MALI ZA MAREHEMU /part 1/

  Рет қаралды 119,581

BabaJoan

BabaJoan

Күн бұрын

#lovestory #comedy #babajoan

Пікірлер: 149
@marykerubo4775
@marykerubo4775 5 ай бұрын
Kweli baba Joan unaendelea kupiga hatua kila kukija ..wacha mola akuzidizie zaidi🙏🙏🙏
@Mwanajuma-ro9sl
@Mwanajuma-ro9sl 5 ай бұрын
Watching from baharain big up guys mumetisha Yani move iko na mafunzo
@NiyinkuruBelise
@NiyinkuruBelise 5 ай бұрын
Baba Joan ukwel enderea kabisa na film zinatufulahisha sana pamoja na Patronaiza film zenu zinatupea masomo mazuli sana mubalikiwe
@DoreenTerry-nl8fq
@DoreenTerry-nl8fq 5 ай бұрын
Woww this is more 🔥🔥🥴🥴🥴🥴 congratulations 🎉🎉part too kwa mpigo
@marwagabrielmwita4947
@marwagabrielmwita4947 5 ай бұрын
Badala mpongeze mwigizaji kwa kazi nzuri ...kutoa kazi mapema baada ya series iliyopita .. nyinyi mnaomba likes, ili iweje Sasa mkule au muuze!!!
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp 5 ай бұрын
Nashangaaa😊😊
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 5 ай бұрын
🫡🫡
@willykijanaa
@willykijanaa 5 ай бұрын
waambie kweli mkuunduguyangu😅😅😅
@user-xz7ue4wc9s
@user-xz7ue4wc9s 5 ай бұрын
🫶👍👍👍👍
@user-xz7ue4wc9s
@user-xz7ue4wc9s 5 ай бұрын
​@@RukiaDzombo-uf7wp🎉🎉🎉🎉🎉
@maalimali5513
@maalimali5513 5 ай бұрын
Hongera baba ipo Joan ❤❤vizuri🎉🎉
@mildredoenga4651
@mildredoenga4651 5 ай бұрын
Akili mtu wangu😂😂😂😂😂
@emmanueljackson-jk5fp
@emmanueljackson-jk5fp 5 ай бұрын
Baba joan hakika sijawai kukosa kazi yako hata moja nakukubali sana kutoka Musoma -Mara
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 5 ай бұрын
Upo musoma sehem gani kaka
@emmanueljackson-jk5fp
@emmanueljackson-jk5fp 5 ай бұрын
@@alhimnamussasaid3619 Musoma majita rodi
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 5 ай бұрын
@@emmanueljackson-jk5fp nimewahi kufika musoma lkn nilikosa mwenyeji tena hapo hapo majita road nilifikia texas Lodge
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 5 ай бұрын
Baba joan hongera kwa kazi nzuri Ila ombi moja kwako kuna kile kibinti cheupe kileigiza mlimpa mtt aisee nakipenda sana
@stellamwakyusa7929
@stellamwakyusa7929 5 ай бұрын
Hivi kwann baba joani kila picha unawekwa picha mimacho kengeza .badilisha bana.picha zako tamu sana.ila mimacho unayoweka kwa muonekano wa mimacho yako ata
@ErasmeHORANIMANA
@ErasmeHORANIMANA 5 ай бұрын
Amazi arashuha ntiyibagir ibumbeho from BURUNDI
@Sauibr
@Sauibr 5 ай бұрын
Uweeee siseme kuwa et nimewahi 😂.❤❤❤🎉🎉
@JustinBizy
@JustinBizy 5 ай бұрын
Baba Joan tunakupenda sana kabisa uko muingizaji bora. Tutaomba sehemu zakufuta
@annamarymakala1233
@annamarymakala1233 5 ай бұрын
Daaaah imeishia patam😊
@JohnSinankwa-ur3ul
@JohnSinankwa-ur3ul 5 ай бұрын
Baba Joan ntya hene narindabakumuye
@MzuriSamasi
@MzuriSamasi 20 күн бұрын
😅😅😅😅
@philohmutua2968
@philohmutua2968 5 ай бұрын
Baba joan nipe like yako atakama nimechelewa bora nimwfika😢😢
@MaryElizaElizabeth
@MaryElizaElizabeth 5 ай бұрын
❤❤❤❤
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 5 ай бұрын
Haya sasa wenye madeni yasiku3😮😮 na vikoba. Waaaaaaaaaaaaaah!!
