KISA CHA MAMA MKWE PART 2

  Рет қаралды 79,948

official chox

official chox

Күн бұрын

Mama atembea na mkwewe na mbaya zaidi mama amepata ujauzito ni mtihani mzito sana fuatilia kisa hiki

Пікірлер: 559
@deusnzelan8413
@deusnzelan8413 3 жыл бұрын
Shehe Mungu akubariki sana mimi ni mchungaji wa kanisani la eagt nimekupenda sana heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu
@jaggaludegula6826
@jaggaludegula6826 3 жыл бұрын
Amen mchungaji
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 жыл бұрын
Amin
@emiliankomba8550
@emiliankomba8550 3 жыл бұрын
Emeen
@jennifeemkosa3612
@jennifeemkosa3612 3 жыл бұрын
Kweli
@SalimAmani-ts3tf
@SalimAmani-ts3tf Күн бұрын
Dah! Kw kweli inauma sana mama nae kakosea alikuwa hapasw kuongelea swala la ujauzito pale yaonekana kiupande mwngine amefurah yaani mwnawe anauchungu anazidi kumuumiza kama mwnae angekuwa na plesha siangemuuwa kwa kwli mama alimpenda huyo mkwewe.kwa historia yote niliyosikia. dada umefanya vzr kumsamehe mama.muachie mungu ndiye atakaye ukumu Mbali na hayo ongera sana sana zikufikie shehe umeongea maneno mazuri mungu akulinde kwa kwli unajua kusuruhisha mashallah.
@dadijamoahmed5287
@dadijamoahmed5287 3 жыл бұрын
Pole sana dada angu Allah akufanyie wepesi inshaallah ila pia msamehe mama yako hapa duniani na kesho Akhera amiin amiin Allah awajaze kheri
@ABDISHAKURMANDA-qv2sz
@ABDISHAKURMANDA-qv2sz Ай бұрын
Allah amsamehe mama yetu huyo, na dada pia amsamehe mama yetu Kila Kitu kina weza kumfikia nwanadamu, mama Allah ata kusamehe ,Kuna watu walio Fanya dhambi kubwa zaidi ya Ilo,lakini wakafanya Toba Waka samehewa .
@adijaally3208
@adijaally3208 3 жыл бұрын
hata mimi naamin ww dada ni wa pepon ALLAH Amekupa jaribu na umelishinda
@alihemed7721
@alihemed7721 3 жыл бұрын
Subhanallah Poole Sana dada angu pole Sana simama na nguzo ya mwenyeenzimungu
@nodinghogo4234
@nodinghogo4234 3 жыл бұрын
Pole sn Dada kuwa na subra Mungu atakusaidia kwa hili
@freddymtashi5020
@freddymtashi5020 3 жыл бұрын
Mungu atakulipa shekhe, pole sana dada inauma sana kuchangia kusima na mzazi daah!
@fatumasalim7808
@fatumasalim7808 3 жыл бұрын
Pole sana dadangu Allah akupe subra dadangu.
@halimamohamed4061
@halimamohamed4061 3 жыл бұрын
Allah akupe subra dada hilo ni zito sana ila kila penye uzito kuna wepesi pia
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV 3 жыл бұрын
Masha Allah.
@zaituniabdallah
@zaituniabdallah Жыл бұрын
Chakufanya hapo ndugu yangu watoto wako boding nenda kweke wapngaji nyumba,toka kapange mbali ishi na mungu wako na sio mwanadamu tena huku ukirejesha msamaha taratibu ndani ya moyo wako,fanya maisha yako dada uyo mama ni fedhuri,kumbe alianza kutongozwa alishindwa hata kumlani shetani.
