,lengo lao nikuua nguvu kazi basi wasaidie watanzania toa namba za sim wananchi wanakuelewa,
@JacksonKisiri-w1n
@JacksonKisiri-w1n 7 ай бұрын
Mungu akutete na kukulinda,
@HoneyOdemba
@HoneyOdemba 7 ай бұрын
Naomba namba
@FaustineRobati-v6n
@FaustineRobati-v6n 7 ай бұрын
Usife moto Mr msigwa mungu atakusaidiya
@LemmyJoseph-ye3dp
@LemmyJoseph-ye3dp 3 ай бұрын
Ok
@dignakanje4508
@dignakanje4508 Жыл бұрын
Waafrika tunashida sana.Kumwani mwafrika mwenzeke kwlolote lile nikazi.Hpo angekuja mzungu akatangaza amepata dawa yaukimwi,hyo angepokelewa naangepewa ushirikiano wte mpka eneo angepewa.Namsamahaa wekodi angepewa.Nawananchi wngetangaxiwa nakushauriwa kwanguvu sana walekee hko kwamzungu.Lakini simwamfrika
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 7 ай бұрын
Aende Kwa wazungu wamuuwe
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 3 ай бұрын
Siasa za magharibi na Africa hakuna ni binu na lugha ya biashara. Magharibi watu wafa bona wapinge maarifa kama inamanufaa. Karanga ni lugha ya kudharau kazi ya wengine, toa yako Bure zifanye kazi basi biashara itanoga.
@lilianimachumi4508
@lilianimachumi4508 9 ай бұрын
Mungu asaidie
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Huyu asipoangalia watamuua...ukimwi au virusi vya HIV vilitengenzwa na wamarekani ni biological weapons...lengo ni kupunguza watu ila pili lengo ni kupiga pesa!!!!kuwa makini doctor
@MariaIddy-gg9zf
@MariaIddy-gg9zf Жыл бұрын
Kaka nakuomba kwa mungu uishi milele na mungu akutangulie jamani
@MariaIddy-gg9zf
@MariaIddy-gg9zf Жыл бұрын
Kaka nakuomba kwa mungu uishi milele na mungu akutangulie jamani
@MacrinaMtunguja
@MacrinaMtunguja Жыл бұрын
Kaka naomba namba
@Paskalinaakonaay
@Paskalinaakonaay Жыл бұрын
Mungu akutunze sanaa
@geofreymulei5695
@geofreymulei5695 9 ай бұрын
Wacha kujianika bro watakuua
@rehemasuwedi7653
@rehemasuwedi7653 8 ай бұрын
Toa tiba watu wapone mungu hamekuonyesha husaidie
@SubiraMgelwa
@SubiraMgelwa 8 ай бұрын
Dr.naomba namba
@AnnaNdimbo
@AnnaNdimbo 3 ай бұрын
Naomba namb yk plz
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 10 ай бұрын
Angalia ndugu yangu Msigwa wasije wakakupoteza maana wazungu ni waongo sana mitishamba ndio dawa Bora duniani
@isaacashel3328
@isaacashel3328 10 ай бұрын
😢jaman tupeni hiyo vvu inatesa atali kwakweli
@kamugishaurban1995
@kamugishaurban1995 Жыл бұрын
dokita je una hospitar yako?
@UmutuTz
@UmutuTz 10 ай бұрын
Tunahitaji namba
@ErickMasika-zf2xx
@ErickMasika-zf2xx Ай бұрын
Naomb namb yako plz na maswalii na ww
@abuumitema548
@abuumitema548 Жыл бұрын
Krinic yako iko wapi
@BabdulyZaharani-en9br
@BabdulyZaharani-en9br 7 ай бұрын
Namba zako
@ErickMasika-zf2xx
@ErickMasika-zf2xx Ай бұрын
Unapatikana wp
@mamaafrica-kq6ni
@mamaafrica-kq6ni 7 ай бұрын
Unapatikana wp doctor
@hashimuShaidu
@hashimuShaidu 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu akuwekee wepesi ktk hili.igekuwa vzr sana ukatoa na namba zako za cm na kituo ambacho unapatikana
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Njaa mbaya
@samwelkulagwa861
@samwelkulagwa861 5 ай бұрын
Nitakuwa balozi wako Dr.
