yaani huyu kijana ameuguza moyo wangu,maneno yake anayo yaongelea yamenijenga,na kupitia huyu kijana nimeamua kibadilika na kumpokea yesu kama mwokozi wa maisha yangu.mungu na akubariki sana mahali ulipo.🙏
@calvinleka47284 жыл бұрын
Kauli yako ikatimie sasa YESU akapate kuonekana juu ya maisha yako
@mwendwa_m22 күн бұрын
Amen
@triphoniakinyaiya10682 жыл бұрын
Bwana Yesu Kristo Asifiwe watumishi wa Mungu. Namshukuru Mungu kwa alili ya mtumishi wake kutufundisha kwa habari ya kumrudia Mungu na kusimama imara kwa maombi. Ubarikiwe sana mtumishi
@sheillahwairai46913 жыл бұрын
Amen, kila binadamu atapiga magoti mbele ya mwenyezi mungu na kukiri YESU ni bwana. Hallelujah how sweet it's to love JESUS. God bless you so much and proclaim the goodness of God to everyone.
@victaeliud9483 жыл бұрын
Jaman. Natamani sana kuoneshwa mambo haya na MUNGU wa mbinguni.....hongereni sana mliopata hiyo neema..... Kaka jacktan barikiwa sana kwa huduma hii
@PromovertvTz3 жыл бұрын
Amen
@stephenmwanza6905 Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu,mimi ni mtumishi wa Mungu kutoka kenya,naeza nikakuona aje natamani sana kujua mengi ya mbinguni
@queenesther8505 Жыл бұрын
I think you should right a book about this experience,your testimony is eye opening God of Abraham,Isaac and Jacob bless you.
@blessedassurance47433 жыл бұрын
Kwa vitabu vyenye vilitolewa kwa Bibilia, kama Kitabu cha Enock all this is very clear. Thank you Prophet, nashukuru Yesu kwa kuniwezesha kukusikiliza na kuyasikia Haya. Sifa na shukran zumrudie Yesu pekee.
@natrinemweha86254 жыл бұрын
Amen...Mimi nimeelewa, mambo ya kiroho mtu hawezi yajua kama hajamkili Yesu ni Bwana...Asante Mtumishi.
@masalagulangwa37024 жыл бұрын
Jaman Mungu akutunze mwenye sikio n.a. asikiye maneno ya mtumishi prophet
@uwezoseleman55304 жыл бұрын
Once again moyo wangu unakataa kuupokea ushuhuda huu kama umetoka kwa Mungu, Nakuomba Bwana Yesu ikiwa huyu kk alikutana na Roho zidanganyazo muokoe kwa jina lako Amen.
Amen, Asante prophet David Richardson, nimebarikiwa
@carolinemulinge15864 жыл бұрын
Wow!!! I can't stop watching this again n again..u r such a blessing to many...may the name of the Lord b glorified forever. Watching in Idaho state America.
@elizabethbarasa10353 жыл бұрын
Nimejifinza mengi.mungu amempa nabii hekima kubwa. Thank you promova Tv barikiwa Sana
@marrytabuya9704 жыл бұрын
Ameeen,wenye misuli ya Imani,ndio watakaotoboza,njoni Kwa YESU,muone panvyolipa na chenji zinabaki,
@remmymhalla33234 жыл бұрын
Jactan Mungu akulinde, Kazi unaifanya kwa Moyo watu wanasikia Neno la Mungu na Kuokolewa. Ila Prophet bado ana mengi ya kutufunza ama kutujuza zaidi. Mpe muda zaidi kama ikiwezekana tuweze kijifunza zaidi. Hii ni zaidi ya Shuhuda. Ubarikiwe sana.
@marianachriss24444 жыл бұрын
Wake up,soma 2 wakorintho 11:13 shetani hujigeuza kuwa malaika
@remmymhalla33234 жыл бұрын
@@marianachriss2444 Noted. Mi napenda kusikia story tu. Kwa upande wa Safari ya Mbinguni ni mm na Yesu wangu tu.