@abuanfultv6702
@abuanfultv6702 3 жыл бұрын
Hii ina maanisha ALLAH ni mwenye huruma na husamehe tusiyo ya fikiri ALLAH. ALLAH awasamehe wote mama na mwanae na awatie katk pepo yake
@athmaniyahaya3758
@athmaniyahaya3758 3 жыл бұрын
Dah inauma polle Sana mungu akupe wepes umsamehe mama Mana ndo mamaako hutopata mwengne
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mm namsamehee lkn sitaki kumuona mbele yangu mana nitakuwa navutapichaaa yake namume wangu huyu mama alijua hilii kitamboooo huyu mama mnafiki hiyo pressure imeshukaa kinafiki tuu
@manay5116
@manay5116 3 жыл бұрын
Dada pole sanaaa unapitia katika kipindi kigumu zaidi ya sana😭😭😭
@nurhambadru3772
@nurhambadru3772 3 жыл бұрын
Huyu mama hana presha wala ukwaju tahayuri tu.... Hovyoo
@pillyommarhemedi296
@pillyommarhemedi296 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@famaukassim8619
@famaukassim8619 3 жыл бұрын
Lkn kisheriya ya hukumu ya kisilamu mtu akizinii kma ameolewa apigwe na Mawe Mpka auliwee
@mishideepsin2386
@mishideepsin2386 3 жыл бұрын
We iyo nipresh alofanya unazan dogo
@reahpaulo5043
@reahpaulo5043 2 жыл бұрын
Mungu atusamehe bila yeye hatuwez hili nigum jaman kwaakili yangu ningemtifua kwanza ndipo nikatafta suluhu duh yeye kashindwa kuusamin umama mimi niwezevp kwafano
@sesiliakasunzu5901
@sesiliakasunzu5901 3 жыл бұрын
Hongera Dada kwa msamaha
@Humanscale800
@Humanscale800 3 жыл бұрын
Huyu Sheikh simjui lakini ni wazi kabisa kuwa Allah amempa hiqma ya hali ya juu zaidi Ma Sha Allah tabarakaLLah. Sheikh Allah akulipe wema kwa kheri hii na amlipe wema huyu dada kwa kusamehe na subra ya hali ya juu. Pia mama Allah amsamehe kama ametupu kweli kweli. Amin.
@shamimumwakapesa9946
@shamimumwakapesa9946 2 жыл бұрын
mmm pole dada
@hamisally3576
@hamisally3576 3 жыл бұрын
Dada angu msamehe mama naiman atakuwa amejifunza vingi kutokana na aliyokufanyia mwenyez mungu akuongezee subira inshaallah
@ommariahmadi9596
@ommariahmadi9596 3 жыл бұрын
Duh balaa kubwa pole sana
@aahafidh4844
@aahafidh4844 3 жыл бұрын
Pole sana dada allah atakufanyia wepes ishaalla
@elizabethmichael7540
@elizabethmichael7540 3 жыл бұрын
Pole Sana dada
@halimasuphiani8604
@halimasuphiani8604 3 жыл бұрын
Najalibu kuvaa viatu vya huyu dada vinanibana😭😭😭 Ila huyu shekh huwa ananipa moyo Sana ata mm mungu amuweke kwa rehema za mwenyezi mungu 🥰🥰
@tarryally1778
@tarryally1778 3 жыл бұрын
Vumilia hichi ni kipind kigumu Sana kwako mbn huyo mama Kam Hana wasiwasi😭😭😭
@farhatomar7495
@farhatomar7495 3 жыл бұрын
Nikweli atauo msamaha katoa kma hana hof
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Yani hana presha kabisaa yy liwalo.na liwee
@tarryally1778
@tarryally1778 3 жыл бұрын
@@eshalibaba1195 acha tu😭
@saumualoyce6625
@saumualoyce6625 3 жыл бұрын
Tena majibu yake short cut hana maelezo
@geofreyalexander1382
@geofreyalexander1382 3 жыл бұрын
Alifurahia shoo ya jamaa
@firdausallymlekwa9396
@firdausallymlekwa9396 3 жыл бұрын
Pole Sana dada kwa mtihani mkubwa Allah ametuumbia mitihani kutuangalia tutashkuru ama tutakufuru Cha msingi tushukuru kwa kusema Alhamdulilah na tutakapo ipasi mitihani yake ametuandalia malipo mazuur Sana msamehe kwa roho Safi mzazi wako