@habibahamisi2367
@habibahamisi2367 4 ай бұрын
Eeh mungu baba mlinde huyu kiumbe wako na watu wenye chuki na binadam wa tanzania,Tr tunakuamini ila toa namba
@kamugishaurban1995
@kamugishaurban1995 Жыл бұрын
dawa yako inapatikana wapi ? nasikia inatibu presha baba.
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 3 ай бұрын
Bona Kwa KZbin yake hakuna comments hata mmoja Kwa jambo la hatari kama vvu. Hapa comments kibao hakuna kufuta.
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
iko wapi you tube yake??
@peteremanuel8022
@peteremanuel8022 3 ай бұрын
Mbona hujaanza kutibu sasa?
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
Serikali haijamruhusu bado
@AGRICOLAKIMOLO
@AGRICOLAKIMOLO 11 ай бұрын
Samahani ninapokuja kwako natakiwa niwe najua wingi wa vijidudu kwani nikija huwezi kunipima wewe ukanipatia damu na vipimo vyako ni bei gani?
@wilsonslaa5533
@wilsonslaa5533 7 ай бұрын
Docta no zako pliz
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 ай бұрын
Hivi Dr msigwa unavyotuambia si uandike namba Yako ya cm watu wakutafute Cha msingi namba ya cm kaka hayo ya serikali ikuruhusi ni ngumu maana wanajali maslahi yao tuu angekuwa magufuli angekuruhusu hao wenzangu na Mimi haaaa
@BeltaMatius
@BeltaMatius 8 ай бұрын
Tupe namba zako
@Lupamwakyoma
@Lupamwakyoma 9 ай бұрын
Naomba namba yako Nita kutafuta
@khadijamasoud4238
@khadijamasoud4238 Жыл бұрын
Doctor namba yako
@maisarahakizimana7074
@maisarahakizimana7074 Жыл бұрын
Namba
@AminaDesgner
@AminaDesgner 2 ай бұрын
Tunaombanamba plees doctor
@NuruBakari-w7l
@NuruBakari-w7l 3 ай бұрын
Na mkimuua huyu kaka wallah tutafunga siku 40 kisha tutatandika kisomo cha kufa mtu atakehusika kwnza tunaanza na familia yake then mwenyewe ankuwa wa mwisho apate uchungu kwanza wa kufiwa alafu anamalizika mwenyewe
@emmauszinedin2954
@emmauszinedin2954 9 ай бұрын
Ndiyo hoho utafuti unewezekana Arakini utureteye watu 50 wenye nimzsha wapa sawa bakapona VHV Ndio tutapata ukweri sindio
@SaraphinaMange
@SaraphinaMange 3 ай бұрын
Unapatikana wap
@StephanoWiliam-oy5bz
@StephanoWiliam-oy5bz 8 ай бұрын
Naomba namba brother
@YohanaBoniface_emanuel
@YohanaBoniface_emanuel 8 ай бұрын
Brother ntapataje namba yako
@SemeniJuma-x8i
@SemeniJuma-x8i 7 ай бұрын
Hapo kwenye gharama kuondoa ndio tatizo..wenzio wanapiga pesa kwa kuuza hizo dawa huu ukinwi ni biashara y watu
@KhalidAli-t9x7e
@KhalidAli-t9x7e 7 ай бұрын
Doctor unapatikan wapi
@FloraB-p5z
@FloraB-p5z 2 ай бұрын
Tunaomba uletwe arusha
@wanyonyiemmanuel1990
@wanyonyiemmanuel1990 3 ай бұрын
Mimi niko kenya nitapata aje hii dawa?
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 3 ай бұрын
Karibu dawa zake na toa ukweli Kwa wengine
@AbcrahDemoraj
@AbcrahDemoraj 2 ай бұрын
​@@Kanga-pu6ylwe unaptikan wapi .
