SWALI GUMU ALILOULIZWA RAIS SAMIA IKULU YA SOUTH AFRICA KWA KISWAHILI CHEKI ALIVYOLIPANGUA

  Рет қаралды 93,828

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@ludigomhagama4023
@ludigomhagama4023 Жыл бұрын
Asante rais Mama Samia. Kwa kuongea kiswahili. Tunatakiwa kudumisha kiswahili kama wachina, warusi na wengine wanavyodumisha lugha zao big up
@nuranzubail8134
@nuranzubail8134 Жыл бұрын
Uchumi ndo unatuangusha ili lugha yako iwe strong lazima uwe strong
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
@@nuranzubail8134mbona wachina Lugha yao cyo strong but uchumumi wao strong sana??
@emmanuelmwakyusa8206
@emmanuelmwakyusa8206 Жыл бұрын
excellent mama you re very smart in every aspect of leadership Tanzanians are proud of you
@nicksonmremi3412
@nicksonmremi3412 Жыл бұрын
Mama amenifrahisha kwelii amejibu kwa ukakamavu wa Hali yajuu Sana Amiri jeshi mkuu wetu Viva Viva mama vivaaa
@allyshafi4391
@allyshafi4391 Жыл бұрын
Kheri ishallah baraka tele, hongera sana Raisi wetu mpendwa ❤
@rashidsalum4689
@rashidsalum4689 Жыл бұрын
Safi sana Bimkubwa, wachape Kiswahili mpaka wa bloo.hongera Rais wetu.
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
Sawa mama umewajibu vizuri congratulations 🎉
@binobino9078
@binobino9078 Жыл бұрын
Wewe hatutaki maswali magumu kwa mama yetu, asante mama
@maynshoo3924
@maynshoo3924 Жыл бұрын
POWERFUL, BRILIIANTLY AND VERY INFORMED ALL ISSUES - BIGUP
@mrishongwikwi6448
@mrishongwikwi6448 Жыл бұрын
Well responding madame president
@issashebe1
@issashebe1 Жыл бұрын
Hongera Mama kazi iendelee
@abubakaryduma5374
@abubakaryduma5374 Жыл бұрын
As TANZANIANS we will continue make peace keeping by settle on the table and discus between two sides. Hususani kwa majirani zetu....!! SAFI sana Mama umeupiga mwingi
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Mama unatuwakilisha vema kabisa…❤️🇹🇿🙏🏾🤝
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 Жыл бұрын
Ila mama anajitahid Sana kiukwel tuachen chuki za kijinga,anajitahid Sana anawazid ata wanaume .kwanza hateterek ametulia
@muddyso1953
@muddyso1953 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atujalie Daima hakika huu ni wakati wetu Afrika huu ni wakati Tusihofu tumtangulize Mwenyezi Mungu tusimame tuwe pamoja kweli si kwa maneno na tusiwaogope hao sio Mungu tumuogope Mwenyezi Mungu ninawapongeza woote
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Жыл бұрын
Kweli kabisa.
@omarbuud-tc4jj
@omarbuud-tc4jj Жыл бұрын
Dah kaka Ww unaweza kwanza hukua mchoyo umetumia lugha zote mbili ili kwa yule asiejua kingereza nayeye apate kuelewa kweli Ww umeiva muandish anatakiwa awe hvyo sio walewasio jiongeza great for good job my brother peace on you
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Жыл бұрын
Nampenda (admire) Rais wetu, Dr Samia
@mbwanamungia9921
@mbwanamungia9921 Жыл бұрын
Duuh mama anaakili nzuri huyu ni balaa
@mandileykiritokangai3042
@mandileykiritokangai3042 Жыл бұрын
Thank you mama God bless you
@florashauri9228
@florashauri9228 Жыл бұрын
I proud of you my President,❤👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@johnbosconagalau1586
@johnbosconagalau1586 Жыл бұрын
Mama huyo 💯💯💪
@EagleCrown-pb9qv
@EagleCrown-pb9qv Жыл бұрын
Safi mama🦅🙏🏿🥰🇹🇿
@daynessmsigala6636
@daynessmsigala6636 Жыл бұрын
Nani kama Mama❤..