@janewashe7276
@janewashe7276 3 жыл бұрын
Uyo mama ni mnafki sana mahusiano yao yalikua tangu kitambo, mpka mimba ndii dah ishakua tabu kweli
@reginajustin2432
@reginajustin2432 3 жыл бұрын
Inamaana hakujua siku zake za hatar km alishaamua kutembea nae na mimba aachie yy ni mtoto mdg au km sio alidhamiria hichi kitu Mungu wangu mungu wangu tazamana wanao duniani
@aminamohammed6184
@aminamohammed6184 3 жыл бұрын
uyo mama alikua anachat na mkwewe mda kwanini asimwambie mtoto wake mumeoananitaka ananitumia namesej akamuonyesha uyo mama alikua anapenda kuana mkwewake alivyofanya siyo kizuri alikua anapenda kulala na kwewake
@scoviamhiga8410
@scoviamhiga8410 3 жыл бұрын
Mafunzo mazuri Sana mungu azidi kukuinua juu baba wa kiroho
@mariamusalumu679
@mariamusalumu679 2 жыл бұрын
Da huyu dada Tena anamungu Mimi siwezi kabisa kabisa
@florahkimbage9571
@florahkimbage9571 3 жыл бұрын
Huyu mama hapana,, Yan mkavu hata msamaha amelazimishwa tu kuomba,, Hana uchungu wowote hana wasiwasi kabisaaa hata kutoa mkono wa msamaha kawa mzito utafikiri kakosewa Yeye? Eti nasikia presha Mara imepanda Mara imeshuka hata haeleweki!!!,,,, Poooh!! Kiatu Cha huyu dada hakinitoshi kinanibana😭😭😭😭😭😭
@shamimomar1771
@shamimomar1771 3 жыл бұрын
QQ+
@saidabwanakheri7432
@saidabwanakheri7432 3 жыл бұрын
Huyu mama hana khofu kabisa yani. Nadhan yy ndo.ibilisi
@beatuslaurent1373
@beatuslaurent1373 3 жыл бұрын
Yani nimelia mno mm nisinge weza yn kwanz ningekufa tuu jomn
@annkim2690
@annkim2690 3 жыл бұрын
Huyu mama ni mchawi
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 жыл бұрын
Noo huyu mama anaumia sana hayuko sawa ana mazito sanaa
@zulfaahmad5588
@zulfaahmad5588 3 жыл бұрын
Dah hakika dada na ostadhi allah awabariki sana.kosa lakwanza sikosa ispokua kurudia kosa.msaameh mama haina jinsi dada anguu
@gogoboy7950
@gogoboy7950 3 жыл бұрын
Daa inauma kweli inaonyesha mama bado anamuitaji mkwe wake maana hana hata chembe yauoga wala haibu duuuu hata mama ni mama lakini kwa hiii Two much for your
@ashrayabdallah2620
@ashrayabdallah2620 3 жыл бұрын
Pole Sana dada Allah akupe subra uwe na moyo wa kusamehe hakika utalipwa kwa Hili japo ngumu ila ukimtanguliza Allah utauvuka mtihani Huu Dah! hakika nimeguswa na Hili pole sana nimehuzunika kwakweli msamehe Mama japo NI ngumu ila Allah atakulipa hakika uyo NI Mama AKo aitabadilika hilo
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 3 жыл бұрын
Oooh mama Mungu akusamehee nenda ukatubie iyo dhambi
@thureiyahally3422
@thureiyahally3422 3 жыл бұрын
Afu huyu mama mbona anaonekana mjeuri hata uwo mkono alivoutowa ajadhamiria nyoo huyu mama huyu wallah 😢😢😢😢😢😢😢
@monicaalute158
@monicaalute158 3 жыл бұрын
Kuna la kusamehe lkn sio hili wallah. Km ana maradh bas tufe ugonjwa mmoja
@kalekwamsabuni7374
@kalekwamsabuni7374 Жыл бұрын
Shehe Othman mungu akujaalie umri mtefu hakika nimejifunza kitu hakika umeletwa kwetu kutuhudumia
@mwajumakweli6774
@mwajumakweli6774 3 жыл бұрын