@isaacashel3328
@isaacashel3328 10 ай бұрын
Tupe dawa dr watu tupone tu
@SittyNduka
@SittyNduka 9 ай бұрын
no yako
@YussufSaid-ok4pu
@YussufSaid-ok4pu Жыл бұрын
Iyo dawa inapatikana wapi
@FloraMushi-g4t
@FloraMushi-g4t 9 ай бұрын
Wasaide
@allymohamed2630
@allymohamed2630 Жыл бұрын
Mimi nahitaji naipataje sasa
@KingStationery
@KingStationery 7 ай бұрын
Aliyetumia akapona nani😊
@ednaabyudi8465
@ednaabyudi8465 6 ай бұрын
M sjapona😂
@PricillahNdombi
@PricillahNdombi 7 ай бұрын
Naimba number
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 11 ай бұрын
Wape dawa watu wapone sio kuongea mambo mengi
@JosephMchele
@JosephMchele 6 ай бұрын
Mtu akitaka kukupata anakupateje
@reubenjoram9675
@reubenjoram9675 8 ай бұрын
Unatufaa wamarekani niwashenzi siwspendi
@maryjoseph6255
@maryjoseph6255 Жыл бұрын
Namba tafadhari
@lilianrwegasira2769
@lilianrwegasira2769 Жыл бұрын
Namba yako baba atakayetaka atakutafta
@agnessjoseph3199
@agnessjoseph3199 Жыл бұрын
Tupe no kaka
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 3 ай бұрын
Wapi walio pona, hakuna orodha yoyote. Vita vya vipimo, wasomi, wamagharibi na wazungu. Daktari hakuna research inafanya anatibu Kwa mjibu wa kanuni ya masomo. Toa dawa Kwa watu kumi, wapone na Dunia mzima itafata wewe, hii ingine ni biashara na sarakasi. Matendo si maneno, porojo na kudharau kazi ya wengine..
@MelisaFravianus
@MelisaFravianus 8 ай бұрын
Muongo huyo
@EnockFred-hs3wo
@EnockFred-hs3wo Жыл бұрын
4 in 9 zinapatikana madukani au
@stanleyleonard4731
@stanleyleonard4731 8 ай бұрын
Inaitwa 4a9
@alexvenas2699
@alexvenas2699 Жыл бұрын
Mheshimiwa rais mama samia ,tazama suala hili ,kwani sisi hatuwezi kufika mahari tukajitegemea kama ichi Kwa vitu vyetu vya asili? Nina imani na wewe mama kama ulivyo tazama kero zingine kwa jicho la pili hata hili mama yetu msikivu unaweza kulitazama kama linaukweli ,Ama hapana halina ukweli.?
@assfzainab912
@assfzainab912 10 ай бұрын
DAWA CPO WATU WANAKUFA BURE TENA MIT AMBAO TUNAIPANDA NYUMBANI MUNGU HAWEZ KULETA UGONJWA BILA DAWA UKIMWI UNADAWA ZAKE
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 10 ай бұрын
Watu kama wewe Msigwa Mungu huwatumia kuwasaidia watu kupona huo ugonjwa wa ukimwi
@KhadijasamsonMhelela
@KhadijasamsonMhelela 8 ай бұрын
Sambaza maduka yadawabasi utuelekeze
@hawakiza6067
@hawakiza6067 9 ай бұрын
Mbona yupo Hajibu sms
@ChausikuHassani-g9m
@ChausikuHassani-g9m 8 ай бұрын
Anasoma kwanza kometi
@bundalamabula6264
@bundalamabula6264 Жыл бұрын
Mimi sijakuelewa, wewe tangaza dawa zako kuliko kupondea dawa zingine
@pmnyabaturi4484
@pmnyabaturi4484 Жыл бұрын
#samiasuluhu
@sophiamwasha7445
@sophiamwasha7445 Жыл бұрын
Dr Mungu akulinde
@rashidkapile
@rashidkapile 11 ай бұрын
Kifupi nitakupataje? Afya nibora
@abdalahmrisho3076
@abdalahmrisho3076 Жыл бұрын
Ww mwongo mwongo acha kudanganya watu
@DottoGodifrey-np6jb
@DottoGodifrey-np6jb Жыл бұрын
Kwamba atibh n muongo au n vp saman lkn naomb jib
@salmarajabu4890
@salmarajabu4890 Жыл бұрын
Ni kwl dear mm nimepona
@mponziney5845
@mponziney5845 11 ай бұрын
​@@salmarajabu4890 umetumia hiyo dawa?
