I wish to see my own Angel of God,for real kila nikisikiliza mafundisho yako
@xcebaJm2 жыл бұрын
Mungu akuweka mtumishi.
@alextzatv2 жыл бұрын
Nataka kukutumia shukrani
@kalebiginasi16432 жыл бұрын
mungu akutiae nguvu san
@josephmusagasa55664 жыл бұрын
Wanadamu tumejaa ubishi na dharau,binafsi naelewa na nakiri kabisa,Ee Mwenyezi Mungu tuhurumie,Ee Yesu tutie nguvu tuzishinde tamaa,tuushinde ubishi,amina
@lembrismatayan88953 жыл бұрын
MUNUNGU NI MWEMA
@mawazobayndulwa19094 жыл бұрын
Nabii wa Mungu Mungu haliye hai ubarikiwe na Mungu hakupe nguvu tuna jifuza mengi hambay hatujuw Asant
@sharonwalubengo76282 жыл бұрын
Believe it or not there is hell, may God bless you coz this is the hardest gospel to preach, people want to hear only blessing receive power, receive money, receive cars ooooh they will love you.
@damarisnjeri7820 Жыл бұрын
Ooh God I'm pleading for your mercies
@miriamlekopole79942 жыл бұрын
God bless you man of God your testimony is soo blessing to us sinners
@bennackmtie76714 жыл бұрын
Ubarikiwe nabii david tunahitaji mafundisho kama haya nakuombea Mungu mafundisho yako ya sambae ulimwenguni watu wapate kuokoka na kumjua Mungu wa kweli Amen
@joanogada95172 жыл бұрын
God my Father please forgive me ,Lord forgive me my sins,I don't deserve to stand before you,but you are my Father,please forgive me,I want to live only according to your will, according to only that which pleases you.father give me the strength I so desperately need. Holy spirit please guide me.Ooh Jesus my savior please come and reside in my heart. And bless your servant to continue being a blessing to your children. Thank you Lord
@jangdomexavery20453 жыл бұрын
Ee We mungu naomba msamaha wako kwa dhambi zangu zote nilizotenda
@nicholaskiragu27973 жыл бұрын
Nimeshukuru Mungu kwa anjili yako prophet David. Mungu akubariki Sana. Nilikuwa nimeokoka nikarundi nyuma nikawa msherati. Sasa nimerundia maombi yako na nimeokoka Tena. Niombee please kwa sababu juzi nikiwa nimelala mchana kitu kilinigonga Kama ndege ( bird) hivi kikaniingia kupitia kwa uso. i believe it's a evil spirit. Kutoka siku hiyo nimekuwa nikiumwa na kichwa Sana. Niombee Nabii wa Mungu Nikombolewe please..
@orverfredy26944 жыл бұрын
Mwanyezi MUNGU naomba uniongoze kufanya yale yakupendezo. 🙏🏾
@happynessmarki19563 жыл бұрын
Eeeh Mungu unirehemu
@medadiissa3244 жыл бұрын
Shalom,endelea kutupatia shuhuda unazopewa na Mungu. Wakati umeisha kabisa,hata wengine pia wameona maono kama hayo kwahiyo ni kweli!
@EstomineHenry8 ай бұрын
Siku za mbele,kila mtu na hukumu yake.Tujianda...kufa si tatizo bali,unaondokaje?
@elizalaya78873 жыл бұрын
Mungu nisamehe Mimi natubu makosa yangu yote niliyofanya hapa duniani
@robinermsigalla93414 жыл бұрын
MUNGU tusaidie, tupe unyenyekevu wa kukutii, tuisikilize kila siku sauti yako, tukubali kuonywa na kuongozwa na wewe. Inatisha sana
@anaiskafilleaineedejesus36423 жыл бұрын
Asnte sana kwa huu ushuhuda
@carendeborah56872 жыл бұрын
God help me to walk with you,forgive me LORD I've sinned before you.
@desderiamapunda13064 жыл бұрын
I believe you Man of God, May God have mercy on us, let us tell everyone about Jesus
@williumngowi20254 жыл бұрын
Nmebarikiwa Sana
@faithkioko57054 жыл бұрын
Am so blessed by your testimony God bless you.
