Me ni Group AB ndio tunaogoza kupokea maambukizi??
@JasmineDuwe-j9e Жыл бұрын
Me na o negative namshukuru Mungu
@asiakheir86843 жыл бұрын
Muhimu siyo elimu ni maisha kuwa bora ale vizur ndiyo atowe damu
@PiliSalehe-lt9ul Жыл бұрын
Mie o negative
@AsmaAli-dr7cu Жыл бұрын
samahani naomba niulize kwanini watu wengine wana group la plas na wengne negative
@asiakheir86843 жыл бұрын
Group 0 wapo kidogo!!!!
@elibarikijohson76942 жыл бұрын
Ameambiwa atachoma sindano kwa mtoto wa pili mimba ya mienzi Saba ni sawa?Yeye ni o negative
@hassanbakar79232 жыл бұрын
Mimi ni O-
@ashakhamis9093 Жыл бұрын
Samhn docta naomba kuuliza ati ukitaka kupima dam ujue una dam ngapi na group gani je huwa unapimwa ktk kiungo gn? Au takoni jmn? Naomba jibu ili nipate uhakika zaidi?
@graysonpastory1918 Жыл бұрын
Damu ya mkononi tu inatosha kupima kiwango, grp, na mengine
@mariammollel44713 жыл бұрын
Naomba niwaulize Mimi nilibeba mimba ya kwanza nikapima nikaambiwa mm ni group o+ na mimba ya pili pia ivoivo lakini mimba ya tatu ikatokea tofauti wakasema Nina group o- sasa hapo imekuwaje ?