Jamani kila anahesi ana mama kama huyu...mwenye hekima zake na busara gonga like yako hapa....mashallah mama mungu atuwekee mama zetu inshallah...
@ramadhanikilumile13635 жыл бұрын
Ukimsikiliza mzazi wa Ali Kiba, unajua kabisa huyu ni mama bora aliyelewa au kutoa malezi bora kwa wanawe
@zulfahhussein5055 жыл бұрын
Kabisa yaani Na Allaah amzidishie Neema zake
@paulebby15525 жыл бұрын
Yuko vizuri hapendi kumkweza mwanae Mwenyezi Mungu aibariki family ya 👑 Kiba
@amraniibrahim69065 жыл бұрын
Ramadhani Kilumile sio kam yule wa upand wa pil kul angeanz kuropk
@djgmp81405 жыл бұрын
Ramadhani Kilumile kabisa ndugu yangu mama bora watoto bora// mama mwehu watoto wehu
@afropatriot77695 жыл бұрын
hahaha hapo ndio nachekaga yaani alikiba kapita na bongomovie na wanamziki wengi sana kimyakimya na tunawajua list ni ndefu ila mondi akipita nao utaskia ye malaya,kiba anafanya mziki wa bongo fleva Mond anafanya bongo fleva utaskia yeye bongofleva dhambi kwa muislam,kiba anaoa na kuvunja ndoa mond anaulizwa kwanini aoi sio muislam mzuri, kiba kazaa nje ya ndoa tena watoto zaid ya mmoja,mond akizaa ana tabia mbaya ya uhuni,Mondi kajenga na kuzindua msikiti ooh anajisifu kiba kajenga na kuzindua na mitandaoni mpk mama yake anahojiwa yeye tunaambiwa hana makuu,kuhusu kutangaza ukitoa msaada ni jambo jema kwa mtu maarufu maana unawainspire wengine kufanya hivo na pia unafanya mashabiki au wateja wako kuona unarudisha kwa jamii kile wanachokupa kupitia kazi yako, hawa jamaa tuwashindanishe kwa kazi zao za kimziki na mafanikio lakin kuhamishia magoli kwenye sijui dini sijui sifa sijui mama zao sijui kutulia ,hapo mnapoteza muda alikiba ni mchafu kama alivo mond sema tu anaficha sana mabaya yake maana anajua mnampenda kwa hayo mambo anayoonyesha kuliko kazi na dimond yeye anapendwa kwa mziki na kazi zake na hajati kuhusu life style yake kuwapendeza au lah Mzee yusuph ndio alisimamia dini kama Kiba kweli mtu wa maadili na dini afanye kama mzee yusuph tumuheshim lakin kama anaendelea ya dunia sisi tutampima na kushindanisha kwa kazi tu msimdanganye tena mwambieni akae vizuri sasa hivi mpinzani wake ni harmonise kuliko hata mond maana harmonise ndio anaibuka kama mshindani wa Mond
@AdAhmed-cy7ii5 жыл бұрын
Mashaallah mama hasante kwa kumtanguliza mungu mbele pia hongera kwa kijana umemlea vizuri hana maswala ya uhuni anapendeza akiingia msikitin hajajichafua mwili na mitatuu
@afropatriot77695 жыл бұрын
hahaha kamlea vizuri last time naangalia list ya madem aliopita nao jamaa jamaa ilikua ni hii👇 kama kuna niliemruka mtaongeza Lulu queen darlin Irene Uwoya Jacline Wolper Madam ritha jokate mwegelo yule aliezaa nae ambae yupo UK yule alieolewa wakaachana . . . . .sasa sijui mama kalea vizuri aje au ndio sunna na kuhusu mziki wa bongo fleve vp dini inaruhusu au shehe anachambua mashairi tuache kuhamisha magoli kama tunawashindanisha tubase kwenye mziki na mafanikio yao kimziki basi,kama misaada mond anasaidia sana na tunajua akitangaza mnakua wakali anajionyesha hahah wakionyesha wengine huto tudogo twao eti ndio Mungu anaona,hahahaha mimi sio team Mond lakini napenda hawa jamaa washindanishwe kwa kazi za mziki tuu huku kwingine ni kutafuta huruma ya kidini na tabia njema,na wakati mnajua wote vimeo tu kitabia sema mmoja anaficha mwingine hajari
@Directorhernrypro5 жыл бұрын
Ukitoa mkono wa kushoto wa kulia usijue !mashallah🙏🏾
