MAMA MKWE ANANIFUKUZA KWENYE NYUMBA YA MUME WANGU

  Рет қаралды 3,193

THE CAREN SHOW

THE CAREN SHOW

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@upendosamwel2705
@upendosamwel2705 Ай бұрын
Huyu mama anataka vitu vya bei ghali
@sebastianjoseph2682
@sebastianjoseph2682 2 ай бұрын
Conglaturation Caren for providing us with a very good show...keep it up please
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 2 ай бұрын
Thank you so much, for your comment, I will🙏
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Wamam punguzen roho mbaya achen wajukuu wakae duuh mwanza watuy wamekaa kam mashetan
@user-sn5zb2zb1z
@user-sn5zb2zb1z 2 ай бұрын
😢
@mpefu_4936
@mpefu_4936 2 ай бұрын
Akae hapo ili km wanamtoa waende serikali za mtaa baada ya hapo ataludi kuteseka nyumba za kupanga azifai
@BontownMzigu
@BontownMzigu 2 ай бұрын
kwel mama umepitia magum Sana Ila ndo Dunia ilivo
@BohkeVictor-qs9hn
@BohkeVictor-qs9hn Ай бұрын
Yaani upangiwe nyumba ya 250000😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Mnyoshee Mungu mikono,na choxi la nguvu Mungu atamkalisha kiuno chini,atatambaa km nyoka.
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 2 ай бұрын
Kweli kabisa😊
@francescospeciale6556
@francescospeciale6556 2 ай бұрын
​@@carenmihayo7991Mnamzungumzia mungu wakati ninyi nyote ni wasaliti na watu mliofanya mambo ya kutisha...na mnajua kabisa ninachokizungumza.
@user-me5qu5kw4u
@user-me5qu5kw4u 2 ай бұрын
Cha msingi hapo usihame kamwe mpk wanao wajenge nyumba yao usihame hapo awezi toa wajukuu wake
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@christaoman8890
@christaoman8890 2 ай бұрын
Sasa dada unaomba usaidiwe halafu unataka kufungua biashara ya duka la bei kubwa kiasi hicho duka la vifaa vya ujenzi bora uanze na biashara ya sokoni kuuza vitunguu,nyanya na mboga mboga utafanikiwa kusaidiwa na nyumba ya kupanga tafuta ya bei ndogo pia ili kwa baadae uweze kulipa kodi wew mwenyew
@carenmihayo7991
@carenmihayo7991 2 ай бұрын
Ushauri mzuri asante sana
@mpefu_4936
@mpefu_4936 2 ай бұрын
Wewe mm naona umelogwa unaama kwenda wapi banana nao mpka watoto wako wajitegemee ndio uondoke acha uoga wewe
MUME WANGU ALIKUWA AKINIHESABIA KILA KIPANDE CHA KUKU HAKUTAKA NILE
19:55
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 838 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 94 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 119 МЛН
Mume wangu alinipiga na kuniacha uchi mbele za watu huku mama yangu akiona,
1:32:14
WANAWAKE MOTO WAWAKIA KWA KUPANDA KWA BEI YA VYAKULA
4:23
WANAWAKE MEDIA
Рет қаралды 122
Jinsi wazazi wetu walitutelekeza tulikuwa tunakula mapumba
21:13
THE CAREN SHOW
Рет қаралды 558
NILIFUKUZWA BAADA YA KUBEBA MIMBA NIKAISHI MSUTUNI NA MTOTO WANGU
27:03
NLITESEKA NA KIDONDA KWENYE KALIO KWA MUDA MREFU
23:54
THE CAREN SHOW
Рет қаралды 370
Niliumia sana mume wangu
15:11
The XO
Рет қаралды 13 М.
BAMDOGO ALINIALIBIA MAISHA NA NDIE CHANZO CHA KIFO CHA BABA YANGU
44:47
THE CAREN SHOW
Рет қаралды 1,2 М.
KISA CHA MAMA MKWE PART 2
17:36
official chox
Рет қаралды 79 М.