MAMA DIAMOND NA ESMA WAITAKA NDOA YA JUMA LOKOLE NA AMINA MWENYE MAJINI

  Рет қаралды 504,918

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 900
@bjzee1981
@bjzee1981 2 жыл бұрын
Kwa hivyo mna m support kuuza vijora. Mi nwenyewe jini wangu anamtamani uncle Shamte
@laylatmlacha4729
@laylatmlacha4729 2 жыл бұрын
Una utani ns mama dangote
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 2 жыл бұрын
Utanyonyolewa nywele na kucha na mama dangote
@ayubuidd6664
@ayubuidd6664 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🙌
@sumecute2513
@sumecute2513 2 жыл бұрын
😅😅😅umenishinda tabia😁😁😁
@agnessnkana8079
@agnessnkana8079 2 жыл бұрын
Hahahaaaaaaa 😂😂😂
@kennedyombewa7974
@kennedyombewa7974 2 жыл бұрын
alochekeshwa na mau agonge like
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 2 жыл бұрын
Huyu dada yupo serious lkn hii familia sio kabisa dada Amina hapo sipo kabisaaaaaaaa
@hadijajumanne5493
@hadijajumanne5493 2 жыл бұрын
Ulishawai kuolewa nini kwenye hii familia tujuze
@ghulamjuma2883
@ghulamjuma2883 2 жыл бұрын
@@hadijajumanne5493kuwa na heshima dada
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 2 жыл бұрын
Kitamkuta kitu
@khadijabarut9806
@khadijabarut9806 2 жыл бұрын
Jaman mmmm
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 2 жыл бұрын
Mungu ninusuru na aibu kama hizi wallah😂🤣
@chunaamina8719
@chunaamina8719 2 жыл бұрын
Tena atunusuru sote maana km mm sitaki kbsaa😂😂
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 2 жыл бұрын
Amiin inshaallah mpenzi
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 жыл бұрын
Yani mm naona haibu kweli wakiaa hii family inacheka tu il kw sas wanasapot kwal dada yetu haibu kweli asingefny ivo kweli😭
@lucylucy3678
@lucylucy3678 2 жыл бұрын
@sheshi beshi sema nishaingia
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Hakika mwenyewe imeniuma dada kujifezehesha
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 2 жыл бұрын
Jamani mama -dangote na mama mwajuma nimewapenda bure 🥰🥰🥰❤❤❤❤❤❤
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Wazee wa busara
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Me 2 💞🌹💋
@agathakatumba4736
@agathakatumba4736 2 жыл бұрын
Jamani jamani muogopeni Mungu,huyu dada anatia huruma,kama hamtaki basi mwambieni kiustaarabu asijiskie vibaya.
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
lakini kashajua kuwa hawamtaki ila 2anajitia wazim
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
@@heyumi2340 😀😀😀
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@saumusalimuhassan2499 ndio ww juma kashasema hamtaki lakini bado wacha ajidhalilishe
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 2 жыл бұрын
@@heyumi2340 Kweli aache zake 😂 Apo ingelikua ka mdada katam wangekubali hawa 😂🤣😂
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@uwitekamimy3431 hayo c mbaya ila tukuowa au kuolewa mpaka uridhike aidha mwanamke au mwanaume huwezi kuoa mty ambae hampendi
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 жыл бұрын
Huyu esmaa ataolewa kweli adumu Kwa ndoa ,,huyu Dada anamdomo Sana duh 😡
@rosegodlove1956
@rosegodlove1956 2 жыл бұрын
Yaan ni kiherehere hatar 😂
@aminaamina-xj6qs
@aminaamina-xj6qs 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣esmaa kihere hereeeeeeeeee
@davisoute5405
@davisoute5405 2 жыл бұрын
Mwili inakomaa
@tabuomary1016
@tabuomary1016 2 жыл бұрын
Esma anachangamsha tu.binadamu Ni wagumu kumuelewa.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, Amina she is beautiful 😘
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 2 жыл бұрын
Ata wey mzuri piya naona
@angelinaomare9015
@angelinaomare9015 2 жыл бұрын
Esma Hilo jambo limemkwaza ni kama Esma wanatoka na Juma
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 2 жыл бұрын
Wasafi mungu anakuoneni
@habiliymussa4259
@habiliymussa4259 2 жыл бұрын
Japo anajini mimi namtk kwangu mm ndo mzur sana kwangu mtu mwenye shitani 🤲
@laylahasshim827
@laylahasshim827 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@khadijakiba3587
@khadijakiba3587 2 жыл бұрын
😁😁😁😁shitaji ,jin makata
@josephinebintialuviministr5517
@josephinebintialuviministr5517 2 жыл бұрын