Uyu mama ajuti wala nini wallah wenda ata siku ulikwenda Dubai waliyapanga
@happyngulo4722
@happyngulo4722 3 жыл бұрын
Yani ana ata hof kabisa
@kusagaonlinetv3983
@kusagaonlinetv3983 3 жыл бұрын
Huo ulikua mpango wao
@mwajumakweli6774
@mwajumakweli6774 3 жыл бұрын
@@kusagaonlinetv3983 miundo mbinu
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 3 жыл бұрын
Ndio walikua wazoefu hawa🤣
@nuswaibanuswaiba1326
@nuswaibanuswaiba1326 3 жыл бұрын
Ila ni kweli inawezekana alijua km mwanawe hayupo ndio akaja duuu hatali sana
@ndacayisababahati783
@ndacayisababahati783 3 жыл бұрын
Allah akbar inauma sana subhanallah allah akupe subra akujaze imana na atupe sote mwisho mwema atukinge na kila baya ya rab tuweke nyuma ya mgongo wa ibilisi
@rahmapaul1135
@rahmapaul1135 3 жыл бұрын
Yaan huyu mama mbona kama hajutii kosa lake😭😭😭😭
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 жыл бұрын
Exactly
@kelvinaudax8287
@kelvinaudax8287 3 жыл бұрын
Kabisa yani inaonekana sio Mara ya kwanza
@aishakali3082
@aishakali3082 3 жыл бұрын
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh sheikh Allah akuhifadhi na jamma yako duniani na akhera,,, mm nashukuru kusikia musamaha bt ningeongezea to jambo moja, mwambie mama ya kwamba Allahu amesema mtu aki kosea usiku na ikawa Allah amemusitiri hafai kutoa uchafu wake wazi cz tayari alikua amasamehewa na ALLAHU ndio maana hakuna aliye jua chechote ila alipoandika barua inshaallah atapokea musamaha upande zote na kwa Allahu pia
@jenifakinyaiya4838
@jenifakinyaiya4838 3 жыл бұрын
Hapa kunanamna kubwa sana mashart mengine sio po a🤣
@fettysalum6453
@fettysalum6453 3 жыл бұрын
Wallah nmeumia xna nmejikuta nalia xna pole xna dadaangu I know nikiasi gn unasokotwa utumbo pole mamy pole
@tamashanuhu2668
@tamashanuhu2668 3 жыл бұрын
Daah inauma sana lakini ndo hivyo mama ni mama hana mfanowe... hatuna budi kuwasamehe mama zetu pale wanapotukosea... inshallah nasi tutasamehewa kesho mbele za Allah.
@pili1234
@pili1234 3 жыл бұрын
pole sana dada kwa mtihani inshallah Allah atakulipa pepo kwa kumsamehe mama yako Allah akupe subra katika kipindi hichi kigumu unachopitia
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Subuhana aallah mwenyezi-mungu atuodolee mabalaa hayo
@baravuga622
@baravuga622 3 жыл бұрын
Mama pole sana
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 3 жыл бұрын
Umefanya vizuri sana kusamehe dada hakuna dawa ya kushinda hiyo vita zaidi ya msamaha
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Ingekua mie ningeondoka mbali huko hata nikifa nizikwe na manispar wala nisingekuja kutoa hii kesi mtandaoni
@ilhamahmed7907
@ilhamahmed7907 3 жыл бұрын
Kama uko kwa akili yangu kabisa Aibu
@jovanafidelis2802
@jovanafidelis2802 3 жыл бұрын
Ata Mimi,ningepotea nikafie mbali
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 24 күн бұрын
Haipendezi kuyatangaza machafu Sioni funzo kujianika Bora wasingeoneshwa Innaalillahi wainnaa ilaiyh rajiuwn Hawaoni aibu hao
@hawahamad9628
@hawahamad9628 3 жыл бұрын
Ila nakushauri dada achana na uyo mume hawez kuzini na mama yako mzaz halaf akarud akaingia kwako.
