TAARIFA KUBWA KUTOKA KWA WAZIRI MKUU
26:17
21 сағат бұрын
Пікірлер
@stidesafibenedictor4530
@stidesafibenedictor4530 16 сағат бұрын
Uliongea kitu Cha muhimu mbunge msukuma
@user-ct7sw7ro3q
@user-ct7sw7ro3q 16 сағат бұрын
Kumbe si wabunge wote ni vilaza mfano Mh Mpina
@faustinemangula8424
@faustinemangula8424 17 сағат бұрын
Chuki binafsi ya spika hapo mtani amekurupuka kisa Mpina ni kusema ukweli.
@user-py1nq7pv9u
@user-py1nq7pv9u 17 сағат бұрын
Uko sahihi.
@selelilumambo2157
@selelilumambo2157 18 сағат бұрын
imenitachi sana hadi nimetokwa na machozi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 i can see a real Pan-Africanist in mpina
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 19 сағат бұрын
Kwa sasa Tanzania inahitaji chama kipywa cha mpinzani hao wapinzani ni wachafu ubinafsi ufisadi ubabe hilo tunatakiwa kuelewa hilo hakutakuwa na watu ndumilakuwili
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 19 сағат бұрын
Sukuma gang wanajifaragua 😂
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 19 сағат бұрын
KAZI nzuri Ila hakisheni mmepanda nyasi pembeni msijitoe ufahamu itapendeza sanaa
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi 19 сағат бұрын
Huenda mavazi yamekuponza ukadhaniwa una uchadema
@HusseinKoja-ww7gi
@HusseinKoja-ww7gi 19 сағат бұрын
Kuna sheria na kusimamia sheria vitu tofauti japo lengo ni moja nisawa waziri wa afya kusema wazee watoto na wazazi huduma ya afya bure njoo kwenye uhalisia hakuna bure malipo mbele kama yanga nyuma mwiko
@CharlesSeleli-to2un
@CharlesSeleli-to2un 19 сағат бұрын
Yajayo yanafurahisha mpo tayarii...
@MalijasJRCharles-vl2rq
@MalijasJRCharles-vl2rq 19 сағат бұрын
2lijua ntuzu ha2na vichwa kumbe vpo, pambana mwamba wetyu raia wako 2po pamoja.
@JosephineJuma-zz3mu
@JosephineJuma-zz3mu 19 сағат бұрын
Mtetezi wawanyonge mungu akupiganie baba yetu
@khadjiedson5954
@khadjiedson5954 20 сағат бұрын
Uswahili tu huo
@SalehGilla
@SalehGilla 20 сағат бұрын
Mpumbavu sana
@EmmanuelErnest-xd1rc
@EmmanuelErnest-xd1rc 20 сағат бұрын
Wasee wapunguswe
@emanuelmasele8213
@emanuelmasele8213 20 сағат бұрын
Karibu Peter kwenye Chama chenye maono Kwa maslah ya umma
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 20 сағат бұрын
Tunataka viongozi wawe kama Mpina Mungu akulinde Kaka
@magdalenanicholaus5459
@magdalenanicholaus5459 20 сағат бұрын
Pambana mungu akulinde
@omzedstationary932
@omzedstationary932 20 сағат бұрын
CCM ina wabunge makini sana kama MPINA
@magdalenanicholaus5459
@magdalenanicholaus5459 20 сағат бұрын
Pole mpina
@dayanikitambi2085
@dayanikitambi2085 20 сағат бұрын
Sema mwamba tunakuelewa mungu atakuongoza
@salummichael87
@salummichael87 21 сағат бұрын
Kiswahili ndio sawa wabunge wetu kiingereza marekani siyo tanzania
@NixonJohnson-zn8nk
@NixonJohnson-zn8nk 21 сағат бұрын
Chapa kazi njoo na Geita kuna madudu ya kufa mtu .. Wiki nzima hakuna maji sijui tunaishije.. Sasa ni ajabu mno....
