MAMA AGGREY AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MWANAE/Kaniambia anataka kuoa

  Рет қаралды 12,134

BONGO 24 NEWS

BONGO 24 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@CarenMkoma
@CarenMkoma 17 сағат бұрын
Always mtoto mbaya ni mzuri kwa mama yake, hata huwezi mkataa mwanao mbele za watu kama kweli ni wako
@charlestalented161
@charlestalented161 Күн бұрын
SUBIRINI MFUNGIWE 😂😂
@asnathmbwambo6904
@asnathmbwambo6904 11 сағат бұрын
Jamaniiii,daaah!!!Haya baba yake nae yupo wapi?
@سلمىسلمى-ث5ط9ب
@سلمىسلمى-ث5ط9ب Күн бұрын
Wewe sio mama ake nimesikiza nimeelewa kitu ata ukumboki chochote kuhusu utoto wa mwanao kitovu 😂 pia unasema anataka kuowa 😂je atamtiya vidole huyo mkewe 😂 mh mama wa kiki wamchongo 😂
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 Күн бұрын
Mama ni mgonjwa hajui alitendalo sasa ndo napata picha. 😅😅😅😅
@VictoriaNgatunga-nm9py
@VictoriaNgatunga-nm9py Күн бұрын
Huyo sio mama ake agray,namjua huyo mama anaitwa mama zai anakaa tabata mtambani 😅😅😅
@sakinahamza5325
@sakinahamza5325 Күн бұрын
Atafungwa shauli yke
@NashNash-l3f
@NashNash-l3f 16 сағат бұрын
Uyu mma namjua anaishi tabata mtambani anaitwa mma zay
@Jamila_1996
@Jamila_1996 Күн бұрын
Eti nilirudi na mafuta😂😂😂hayo mafuta si yamekuja miaka ya juzi tu hapa😂😂😂emu kuweni serious basi
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u Күн бұрын
Mungu wangu nakuomba simamia taifa letu wanaume lazima wawe wanaume
@LucyOmary
@LucyOmary Күн бұрын
Uyu sio mamaake toka hapa
@AminaAwadhi-f5m
@AminaAwadhi-f5m 22 сағат бұрын
Agrey ifungulie mashtska hii radio inakuvunjia uaminifu kwenye madhabahu kwa vile anaongea tofaut na shuhuda zakooo
@fatmahally3054
@fatmahally3054 21 сағат бұрын
Nmeona Agrey amesema mamaake alifarki tokea 2007 jaman amekanusha sio mamaake
@besttrendingcovers1838
@besttrendingcovers1838 Күн бұрын
huyu si mama yake kabsa 100%
@FeisalKadinda
@FeisalKadinda Күн бұрын
Muungoo aggrey Hana mzazi usitafutee kiki mbwaa ww umamayo
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 Күн бұрын
😂😂😂 wapuuz t
@dinocastico8495
@dinocastico8495 Күн бұрын
Sasa kama kitovu kilianguka mbele anaowaje sasa mama?
@caashamacalini3887
@caashamacalini3887 Күн бұрын
Baada ya ugonjwa kupelekwa hospital kulazwa yuko hoi pale ndio alijua mungu yupo ndio alipoenda kanisani baada ya kuona dunian sio pale mahali kwetu
@fatmahally3054
@fatmahally3054 21 сағат бұрын
Mm linanichefua hili limama mfyuuuu
@dianambwilo
@dianambwilo Күн бұрын
Jamanii mbona mwenyewe anakataa!
@HappyChurros-ef5gd
@HappyChurros-ef5gd 22 сағат бұрын
Sio mama yake
@LucyMulenga-wu4yt
@LucyMulenga-wu4yt Күн бұрын
Mie sielewi ujue😢😢
@RosaKelvin
@RosaKelvin 20 сағат бұрын
Kubwa Zima ovyoo
@nashnene6326
@nashnene6326 Күн бұрын
Wewe mama umeulizwa je ulimchukulia hatua gan mwanamme uliemkuta nae day one? Jibu nyoosha maelezo hatutaki maneno mengi
@Jamila_1996
@Jamila_1996 Күн бұрын
Aggrey mwenyewe wa 87,huyu mdada akizid sana 85. Mmetuona sisi matako yenu,mtakuja mfungwe kwa kutafuta viewers
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 Күн бұрын
Mnatafuta views kwa kusema uongo.
@aluthajoseph2841
@aluthajoseph2841 Күн бұрын
Mwandishi c umuache mama aongee
@homeboy2307
@homeboy2307 23 сағат бұрын
kwa sasa makosa yote ya huyo jamaa mnayapata ninyi wandishi wa habari
@MoanayediJuma
@MoanayediJuma 23 сағат бұрын
mi si niliskia mama ake alikufa
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Күн бұрын
Malaya anadanganya,ningekuwa mimi ningeyashtaki.
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Күн бұрын
Uyoooo nii muongooooi SIOOO manaaa looooo K I. K I. JE INASIMAMA??? IYOOO FIMBOOOOOOP???
@FeisalKadinda
@FeisalKadinda Күн бұрын
Achaaa unafki
@bupeexaud2844
@bupeexaud2844 Күн бұрын
Agrey alisema yeye ni mtoto wa mwisho leo tunaambiwa wa kwanza uongo dhambi.
@ivanamkapa2369
@ivanamkapa2369 Күн бұрын
Huyo sio mama yake
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 Күн бұрын
Kweli inaonyesha sio mama ake mzazi
@Yustina-q7x
@Yustina-q7x 17 сағат бұрын
Mama mbichi afu Agrey ni wa mwisho.Acheni uongo
@LucyOmary
@LucyOmary Күн бұрын
Uongo toka hapa mbwa wewe
@alicemarando8278
@alicemarando8278 Күн бұрын
Huyo si mama yake mama yake.alishafariki siku nyingi
@speciosermusika2009
@speciosermusika2009 Күн бұрын
Mmmmmh wewe khaaa
@HidayaMzima-n8w
@HidayaMzima-n8w Күн бұрын
C anaweza akawa hata mama mlezi, Kuna wengine hawana mama mdogo Wala mkubwa, wao jina lao mama ma mdogo mama, mkubwa mama
@Jamila_1996
@Jamila_1996 Күн бұрын
Hujamskia huyo kasema ye ni mamake mzazi​@@HidayaMzima-n8w
@Petitejollie
@Petitejollie Күн бұрын
Wapumbavu nyie na habari zenu Za uongo
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk Күн бұрын
Kuma ww siyo mama yake
@Fatimamedia255
@Fatimamedia255 Күн бұрын
Cyo mama yake huyo
@nyilayusuph5315
@nyilayusuph5315 Күн бұрын
So mamaak
@maryamtan682
@maryamtan682 Күн бұрын
Tuonyeshe mm ake.
@HadiaAme-x5f
@HadiaAme-x5f Күн бұрын
Kweli maana km mama unamuachaje mtt na unamuona anapotea
@Petitejollie
@Petitejollie Күн бұрын
@@maryamtan682nyie ndio huwa mnaamini kila uongo wa KZbin...haya basi ni mamake 😅
ITAKULIZA DUDU BAYA AELEZA MENGINE MAZITO KUHUSU MTOTO WAKE ALIEROGWA
23:17
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
MKE WA DAVI WA HUBA ATOA TANGAZO BAADA YA NDOA YAO NA DAVI WA HUBA.
8:17
MBOWE AMTOLEA LISSU UVIVU, AMLIPUA VIBAYAAAAAAAA
51:58
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 4,3 М.