@salomejames9639
@salomejames9639 5 ай бұрын
😂😂uwiih
@user-vg4hw8rk6q
@user-vg4hw8rk6q 5 ай бұрын
Nimechelewa aki nimekuwa kazi yaramandani nimefika ❤❤❤❤❤❤
@user-eg1nq7cj8i
@user-eg1nq7cj8i 5 ай бұрын
Nipen like hata tan 😢😢
@joankwamboka5566
@joankwamboka5566 5 ай бұрын
Za??????? Kichwa kizito ndio hakisikii. Kuomba like is NOT a comment
@Fadhila0-x7c
@Fadhila0-x7c 5 ай бұрын
Kichwaa kikuu nakuona
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 5 ай бұрын
Vizuri kaka nafrai kukuona 🙌 🙏
@DoreenTerry-nl8fq
@DoreenTerry-nl8fq 5 ай бұрын
Sasaa clam wangu😂😂😂miss youu
@dorinenekesa903
@dorinenekesa903 5 ай бұрын
Leo nmewai mapema kutoka kenya nkaribishe na likes zenu jameni kutoka Tanzania nawapenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@veronicashafi4838
@veronicashafi4838 5 ай бұрын
😮😊😮
@Munaaa255
@Munaaa255 5 ай бұрын
Good job,new job dad j congratulations all
@tobiaschirwa9364
@tobiaschirwa9364 5 ай бұрын
Hongeleni Sana team ya baba Joan kwa kaz zuri tunawapenda sana from malawi hakika sijawahi kukosa kaz zako tuko pamoja ❤❤❤
@JumaSaid-ql5uz
@JumaSaid-ql5uz 4 ай бұрын
kazi nzuri baba tupo pamoja. Bin Said from Zanzibar
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k 5 ай бұрын
Baba Joan nimerudi tena vip likes zangu❤❤❤❤
@salomejames9639
@salomejames9639 5 ай бұрын
hapo sasa kwenye uo mzimu utasikia nyumba haiuzwiii 😂😂dadeki baba joan wew ni fundiii nakukubali
@Andreaediga
@Andreaediga 5 ай бұрын
Umetixh xan😂😂😂❤❤❤🎉🎉
@AdamSoldier1999
@AdamSoldier1999 5 ай бұрын
kaz kaz ila michezo yako samahan punguza dini dini mkuu piga kaz
@BIZZO2
@BIZZO2 5 ай бұрын
Good job❤
@user-gc5xf2bd1y
@user-gc5xf2bd1y 5 ай бұрын
Gai jamii move tamu San ila uvivu mweng sn
@AbelFrancis-ww7cb
@AbelFrancis-ww7cb 5 ай бұрын
Good job 😂😂😂
@MakoriHazael
@MakoriHazael 5 ай бұрын
Eeeiiish,Nan anampenda baba Joan gonga like hapa, keep it up baba Joan 's team
@EliasNIYOMWUNGERE-ho2mi
@EliasNIYOMWUNGERE-ho2mi 5 ай бұрын
Amazi arashuha ntiyibagira ibumbeho.