@remmymhalla33234 жыл бұрын
@@marianachriss2444 Ila Kimbunga nitakitengeza one day. Lazima nivunje na kusambararisha ngome za wachawi
@prophetesspriscarichard4 жыл бұрын
Kama unataka kujifunza zaidi follow page ya KZbin Prophet David Richard
@stanleyguthia77717 ай бұрын
@@marianachriss2444 hii testimony ni ya kweli
@shalomkind45754 жыл бұрын
This is all true and am so so blessed to hear all these powerful revelations .napenda tu prophet aniombee jsmani natamani uwepo wa YESU MKOMBOZI.Jacktan nashukuru sana kwa ministry yako ubarikiw mno
@PromovertvTz4 жыл бұрын
Amen
@louisendunguru71062 жыл бұрын
I learn a lot from this.. testimony his mum prayed a lot for him.. Lord help me.. 🙏
@JuliasRanga-dd8zn Жыл бұрын
God bless you ushuda nzuri sana inagusa sana
@esterelias81894 жыл бұрын
Yesu yuko karibu kurudi..Nimeota mara nyingi sana.Dunian kunavita watu wanauwana lakini Yesu aliniambia wambie watu waokoke.....! Ahsantee Yesu.
@neemamwaiswelo48484 жыл бұрын
Amen, mtumishi wa Mungu. Barikiwa sana.
@mercyetago40203 жыл бұрын
Tumwombe Mungu Yesu akija atukute tayari.
@gabinessjeniffer6533 жыл бұрын
Ameen Mtumishi wa Mungu Kaka yangu
@davidmihambo30514 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu ila nashauri katika mahubiri yako muongelee Roho Mtakatifu kwa kipaumbele kikubwa maana yeye ndio mlezi na kiongozi wa kanisa hapa duniani.
@magdalenapeter61063 жыл бұрын
HUU NI USHUHUDA
@nuruluther98794 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi nabii wa Mungu mwenye Enzi yote.
@everlyneiminza57223 жыл бұрын
Amina Amen nimeskia mambo makubwa sana Mungu atusaidie
@damarisnjeri7820 Жыл бұрын
Umebarikiwa sana Mtumishi wa Mungu....ninakubaliana na wewe kuhusu lucifer mdogo sana nimewahi ona maono nikapewa waefeso 6:10 message was all about jinsi ya kupigana na shetani....Mungu ni mwema naomba kumuishia sana
@TusayiweLuwombe9 ай бұрын
May God continue revealing alot of hidden things to you,so that you have to teach us more things,thank you
@anitababyderickwasike78723 жыл бұрын
Amen Prophet Richard David...
@minicahsitati78263 жыл бұрын
To God be the Glory. Tafadhali niombee mimics na nyumba yangu tupate uokovu
@janesuday41754 жыл бұрын
Hongera kwa hiyo neema prophet natamani sana
@stanleyguthia77717 ай бұрын
POWERFUL TESTIMONY FOR GOD'S GLORY THROUGH JESUS CHRIST. HALLELUYAH
@yusuphmasangula236 Жыл бұрын
Mimi pia nataka kubadili maisha yangu nimechoka kuwa mtumwa wa dhambi,
@mtumishiDanny4 жыл бұрын
Asante jacktan kwakujitowa kuwa nawapa watu bahati yakusikiya ushuhuda kutoka kwa Mungu kupitiya watumishi wake Mungu ndiye atakulipa
@Brown00682 ай бұрын
kaka Jactan tuna deni na wewe juu ya huyu mtumishi tunataka ukae nae vizuri umlete tena aeleze kwa kina muda umekwisha wa kukaa duniani
@hamoskywebs25593 жыл бұрын
Nimebarikiwa sasa kweli mungu akuendeleze kabisa 🙏
@evetasoka64684 жыл бұрын
Haloo Bwana Yesu asifiwe mtu wa Mungu nashukuru sanaa kwaushuda wako mimi binafsi namini miakwa mia kama mtu wa Mungu napenda kukuambia mambo ya rohoni yanaeleweka kwa jinsi ya rohoni mwenye Roho wa Mungu hana haja ya kuelimishwa neno la Mungu linasema Yesu akasema nitawapelekea msaidizi nk