@adamnasib79285 жыл бұрын
Hassan Shabani wa kulia ushajua sasa
@najmanajma-47655 жыл бұрын
Mama kiba anahekma mstrabu anaejua kujistri Mashallah,istoshe wamezindua msikiti vizuri bila ya ngoma,ebu mama diamond jaribu kuiga mama kiba maana unajiachia sana utadhani were sio muislam
@YusufAli-ib6xu5 жыл бұрын
Huyu ndio mama wa kiba ulelezi wake maua yake hii....simple man kiba simple mother
@mwanamisikibumi425 жыл бұрын
Likuwa nimemiss sana kumuona huyu mama kongole kwa ustarabu mm king
@amandaantonio58935 жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mungu azidi kumuingoza, mashallah make King Kuba anaongeya vyema na Ni mama mwenye kujihashimu
@princehalawa_official79805 жыл бұрын
Mashaallah hakika hakuna mja aliekamilika ktk yote ingawa unafanya mziki kaka lkn umekuwa ukiuthamini sana kuupenda na pia kuulinda uislam wako hakika nimependa ulichokifanya Ali pamoja na familia yako nimependa maneno ya mama amemtanguliza mbele mungu na hivi ndivo inavotakiwa usifanye kitu ili uonekane bali fanya ili mungu akupe barka zake na sio kujionesha kwa watu..kila la kheir Ali kiba ningependa siku moja uje uungane na mm katika Qaswida tuimbe pamoja Qaswida itapendeza sana..allah azidi kukusimamia
@jumakapilima72952 жыл бұрын
Uislam haukubali kujengewa misikiti Kwa kupitia njia za haraam!!
@kimutattoo40675 жыл бұрын
MaashaALLAH MOLA Atujaalie naSisi wengine Vipato Siku moja Atujaalie tuyafanikishe kama haya inShaALLah 🙏🙏🙏🙏🙏
@ManaL-ho9cr5 жыл бұрын
Amiin yarabi
@hawaomarabdishakuru46895 жыл бұрын
Mashaallah king allah akujaaliie uendelee hivyo
@khamismasaai53075 жыл бұрын
Issa Azam njoo huku uone utukufu na baraka zake Allah
@wewe33945 жыл бұрын
Masha Allah Allah azidi kuwapa nguvu yakuendeleza kuyafanya mema
@ramabendera81835 жыл бұрын
Uyo isa azam ni mnafiki xana
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
@@ramabendera8183 tena sana
@mapenzi_tz15115 жыл бұрын
Dawa ya watu km wale Kuwajibu kwa vitendo kumba kajenga na Kituo cha watoto yatima ,Bado Studio yetu soon ,
@ramabendera81835 жыл бұрын
@@mapenzi_tz1511 mwezi wa pili inazinduliwa
@aminalibondo75075 жыл бұрын
MashaAllah mum kw kishirikiana na watoto wk
@djgmp81405 жыл бұрын
Mama yangu we ndo mama angu mkubwa ninaekujua, mama bora watoto bora/ mama mwehu watoto wehu // asante mnyezi mungu Kwa kuniletea mama bora kaka bora dada bora #unafkNo
@youngmoney44985 жыл бұрын
Mashaallah umeongea vzr sana mama, ukitoa mkono wa kulia wakushoto usione. Shukran sana mama Kiba. Mungu amjazi
@lilomo93235 жыл бұрын
Oya zile mbwembwe za kwenda kigoma kwa trein mkaenda kufungua kitu ambacho hakijakamilika na hamna kiwango vipi?
@khadijaamour76545 жыл бұрын
Wamekwenda na makumba uhange mpk mskitini kutafta kiki
@asmajamani29675 жыл бұрын
Mmmh!wallah watu wana roho mbaya jmn khaa!aya bac chomoen mjambe
@Directorhernrypro5 жыл бұрын
🤣🤣🤣sio poa lakini
@agaaah66975 жыл бұрын
Ha ha
@nurdinimndeme29125 жыл бұрын
ukukamilika ukua umepigwa bati sio ' mwambieni ajenge na madrasa achimbe na visima kabisa
@deathrow80045 жыл бұрын
MAMA ALI ALLAH AKUHIFADHI AKUPE UMRI MREFU WENYE MANUFAA KAMA HAYA,SISI WENGINE HATUNA BAHAT KAMA HII YA KUSHAURIWA NA WAZAZI KTK KUPUPIA YALIYO YA KHEYRI..ALLAH AKBAR,ALLAHU AKBAR ..ALLAHU AKBAR... #MSHAURI PIA MWANAO ACHANE NA MUZIKI KABISA ASHIKAMANE NA IBADA KISAWA SAWA,NA ALAZIMIANE KUFUATA MISINGI YA QURAN & SUNNAH...