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 11 ай бұрын
Uxhafanya utafiti ukagunduwa mwongo
@isaacashel3328
@isaacashel3328 10 ай бұрын
Jaman anaejuwa dawa na alietumia akapona aseme aokoe wengine
@AmourMahemba
@AmourMahemba Жыл бұрын
Weka no
@neemachrispine2342
@neemachrispine2342 Жыл бұрын
Namba yako tutapataje
@mponziney5845
@mponziney5845 11 ай бұрын
Namba yake unaipata kwenye KZbin na ukimpigia anapokea na anakuelekeza kulingana na shida yako
@rosemwenda8281
@rosemwenda8281 9 ай бұрын
@@mponziney5845Mbona you tube hamna
@selemanifikirifundi8952
@selemanifikirifundi8952 9 ай бұрын
@@mponziney5845 dada mponzi naomba unitafute na maswali nataka unisaidie tafadhali
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
​@@mponziney5845youtube gani??
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Kama hamuamn bas ngojen zungu aseme
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 9 ай бұрын
Zungu ndo nani mze?????
@joramkimario9321
@joramkimario9321 9 ай бұрын
@@geofreylucas7870 bas mzungu.umefurah sasa
@kamugishaurban1995
@kamugishaurban1995 Жыл бұрын
Weka hospitali yako unze kazi utibu wa Afrika , watakao pona ndo watatoa ushuhuda
@josephatmathiasgalagalabuh786
@josephatmathiasgalagalabuh786 Жыл бұрын
duh
@chiku6136
@chiku6136 Жыл бұрын
Weka namba
@abubakarimburu9096
@abubakarimburu9096 Жыл бұрын
Sisi binadamu ukweli tunaukataa kabisa kwa sababu tumezoea kudanganywa na wazungu
@elizabertkabadi3090
@elizabertkabadi3090 Жыл бұрын
Wanaompinga ndo wale anaowasema wamekalilishwa nawazungu wanaona watakosa kazi
@elizabertkabadi3090
@elizabertkabadi3090 Жыл бұрын
Na wengisana wanampinga msigwa ukiangalia nihaohao wanaotumia karanga iv sisi binadamu akiri yetu inafanyakazi kweli??
@elizabertkabadi3090
@elizabertkabadi3090 Жыл бұрын
Et mtu anakubali kufa na bomu shingoni kulko kuondosha hilo bomu akawa salama.
@KennethMaganja
@KennethMaganja Жыл бұрын
Dr naomba namba yako
@AnnaNdimbo
@AnnaNdimbo 3 ай бұрын
Naomba namb yk plz
@RaynathaRangson
@RaynathaRangson Жыл бұрын
Namba tafadhali
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 10 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,5 МЛН
HAKUNA MCHAWI ILA NI WEWE MWENYEWE KUTOJUA KANUNI ZA MAISHA NDANI YA MUNGU
10:41
PROPHET DENIS TANZANIA 🇹🇿
Рет қаралды 4
TR MSIGWA MTAFITI WA DAWA ZA BINADAMU AFUNGUKA
1:09:51
Bongo5
Рет қаралды 20 М.
MTANZANIA ADAI KUVUMBUA DAWA YA UKIMWI, AANDIKA BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA
18:06
DALILI ZA MWANZO ZA HIV NA UKIMWI
10:39
bongoclassafya
Рет қаралды 67 М.
DAWA MPYA YA UKIMWI IMEANZA KAZI KWA WAGONJWA
6:27
Jambo FM Radio Tanzania
Рет қаралды 8 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47