She’s so cutie and humble ,,,,Len me express my feel too for na mimi nampenda Aristote😂
@hassanabubakar3001
@hassanabubakar3001 2 жыл бұрын
Kumbe mama dangote ni mtamu ana roho nzuri 😘😘😘 Firdaus from 🇬🇧
@aishasuleimanisuleimaniais9037
@aishasuleimanisuleimaniais9037 2 жыл бұрын
Hapo hamna mashetani Wala Nini sema anampenda to juma
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
@@aishasuleimanisuleimaniais9037 mamadangote mtam bhana
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Mama dangote Ana siasa na utani kabisa(masihara)
@beshuuambarali4960
@beshuuambarali4960 2 жыл бұрын
Roho nzrii kweny interview to ukwlii wake anaujuaa mwenyw
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
@@beshuuambarali4960 😅
@user-ud3fg1hw8v
@user-ud3fg1hw8v 2 жыл бұрын
Ila juma mwanamke mzru mashaallah
@anifajumajuma2681
@anifajumajuma2681 2 жыл бұрын
Mau uko vizuri
@fatmaamran2094
@fatmaamran2094 2 жыл бұрын
Esma anaongea sana ,alafu anawivu kweli ,sio bure anatoka na Juma
@maryamjey6340
@maryamjey6340 2 жыл бұрын
Hawa watu wanatiana sio masihara🤣🤣
@fatmaamran2094
@fatmaamran2094 2 жыл бұрын
@@maryamjey6340 😂😂😂😂😂
@salsashmomy
@salsashmomy 2 жыл бұрын
na mm nahisi ivo ivo kama wanatiana tiana
@ashabarongo1435
@ashabarongo1435 2 жыл бұрын
Umeonaa hee
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Esma anatoka na uchebe sio lokole
@faridajarisch8360
@faridajarisch8360 2 жыл бұрын
She's beautiful anyway.
@najmaibrahim1536
@najmaibrahim1536 2 жыл бұрын
Sana
@rehemajuma4915
@rehemajuma4915 2 жыл бұрын
ESMA Ana mdomooo Kama chiriku
@ayshajumaa7310
@ayshajumaa7310 2 жыл бұрын
Esma me sijapenda etii mnataka wanawake wenye shughuli zao mxiuuw
@karamanazareno1556
@karamanazareno1556 2 жыл бұрын
yaani mwenyewe sijapenda, uyooo dada anatabasamu bc tu ila uswahili waliokuonyesha hajapenda
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 2 жыл бұрын
Ni kweli kasema...kwan uongo
@ikramabdalah4792
@ikramabdalah4792 2 жыл бұрын
Esma anajiona hii dunia kafika
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Mzuri huyo dada wow mash Allah
@anithazungu6095
@anithazungu6095 2 жыл бұрын
Unamdomo sana ESMA ndyo mana ndoa imekushinda
@mamunote3507
@mamunote3507 2 жыл бұрын
Mashallah Msichana WA watu anatia imani
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
Anatia aibu sio haya pumbavu mmoja huyo kujidhalilisha tu
@catherinemasiga6666
@catherinemasiga6666 2 жыл бұрын
Mjinga
@rehemajuma4915
@rehemajuma4915 2 жыл бұрын
ESMA unaboaaa your talking too much ndio maana ndoa zinakushinda mweeeee
@estherwilliam4675
@estherwilliam4675 2 жыл бұрын
@@zuweinaalhabsya8773 kweli kabisa anajitia aibu na kujizalilisha tu
@tresiakaovela9109
@tresiakaovela9109 2 жыл бұрын
Mimi.mwenyewe kiti.anamtaka.daimond kesho nakuja.wasafi
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 2 жыл бұрын
Haaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaa
@laylahasshim827
@laylahasshim827 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ayushjhay1979
@ayushjhay1979 2 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@user-wd1kz6ek2z
@user-wd1kz6ek2z Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 2 жыл бұрын
"Sijaskia itika yako" mama dangote to Uncle shamte🙌🙌
@user-rc6mq1np3l
@user-rc6mq1np3l 2 жыл бұрын
Watching from Saudi arabia
@meebee2586
@meebee2586 2 жыл бұрын
Mau you are very intelligent, wise, sefless
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 2 жыл бұрын
From 🇧🇮 Saudia Esma una roho baya sana wa zazi wamerizia ila wewe unaleta maneno ya unafiki apa 😏😏😏😏
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 2 жыл бұрын
Nimusenge hana roho ya ubinadamu uyo yuda
@felistersmejumaa5188
@felistersmejumaa5188 2 жыл бұрын
Saudia gni hii bendera 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Umeidhalilisha nchi yako iyo hawanaga maneno ya kadhia km yako
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
@@felistersmejumaa5188 Burundi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cessianthony2644
@cessianthony2644 2 жыл бұрын
Jini hili hapa
@missmannydxb
@missmannydxb 2 жыл бұрын
Mwana dada mzuri mashallah tabarakallah
@jangirinunda7329
@jangirinunda7329 2 жыл бұрын
I love mama dangote!!