@patricepaschalisaac92734 жыл бұрын
Amen man of God Your testimony is very powerful and very real! God bless you man of God and keep you. Amen love from Canada:) brenda fassie was an South Africa dancer Prophet of God
@sandrakibur27563 жыл бұрын
Dear Lord help me Jesus my Lord and Savior. Asante Jehova Baba. God bless you prophet.
@judy67292 жыл бұрын
God iam scared I don't want to be in an mess I want only to please you be blessed man of God
@gracioushadassah12372 жыл бұрын
Judgement and Hell is real.... May God help us .
@Esther-Bri2 жыл бұрын
MUNGU Aturehemu aky
@purity2342 жыл бұрын
I love the testimony..I have seen other people's testimonies that are similar. However there's something am still not sure about,,I have seen it in other people's testimonies..wigs makeup and worldly adornment and dressing taking people to hell
@evelinetisha98114 жыл бұрын
So powerful mutumishi
@TTWM3 жыл бұрын
Mungu tuhulumie sana
@JofryDaud6 ай бұрын
Nyie munao toka kuzim mnasitaili nyingi
@stevostevozz11683 жыл бұрын
You are real prophet...you warn people of the coming judgement..many prophets today dont mention sins or repentance..they just want to prophesy names place and addresses..keep on being faithful to God.
@bettynino73544 жыл бұрын
I feel the spirit of God, I feel you should stand with us believers in prayer such that we don’t go to hell and we go to heaven, I feel blessed to have met you through home of testimonies , now to your channel. Gob bless you abundantly.
@rosecasmiry4854 жыл бұрын
Asante ubarikiwe
@nyaikadavid60444 жыл бұрын
Thanks for this video, I request for more videos. You have really woken me up from a deep sleep, we Ugandans have heard.
@augostinoreonard85403 жыл бұрын
Ubarikiwe Profet Naomba Unyoekitumishi
@kingdomscience64804 жыл бұрын
Prophet, we bless you...Remain humble. God has mightily graced you and given you a very, very big ministry. Youre like a Prophet Ezekiel.. Shalom.
@georgesmuganza67703 жыл бұрын
Hi
@juliusnyalwal79843 жыл бұрын
MUNGU AkUBARIKI NA AZIDI KUKUTUMIA KAMA CHOMBO CHAKE CHA UTUKUFU.KAZI NZURI NDUGU YANGU.
@priskilaraphael87383 жыл бұрын
God be with you
@gladnesmwanry54933 жыл бұрын
The wise will listen ,cover us with your Mercy ooh Lord Jesus Christ .Thank you prophet of God .
@joycechibindo534 Жыл бұрын
Brenda Faso was a famous musician
@paulmachengo69233 жыл бұрын
I bless the Lord Jesus for your ministry,i have seen light.
@floranceh53333 жыл бұрын
Lord Jesus have mercy on me am a sinner, take more of me and give me more of you my Jesus.
@shadrackmurage96063 жыл бұрын
Like what God is doing in this Prophet Richard, God bless you
@catherinefoluso4 жыл бұрын
Jesus Christ have mercy! May the Lord bless you for sharing this testimony! Prophet David Richard
@mr.jasonfxsignals48734 жыл бұрын
Brenda fassie she was a South African musician....
@ginamathiana91084 жыл бұрын
Now am saved in the Mighty Name of Jesus,asante Nabii David Richard
@gladnesmwanry54933 жыл бұрын
It's more than critical .🔥🔥
@veem39123 жыл бұрын
Your testimony is true
@cynthianawambugha76634 жыл бұрын
Thank you LORD and may God bless you papa david from today i am a child of GOD
@judywarui82372 жыл бұрын
Let's repent people of God and seek the face of God
@bettypraisethelordbeblesse50403 жыл бұрын
God bless you man of God
@ericmetta78834 жыл бұрын
thank you Prophet for your heart and love even to us.
@mawananasoro44054 жыл бұрын
Eeh mungu tusamehe makosa yetu
@tumpedaudi6681 Жыл бұрын
EE MUNGU WANGU UNIREHEMU MIMI UNISAMEHE MAKOSA YANGU YOTE UNIFANYE KUWA MTOTO WAKO
@elizalaya78873 жыл бұрын
Prophet naomba niombee Mimi mdhambi
@hannahchao45532 жыл бұрын
Shalom apostle Mimi naomba kuuliza nimeyaskia haya yote ila Nina swali je kutakuwa na hukumu nyingine kwa hao wanaopitia hayo mateso yote??