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
🔥nacheka mafosa unasikia kiswahili naona unamwangalia sana mama yetu
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 Жыл бұрын
❤❤UMEONGEA VIZURI SANA TUNAFANYA PEACE KEEPING BAINA YA HAO MAGAIDI KWA MAZUNGUMZO SIYO KUPIGANA.VIZURI MAMA🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu Жыл бұрын
Kupiga mwingi anapga mama ila Sasa kiswahili hapa kwetu enyewe haitumiki kama inavyo sitahili
@shedycheyo4140
@shedycheyo4140 Жыл бұрын
Kiswahili ni lugha tamu sanaaaa. Najivunia kuwa mtanzania
@salummnyumba4340
@salummnyumba4340 Жыл бұрын
MAMAAAAAAA MAMAAAAAAA!!! MITANO TENAAAA
@husseinguga2701
@husseinguga2701 Жыл бұрын
Tangu tupate uhuru 1961 adi leo hatujawezaga kutatua tatizo la umeme😰😥😥😥😥😥😥😥 God is watching You all tanzanian politicians. SHAME ON US😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@twahirabasi9765
@twahirabasi9765 Жыл бұрын
Mama anajua, tena anajua kwelikweli.
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Kiswahili kitamu sana, kinastahili kuwa lugha ya AFRIKA!
@caswaralbadry8481
@caswaralbadry8481 Жыл бұрын
Kwasababu kina maneno mengi ya kiarabu
@komanyomaduhu6123
@komanyomaduhu6123 Жыл бұрын
I love u with more rezon
@mathayoyohana479
@mathayoyohana479 Жыл бұрын
Mama samia ongera sana mama yetu tunafurahi sana mama samia
@ahmadkazema1055
@ahmadkazema1055 Жыл бұрын
Africa now has realise,no one wants to help it rather than it self ..we need to colaborate with ones who respect us..
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Exactly…
@samwelmwasomola2457
@samwelmwasomola2457 Жыл бұрын
Mama piga kiswahili mpaka waelewe kwamba kiswahili ndio lugha yetu.
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Nice
@wanainchitvrdc6705
@wanainchitvrdc6705 Жыл бұрын
SAMIA IS EXCELLENT
@jacksonmartin8485
@jacksonmartin8485 Жыл бұрын
Viva mama🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mussamkali9926
@mussamkali9926 Жыл бұрын
Mama yupo juu yao sanaa
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 Жыл бұрын
Mama wahanja ww noma haya kila la kher
@williamkavuta8066
@williamkavuta8066 Жыл бұрын
Ila Mama shupavu sana anajitahid kila eneo sio maendeleo,demokrasia,katiba ,diplomasia, nk nk tumpe moyo tusimkatishe tamaa
@kapange444
@kapange444 Жыл бұрын
hongera
@saidmrisho9339
@saidmrisho9339 Жыл бұрын
Mama kwenye maswali ya essay sidhani kama kunamwalimu ulimuachia marks. Naona umejibu mpaka vyaziada
@tevintevin6254
@tevintevin6254 Жыл бұрын
Good Qn
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 Жыл бұрын
Umeme ndiyo shida, kuna mgao kila siku. No solutions
@KenediSwai-jd8cg
@KenediSwai-jd8cg Жыл бұрын
MAMA umeupiga mwingi sanaaa. Presha ilitaka kupanda ila imeshuka kiwango sahihi kwa kutumia KISWAHILI, nimefurahia saaanaaa Rais wangu, endelea kukuza na kuendeleza LUGHA yetu, ndio tunu yetu.
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 Жыл бұрын
Pole sana kwa presha ila isishuke sanaaaa kaka kwa faida ya wengine
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu Жыл бұрын
Hakuna kinacho kuswa hapa yaani unawambia watu waongee kiswahili angali huku unawandikia English kwenye makaratasi yasheria na vinginevyo hospitali ukienda unashindwa kusomabpahali kwasababu imeandikwa kwa English umeikuza ama siyokweli hatuipendi lugha yetu
@emmanuelmwakyusa8206
@emmanuelmwakyusa8206 Жыл бұрын
MUNGU NI FUNDI KWA KWELI MAMA SAMIA NI ZAWADI YA WATANZANIA WOTE TUNAKUELEWA MAMA
@masaimollel2525
@masaimollel2525 Жыл бұрын
una akili we mama, barikiwa sn
@nuruworldinsight2957
@nuruworldinsight2957 Жыл бұрын
Hivi CHANNEL AFRIKA SWAHILI SERVICE bado ipo ? I kept listening to it 30 years ago when I was young boy sending my letters to to it and posting back to me cards pens , stickers etc.