@aroundtheglobe8041
@aroundtheglobe8041 2 жыл бұрын
😂😂😂Wabongo nyie... Love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 2 жыл бұрын
Aiii!! 🤣🤣🤣🤣 watu Wana jua kujitoa fahamu jamani khaaa!!! 😂😂 Mama donge Ana uliza 😂😂 WAZAZI WAKO WANAJUA KAMA UMEKUJA HAPA😂🤣🤣🤣. MUNGU UNIFANYE HIVI HIVI NISI ZIBUKE KICHWA
@zuleikhaahmed7220
@zuleikhaahmed7220 2 жыл бұрын
Makubwa 😅😅😅
@carolynembithi6629
@carolynembithi6629 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@judyjudy2758
@judyjudy2758 2 жыл бұрын
Kujichoresha jamani ,kwani waume waneisha,,,Esma nakupenda bure ❤️❤️❤️❤️
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 2 жыл бұрын
Mungu atusaidiye watoto wrtu
@connorboomboy1098
@connorboomboy1098 2 жыл бұрын
Una roho mbaya kama jina lako Judy una support uchawi tu huna lolote husda imekujaa na singine hapo ulipo ujaolewa 😏😏😏😏😏🙌😏😏😏
@salamakombo3257
@salamakombo3257 2 жыл бұрын
Jamani
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 жыл бұрын
@@connorboomboy1098 kabisa esma boyo tu
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
@@connorboomboy1098 kwan kutokuolewa dhambi? Pumbavu Sana ww
@saumukhamis5541
@saumukhamis5541 2 жыл бұрын
Subhanallah
@Adeen.1
@Adeen.1 2 жыл бұрын
Esma unavyopambania au mnanyanduanaga kishikaji unaogopa asikupeperushie juma
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 2 жыл бұрын
We dada juma hakutak jiongezeee
@rehemakei8155
@rehemakei8155 2 жыл бұрын
Wsnapenda kik huyu dada atapata shida juma atakapo amua kuoa atajiuwa Hfanawashauri jamani
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
mgonjwa huyu
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 2 жыл бұрын
@@kiri5807 kwel jmn
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@aishaaisha1495 wao wanaona wamepata kichekesho , lakini huyu lady ana matatizo .