@mercyjesus66374 жыл бұрын
Km hujabahatika kupata neema ya kwenda,wapo wanaotolewa out na YESU wanaokupinga wanatmn waende but wamwombe YESU nao waende
@elizabethnafunamakhanu89424 жыл бұрын
May God help me to do the way of God forgive me my sins
@avierastevens51414 жыл бұрын
Amen
@saldakltl76113 жыл бұрын
Ameen 🙇♀️🙏🙏
@saida50914 жыл бұрын
ST JOHN 3:5-7 5. Jesus answered, Verily, verily, I say unto thee, Except a man be born of water and of Spirit, he can not enter into the Kingdom of GOD. 6. That which is born of flesh is flesh, and that which is born of Spirit is spirit 7. Marvel not that I said unto thee,Ye must be born again.
@fredrickhenry75194 жыл бұрын
Please papa post the continuation of this as you say you went to Lucifer want to hear it all papa and by the way I didn't believe before there is woman angel wow you open my eyes
@albertkimaro44024 жыл бұрын
NIMEKUPENDA PROPHET DAVID NITAENDELEA KUKUFUATILIA KWA MAKINI!
@janebuluba59863 жыл бұрын
MUNGU atusaidie jamani..
@milley71852 жыл бұрын
So haitakiwi kuabudu mabudha
@bridgettenyangara26603 жыл бұрын
English subtitles
@fvjjgc22494 жыл бұрын
Angalia kitabu cha Ufunuo, jinsi Mungu anavyowaadhibu manabii wa uwongo na Wakristo wa uwongo. "Haleluya"
@eliarichard92183 жыл бұрын
Tuache tunao amini mambo hayaa.
@fvjjgc22493 жыл бұрын
@@eliarichard9218 Inapaswa kutafuta, chunguza. Mathayo 7 inaweza kusomwa kwa kumbukumbu. Ninaogopa hutafuti, chunguza. Ukitafuta kwa dhati, Mungu atawaangazia watu wanaochunguza.
@eliarichard92183 жыл бұрын
@@fvjjgc2249 2wakorinto3:17 nampenda Sana'a Roho wa Mungu.
@fvjjgc22493 жыл бұрын
@@eliarichard9218 Haleluya, angalia Mathayo 24, kile Bwana alisema kwa wanafunzi wake. Ni nini ishara kuu, Amina. Rekodi katika injili nne zote zilisemwa na Mungu mwenyewe, na zilirekodiwa kwa kumbukumbu baada ya mwanafunzi wake, Bwana, kuondoka.
@eliarichard92183 жыл бұрын
@@fvjjgc2249 Aiseee mbona mbishi Sana'a wewee hivi umejazwa na Roho Mtakatifu kweli wewe nakuuliza hivyo sababu kila mtu mwenye Roho wa Kristo ndani Yake apati shuda za kuumiza kichwa kama wewe maandiko yapo ya miaka mingi lakini Roho Wa Mungu anae kaandani yako huyo ndiye anae kwambia kuwa mtu huyo ana Mungu au ana mashetani lakini kama huna Roho wa Mungu ndani yako utatumia utashiwako na hisia na kushawishiwa na kusoma maandiko usiyo kuwa nayo na ufunuo nayo Mbona mm nawajua Manabii wauongo na wa kweli nawote hawa nisumbui kichwa changu na ukiona namfatilia huyo nabii ujue niwakweli ala sisi wenzako tunakuwa hatuna maswali mengi juu ya Manabii hatukuishia tyuu kufubdishwa Neno kanisani ila tulienda mbali zaidi na kutaka kuongea na Mungu mwenyewe nimsikie siyo story tyuu za Bible Elewa ndugu.
@mercyjesus66374 жыл бұрын
Wengine watakupinga ila tupo tunaopona
@alextzatv2 жыл бұрын
Nabii naomba unitumie namba yako nitume shukuran
@videozaaj10694 жыл бұрын
Prophet mi si mkamilifu ila naomba nikwambie hiyo blacelet hapo nashauri uivue tu
@josephatjoseph17554 жыл бұрын
nmefurahi umelijua hilo umejuaje kaka yangu
@videozaaj10694 жыл бұрын
@@josephatjoseph1755 kwa sababu hiyo ni miungu migeni ambayo JEHOVA aliwaambia wana wa Israel waivue kwenye miili yao, kwa kifupi mapambo yote yatokanayo na Vito vya thaman hatupaswi kuvaa ziwe Pete, mikufu, bracelets, vikuku, hereni nk.
