ilove you Mama zabibu Mwenyezimungu akuondolee Matatizo yeye tuu ndio anaweza kukutimizia unayohiyaji..Astaghfurulah waatubi ilah... Hakuna kama tabia zabibu rudi kwa mama.nani kama.Mama.
@hamidaalhabsi85682 жыл бұрын
Subhanaallah mama zabibu mbona zabibu kakutia mbaloni hii familia mbona kazi jamani pole sana Hapa zabibu hana ndoa ila anandoano tu hapo
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Kiufupi hufanani na mma Zabibu. Na nilisema mwanzo huyu mama mbaya ila anajificha. Na sasa Allah anakufedhehi. Utamchukuaje mtto wa watu na kumlazimisha kukaa kwako na mwanao hali hajaolewa km si muhuni ww? Unatabia za umalaya na kudanga na unataka mama Zabibu akuendekeze hali ya kua mwenzio ingawa wtto wanamuharibikia lkn anaumia, ww huna hata maumivu ndio unaona sifa. Mana uso ushakomaa na hutubu unaona fakhari uliopitia? Mtihani. Allah atupe mwisho mwema, amiin.
@svt32 жыл бұрын
Alhamdulillah: Zabibu mwenyewe mhuni mtoto mdogo saana kaicha zalia kwao mara pili baba tofauti,mama zabibu mwenyewe mhuni na anao watoto baba tofauti, mama mkwe wa zabibu mhuni pia sababu naamini nae kazaa tu ovyo ovyo , halafu wote kwa wote wanatumainia misaada
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
Alhamdulillah:nikweli kabisa unalolisema
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
Mimi namlaumu.mtangazaji kila siku kwenda mama Omary kwenda kumhoji hana watu wengine wa kuwahoji 😏😏😏😏😏😏😏😏😏zako mtangazaji
@sifatiiman2 жыл бұрын
@@المهلهلالحراصي namchukia huyo mtangazaji na domo lake kama chuchunge😏😏
@mwajumashabaninakupendasan52652 жыл бұрын
Mama fanianaongea huyo
@zaitunisinamenye17992 жыл бұрын
Uyu mama, Allah amuhurumiye, zabibu arudi kwawo, uyo siyo mama mkwe ni balaa. Mwanzo alionekana muungwana kumbe ovyo
@mozaummy3272 жыл бұрын
Nilimjuwa mwanzo sura yake inajieleza subhanallah innalilah wainnarajun poleni sana mama Huna haya
@kiri58072 жыл бұрын
Mama mkwe Allah akusamehe maana mtu mzima unajisifia zinaa badala yakujifungia chumba ukalia na kujuta wewe wajiproud . Halafu Zahir anawaombea misaada watu km hawa , mimi hata km nnayo watu hawa siwasaidii .
@fatumakassimu59232 жыл бұрын
Yani mimi mia yangu nyekundu sitoi kwa hii familia
@aishaukuthymwanachahaya45112 жыл бұрын
Kbs hana akili Hyo mama halma
@hafsaaali65182 жыл бұрын
Subhanallah huyu mama na mwezi mtukufu anajitangaziya zana mungu amnusuru hajielewi hata nilimona mama mwelewa kumbe mpuuzi hivi yani anaongeya kabisa amemaliza gesti zote kweli du nimeishiwa nguvu zabibu hayo ndiyo maisha anayapenda ila mama zabibu asaidiwe tu yule anajielewa Allaha awanusuru
@saumurashid97272 жыл бұрын
Allaaah ninusuru mimii na kizazii changu 🤲🤲🤲🤲😔😔😔😔😭😭😭
@habbibtymonah69122 жыл бұрын
Ameen
@afandehassan12 жыл бұрын
Ameen Ka Saumu
@azizahamisi73492 жыл бұрын
Ameen 😭😭🤲
@mervaille612 жыл бұрын
Amen yarabii
@hellenmateke96802 жыл бұрын
Huyumama sio nikahaba mkubwa anamfundisha nini mwanae
@chausikuzubel32012 жыл бұрын
Huyu mama toka mwanzo sikupenda maneno yake
@khadijal98512 жыл бұрын
Subxanallah huyu mama siyo mtu mzuri. Zaher please mrudishe zababu kwa mama yake
@afrahoman28442 жыл бұрын
Sio kweli
@afrahoman28442 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadijal98512 жыл бұрын
@@afrahoman2844 what do you mean?
@simplyfay53082 жыл бұрын
Allah hamfichi MNAFIKI kaamua kutuonyesha hawa watu ni wa aina gani washapata mtaji wapambane na hali zao kwakweli🙌
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Mimi naona zahiri asituletee hawa watu lakini hasikii
@simplyfay53082 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا Japokuwa n moja ya vipindi vyao lakini hii imefika mbali sana asee
@ashaabdalla9242 жыл бұрын
Kumbe huyu mama ni shangingi mgomvi anaonesha akiwepo ZAHIR anajinyweza umuone mtu mzuri kumbe hana maana kujikusanya na vitoto vidogo ufanya upuu zi tu mpumbavu mkubwa
@nahyialetomia92842 жыл бұрын
Kitambo nilisema mama mkwe ni balaa
@lylieouko95692 жыл бұрын
Hawako kwenye kundi la mchango tena,ndio maana wamewekwa kwenye mbanga za uswazi si sad moment!