@hafsahmassemoh3598
@hafsahmassemoh3598 5 ай бұрын
Mwalim Kipara hujamea nywele 😂😂😂😂😂 ongeren nyte kaz nzr sana 🎉🎉🎉
@musakalamu9133
@musakalamu9133 5 ай бұрын
Hiyo nyumba nayo ifanyiwe usafi
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp 5 ай бұрын
Watching from Kenya,, good work,,,,l can't wait to watch part 2
@Mimienoc
@Mimienoc 5 ай бұрын
Ze 🆕 ☝🏻
@ThierryOMBENI-h6p
@ThierryOMBENI-h6p 5 ай бұрын
Nawafwata kwenye kishindo kikubwa toka Bukavu Town 🇨🇩
@user-rh7hk4il2m
@user-rh7hk4il2m 5 ай бұрын
Nimefurai kwa film hii inazungumuziya kuhusumaliya baba
@user-jz3qu8mi4g
@user-jz3qu8mi4g 5 ай бұрын
Plz paty 2
@rahmajuma2946
@rahmajuma2946 5 ай бұрын
Tatizo la kuishi wanawake wengi nyumba moja hua ni Mthihani sana Yani kuosha vyombo pia Shida hadi watu kupigana loooh!!😂😂😂😂
@franciscassian
@franciscassian 5 ай бұрын
Mzee wa hovyo 😂😂😂
@RaskazoneZoo-kg9qh
@RaskazoneZoo-kg9qh 5 ай бұрын
Duuuh wadada wa hii familia ni wanamatako duuuh
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk 5 ай бұрын
Twinnie nakuona 😂😂 madimpo wangu❤❤ hongereni sana👏
@revocatusclavery3562
@revocatusclavery3562 5 ай бұрын
Hivi kweli hawa ni matako Yao hàlali😂😂
@DancanWakhu
@DancanWakhu 5 ай бұрын
Baba Joan kusema ukweli najifunza mengi sana
@trippermwenda3812
@trippermwenda3812 5 ай бұрын
Wa kwanza nipewe likes zangu🇰🇪
@user-em5yb5us7w
@user-em5yb5us7w 5 ай бұрын
Kila siku tunakua tunangoja vema kutoka kwenu baba .❤❤from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Mawengeactor
@Mawengeactor 5 ай бұрын
💥💥💥hatari sanaa
@user-gx9gd9zc3o
@user-gx9gd9zc3o 5 ай бұрын
Waaah noma sana😂🎉❤😊
@officialjuguy3921
@officialjuguy3921 5 ай бұрын
Kazi nzuli
@AaIi-qw3ec
@AaIi-qw3ec 5 ай бұрын
Mwenye amekuka deni yeye vipi ?😂😂😂😂😂much love from Saudia ❤❤❤❤
@SofiaNamukuchu
@SofiaNamukuchu 5 ай бұрын
I love this ❣️❣️ baba Joan ❤❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 ай бұрын
Ndonaingiya kwa baba joani ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@ranueljoel2577
@ranueljoel2577 5 ай бұрын
Tumeianza salaama basi tuimalize salaama ❤️
@OmanOman-ru4eu
@OmanOman-ru4eu 5 ай бұрын
Big up baba joan ❤❤
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 5 ай бұрын
Kheeeee kazi ipo 😂😂😂😂
@VannyBaby
@VannyBaby 5 ай бұрын
Kazi nzuri
@marynyota6146
@marynyota6146 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@stevensilungwe41
@stevensilungwe41 5 ай бұрын
Zambia ikutazama Kazi nzuri ukweli sana
@user-te6qu3fx9z
@user-te6qu3fx9z 5 ай бұрын
Safi big brother 😂😂😂
@user-uh6cf7fb2k
@user-uh6cf7fb2k 5 ай бұрын
Baba Joan kazi yako yapendesha
@user-fq6vh5ks9z
@user-fq6vh5ks9z 5 ай бұрын
Kazi nzuli ❤❤l'm from Burundi 🇧🇮 ♥️
@JosephMwalujey-zz2fy
@JosephMwalujey-zz2fy 5 ай бұрын
Sjachelew sana naomben kndongo2
@ShadrackKilosho-f9k
@ShadrackKilosho-f9k 3 ай бұрын
Shut up I'm your Big Brother.Do you know me😂😂😂Shut up I'm your Big Brother. Do you know me?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-tc5le7sv7t
@user-tc5le7sv7t 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@EricDaniel-do5rw
@EricDaniel-do5rw 5 ай бұрын