@aishaaisha1495
@aishaaisha1495 2 жыл бұрын
@@kiri5807 ndo hvo tumpe pole mwanamke mwezetu huko ni kujidhalilisha mume mwenyewe hamtak
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 жыл бұрын
Wanamsanifu tyu hakuna ndoa apo juma hana mapenz na uyo dada
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
Kuna ka ukweli flani
@deelissa2746
@deelissa2746 2 жыл бұрын
Angemfanya tu hata Mara moja bas alizike😂
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 жыл бұрын
@@deelissa2746 kwanz uyo dada anamoyo sana ningekuwa mm juma kusema tyu staki ningesha sepa
@husnasaady7040
@husnasaady7040 2 жыл бұрын
Shoga kama wifi ndio huyo kazi unayo asma unaboa muache juma aongee hufai ata kidogo
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
mh balaa hili
@mohamedyngongo3904
@mohamedyngongo3904 2 жыл бұрын
Uyo ESMA atakuwa anatoka najuma
@bensimon7330
@bensimon7330 2 жыл бұрын
This family I like
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Huyu dada mzuri Mwenyewe mashallah
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
uzuri ni tabia na hili analolifanya hana tabia hata chembe . km mashetani yamempenda Juma kwa nini wasimfanye Juma akampenda huyo mwanamke tangu mwanzo kuliko kumuacha mwanamke akadhalilika ? hana shetani huyo ni nyege tu hizo
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 2 жыл бұрын
@@kiri5807 😂😂
@maryamuabdul1535
@maryamuabdul1535 2 жыл бұрын
😂😂😂😂kiri mungu anakuona
@munawwarabeid8634
@munawwarabeid8634 2 жыл бұрын
@@kiri5807 nimecheka kwa sauti eti ni niniii inamsumbua 😂😂😂
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@munawwarabeid8634 😂😂😂
@hasinarashid5059
@hasinarashid5059 2 жыл бұрын
Jamaaaan mbonaa kamaa aibu!!! 🤗 Ni aibu kwakweli mhhhh mm boraa niumiew nalo moyoni had liniueee🤩🤩
@sabinanjeri1208
@sabinanjeri1208 2 жыл бұрын
I second u
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Aibu sana jmn wanawake tupambane tutafute pesa
@hadijambunda7099
@hadijambunda7099 2 жыл бұрын
Mh jamani namm kunawanaume ananilia kama hivyo
@cideboy4676
@cideboy4676 2 жыл бұрын
@@hadijambunda7099 Sasa siumkubli au shida nin
@jacobramale9685
@jacobramale9685 2 жыл бұрын
Muomba mungu hachoki, 🙏
@samy-welltv9218
@samy-welltv9218 2 жыл бұрын
Big up, Samy-well tv follows you!
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 жыл бұрын
Jaman niko Dubai 🇦🇪kiti Changu kinamtaka Dimond nyange anione please mchaga og fanya mipango na interview online ili niongee na diamond
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 2 жыл бұрын
😂😂😂😂👍👍👍
@douglassabiti3977
@douglassabiti3977 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@mwanaidmajani856
@mwanaidmajani856 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣haki nimechek mpk bsiii kwa staili hii n mimi chea wangu anamtaka reyvan mchga afany mambo
@lydiahmayaka9399
@lydiahmayaka9399 2 жыл бұрын
🤭🤣🤣🤣
@pascalponera2564
@pascalponera2564 2 жыл бұрын
Akii nmecheka 🤣🤣
@j...876
@j...876 2 жыл бұрын
The lady is very nice and beautiful
@monicahovda4524
@monicahovda4524 2 жыл бұрын
Yes She is indeed beatiful. Forget about those demon challenging her
@ashamuhammed3685
@ashamuhammed3685 2 жыл бұрын
Mtihani huu
@rehemambito7989
@rehemambito7989 2 жыл бұрын
This series is rocking😂😂😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
Sanaaaaa
@calvinchaula5941
@calvinchaula5941 2 жыл бұрын
Mama dangote mswahili sana ety nskupenda Mme wangu
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 жыл бұрын
❤❤❤
@malmavoice8989
@malmavoice8989 2 жыл бұрын
Esma na Juma wanadate sio bure.
@saitakitalika71
@saitakitalika71 2 жыл бұрын
Haswaaa
@malmavoice8989
@malmavoice8989 2 жыл бұрын
@@saitakitalika71 umeona e?!