@subilagamwakijengele5054 жыл бұрын
Kama amepata neema ya kufika mbinguni akiwa jinsi alivovaa na Mungu hakuona kosa lolote juu yake iweje sisi tusiowahi ona hata malaika tukaanza kumkosoa kwa vitu? Barikiwa mnooo
@officialyohanamalisa18733 жыл бұрын
@@subilagamwakijengele505 watu ni wabish sana, bracelet ni instrument ya kumeditate Na memorise haina shida yoyote kabisa.
@milkafabian5723 жыл бұрын
Mtumishi sikusoi ila naona kama nywele zako ulivyozinyoa nahisi za pemben ni fupi kuliko za katikat sasa hapo unasemaje Muulize yesu kuhusu style hyo
@danielbasila75552 жыл бұрын
Du du inatisha
@ExceltechBI2 жыл бұрын
Buddha anaitwa Gautama Siddhartha
@imagepower36414 жыл бұрын
✅
@zeldamzena3534 жыл бұрын
Niliomba no ya sim jamani
@milley71852 жыл бұрын
Na umekumbukq kila kitu ...ninayo hiyo experience tofauti na yako lakini ufahamu ulinitoka nikashuhudia vitu vingi Sana kuzimu
@janesuday41754 жыл бұрын
Nimekuelewa ila naona ibada zenu zaidi unatumia English language vipi sisi tusiojua hy lugha tunawezaje kuja kuabudu na tukaelewa?
@prophetesspriscarichard4 жыл бұрын
Shalom,Ndio unaweza ukajiunga pamoja nasi. Kiswahili pia kinatumika. Karibu sana🙏🏾
@hopekaiza75003 жыл бұрын
Labda kwa kushauri, ingefaa prophet azungumze kiingereza na awe na mkalimani wa kisw fasaha ili kukutana na mahitaji ya watu wote hasa wasiojua kabisa kidhungu na wasiojua kabisa kisw ili kuleta wote pamoja. Itasaidia nafikir
@nicolausmosesi18394 жыл бұрын
M!
@samwelchilijila3 жыл бұрын
Biblia inatufundisha ..yatafakarini yaliyo juu kristo aliko,ameketi mkono wa kuume wa mungu,habari za kuzimi zinajenga vipi ufalme wa kristo
@mmassycharles4093 жыл бұрын
Kama huamini kaa kimya, mambo ya rohoni hufahamika kiroho
@sharonwalubengo76282 жыл бұрын
Ndo ujue kuzimu ipo uwache dhambi
@happynessdavid79212 жыл бұрын
Dady imebidi nimsearch huyo Brenda Fassie moyo wng umejawa na simanzi sanaaaa alikuwa n mwanamziki kweli nimeona ndio ameimba Wimbo fulani unaitwa vullindera na nyimbo zake zilikuwa za kitradition nadhani ndio maana hukum yake ni ya ngoma...EEH NAOMBA UNISAMEHE SANA DHAMBI ZANGU MUNGU NAOMBA REHEMA ZAKO TUREHEMU EE MUNGU
@meshackfesto2153 жыл бұрын
Sasa Mtumishi ukituelezea kuhusu kuzimu ndo inatufanya tuokoke au lengo n Nini!?? Anyway it's okay japo cdhan Kama inatusaidia
@brigithadidas51283 жыл бұрын
Nafikiri lengo la Mungu kumpa neema iyo pia ni ili aje asimulie so kama kwako huoni umuhim, Mungu anaona ipo haja
@happynessmarki19563 жыл бұрын
MUNGU akurehemu na aturehemu sote
@obugobaraka1414 жыл бұрын
Hello prophet naomba nikuulize swali please please mtume Naomba ukipata ujumbe huu Nisaidie namba yako ya whatsapp 0764691775
@samwelchilijila3 жыл бұрын