@suziatibu5032
@suziatibu5032 2 жыл бұрын
Kiatu kimebana😪😪 yan uwiii Mungu anajua jmn hii hali
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Moyo moyo Moyo Moyo jamani Moyo wangu,namimba tena,itoshe tu kusema mweyezi Mungu tuepushe ,na alaaniwe mzazi akimfanyia mwanae ivi,kwani sifa ya. Mama huruma.kakosa huruma ,amlaani ibiriisi
@monarashid7675
@monarashid7675 3 жыл бұрын
Msamehe mama yako wee wanaume wala sio watu wazr Hao usije acha mama au baba au ndugu kwa sababu ya mwanaume
@mohdsimai714
@mohdsimai714 Жыл бұрын
Jaman tuwe na moy wa kusamehe
@thushblu4779
@thushblu4779 3 жыл бұрын
subhanaallh huyu mama km haja jutia wallahi mungu mwenyewe ndio hakimu ....pole sana dada ila n mtihani mgumu sana.
@evanccast6228
@evanccast6228 3 жыл бұрын
Pole sana dada kwa mtihani mkubwaa Mungu akujalie moyo wa imani🙏👏
@shamilakarimu3820
@shamilakarimu3820 3 жыл бұрын
mama,hana,wasi ws kbs
@mawananasoro4405
@mawananasoro4405 3 жыл бұрын
Mh pole mwanangu mengine magumu eeh mwenyezi mungu tupe uvumilivu
@azizazzzz8043
@azizazzzz8043 2 жыл бұрын
Subuhaallah Allah Akbar
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 жыл бұрын
Salam alekum pole Sana wangu atakupa subra mwanangu inshaallah
@jackiekimario9324
@jackiekimario9324 3 жыл бұрын
Nimeumia sana😭😭😭😭
@abubakarmustafa8047
@abubakarmustafa8047 3 жыл бұрын
Kwa maigizo,hata picha kusoma huwezi?Huo uhuni mtupu,wamekosa sehemu za kutatua kwa siri hadi TV.Upuuziiiiiiii
@aminajumaa9876
@aminajumaa9876 3 жыл бұрын
@@abubakarmustafa8047 tena hii niaibu ata wasinge leta kwenye online mambo mengine si ya andarani wa llhai
@yusufmakonyo2971
@yusufmakonyo2971 2 жыл бұрын
@@aminajumaa9876 acheni ubinafsi wenu ndugu zangu, Jambo likishaharibika kufkia hapo haiwez kuwa Siri Tena lazima itafutwe suruhu na suruhu ndo hiyo yaweza kuwa hadharani km ilivyo mahakamani tunashuhudia mangap ya aibu mbele ya hadhara ya watu mahakamani. Huyu shehe kwanza kasaidia Sana kutoa SoMo la vitendo kwa Umma na watu wamejifunza mengi mno. Isitoshe wapo wataboresha ndoa zao kupitia Hilo SoMo na watanusuru ndoa Yao kupitia Hilo pigo la huyo mdada. Pia lazma mjiulize shehe na elimu take Yote hajui Kama Kuna madhara ya kuleta kipind hicho kwa TV mpk ninyi ndo mumkosoe?? Elimu tu hamna Wala ufahamu. Wacha wengine tujifunze kwa shehe.