Mimi wa kwanza 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MR_RAMSATZ
@MR_RAMSATZ 5 ай бұрын
naomba like zangu broo
@ConsciousBNB
@ConsciousBNB 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@robertokari3736
@robertokari3736 5 ай бұрын
Nampenda Vicky na baba Joan ❤❤❤
@Roze-so4he
@Roze-so4he 5 ай бұрын
Kazi safi sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 ай бұрын
Kago ndani ya mjengo 🙌 🙌 🙌
@user-wj7vo5kv4n
@user-wj7vo5kv4n 5 ай бұрын
Nakupenda baba jon kazi zako hazichelew
@Grace-rx5xy
@Grace-rx5xy 5 ай бұрын
Wa Kwanza nipewe likes zangu
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 5 ай бұрын
Huyo sio kichwa kikuu ni kiaz kikuu
@user-pp3vo8rw5j
@user-pp3vo8rw5j 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HawaMlenda
@HawaMlenda 5 ай бұрын
Kaz nzr
@OripaMosha
@OripaMosha 5 ай бұрын
😅😅😅kiazi kikuuu😅😅😅😅
@user-fn6tb3si7m
@user-fn6tb3si7m 5 ай бұрын
Baba Joan hongera🎉🎉🎉
@rehemajuma3250
@rehemajuma3250 5 ай бұрын
baba joan umeweza
@user-pm7he7yk1e
@user-pm7he7yk1e 5 ай бұрын
Good job baba joan
@JohnAyiega
@JohnAyiega 5 ай бұрын
Good job
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 5 ай бұрын
Kazinzuri sana 👍 👍 👍
@user-by6bg2fq6b
@user-by6bg2fq6b 5 ай бұрын
Good idea, next pleaz
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j 5 ай бұрын
😂😂😂 Amazi rashuha ntiyibagiri rumbeho ❤❤❤
@user-fm9po9hb8k
@user-fm9po9hb8k 5 ай бұрын
Shida ya mm nikimuona kago😂nacheka ata akiwa serious vp😂😂
@SweetMafofenyane-rc4ih
@SweetMafofenyane-rc4ih 5 ай бұрын
Powa
@user-dh4pz6rp3m
@user-dh4pz6rp3m 5 ай бұрын
Kazi nzuri🎉🎉
@MOSESCOdeINJECTOR
@MOSESCOdeINJECTOR 5 ай бұрын
iko poa ii endelezeni ivo ivo👊👊
@rosemarenga832
@rosemarenga832 5 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤
@puritydavid9003
@puritydavid9003 5 ай бұрын
Apa Kuna sada
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta 5 ай бұрын
Uzeni nyumba
@kidsix254
@kidsix254 5 ай бұрын
Ni salimiee patronize
@timeonlinetv2516
@timeonlinetv2516 5 ай бұрын
Kutoka makambako njombe like hizo
@user-qu9uq4ng5d
@user-qu9uq4ng5d 5 ай бұрын
Iyi Iko poa sana imeturia
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd 5 ай бұрын
❤❤❤
@mutanyibenard4280
@mutanyibenard4280 5 ай бұрын
Leo nimekuwa wa kwanza kutoka kenya
@EmmanuelMbise-bg3jx
@EmmanuelMbise-bg3jx 5 ай бұрын
Sekunde ya 51
@BakrishaMohammed
@BakrishaMohammed 5 ай бұрын
Umetisha 😊😊
@user-cl9dz6kk7u
@user-cl9dz6kk7u 5 ай бұрын
🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲wamwisho
MALI ZA MAREHEMU / part 2/
28:41
BabaJoan
Рет қаралды 66 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,3 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 2,3 МЛН
MALI ZA MAREHEMU FULL MOVIE/BONGO MOVIE FILM
1:45:12
BabaJoan
Рет қаралды 210 М.
KIJANA ANAYEIMBA KWENYE MOVIE ZA CLAM VEVO NA BABA JOAN
11:37
Walimwengu Media
Рет қаралды 51 М.
SINA KOSA #babajoan
14:43
BabaJoan
Рет қаралды 329 М.
HOFU Full movie/Bongo movie /Action movie
59:06
BabaJoan
Рет қаралды 106 М.
MALKIA SANURA S02EP01
15:24
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 40 М.
MAISHA YETU Ep / 01/
22:15
BabaJoan
Рет қаралды 116 М.