🔴

  Рет қаралды 1,593

Tanzania Safari

Tanzania Safari

Күн бұрын

Baba yake Chifu Mkwawa alijulikana kwa jina la Munyigumba Tengamahumba Chengamahomelo Muhomiyao Muyinga ambaye anasadikiwa kufariki miaka ya 1860 na kuzikwa katika kaburi lililopo Iringa kijiji cha Rungemba Halmashauri ya Mafinga wilayani Mufindi.
Baba yake Mkwawa alizikwa na mtu hai aliyefahamika kwa jina la Segeleni Mwang’owo aliyeingia kwenye kaburi na kumpakata marehemu na kuzikwa naye ambapo zamani ilikuwa ni fahari kuzikwa na Chifu hivyo watu wengi kugombea kuzikwa na Chifu.
Alipewa jina la Tengamahumba kwa sababu ya kuunganisha makabila kama vile Wahehe, Wazungwa, Wasagara na Wabena kuwa kitu kimoja.

Пікірлер
Mjue Chifu wa Wahehe, Adam Abdu Sapi Mkwawa
5:39
Azam TV
Рет қаралды 68 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 62 МЛН
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 11 МЛН
Spongebob ate Michael Jackson 😱 #meme #spongebob #gmod
00:14
Mr. LoLo
Рет қаралды 10 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 30 МЛН
Simulizi ya historia ya shujaa wakihehe chief Mkwawa
40:45
ITV Tanzania
Рет қаралды 6 М.
Dkt Mwandulami : Mtu anayejijengea kaburi  la kifahari Njombe Tanzania
2:07
Chifu Mkwawa alivyowapasua vichwa Wajerumani.
39:52
ITV Tanzania
Рет қаралды 15 М.
KABURI LA AJABU: LIMEKATAA KUHAMISHWA, MAJIRANI, SHEHE WALIZUNGUMZIA..
3:58
JPM UTASHINDA KWA KISHINDO, CHIFU ADAM MKWAWA ATABIRI
0:48
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,5 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 62 МЛН