@mcnjovu35255 жыл бұрын
Hongera sana mama alikiba kwakumle kijana wako vizuri namkubali sana alikiba kijana saiependa majigambo
@gucijeshii17945 жыл бұрын
Humble mom
@patriciakidaha82965 жыл бұрын
Mama Kiba unabusara sana mamangu Mwenyezi Mungu akujaalie sana
@mohamediddi99755 жыл бұрын
ya mama kiba uyo wangapi wamemkubali huyu mama pamoja na alikiba kwahiki kilicho fanyika#
@nooromar62335 жыл бұрын
Alhamdulilah huyu ndio mama kwa kuongoza mtoto wake kwenye kheir ana ongeya kwa rehma na utulivu mwenyezi mngu awa taqabaliye kheir zenu inshallah
@hamispeter90435 жыл бұрын
Hongera Mama...Allah akuhifadhi na kukupa maisha marefu na kumsimamia King kumuelekeza kwenye na salama kwa Allah
@hawaasaidi22465 жыл бұрын
mashallaah mama ndio huyu anae mtakia mazuri mwanae na kumuongozaa memaa
@princehalawa_official79805 жыл бұрын
Pongezi kwa mama kiba kwa busara alizonazo na ndio mana watoto wanarithi kila la kheir mama kwa kuwalea watoto wako ktk misingi mizuri ya dini
@barackhuncho24325 жыл бұрын
king...ni king tyu
@habibakirungikirungihabiba94075 жыл бұрын
Mama nimekupenda sana unajieshim mashaaalllaaahhh mungu akuongoze inshaaalllaaahhh
@vinanimwinyi3163 Жыл бұрын
MashaAllah tabarqAllah hongera mama Alikiba ..Allah azidi kupa umri pamoja n Alikiba InshaAllah
@subiraboi93975 жыл бұрын
Ali mungu akuekee mma yako na kumlinda na Shari zote pamoja na mma zetu in shaa Allah
@sarahyasini33405 жыл бұрын
Mashallah kaka alikiba mwenyezi Mungu ukuongoze vyema ktk kla hatua
Mansha Allah, mama la mama Allah akupe maisha marefu mama yangu.uko mama Bora katika familiya yako😍
@tabunguzo87355 жыл бұрын
Sijawai kujuta kuwa tm kiba mwenyez mungu azid kukuongoza kaka
@comrademlewaisavile3365 жыл бұрын
Angekuwa domo apa kiki kama zote
@sixfingerthedon49075 жыл бұрын
Nampa hongera mama kiba kusema ukweli sasa walee wanye comment zajipuuz muishie hapooo asanten nawapenda wotee
@benlushtvben57365 жыл бұрын
Mungu akutangulie mama kiba na familia yako
@nastehamuktar505 жыл бұрын
Mashallah it's a beautiful mosque wow! Thank u king kiba
@naimawahwewenani.anskutaka11625 жыл бұрын
Mama nakupenda bure mwenywe kiba hataki hata kusema kitu watu wameangaika mpaka wamejuwa
@aminasaid76575 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah I luv u mama hna bwewe umeongea kiungwana kweli
@ashaathuman14725 жыл бұрын
Hongera sana kaka mwenyez mungu akulinde ishallah
@hamadeddy80895 жыл бұрын
Ali Kiba muungwana Sana Mola akujalie utengeneze ZAIDI na Zaid huna majigambo wala kujionesha Mola akupe maisha marefu
@aishaomer69345 жыл бұрын
Mashaallah mama yupo vizur mungu akuweke miaka kama yoteee
@chodohbbway49955 жыл бұрын
Si mnasemaga hana ela adi chuo kajenga natulikua atujui nyambafuuuu
@raybakar64335 жыл бұрын
Mashaallah mama kiba mama mwenye hekma
@mnyamwezitv3825 жыл бұрын
Man water ni msenge kiba ni kioo cha jamii pumbu wew kwanza hata twenty percent alisema we ni mchawi
@mjsaidkeya8225 жыл бұрын
MashaAllah maneno ya busara na yakujenga
@shukurukoll72694 жыл бұрын
Hakika huyu Mama anayo hekima kubwa. Ni mzazi mwema mwenye kumtanguliza na kuamini Mwenyezi Mungu Allah SW Ndiye Mwenye Nguvu, namna anavyoongea jinsi alivyo kweli ni Mwanamke anayejisitiri. Allah SW Ambariki sana yeye na familia yake.