@JuliethMagele4 ай бұрын
Umenibariki sana ushuuda wako
@sarahmzungu66704 жыл бұрын
Ee YESU nisaidie jamanii ushuhuda huu umenigusa,,mbariki jactani kwa kumpa maona haya mtie nguvuuu katika kila hatua mana tunapata vingii mnooo vya kutuimarisha kiroho
@athumanisalehe8034 жыл бұрын
Mungu wangu niongoze nisikutende dhambi Siku zangu zote za uhai wangu hapa duniani, niongoze niweze kuingia Mbinguni
@barnabasmboya76884 жыл бұрын
Aisee huu ni ushuhuda mkubwa sana. Nimepokea vitu vingi sana. Asante Yesu
@frmaestrodavid4 жыл бұрын
I trust you prophet let all together save our world so that we can all live in a happiness life with our father who's in heaven who ever is watching this video make sure you share it with other so that we can all live where's no tears or sadness we all want to live where's peace only. prophet thx for your massage god bless you so much.
@brianmurimi-bx5eq Жыл бұрын
Amen 🙏 umenifuza sana
@monicahwanjiru80874 жыл бұрын
Amen...truly you are a servant of God...may God keep you in his presence all the time,wah actually its end times
@titinmbega41284 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi Jack na mtumishi David kwa ushuhuda huu🤲🤲🤲🤲🤲🤲💪💪
@mariachannelke97694 жыл бұрын
I like the way ur aploading these testimony❤️🇰🇪🇰🇪🇹🇿
@agathasungura50472 жыл бұрын
Mungu atutie nguvu
@prettylilma98963 жыл бұрын
I blv evrythng thng u have said nabii,i also had a dream last yr dec,i saw God akiwa kwa clouds amekasirika sana,naye yesu alikuwa amesimama na maria kando yake,venye Yesu aliona Mungu amekasirika alishuka na kutupulizia pumzi,tulikuwa wengi tumekaa kwa uwanja kama ya mpira....u r truly a Man of God!blessings frm KENYA!
@humphreykiveu94283 жыл бұрын
Maria?
@prettylilma98963 жыл бұрын
@@humphreykiveu9428 yes MARIA mama YESU!na usifkirie mimi ni mkatoliki...naaaah i'm a protestant,bt i saw HER bro.
@carolinederi56902 жыл бұрын
@@prettylilma9896 🤔🤔🙄🙄🤭🤭
@prettylilma98962 жыл бұрын
@@carolinederi5690 yes sis,that was a dream tht i will nvr ever forget!
@prettylilma98962 жыл бұрын
@@humphreykiveu9428 Yes Maria mama Yesu
@ivonaevarista46544 жыл бұрын
Asante jack endelea kutuletea na nyingine shuhuda jmn
@masalagulangwa37024 жыл бұрын
Asante sana mwanangu Mungu nitie nguvu nione ufalme wako very suprise
@bettysevera5104 жыл бұрын
Amen jina la bwana libarikiwe milele
@tamaralyza32804 жыл бұрын
Ni sawa lakini wapendwa msiache kuomba Mungu na kusoma Neno la Mungu alie Hai. Thanks brother Jactan your doing great work God Bless You Bro
@naomytemba43484 жыл бұрын
Jamani nimemuelewa sana jamani sana sana ubarikiwe
@gracejulius19144 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe huu wa kimbingu. Asante nimejifunza kitu jipya ndani yangu kutoka kwa wwe mtumishi wa Mungu. Bwana akubariki Sana
@josephmutemi74944 жыл бұрын
Ndugu Bwana akupe nguvu ya kutenda kazi yake ya kuwatia nguvu kwa jia za Bwana ,Barikiwa sana
@jacintamakokha15223 жыл бұрын
Glory to GOD. This is amazing Love. Truly John 3v16.