@asiaenzi5542
@asiaenzi5542 3 жыл бұрын
Mama maraya uyu
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Io sauti ya mama tuu mnafiki hawara uyu.mm hatugefika kwa shehe tugemaliziana uko mistuni heri nifugwe maisha
@priscajubilate205
@priscajubilate205 3 жыл бұрын
Mimi hata siamini yaan huyu mama na huyo mwanaume walipanga kabisaaaaa maana kumbuka walikuwa wanachat na huyo mwanaume kipindi akiwa kijijin kwa hiyo huyo mama ni alitaka tuu... Wewe mama khaaaaaa mshipa wa aibu hauna chek alivyokaa
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Shekhe wangu hiyo hatali
@fatemaale7066
@fatemaale7066 3 жыл бұрын
Yarab! nimakubwa haya mungu atustir ama kweli dunian kunamazito mungu ampe dada subra ya hal yajuu pamoja na msamaha wake sheikh Allah akulinde na kila aina ya balaa dunia naakuajalie pepo kesho akhera.
@khadijatanzania6237
@khadijatanzania6237 3 жыл бұрын
Yani tokea nione hii video naona kama limenikuta mie waallah linauma Sana... Nifunzwa kubwa kwetu jaman. 😭😭😭...Allah amfanyie wepes Sana huu ukhty..
@mathatolya2260
@mathatolya2260 3 жыл бұрын
Pole sana dada mwenyezi mungu akufanyie wepesi, jambo hili ni zito mungu mwenyewe anajua litaishaje. Mungu msamehe mama kwani amezidiwa maarifa na shetani
@margaretokuku5990
@margaretokuku5990 2 жыл бұрын
Pole.mungu.akupe.nguvu.mama.naye.ajirekebishe
@eliyonamoshi8465
@eliyonamoshi8465 3 жыл бұрын
Kiukweli mapenzi ya huyo mama na huyo mkwewe kwa kweli mungu akutie nguvu Dada kwakweli Holi Jambo linaumiza mwili akili na maisha kwakweli sio poa kabisa haki 😭😭 inaumwa san
@saranasser542
@saranasser542 3 жыл бұрын
Shukran sana shaikh allah akulipe sana
@noorululaatv8973
@noorululaatv8973 3 жыл бұрын
Ni nasaha lkn haiwezi Leta mafundisho kwa kuwaonyesha watu... Hii ni aibu ... Shekh hapa unafeli wallah... Weka adabu ya nasaha
@zaituniabdallah
@zaituniabdallah Жыл бұрын
Yaani kiukweli hapo msamaha ataupata shauri ya allah ila kiukweli atamsamehe ila taratibu sana
@mariommariom6709
@mariommariom6709 3 жыл бұрын
Mama ni mama tu hata iweje na Uislam unatufunza kuchukia kosa lkn si kumchukia mkosaji na kuhusu masala ya mume hilo ni jukumu lake lkn shekhe Hawezi mwambie heti aachike maana yeye jukumu lake si kuvunja ndoa Allah Akupe umri mrefu wenye mafanikio sheikh wetu napia pole sana dead yeti kipenzi Allah akupe subra na uvumilivu juu ya hili na kwa kupitia mtihani huu basi Allah akulipe pepo Amiin
@leilamdoe6503
@leilamdoe6503 3 жыл бұрын
Pole sana kipenzi nikweli inauma lkn ndio mama msamehe tu
@shakiraabbas7538
@shakiraabbas7538 3 жыл бұрын
Pole sana dada mtihani mzito sana tena sana najalibu kuvaa viatu vya maumivu yako nimeshindwa.kwakweli mmh hatali sana.mimi kwakitendo hiki bora nikose pepo siwezi kumsamehe mama angu hata iwe vip kama vipi tutakutana jehanam😢
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Mh yataka moyoooo
@khadijahilal3016
@khadijahilal3016 3 жыл бұрын
Umenichekesha dada wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unakosea lkn my jahannam kuzito mpnz allah atupe subra maana mitihani mizito
@tatually6803