@teddydeo8460
@teddydeo8460 Жыл бұрын
Sijamuelewa
@oscarkalerhe1260
@oscarkalerhe1260 Жыл бұрын
Swali nzuri saaana
@dylankanyubi3700
@dylankanyubi3700 Жыл бұрын
Kwanza tudumishe Muungano wa mataifa ya Afrika Mashariki. Halafu jumuiya lilo hilo itaendelea na mahusiano mwafaka katika SADC.
@alvinbenito5243
@alvinbenito5243 Жыл бұрын
Kitu kikubwa kikiondolewa ambacho ni selfishness na corruption, hakuna bara lita kuwa na nguvu kama Africa, nafikiri kila mtu anaona baraka tulizonazo but tatizo kubwa liko hapo tu,wengi wao viongozi wananunulika sana kuhujumu Africa.
@kassimjigge4727
@kassimjigge4727 Жыл бұрын
Ninafurahi kiswahili kuzungumzwa nje, lakini tukubali kutorasimisha kiingereza, lugha ya dunia kibiashara na kimahusiano tulifanya makosa, Tanzania imekuwa kisiwa kwa sababu ya language barrier hii, tumewanyima watu wetu uwezo wa kuziendea fursa za kimataifa
@officialtaslima5409
@officialtaslima5409 Жыл бұрын
Kabisa brother
@emmanuelmlowe-ew7gx
@emmanuelmlowe-ew7gx Жыл бұрын
Mawazovfinyu
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
@@emmanuelmlowe-ew7gx kasema ukweli ndugu zetu wanataka kushirikiana na wenzao wa nj'e lakin lugha kikwazo tunajikuta hata yale mazao ambayo tungepata soko kupitia wenyeji wa huko inashindikana kutokana na kutokuweza kuzungumza ana kwa ana
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Ukiwa ndani ya bongo nivigum kulifaham jambo hilo ila ukitoka ndo utajua kuwa kunaulazima wa kuisoma lugha ya kiingereza hao wegeni wakija bongo asilimia kubwa ya wa tz huwa tunawaonyesha tu tabasam lakin mazungumzo hakuna mnatabasabiana kila anapopita mwusho wa siku anaondoka bila kuzungumza na watu aliowatembelea sasa hapo furusa ziko wapi zaid ya hivyo vichenji vidogo alivyowaachia serikali
@officialtaslima5409
@officialtaslima5409 Жыл бұрын
@@emmanuelmlowe-ew7gx Umepinga wazo lake kwa ufupi Sana direct wewe ndo nimegundua hujawah kutoka nje ya mipaka na hapa ulipo mizunguko yako inakukutanisha na watu wale wale,ipo siku utaelewa anachomaanisha! Hii Kama umepita shule kwa walio soma kitambo kidogo,shule ya msingi somo la English ndo lilijitegemea miaka 7 yote,ukianza form one unakutana na masomo yote kingereza,kiswahili kinajitegemea..hv hujui waga tunafaulu kwa nusura ya Mwenyezi Mungu tu!!
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 Жыл бұрын
Mafosa naye kasikia na kuelewa Big up
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 Жыл бұрын
😂😂😅
@godfredmbanyi5389
@godfredmbanyi5389 Жыл бұрын
How can EAC solve the DRC conflict, while one member State supports M23?
@underratedspirit
@underratedspirit Жыл бұрын
That’s what i understood too,do you think it’s not possible?!
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Exactly,That one member is a parasite in this EAC..
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 Жыл бұрын
Nawapata nikiwa mozambiki maputo
@AdrianoGwamaka-xh3uy
@AdrianoGwamaka-xh3uy Жыл бұрын
Msifanye mazungumzo na magaidi
@alihamad6046
@alihamad6046 Жыл бұрын
Rama kaduah na swanlish
@iribagizaalex-mh4rn
@iribagizaalex-mh4rn Жыл бұрын
Hakuna Nchi ilio ongozwa na female ikasonga mbele.