@rashidkarisa77995 жыл бұрын
Hakika mama umenifurahisha sana kwani unajua jins gani ya kujibu maswali na pia unajua jinsi gani ya kujieleza hakika nakuombea sana kwa Allah akupe umri mrefu Zaid na mafanikio makubwa daima inshaallah 👏 👏 kwani naamini wazi kuwa ndio mshauri mkubwa wa alikiba mama endelea kumsimamia ndugu yetu na kumpa muongozo Zaid Allah ataleta neema zake Zaid ya apo alipo fikia inshaallah 👏 👏 hakika wewe ni mama Bora na ni mama upaswae kuigwa kwa wamama wote ambao watoto zao wapo kwenye tasinia mbali mbali inshaallah 👏 👏
@munirahassan22205 жыл бұрын
Mashaalah mama 🙏🙏
@mosesharerimana2785 жыл бұрын
Blesss
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
MashaAllah tabarakaAllah mama Allah akupe hekma na subra
@TeamKRX5 жыл бұрын
😀😀😀😀😃hajajichafua mwili mana wengine mpaka matakoni kwenye mapupu bibi matatuveri 😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂
@khalidsalmin76825 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂😂😅 Atari sana
@sheryphamwenevalley61245 жыл бұрын
Madhsllah mama na kiba🙏 familia inayojitambua❤
@omaryluambano34955 жыл бұрын
Masha Allah Alikiba 🙏
@Immaculate-zy6hb5 жыл бұрын
So beautiful God bless Ail😍❤️
@ramadhansesala48915 жыл бұрын
Halafu utasikia Man water anadai one mil achen kuchafua Msanii wetu wewe sasa hivi kamtafute 20 percent umfufue tena huyu akisepa kasepa ataki unafki
@calvintheone2995 жыл бұрын
Alhadulilah
@maryamm77655 жыл бұрын
Mashaa Allah hongera sana
@muhamedikhamisi38005 жыл бұрын
Mama nimemuelewa sana ww ndy mama bora sio kama mama diamondi yeye anawaza malaya tu mzee yule asha laaniwa
@rukiaomar33695 жыл бұрын
Mashallah mungu akubaliki kwa kujenga nyumba ya ibada
@princeibuulotu46825 жыл бұрын
Mashaallah👏🙏
@esterkimario11265 жыл бұрын
hongera mama na kiba huyu ndo mama sasa c waleee vichaa wanamisifa hatar
@hadija8465 жыл бұрын
Ongera na pongezi kwenu mama na kiba🙏🏼😍
@hassanikamtinje59755 жыл бұрын
Nimekuelewa mama
@AliIbrahim-lv5cq5 жыл бұрын
Allah akufanyia wepesi kwa kila hatua
@josephmobia38575 жыл бұрын
Good blees mom
@humbleladylady33385 жыл бұрын
Mama💖💖💖🙏🙏🙏
@maryanadhan37395 жыл бұрын
Masha Allah God bless you KlNG 🤴👌❤️💞
@jumakapilima72952 жыл бұрын
"Anayetumia chumo la haraam kufanyia Mambo ya heri, ni Sawa na mtu anayefua nguo zake Kwa kutumia haja ndogo (mkojo)"- (Mtume Muhammad SAW)
@najma32685 жыл бұрын
Hongera sana brother
@abdulkarimu93575 жыл бұрын
Nazan mshajua tofauti ya wavaa vikuku wachora tattoo wasokota nywele mfalme alielelew vyema mama Kama huyu hauwez kumkuta anazalilishwa mitandaon
@kilwatv41245 жыл бұрын
mashallah mama Ali salehe kiba
@hammyrashidi58205 жыл бұрын
Sina shida na like ya kiumbe yoyote ila tokea naanza kujitambua kwa mala ya kwanza namuona mama wa alikiba
@chodohbbway49955 жыл бұрын
On a mama yetu alivyo mstalabu mama waupande wapili adi kwenye swimming pool 😂😂😂😂
@janetkemush37844 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@catherinecharles9323 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@wassunichannel11295 жыл бұрын
Masha Allah 😍😍😘
@ayubuhussein8345 жыл бұрын
Wow
@dullahjuma61375 жыл бұрын
Mama unajtambua mungu amfungulie njia Ali kiba