@saitakitalika71
@saitakitalika71 2 жыл бұрын
Maana so kwakumkingia kifua kule anamtumia esma khaa
@sophiashayo1996
@sophiashayo1996 2 жыл бұрын
😁😁
@faridaelia1877
@faridaelia1877 2 жыл бұрын
Yan syo bule ukutue yy ndo mtu wa juma
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 2 жыл бұрын
Nimekupenda hii familia
@chemsaakimana19
@chemsaakimana19 2 жыл бұрын
Film nzuri
@alenpaschal1261
@alenpaschal1261 2 жыл бұрын
Alikua anaposti waganga sasa ndo yamekolea🤣🤣🤣
@evelinaluvata1471
@evelinaluvata1471 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@joookahjokah8430
@joookahjokah8430 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
😂 jamani jamani khaaa
@jeanemile1005
@jeanemile1005 2 жыл бұрын
Wasafi nawapenda sana
@bashirkaitaba7465
@bashirkaitaba7465 2 жыл бұрын
Xiujinga2 huo
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
YUDA JUMA MCHEPUKO WAKO NN MBONA UNAMTETEA SANA 🇶🇦
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Ndio hivyo
@princessoprah9908
@princessoprah9908 2 жыл бұрын
Ndy
@rehmamussa9749
@rehmamussa9749 2 жыл бұрын
🥰
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
😂😂😂
@rehmamussa9749
@rehmamussa9749 2 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@swiryjekalungi1090
@swiryjekalungi1090 2 жыл бұрын
Mama dangote is so funny what a happy family Ma Sha Allah
@frankjanualy2895
@frankjanualy2895 2 жыл бұрын
Mamb mremb
@natashafrancis705
@natashafrancis705 2 жыл бұрын
Sikuizi ukichelewa unakoseya kabisaaa dada hongera umetimiza maandiko
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
🤣
@aminamusa1596
@aminamusa1596 2 жыл бұрын
Esma anamdomo huyu ndomana ndoa zinamshinda
@wivinaanatory9554
@wivinaanatory9554 2 жыл бұрын
Yaan anaonga Kama kasuku
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣hatar
@mayalejerusalem5165
@mayalejerusalem5165 2 жыл бұрын
Kama movie vileee🔥🔥
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 2 жыл бұрын
Sahihi ustadh
@cholomwamba1580
@cholomwamba1580 2 жыл бұрын
Esma mchonganishi ndiomana ww ukai ndowani
@yusrasalum
@yusrasalum 2 жыл бұрын
Yani mmbea wa tandale mswazi hasa
@lifestyle8569
@lifestyle8569 2 жыл бұрын
Mi nataka kuolewa na mau...nmempenda jamani na si jini ni moyo wangu😍😍😍
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 2 жыл бұрын
Nipende mimi bas nataka kuoa
@pascalponera2564
@pascalponera2564 2 жыл бұрын
😂umeniacha hoi
@kamanda007
@kamanda007 2 жыл бұрын
Lokole leo komeshwa mbaya mbovu🤣🤣..I like Esma na mama Diamond walivyompokea
@godwingideon8608
@godwingideon8608 2 жыл бұрын
Juma ukotayali
@cathmavindi9831
@cathmavindi9831 2 жыл бұрын
Mmmm atali
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 2 жыл бұрын
😂😂😂 Si bora Mimi ndo ningekua huyo Dada nipate kukutana na ESMA,, JUMA na MAMA DANGONTE 🤗💕
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@annwangari1495
@annwangari1495 2 жыл бұрын
I'm very happy form Dubai
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 2 жыл бұрын
Juma kapatikana
@abdunasriamiri7591
@abdunasriamiri7591 2 жыл бұрын
She's beautiful
@khadijatamimi2495
@khadijatamimi2495 2 жыл бұрын
Mzuri sana dada yetu Amina
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Huyu Essm anavyomtetea huyo juma ama wanakulana?
@ayishaayisha8053
@ayishaayisha8053 2 жыл бұрын
Sizani ni dada yake
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 2 жыл бұрын
Unauliza embe kibada
@assfzainab912
@assfzainab912 2 жыл бұрын
Pia mimi nafkiria ivyo
@kignbrown9559
@kignbrown9559 2 жыл бұрын
Love too
@fatmarashidmusafatma5218
@fatmarashidmusafatma5218 2 жыл бұрын
Yachekesha 😄😄 Ila mama dangote Masha Allah Ana moyo wa huruma na
@shukranlyimo8756
@shukranlyimo8756 2 жыл бұрын
Esma wivuuu
@dullahshaaban9050
@dullahshaaban9050 2 жыл бұрын
Hiyo familia inadharau kudadeki masikini akipata matako ulia mbwata....✍️✍️✍️
@tausilazaro2477
@tausilazaro2477 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@qatarqqt8013
@qatarqqt8013 2 жыл бұрын
pambeee❤👌👌👌👌
@ammarsalah5693
@ammarsalah5693 2 жыл бұрын
Mau eeee aiseee me am on your side broo tumsaidie tuu....
