Malangalila "Nina Imani Iringa hatujasimika Chifu, Ni Tusi Kubwa Sana Chifu Kusimikwa na Mwanamke"

  Рет қаралды 3,970

UoI TV

UoI TV

3 жыл бұрын

Mzee wa hekima za kihehe Gerald Malangalila, amesema kuwa Chifu wa sasa wa Iringa Adam Abdul Sapi II, hajatimiza vigezo vya kuwa Chifu wa Wahehe kutokana na sherehe ya kusimikwa kwake kutokua halali. Amesema miongoni mwa masharti ya kusimikwa kwa Chifu wa Wahehe ni lazima anaetaka kusimikwa awe na umri kuanzia miaka 28, umri ambao Chifu wa sasa wa Wahehe hajautimiza. Sambamba na hayo amesema ni matusi makubwa Chifu kusimikwa na Wanawake lakini pia ni suala la aibu kwa Chifu kuibiwa viatu siku ya kusimikwa kwake.

Пікірлер: 15
@user-mf7mz6bf4k
@user-mf7mz6bf4k 6 ай бұрын
Sahihi kabisa
@robbyman6213
@robbyman6213 7 ай бұрын
Mm Ni Mahembe - Myinga,,,, Naunga Mkono Hoja.
@nicodemshello163
@nicodemshello163 11 ай бұрын
Mila zenu ni nzuri sana
@user-tg9gm5rr8f
@user-tg9gm5rr8f 9 ай бұрын
Mimi mwenyew nolijiuliz mbona Kuna wanawake wanashiriki hiz milla
@alexikim7005
@alexikim7005 7 ай бұрын
Mashemenji msifanye hivo, tulizaneni alafu mtuite tutoe tamko, Utemi wa Wahehe rudisheni sheria zahihi
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 жыл бұрын
Mzee uko sahihi kabisa wana halibu maana ya chifu wapate balidi ya bisi hao ili wajifuze kuheshimu mira desturi na utamaduni wetu
@isayakahemela4881
@isayakahemela4881 2 жыл бұрын
Upo sahihi 100%
@emanuelmwisaka5163
@emanuelmwisaka5163 Жыл бұрын
Mzee malangalila umesema kweli ,Mama hana kibali Kwa wahehe juu ya kumsimika shiefu,Sisi
@Roycotz
@Roycotz 3 ай бұрын
Baba mkubwa
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Жыл бұрын
MMMMM HUWEZI FANYA ASILIMIA 100 KAMA ZAMANI ZA MKWAWA WEWE MUHEHE KULA KA MBWA HAPO NA BUGIMBI UTULIE
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 жыл бұрын
Wahehe tunahujumiwa mira zetu sikunyingine wakileta huu uki here here watakutana na nyuki au radi
@emanuelmwisaka5163
@emanuelmwisaka5163 Жыл бұрын
Ukwelewa Nene kwileme kutilive Nene ndimwisaka ndisaka ukudeka,mwisho wa siku tunasema tunamatatizo wakati tunayatafuta,
@emanuelmwisaka5163
@emanuelmwisaka5163 Жыл бұрын
Tunaomba Mzee msimamia Sheria zetu juu ya Mila na destur, huyo msafa ye mwanan twigusa ulukolo, kwakweli mwanamke Kwa Sisi wahehe kufanya hayo katukosea,
@naftalimhemi1208
@naftalimhemi1208 2 жыл бұрын
Funye amati.
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 2 жыл бұрын
Kangi vatutoje sweeee mkwi yibaba yafwe pekwichaa.
IJUE HISTORIA YA CHIEF MKWAWA WA IRINGA TANZANIA
14:40
Agventure_tz
Рет қаралды 128
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 35 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 12 МЛН
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
TAZAMA MSANII WA NYIMBO ZA ASILI KIDUO AKIIMBA WAKAKTI WA MAZISHI YA Sr.Agnes MWENYE MIAKA 111
4:08
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 01)
30:40
kicheche
Рет қаралды 1,1 МЛН
FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 15)
15:04
kicheche
Рет қаралды 311 М.
BIBI AWAACHA WATU HOI/ 'AKICHAPA' KIHEHE MBELE YA WAZIRI
5:36
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 49 М.
🔴#TSC: KABURI LA BABA YAKE CHIFU MKWAWA
2:29
Tanzania Safari
Рет қаралды 1,4 М.
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 35 МЛН