@JuliethMagele4 ай бұрын
Nimeguswa sana naushuuda
@emimamsangi33754 жыл бұрын
Dah Mungu nisaidie peke yangu siwezi,,Asante sana mtumishi
@cupcakesanddounuts65554 жыл бұрын
Powerful message thank you Brother
@lilianluhasi50534 жыл бұрын
Ni kweli nami imetokea katika familia ukishuhudia kwa watumishi wa Mungu wengine wanakufukiria vibaya, wengine wanakuogopa wengine wanakutenga kihuduma, Yesu Kristo aliye hai awaguse walitambue hilo, amen Ni kweli
@gaudensiamalawoni32154 жыл бұрын
Nimeguswa sana na nimepokea kwakweli alafu najiona mwepesi ni kama umenitua mzigo prophet..... MUNGU AZID KUKUWEKA WW KWAAJILI YETU NA VIZAZI VIJAVYO🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marrytabuya9704 жыл бұрын
ASANTE YESU,UTUKUFU,ENZI NA MAMLAKA ZINA YEYE TU,MUNGU WANGU NIREHEMU .MIMI MWENYE DHAMBI,NAOMBA UREHEM HATA UZAO WANGU NAMME WANGU,KAKA HAKIKA NI KWERI UMEMUONA JESUS.
@doreensamwely87403 жыл бұрын
Mmmmh mungu niokoe na jihanamu
@rachelhozza70474 жыл бұрын
Asante kwa sala ya toba ubarikiwe
@alicedidi87314 жыл бұрын
Mungu anatupenda sana Bora tu kuwa myenyekevu
@victoriasempindu69234 жыл бұрын
Amen maneno/utabiri wa nabii Yoel unatimia.Kijana kama huyu kupewa huduma kubwa hii. Kweli Bwana Yesu yuaja.(MARANATHA).
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
Hata shetani anawafuasi wake na kanisa ya kishetani ipo kila mahali duniani
@leahorito69494 жыл бұрын
You are a prophet for real...I feel it man of God
@janeomary84644 жыл бұрын
mungu wangu nisaidie niachane na dhambi mm mtumish niombee na mm baba niachane na dhambi
@Kinggeony4 жыл бұрын
That testimony is deep an powerful, Thank you
@pizzowizzo39974 жыл бұрын
Dah nimeelewa sana
@DariaLukasilayo3 ай бұрын
Yesu nakupenda
@doreensamwely87403 жыл бұрын
Yesu tawala moyo wangu
@VICTOIRESIMBAWADADYАй бұрын
Mungu wa pjm apewe sifa milele na milele
@shilamkasi41594 жыл бұрын
Amen mungu azidi kukutumikiya
@anitababyderickwasike78723 жыл бұрын
Amen be blessed Pro.
@elastoshimiye15763 жыл бұрын
Ubalikiwe nambi hakika umenigusa yesu nimwema kwakila mwanadam
@oscarngowi47503 жыл бұрын
Hakika
@susanwanjiru674 жыл бұрын
Amen..balikiwa Nabii Mungu
@NellyMadeni-yv6fd Жыл бұрын
Mungu atusamehe umerumia biblia kutafuta ukweli lakini haukufika mbinguni. Umejiinua aana kutafuta waumini
@alicedidi87314 жыл бұрын
Nabii Rechard please IAM tired of pretending to be a Christian help me Mimi ni mwenye dhambi simpendezi mungu kwa matendo yangu
@janekarigi-officialvideo90004 жыл бұрын
Nimebarikiwa mtumishi.mungu azindi kukuinua.