@mamunote3507
@mamunote3507 2 жыл бұрын
Nacheka mpaka sijiwezi
@kassimmambo2279
@kassimmambo2279 2 жыл бұрын
Cheka vzr usije ukadondoka kitandani
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 жыл бұрын
Kulikon
@galary8688
@galary8688 2 жыл бұрын
Naamuowe Ata kwa week 3 jaman amuowe aridhike basi alafu amuache
@beshuuambarali4960
@beshuuambarali4960 2 жыл бұрын
Dini haina masiharaa km kampendaa na Aowe na Suala la kuachnaa haina dramaa...
@fatmaamran2094
@fatmaamran2094 2 жыл бұрын
She is beautiful 😻❤️
@smsalama6540
@smsalama6540 2 жыл бұрын
Daaah mapenzi shikamoo🙌🙌🙌🙌
@edwintouches
@edwintouches 2 жыл бұрын
Bongo Vituko Haviishi 😂😂😂 Nimependa Lakini, Nimecheka Dah! Mama Dangote Bana!!!!
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 2 жыл бұрын
Yani bongo hawaishiwi vituko kila kukicha
@edwintouches
@edwintouches 2 жыл бұрын
@@hamzanasry8011 Ni balaa
@salamahamadisudi1912
@salamahamadisudi1912 2 жыл бұрын
Mwanamume ndio ana faha kumpenda mwanamke wa kwanza maana mwanamke ukimpenda mwanamume wa kwanza baadae mukija mukiteta mwanamume atakutamkia kuwa mimi Ata siku kupenda wewe ndio ulinipenda
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 2 жыл бұрын
Kweli 💯
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mashallah dada kaumbika sura mpaka shape
@esauedison8136
@esauedison8136 2 жыл бұрын
Nice
@diananikolaus6644
@diananikolaus6644 2 жыл бұрын
Jaman juma muoe jaman
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Mtu mwenyewe hadindishi
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
Yaan huyu Dada sijui kalipwa ngapi kufanya huu upumbavu. Yaan ajitia aibu kweli huyu pumbavu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
😁😁😁😁 wana jambo lao hao hasa huyu dada haiwezekani ukubali aibu labda anapelekwa mjini na Lokole
@kassimmambo2279
@kassimmambo2279 2 жыл бұрын
Aibu kweli yani🥱🥱🥱🥱
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 жыл бұрын
Wanapenda Kiki Sana hii familia
@kassimukipingu5343
@kassimukipingu5343 2 жыл бұрын
Nani kaskia sijaskia itika yako mama dangote gonga like ya nguvu twende sawa
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 жыл бұрын
Wanawake jamani...kwanini achoreke hivyo alikuwa na uwezo wa kumfata private bila hata ma camera...this is very shameful angesaidiwa kumuona kwa njia yeyote ile..wasafi wao wanamtumia kwa kuingiza pesa yeye anajidhalilisha tu na anavyocheka cheka...she is way too beautiful for this drama kwakwel
@nellyrehani593
@nellyrehani593 2 жыл бұрын
Si anasema alikuwa anatuma message ku whatsapp ila akukuwa anajibiwa
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Juma kazi unayo😂😂😂😂 Huyu dada jaman aibu naona mie huku dah anatudhalilishia jina la wazazi wetu
@rahmaidd6277
@rahmaidd6277 2 жыл бұрын
Usikasirikeee me mwenyew nmechokaaa🤣🤣🤣🤣🤣
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
@@rahmaidd6277 anakera sana
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
Yaan anajidhalilisha kweli huyu dd
@sabihaibrahim3393
@sabihaibrahim3393 2 жыл бұрын
Usimuingize mtume.kwenye upuuzi
@kassimmambo2279
@kassimmambo2279 2 жыл бұрын
🥱🥱😂😂😂😂
@mussamchena9595
@mussamchena9595 2 жыл бұрын
Mnafanya masihara kwenye Mambo seriously
@beshuuambarali4960
@beshuuambarali4960 2 жыл бұрын
Kilaa kitu wanaona masiharaa majutoo ytakujaa baada ya pumzii kukataa
@irenemkoka7369
@irenemkoka7369 2 жыл бұрын
Yani mnajua kuecti sanaa yenu yamaigizo kikundi chenu ni chakaole au futuhi big up