@barakabethuel6353
@barakabethuel6353 21 сағат бұрын
njaa MBAYA SANAA
@shekhomarynnunduma5209
@shekhomarynnunduma5209 21 сағат бұрын
Huyu anastahili kuwa Raisi
@SaraMnzava
@SaraMnzava 21 сағат бұрын
Hahahaha makonda yuko vinzur nitamwonaje jmn
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 22 сағат бұрын
Dau
@SaidiSelemani-l1n
@SaidiSelemani-l1n 22 сағат бұрын
Ww kicha
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q Күн бұрын
Msigwa uliwahi kusema hauna bei hauuziki enzi ya magufuli saivi umeanguka unyekiti wa Kanda umekimbilia ccm atakuamini nani?
@laiserkuyan6075
@laiserkuyan6075 Күн бұрын
Mpina mungu Akulinde kweli wewe ni mzalendo wa Taifa letu lakin hao wote walio ungana na uyo spika mkumpavu ya mwanamke tulia kukutoa Bungeni juu ya kutetea hali maisha ya watanzania wanyonge mungu Anawaona lakin wakumbuke walio kuweka hapo mbungeni zio tulia na samia ni wananchi wa jimbo lako 2027 zio mbali watajua Ajui
@kiliantereba6502
@kiliantereba6502 Күн бұрын
Ovyo kabisa
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Күн бұрын
Mtu mmoja anatumia lita 135 kwa siku. Mahitaji ya maji (174,650 × 135) kwa siku.
@user-uf7dp5hn8p
@user-uf7dp5hn8p Күн бұрын
Your very smart Mp mpina, watu wakweli hawatakiwi kabisa
@MohamedMfuu
@MohamedMfuu Күн бұрын
wewe ni kamanda baba toka huko uwachane vzr
@MohamedMfuu
@MohamedMfuu Күн бұрын
mpina ww ni upeo wetu mungu yumo na ww
@hajikhamis-od1no
@hajikhamis-od1no Күн бұрын
Yani always namkubali sanaaa halima mdee
@raymondthomas3960
@raymondthomas3960 Күн бұрын
Rudi bungeni kakae kwa nguvu halafu tuone watakufanya nn Sasa.
@paulombay6884
@paulombay6884 Күн бұрын
Mchungaj sadaka hazitoshi,afu ubunge hana ,hyo njaa amegundua itamwua mapema
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Күн бұрын
Intervention wapi wewe, hapo kunaupigaji tu, kama ukiagiza sukari nje inakua ni bei rahisi, sasa kuna maana gani ya kua na viwanda sasa, waziri Iddi Simba alijiuzuru kwa issue hii hii ya sukari.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Күн бұрын
Sasa kwanini sukari imeletwa kutoka Brazil na inauzwa 3000, hivi mnakumbukuka issue ya Iddi Simba? Alijiuzuru kwasababu ya sukari, wakati Raisi ni Mkapa, Mpina yupo sahihi kabisa
@emmanuelafrica
@emmanuelafrica Күн бұрын
Hili zee akili linazo kwl et limeumia sana😅
@LeahKazeni
@LeahKazeni Күн бұрын
Mmhhhh haya tutaona mengi mwaka huu duuu hawawezi kuunga mkono wako mbali kabisaa mwanangu acha tu
@emanueljames6798
@emanueljames6798 Күн бұрын
Mpina,piga kazi
@user-et3zq5ef1b
@user-et3zq5ef1b Күн бұрын
Kweli
@NteniaNtenia-f1r
@NteniaNtenia-f1r Күн бұрын
Tumeanza na huyu wapo wengi wanakuja
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Күн бұрын
Ila mpina uwe makini usije pewa sumu maccm sio watu wazuri
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Күн бұрын
Tatzo mpina ulisema ukweli ukiwa ccm hautakiwi kusema ukweli unatakiwa useme uongo
@abdukhalnyerere8993
@abdukhalnyerere8993 Күн бұрын
Wakuchongewa sanamu kila mkoa ni mpina na sio mwingine anagusa maisha ya watu wanyonge naona magufuri bado yupo kwa mpina binafsi mimi nasimama na mpina
@abdukhalnyerere8993
@abdukhalnyerere8993 Күн бұрын
Katukanwa na nani wewe au unazani sisi hatufatilii kinachoendelea huko