Kichwa cha habari..kuwa ulipelekwa kuzimu na malaika..hapo mim napata kitendawili...sababu kolosai 1:13 inasema naye alituokoa akatuhamisha kutoka katika nguvu za giza akatuweka ktk ufalme wa mwana na pendo lake...inakuaje Yesu huyu akurudishe tena kule alikokutoa mtu akafanye nin ikiwa aliifanya hiyo kazi kupitia mauti yake ya msalaba..inamaana huyu yesu leo anaikana kazi aliyoifanya.amepungukiwa nin Yesu apeleke watu wake kuzimu kwenda kufanya nin ama kujifunza nini..? Tukiifaham kweli ya kristo itatuweka huru
@rhodachristopher43983 жыл бұрын
Iliaone atuelezee woote ilitusiishi kwakujisahau tuelewe Kuna mbingu yakuiendea na kuzime kwenye mateso ilituzidi kuishi katoka hofu ya Mungu
@happynessmarki19563 жыл бұрын
Hujalielewa neno MUNGU akufunulie maana halisi ya hilo neno alafu msikilize tena baba yng kwa Mara nyingi utaelewaaa na Mungu akusaidie atusaidie sote🙏🙏
@deddyoman93633 жыл бұрын
We nabii vipi lkn Unaongea kiswahili halafu unaongea kiengereza halafu hujui kutuelezea .basi ongea kiswahili tu tukufahamu
@gerraldchristian2001 Жыл бұрын
Wewe hacha kuwadanganya watu wajinga watakuamini lakni sisi tunaojua Sheria za MUNGU tunajua kuwa unaongopa LIVE
@paulinerathgeber10454 жыл бұрын
Waislam mambo yao ni aje, uliza nani aliyejenga Pyramid,,kunao Aliens,,kwanini mtu.mweusi hapenwi na mtu.mweupe , bona.mtu mweusi anateseka hivi
@agnesjoseph3384 жыл бұрын
Wow!nakuelewa sana prophet david.ikiwa mpumbavu amesema moyoni mwake hapana Mungu,je atashindwa kusema hakuna kuzimu Wala mbingu?low understanding ndo inasumbua watu wengi.ninazidi kujengeka sana mtu wa Mungu.one day nitakutana na wewe huko dar.naitwa Pacha Alex,nipo Mwanza.nakupenda sana baba.msalim sana Aposto Brian.
@farajaamani55803 жыл бұрын
Amina baba yangu
@FamousBerry1394 жыл бұрын
Kula MTU ni prophet Sikh hizi? Kanisa imepoteza ladha
@danielmeiyan76054 жыл бұрын
Kazi jema Sana
@eunicewilson91954 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣,unabii ulio nenwa unatimiasasa watakuja manabii wa uongo inasikitisa Sana kwa mkristo kuamini vitu vya ajabu Kama hivi hizi ni mbinu za shetani
@eliarichard92183 жыл бұрын
Mtuachie tunao muamini.
@eunicewilson91953 жыл бұрын
@@eliarichard9218 😂😂😂😂bila kusoma biblia huwezi jua kitu utaamini kila kitu lakini biblia iko wazi usishupaze shigo yako kuamini Mambo ya hovyo
@eliarichard92183 жыл бұрын
@@eunicewilson9195 Asila za nini sasa muulize Roho mtakatifu aliye ndani yako siyo tyuu una Comment na huja muuliza huyo Roho wa kweli.
@eliarichard92183 жыл бұрын
@@eunicewilson9195 Au siyo Bible yako unayo soma imeandika hayo maneno kwaiyo acha kwenda kwa kufuata mbwembwe zisizo kuwa na akili 2Wakorinto3:17.
@victordavidmmbaga84913 жыл бұрын
Nabii wa Ukweli Yuko vipi? Samahani sikupingi Ila ningependa jifunza kutoka kwako pia? Unaposema hii sikweli iseme hiyo ambayo unaona wewe nikweli?
@lispamagu58102 жыл бұрын
Mungu tuhurumie
@reginachannel41264 жыл бұрын
Amen
@FamousBerry1394 жыл бұрын
Kula MTU ni prophet Sikh hizi? Kanisa imepoteza ladha
@victordavidmmbaga84913 жыл бұрын
Kuna tatizo gani kila nyumba kukawa na Nabii? Mbona Shetani ana watu kila nyumba(kila nyumba hakukisi mtu wa Mambo ya KIDUNIA) na hausemi Ni Wengi.?