@guissegogita4717
@guissegogita4717 2 жыл бұрын
Jumaa pole sana
@nurumustafa445
@nurumustafa445 2 жыл бұрын
Dada.pole.kaaaa
@gracekibelenge65
@gracekibelenge65 2 жыл бұрын
Jaman juma mungu anakuona
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
Hii ndio family pekee bongo yenye uwezo wa kucheza na akili za watu
@IBRAHIMELSUBHY
@IBRAHIMELSUBHY 2 жыл бұрын
Kabisa yaan
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 2 жыл бұрын
I say hii hatari...familia ya usafini inatuzungusha kutuzungusha 😂😂😂😂😂
@ndennkya5253
@ndennkya5253 2 жыл бұрын
Kweli kabisa ate we umeligunduae
@irenejustine7493
@irenejustine7493 2 жыл бұрын
Dada kajizalilisha huyi 😂😂😂😂
@siphamohamed1781
@siphamohamed1781 2 жыл бұрын
Kabisa jaman anatuaibisha wadada jaman 😂
@catherinemasiga6666
@catherinemasiga6666 2 жыл бұрын
Hajui Hiyo familia
@khadijeegundumu4651
@khadijeegundumu4651 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 kbs
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
Hiv nikwel au wamempanga kumpa kiki juma
@bahiyaseleman5838
@bahiyaseleman5838 2 жыл бұрын
Siyo tu kujizalilisha yaan wadada tutafute kazi za kufanya wasichana wanateeseka ugaibun na makazi ya warabu wengine wanaigiza kutaka kuolewa na wanaume wa ajabu...ss huyu amina na wazazi wake sidhan kama wanajielewa.
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 2 жыл бұрын
Eet Nakupenda mme wanguu..
@samirakiango957
@samirakiango957 2 жыл бұрын
Yani mm sjapenda uyu dada kajitoa faham kabisaa mpka huruma
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 2 жыл бұрын
Keep it up with family platnumz 😬😬😬 show
@Maryam-vj1rb
@Maryam-vj1rb 2 жыл бұрын
😂😂😂jasho inamtoka maskini juma
@mohirabbi3922
@mohirabbi3922 2 жыл бұрын
Maskini mwache anuone huluma huyu dada
@najmachonanga7251
@najmachonanga7251 2 жыл бұрын
Mchaga Og. 🤚🔥👌
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Mchaga og anavyomsifia Amina Shepu-shepu 🤣🤣🤣🤣💕
@kidondomsechu9302
@kidondomsechu9302 2 жыл бұрын
Nimeipenda
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
Juma juma usipoowa safarihii tutaanza kupata wasiwasi na wewe 😄
@qatarqqt8013
@qatarqqt8013 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@hassansanane8161
@hassansanane8161 2 жыл бұрын
Esmaaaa🤣🤣
@musajuma7287
@musajuma7287 2 жыл бұрын
Eti tunataka mtu mwenye shuhuli SAS wewe mwenyewe umewekwa na diamond apo,🥰
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 жыл бұрын
Umeonaee
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 2 жыл бұрын
Kina wivu sijui kinataka kuolewa chenyewe
@maryamuabdul1535
@maryamuabdul1535 2 жыл бұрын
Hatar na nus tusio na kaz wal shuhul nishida
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 жыл бұрын
@@maryamuabdul1535 kinaroho mbaya sana hicho kidada
@maryamuabdul1535
@maryamuabdul1535 2 жыл бұрын
Tena isio kifan anaon maisha ameyapatia ndio mana kinazarau
BINTI ALILIA PENZI LA JUMA LOKOLE ASHINDWA KUJIZUIA AMVAMIA OFISINI
13:26
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 45 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 118 МЛН
100❤️
00:19
MY💝No War🤝
Рет қаралды 21 МЛН
MAPENZI YA BODABODA YAME MPONZA
8:52
Mr Uky
Рет қаралды 63 М.
NEW MAFIA EPISODE INCOMING 🖤
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 6 МЛН
Жаз бітетін болдығой😂
0:33
NNN LIFE TV
Рет қаралды 1,9 МЛН
БУДЕТ ЗНАТЬ КАК ОБИЖАТЬ БАБУШКУ
0:18
МАКАРОН
Рет қаралды 1,5 МЛН