Malinde kwetu napaona kweli atakama nilizaliwa Tanzania Lugufu Namuona mtumishi mleke kitambo sana toka tukiwa watoto apale Lugufu tuliwa wote kijiji kimoja A8 ❤❤
@kizadieudonne3474 Жыл бұрын
Yes anafahamika sana mleke
@faridaliliane3763 Жыл бұрын
Mungu akuweke baba ulisaidia wengi sana 🙏
@mtyona7 ай бұрын
Ana uduma Kama baba yangu wa wa kiroho Aise 🥰🥰🥰😍
@kizajacqueline8583 Жыл бұрын
Amen bwana yasu Asifiwe Sana mtume wa Mungu 🙏
@SafiElongo-yh6cr5 ай бұрын
Jambo tanganyika mungu hakuhongezee maisha marefu baba mleke'
@SafiElongo-yh6cr5 ай бұрын
Jambo redio tanganyika na itwa safi nataka kuongea nanyie
@binheritieralamandataraja Жыл бұрын
Mungu akulinde na akuepushiye na ya chini ya Dunia
@abwevincent1438 Жыл бұрын
Amen 🙏 baba mungu akutangulie
@mariagorety284 Жыл бұрын
Kwa kupata namba ya uyo mchungaji mtu afanyaje naitaji namba yake ili niwe napata maombi
@koperawasona9551 Жыл бұрын
Amina Mungu akubariki
@mbavuevelyne472810 ай бұрын
Siku nyingi kweli depuis 2006
@thomasmmoka4884 Жыл бұрын
Umaskini mkubwa Malinde! Maendeleo sambamba na dini ni muhimu!
@rizikivincent5255 Жыл бұрын
Natuma maombi ya inchi yetu aiombee ipone ugonjwa wa vita ili tupate amani na usalama inchi yetu inaugonjwa mkubwa ulioingia inchini mwetu na kirusi hicho ni wanyarwanda ndo kirisi kilicholeta ugonjwa wa vita inchini mwetu korona ilikemewa ikasikia sasa kunabaki kirusi cha wanyarwanda nacho kinasumbuwa wacongomani inchi mwao
@dinaalondamachozi7529 Жыл бұрын
Apana same sana baba wangu ma ana mungu wa sasa apendi😮😮😮😮
@sabinaelias2871 Жыл бұрын
Naomba namba za hiyo mtumishi
@dinaalondamachozi7529 Жыл бұрын
Sima apo kama yesus ni mungu ma ana tuko apa
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Na wewe mtangazaji kabisaa ulivyochana hivyo unasali??
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Shida zinatufanya tumkosee Mungu
@trophywilson7211 Жыл бұрын
Wanawake ndio tunaohangaika saana
@sharlottekiza6284 Жыл бұрын
Naitaji number za mchungaji uyu
@iongwaezekiel9060 Жыл бұрын
Ndugu mtagazaji wa tanganika TV naomba namba za mtumishi MLEKE