@tatually6803 3 жыл бұрын
Pole dada Allah Akufanyie wepesi utalivua inshallah
@magdalenawandi2927
@magdalenawandi2927 3 жыл бұрын
Jamani ni kweli au move!!Mungu na atuepushe na moto wa jehanamu wanawake wote
@annaleonard7342
@annaleonard7342 3 жыл бұрын
Poledada japo huyumama haoneshi kuumia pia aliamua kutoka ndani yamoyo wake kumsaliti mwanae utaenda vp kwabinti yako aloolewa bilataalifa hawa waliambiana njoo huyuhayupo yaan naona kama anamtaalifu tu ninamimba ya mumeo nfyuu ovyoo ww mama
@ninarukundo1335
@ninarukundo1335 3 жыл бұрын
Hana ayibu Na mtoto wa 2 wataza
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV
@MarkaziIBNSiriinOnlineTV 3 жыл бұрын
Hahahahaha
@samiaathuman7258
@samiaathuman7258 3 жыл бұрын
Hawa walikuwa wanatoka siku nyingi inavyoonyesha loooh unaweza kukufuru kwakweli
@khaijajumanne1317
@khaijajumanne1317 3 жыл бұрын
Pole San dada yang hakik nashindwa kuvaa kiatu chak kipenz inshaallah Allah akupe subra kipenz
@tumajamanimligo7899
@tumajamanimligo7899 3 жыл бұрын
Pole dad angu
@jobuumwambelo2341
@jobuumwambelo2341 3 жыл бұрын
Dadaangu msamehe mama, daima kwa sisi tunaojua Dunia ilivyoo na maisha ya kutafuta basi naomba niamini mimi kwamba wanawake hupitia mengi, maana wanaume wanaenda mpaka kwa wagaga ili wapate dawa ya kuwaingilia wanwake, na kwa atakayebisha naomba abishe hili kama amewahi kusikia kwamba mtu anazini na mamayake mzazi ili apatee pesa anadhani kwamba mama anakuwa anafanya hilo tendo akiwa katika akiliyake, basi mimi nakuapia pale mama anakuwa karogwa ndiyo hujikuta katumbukia katika madhbi hayo, Dada kikubwa msamehe mamayako.
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 жыл бұрын
Innahlillah wainnah lillah rajiun Allah atuepushe na atupe mwisho mwema.
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Linauma sana mama kutembea na mkaza mwana😂
@jaliaharuna1784
@jaliaharuna1784 3 жыл бұрын
Hana hata wasiwasi huy mam jmn duuu mm ningekat hiy nn yak
@mwangazamsazi3696
@mwangazamsazi3696 3 жыл бұрын
Jamani Mimi kwanafsi yangu siwezi kusamehe ataangenishauli nani siwezi
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 3 жыл бұрын
Duh
@mwajumasaid8305
@mwajumasaid8305 3 жыл бұрын
Huyu mama hapana kwa kweli,hana hata wasiwasi jamani duuh,
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Yan mhhhh
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
kabisa
@salmasaid1299
@salmasaid1299 3 жыл бұрын
Kabsaa hana hata mshindo
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
@@salmasaid1299 mtihan kwakwelii dunia ina mambo
@lesusi7872
@lesusi7872 3 жыл бұрын
Jmn hii sio kweli ni kisa tu kimeletwa hapa na hao sio wahusika huyo dada anajiektisha tu kulia
@leylasaid9641
@leylasaid9641 11 ай бұрын
HUYU MAMA ANA ROHO NGUMU HATA AIBU HANA ANGEFICHA SURA YAKE KABISA.
@zitoniebrahem3174
@zitoniebrahem3174 3 жыл бұрын
shekhe allh akupe umri mrefu ili upate kutupa natha zaid
@theopistermganwa4558
@theopistermganwa4558 3 жыл бұрын
Dada wa ndani tu inaumiza sembuse mama mzazi. Mungu awe faraja kubwa dada etu. Mwamini mungu ndie ombi kubwa kwangu.