@annechege28724 жыл бұрын
Thanks so much for hosting. God bless you
@everlynesagina43874 жыл бұрын
Amen, mimi pia niko na tamaa ya kumtumikia mungu Bali nimekosa mwelekezi nitafanya aje
@bonifasiemanueli27083 жыл бұрын
Nitafute nitakusaidia
@rhodamkungu42374 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi.
@Sabriya-ms4ry3 жыл бұрын
Mtumishi wa mung karibu kwetu burundi
@SallyJesang Жыл бұрын
I believe all you're saying is very true 🎉❤💯💯💯🙌🙌
@annechege28724 жыл бұрын
There is nobody who can make such a story. This man is being used of God. Let those people with ears hear what the Spirit is saying
@julianampanduji60004 жыл бұрын
Amen
@neemamfusi44464 жыл бұрын
Nimebarikiwa na Ushuhuda wako mtumishi,,
@mashramadhani19893 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea kilichomtokea hii sio hadithi
@euniceeunice76804 жыл бұрын
Nina kama week sasa nimeoneshwa maono. Niliona ghafla dunia mzima inabomoka nikawa namtafuta mtoto wngu mala nilipo muona nikamuuliza mama angu yuko wp yan bibi yke ghafla nikamuona mama.then kuna neno likanijia likasema umejiandaaje kama siku ikitokea ghafla kama ulivyo ona jee ww utakua wp jee utakua tayali nikawa najisemea inamana lile neno ktk bible linalo sema mwingine atanyakuliwa na 1 ataachwa .ghafla nikaamka. Nikajifunza kama Mungu ananikumbusha nijiandae wkt umekalibia.....mwaka jana niliona maono ya kutisha sana.tulikua ndani mala nimesikia sauti nikatoka nje nikakuta watu wanaangalia juu kila mtu anashangaa na wengine wanapiga mayowe kama jamani mwisho wa dunia umefika kila mtu anakimbia. So nilipo angalia juu nikaona mfano wa watu lkn wana mabawa na sio weupe walikua wa kawaida wakawa wanashuka. Lkn kila walipo kalibia chini watu wengine wanauliwa na wale viumbe walipo kua wanashuka wengine wakawa wanaangukia ktk majumba mabovu wanakosa nguvu mala sauti ikasikika ikawatia nguvu wale viumbe wakainuka tena wakawa wanapigana na wanadamu so wengine wakashuka nilipo simama na mbele yangu niliona kile kiumbe kimeangukia kwenye jumba bovu moja wapo alafu kunachuma kikamchoma katikati ya tumbo yan akaangukia mgongo akawa anaangalia juu yan akawa mbele yngu lkn apa nilipo simama akaangukia kiumbe mwingine ambae alitaka kunizuru apo apo nikajikuta nina kisu nikamshikisha kile kisu shingoni mwaka nikamwambia jichinje mwenyewe kidogo nikamshilia kish shingoni nikaona damu kidogo sikumbuki ikawaje tena ila niliona watu wengi wanauwawa na wale viumbe mfano wa malaika ila wao sio weupe wana rangi ya kawaida. Nilipo amka nikasali sana nikampigia mchungaji wangu kutoka world mission group akanipa andiko ili apa .....ufunuo wa yohana 12 .7.9 linasema. ...Kisha kukazuka vita mbinguni: Mikaeli na malaika wake waki pigana na hilo joka. Joka nalo pamoja na malaika wake likapigana nao. 8 Lakini joka na malaika wake wakashindwa na hapakuwa tena na nafasi kwa ajili yao mbinguni. 9 Basi joka hilo kuu likatupwa nje, yule nyoka wa kale aitwaye Ibilisi na Shetani, adanganyaye watu wote ulimwenguni. Alitupwa chini ardhini, yeye pamoja na malaika wake......nimetoa ushuhuda huu ili kuwaambia watu aya mambo yapo na lzm tuamini maana ata bible imesema ivyo. Tukisoma ktk yoeli.2.28.30 inasema .... .... Kisha hapo baadaye nitaimimina roho yangu juu ya binadamu wote. Watoto wenu wa kike na wa kiume watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono. Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo. “Nitatoa ishara mbinguni na duniani; kutakuwa na damu, moto na minara ya moshi....jamani Yesu awatie nguvu wotee wamwaminie na ata wasio muamini wapate kuamini. Na ikawe ivyo.