@SAMUELWERE-q7v
@SAMUELWERE-q7v 7 ай бұрын
mama, wewe ni maktaba hai
@emmanuelzephania989
@emmanuelzephania989 Жыл бұрын
Tunakamilisha lin jmn
@andersontibendelana7800
@andersontibendelana7800 Жыл бұрын
Mama unazura wakat nch haina umeme
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
Sisi tunao
@allymahiyo2464
@allymahiyo2464 Жыл бұрын
Wewe kichaa sio bure
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
@@allymahiyo2464 Wewe ni Kiongozi wa Vichaa na wapumbavu wote.
@saidimponda9037
@saidimponda9037 Жыл бұрын
Nimefulahi sana kuongea kiswahili
@Nedjadist
@Nedjadist Жыл бұрын
Lahi
@kassimjigge4727
@kassimjigge4727 Жыл бұрын
Hii hydro power kweli tutapata ukombozi kamili wa umeme! kumbuka mabwawa hutegemea mvua, je tumefanya ahadi na Mungu katika hili? Nashauri wataalamu wetu waendelee kuumiza vichwa katika hili suala la umeme, au mumesahau kile kipindi cha ukame wakati wa Mkapa?
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Sawa nitalishughulikia😊
@salamamsheh7985
@salamamsheh7985 Жыл бұрын
sisi wajibu wetu tushaufanya mengine tumuachie mungu maswala ya ukame sijui nn sisi miundombinu iendelee tu.
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 Жыл бұрын
Tujitahidi kupanda miti mungu anamsaidia anayejisaidia 😅😅😅
@kakazkanda
@kakazkanda Жыл бұрын
👁️👁️
@barakambasile2651
@barakambasile2651 Жыл бұрын
Tanzania tunateseka na Giza wewe unaenda kura Bata sauzi tu amakwelihuku ndoo kuupiga mwingi
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 Жыл бұрын
Wewe ungeenda ukajibu hayo maswali basi kama kukaa tu Nchini ni sifa,Wewe unadhani Rais hasipo fanya ziara katika Mataifa ya Nje hata umeme utawauzia wakina nani bila kuwatangazia?Mazao tunayoyalima,mipunga na kila kitu tutawauzia wakina nani?Ziara ya Rais ni lazima kikatiba na ni muhimu katika kujenga mausiano kati yetu na Mataifa mengine.Rais ni kiongozi mkubwa hawezi kuzidiwa na wafanyabiashara binafsi wanatembea katika Mataifa mbalimbali kutafuta fulsa za kibiashara sembuse Rais,shida ya watu wengi afya ya akili ni tatizo kubwa,mtu anakaa tu kisha anakurupuka kukoment vitu bila hata kufikiria vizuri au hata kuisoma katiba na kuona kama Kiongozi kakosea au kapatia kinyume chake ni lawama.
@zackothman1463
@zackothman1463 Жыл бұрын
We mwanamke endelea kuzurura
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Watu kama nyinyi hampaswi hata kujibiwa kwasababu ni washamba saanaaa
@mackymneney9935
@mackymneney9935 Жыл бұрын
Salute sana Mama umetulia majibu yako ni bora sana Inshaala Mwenyezi Mungu akutangulie.
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 Жыл бұрын
@@mkude ..Huyu ni zaidi ya Mshamba..!!
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@isaackibuga178
@isaackibuga178 Жыл бұрын
uchawa tu wa wakoloni..na ole ajichanganye akubali mambo ya usodomy
@luganokapologwe4636
@luganokapologwe4636 Жыл бұрын
𝗏𝖾𝗋𝗒 𝖻𝗋𝗂𝗅𝗅𝗂𝖺𝗇𝗍 𝗆𝖺𝖽𝖺𝗆 𝗉𝗋𝖾𝗌𝗂𝖽𝖾𝗇𝗍
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 15 DISEMBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,1 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 64 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 121 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,3 МЛН
Rais Samia Afafanua Sababu za Panga Pangua za Mawaziri
12:05
The Chanzo
Рет қаралды 33 М.
President of Tanzania, Samia Suluhu Hassan - G20
5:55
G20 Brasil
Рет қаралды 40 М.
Rais Suluhu atania wabunge kuhusu ufahamu wa kiswahili
3:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 393 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 64 МЛН