@hussenmwinyi70255 жыл бұрын
Mashallah napenda huyu mama buree wallahy
@sabahasalmu24845 жыл бұрын
Mashallah allah awajaze kher
@esmahnguzo84485 жыл бұрын
Mashaallah mama
@khadijaamour76545 жыл бұрын
Hongera sn
@edwinoduor24213 жыл бұрын
That's why we call him king kiba.God bless you
@sharifaabdullah68255 жыл бұрын
Tabaraka wa taallah
@nzomukundafatuma53644 жыл бұрын
Mash allah iyi famille nayipenda
@chundabad25405 жыл бұрын
Siwezi kukuacha kukupenda King kiba
@ashabakari14485 жыл бұрын
Mashallah alikiba🙏🙏
@hadija8465 жыл бұрын
kumbe jamaa yulee alipata tetesi za huu mskiti ndipo alipoanza kiki Haahaaaahaaaaa🤣 mama mzaa chema nawaombea na family yote muwe salama na mupate amani wakati wote. Amiin🙏🏼
@zenamoshi58065 жыл бұрын
Maashaallah
@florambwambombwambo13225 жыл бұрын
Safi kiba usiependa makuu
@nduguviongozi65845 жыл бұрын
Naomba kueleweshwa kuwa hiki kinachofanyika hapa na huyu mama ni kueleza aliyoyafanya Ali kiba au kuficha aliyoyafanya Ali kiba. Let’s try talk about the reality. Huu ni Uislam haunasibishwi na mali isiyokuwa halali na hivyo ndivyo ilivyo, yani Hao jamaa Naseeb na Ali wanajua ila hapo wanajitutumua tu kwa kudhani huenda Allah atapokea Amali zao hizo. Niseme ukweli tu kama hawaachi kujihusisha na hizo asbabi zao wakatubia hizo Amali zao ni ngumu kidogo. Allah taala ameamrisha swala kuanzia miaka 7 hadi kufa kwa mwanadamu. Je wewe unayejenga msikiti ili waswali wengine umeelewaje? Umeelewa kuwa ukijenga msikiti inatosha kuwa umesimamisha swala tano kila siku ama? Surat ankabuut Allah anasema swala ikiswaliwa vizuri humuondolea mwenye kuiswali machafu na maovu. VIPI KUHUSU MUZIKI NA VIDEO ZA UCHI KUWAWEKA DADA ZETU NA KUWASHIKASHIKA KWENYE VIDEO HIZO? Allahu Aalam
@fundibombazanzbar57174 жыл бұрын
kaulizwa ndomama kajibu sasa unafkr atasema mskiti waupandwapil ikiwa ni waupand wakwanz
@amidokasome27645 жыл бұрын
Ma2 hana hekima kweli sio kama ma2 Diamond kaenda uchi mbele yawatu olwezy
@sefymwigwa25284 жыл бұрын
mashallah!!!!
@kalimazegeli93395 жыл бұрын
Mama anaongea kama mama kweli,tofauti na yule mama wa domo akiongea anaongea kama kahab na sio mama
@heribasinger38895 жыл бұрын
Duh!!
@mosesharerimana2785 жыл бұрын
#Kalima zegel 😀😀😀😀
@zuwenahamoud77925 жыл бұрын
Hukmu ya allah iwe juu yako unaetuc watu ivi wewe umekamilika laanakumllah adui wa muislam nimuislam
@zuweinaalhabsya87735 жыл бұрын
Kweli kabisa maneno yako hujakosea 💯
@ibrahimothman33735 жыл бұрын
Acheni kutukana mama za watu mbwa ww bi mkubwa sio kahaba?wivu tu sio kingine maku nyie
@rashid.mwenyezimunguakurin29685 жыл бұрын
mwenyezi mungu akuripe kiba
@paulebby15525 жыл бұрын
Mama wa 👑 ana maadili mazuri
@hassanadan73645 жыл бұрын
It is great history in the entire commemorate of Islam for the legacy behind ALI KIIBA building mosque mashaalalah
@jumakapilima72952 жыл бұрын
,,,,has it been permitted by Islam to build mosque as far as Major economic activity of Ally Kiba is concerned?
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Mama Bora 💓🙏🙏
@shabanikapui90955 жыл бұрын
Kuna watu walisema alikiba hana pesa ya kumlipa man water sasa piga hesabu zimetumika sh ngapi kujenga msikiti kama huo hal