@junaytadarwesh4708
@junaytadarwesh4708 3 жыл бұрын
Mume wa mwanao!! Mama mbaya sana huyu!! Subhanallah! Kama mnyama.
@rayajuma301
@rayajuma301 3 жыл бұрын
Mama mshenzi huyu ht kutoa jozi?natamani angekufa na hii mimba yake .nimeumia sn
@hagerimanafabrice9028
@hagerimanafabrice9028 3 жыл бұрын
Mama ni mama hatakama hana mana anastahili msamaha ameona makosa na akasema asingekua na wasiwasi angenyamanza
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Dah duniani kunamambo kweli kweli
@priscajubilate205
@priscajubilate205 3 жыл бұрын
Huyo mama alipanga kuja huko haiwezekan uwende kwa mtoto wako bila yeye kujua na naul alipata wapi yaan alitaka tuu kulala na huyo mwanaume
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 3 жыл бұрын
Kabisa ni mtapeli mno,na alipomkosa mwanawe mbona hakurudi nyumbani.
@juniourmgina2663
@juniourmgina2663 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu dada ni ngumu sana lakini inahitaji ujasili snaa na neema ya mungu ihusike
@rukayyawendo1268
@rukayyawendo1268 3 жыл бұрын
Jaman jaman innalillah wainailayh raajiun kwann mnapenda kwenda kukaa kwa nyumba moja miji roho imekuwa kama ya wanyama
@naomiabel9929
@naomiabel9929 3 жыл бұрын
Presha ikupande saiz kwann isikupande wakati umetongozwa na mkweo muongo huyoo
@christinasilungwe3543
@christinasilungwe3543 3 жыл бұрын
Umeona eeeeh! Hajieshimu uyoo mama ovyooo
@ayshaalsahafi5714
@ayshaalsahafi5714 3 жыл бұрын
Hana heshima huyu mama ni Malaya mkubwa
@edwardkingori8211
@edwardkingori8211 3 жыл бұрын
Watu Wana roho nzuri kama dada huyu amekwisha msamehe mamake
@munaathman437
@munaathman437 3 жыл бұрын
Mungu atuswamehe na awaswamehe waislamu na viumbe wote ameen Rabil alameen
@ninarukundo1335
@ninarukundo1335 3 жыл бұрын
Jikaze sana mtoto Wangu Maman ni maman anadaraja kubwa ila kakosa kbs mkwe wako ki vipi atakuandikia ki msg ça mapenzi sielewi
@aishaluluaishalulu886
@aishaluluaishalulu886 2 жыл бұрын
Dada jaazakallahu khairi
@emillynyamwage4700
@emillynyamwage4700 2 жыл бұрын
Mmmm nimekusameee😭😭😭😭😭🙏🙏 Asante Dada Ila ningumu sasa
@tatudaudi741
@tatudaudi741 2 жыл бұрын
Hakuna kama mama lakin mam ulicho fanya ni hatar
@anaplucas1698
@anaplucas1698 3 жыл бұрын
😭😭😭 kiatu chake hakinitoshi walah
@pillyomary6127
@pillyomary6127 3 жыл бұрын
Super woman wallah
KISA CHA MAMA MKWE PART 1
19:13
official chox
Рет қаралды 31 М.
MWANAMKE MWENYE SIFA HIZI MWACHE AENDE - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
26:25
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,8 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 48 МЛН
PENZI LA MAMA MKWE ((((EPSODE 8))) #MR CHEUSI
23:01
MR CHEUSI
Рет қаралды 30 М.
I Was Drawn To Islam  | Jamila Wanjiru #revertedtoislam
29:46
The Daawah Centre Foundation Kenya
Рет қаралды 3,5 М.
Christian Bella ft. Ommy Dimpoz - nani kama mama
4:08
Millard Ayo
Рет қаралды 138 М.
MWIJAKU AMVUA NGUO DIAMOND KUMKATAA MZEE ABDULL
11:25
Mbengo Tv
Рет қаралды 98 М.