@josephatjoseph17554 жыл бұрын
nimefurahi sana naomba nijue unatumia jina gani instagram mimi niko south africa ningeoenda kuwa rafiki na watu wa mungu kama wewe
@euniceeunice76804 жыл бұрын
@@josephatjoseph1755 +918447915629 nichek wsp situmuu ist
@lindajohn21564 жыл бұрын
@@josephatjoseph1755 jina Mungu ni jina kubwa unapoliandika lianze na herufi kubwa
@isayachaula51234 жыл бұрын
Naitwa Isaya Chaula naishi Zambia ila ni Mtanzania nahitaji urafiki na watu wanao mtumikia Mung . no:+260978167410 whatsapp
@isayachaula51234 жыл бұрын
Nahitaji tupige story juu ya habari za Mungu natwa (Isaya chaula)nimepeda sana juu ya habari za Yes .
@yusuphandrecus91454 жыл бұрын
Natumaini ulimuona mtumishi wa MUNGU Angela Chibalonza mbinguni akimwimbia BWANA YESU.. Ubarikiwe mtumishi
@fatumatandika6220 Жыл бұрын
Aameen
@florencemaina76914 жыл бұрын
Eeee Mwenyezi Mungu nisaidie kukaa katika utakatifu...😭😭😭😭
@mary.matullu82794 жыл бұрын
Amen So amazing Yes ulimwengu wa roho ni halisi kuliko tunayo dhani. Swali: kuna baadhi ya watu wakichukuliwa mbinguni au hell wanarudi na maonyo kwamba usivae hivi ama vile e.g earings Pete, alina fulani ya mavazi. Je wewe ktk trip zako za kuonana na Yesu au kuiona Mbingu na hell like ulishawahi kupewa hayo maonyo kuwaletea watu hasa wanawake? Ahsante.
@jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын
dah swali lako mbona zuri sana jmni...yaani lingejibiwa ingekuwa poa mno
@melissateddybearcossan95064 жыл бұрын
@@jedidahbintidaudi8241 nasubiria majibu na mimi,lakin kwa vile mambo yake ni ya kimaombi pengine hakuingizwa katika mambo hayo ,ila huo ujumbw upo karibia kila nchi
@annapeter49943 жыл бұрын
Amina Amina mtumishi wa Mungu
@jacintamakokha15223 жыл бұрын
Isaiah 54v17 is our portion, when we choose to obey. and you have obeyed, keep on being faithful. Shalom.
@orisabwe74244 жыл бұрын
Amina Mungu akutie nguvu na hekima kubwa
@fatumatandika6220 Жыл бұрын
Maash Allah
@benwater49574 жыл бұрын
Excuse, hakuna visingizio mtumishi. Ahsante sana mtumishi wa Mungu
@lindajohn21564 жыл бұрын
Mungu nipe macho ya Rohoni nami nipate kukuona kusema nawe natamani sana
@bettysevera5104 жыл бұрын
JINA LA BWANA LIBARIKIWE. YESU NDIYE YULE JANA, LEO NA MILELE.. ASANTE YESU. AMINA
@lukapastory3 жыл бұрын
Kijana nakujua Tabia zako, Usitudanganyee
@EstomineHenry8 ай бұрын
Una mjua vipi
@veronicamhanga25484 жыл бұрын
Nampenda huyu YESU, barikiwe sana
@agnessgalus65584 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@suzanakamala36153 жыл бұрын
Nabii shuhuda zako zinanijenga na kunihimalisha. Barikiwa sanaana.