@saudahassan66672 жыл бұрын
Allah ni nusuru mm na kizaz changu yaraby😭😭😭😭
@mwanakhatib58252 жыл бұрын
Mh maganga
@ashaali71542 жыл бұрын
Mama Zabibu bora ajikalie kwake huyu mkwe wa Zabibu ni mtihani mkubwa pamoja na familia yake. Hawa ni midomo tu na ujinga ndio umewatawala.
@tiaraoscarjuma45222 жыл бұрын
Nilisema mimi huku kwa mama Alfani siko, huyu mama mjanja sana, afadhali mama zabibu mpole na anaumwa, kwangu mimi bora kubaki na mama zabibu kwa kumjulia hali huku tumwachie mwenyewe zabibu na kutamshinda, huyu mama hata uchawi anaweza kumfanyia zabubu mshahili sana, wanapokwendea mama Alfani atamuumiza zabibu lazima kwa uchawi huyu mama mswahili sana sana, zabibu kayatafuta kayapata.
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Yani wanaotoa pesa zao kusaidia hizi family mbili mama zabibu nahuyu mama hazina kazi pelekeni kwa yatima kumbe hawana akili hivi
@alfarsialfarsi27542 жыл бұрын
Mimi sitoi Tena pesa unawachangia wanafanya upuuzi huo kumbe hawana umaskini wowote
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
@@alfarsialfarsi2754 washenzi kabisa mungu atusamehe kabisa tumpiganie huyu dada mwenye mapacha apone Maskini wawatu
@fatumakassimu59232 жыл бұрын
Hizi familia sio mzuri ..wote kwa mama zabibu.na mama halfan Washenzi tu .sasa huyu mtuzima ovyo kukaa na watoto wadogo .unasemaje huyo mwanao hana bwana .sio kwa karne hii .watoto wadogo wanamambo makubwa .kaka zahir ..hatutaki kutuchangisha pesa kwa hizi familia mbili ..wapambane
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
@@fatumakassimu5923 zahiri nishamwambia kauli kama hii yako lakini chakushangaza kila saa wapo mlangoni huyu mama zabibu katugeuza meza yakamali
@maryamdunga38962 жыл бұрын
Mimi sisubutu tena kuchagia kwa zahiri maana anatukera
@happyelias94652 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣mitaa ya namna hii hata Kodi iwe 3000 siwezi kuishi
@mauamrope77682 жыл бұрын
Umbea kila sehem ila ukiwa bize na mambo yako wala hayakusumbui
@meselemanikitambi67162 жыл бұрын
Kabisa
@yusrasalum2 жыл бұрын
Naona huyu mama asiojiwe tena aibu mungu tupe stara! Jitahidi muwe mnaedit aibu
@fhfbfhff92062 жыл бұрын
Jamani huyu mama Halfan kanishinda tabia mwanzo alikuwa anaficha makucha yake hata malezi ya wanae loh Mungu atunusuru wote ,mtu mzima kujinadi miyandaoni hii too much mama Zabibu wa watu Hana mambo kama haya ya kiswahili
@margarethasway84502 жыл бұрын
Mama alfani na mwanaye akili Hawana kwa mwendo huu. Wanapewa misaada halafu wanasema Hawana shida. Zahiri anaonekana anajipendekeza. Mungu tunusuru kuwa na mzazi km huyu
@zubedanyakula77692 жыл бұрын
Mwanzo nilimpenda saana huyu mama,,Ila kwa saiz ananikeraaaaa kwakweli
@jamilasalimvilog67522 жыл бұрын
Tafadhali tumemuchoka huyu mama msituletee tena maana si kwa kiburi hicho kwa mtaji tulompa
@meselemanikitambi67162 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@aminakipande56452 жыл бұрын
🤣🤣🙌🏽
@biubwamohd60892 жыл бұрын
Mama.zabibu mstaarabu nibora kwangu
@bintysele69992 жыл бұрын
Mama halima mwenyew mbeya tulikuchoka Nzasa😁😁
@saudahassan66672 жыл бұрын
Jaman mama ww kua na stara unawatoto wakike wanataka kuolewa subhanaallah mwenzenu naona aibu kwa maneno machafu anayoyangea uyu mama mbele ya watoto
@credo78372 жыл бұрын
😂🤣🤣
@maryamdunga38962 жыл бұрын
Siku yakwaza alisema anamume sijuwi kamupeleka wap
@hagarbills40232 жыл бұрын
Mungu anisamehe mzaniae ndio kumbe sio haki bora mama zabibu watu ua tunaambiwa mkubwa atukanwi
@najmaaa65482 жыл бұрын
Mama mkwe mungu akuzindue...umrii huo ulonao🤔🤔🤔 bdo ujinga wazidi kukutawala aki pole mamangu
@rahimaan64812 жыл бұрын
Nimesoma comments,kuna watu humu hamjaelewa kwa nilivoelewa mimi hawa viumbe wameletwa kwenye mbanga za uswazi ili tujionee vituko,lkn kuhusu misaada imesitishwa,maana misaada ipo sad moment sio mbanga za uswazi,kwaio tuendelee kujionea vituko vya uswaz asanten maxmamutv 😂😂😂
@neemazee18642 жыл бұрын
Make kwanza nisikitike sio kucheka!!!!!ila wew mtangazaji ushungi wote huwo unaskiliza upuuzi! Bas vaa vijola na wew uwe wa uswahilini
@Zainob2 жыл бұрын
Family hii imeanza kuwa ya kiwakiii sasa khaaa
@ukhtyrayyan78842 жыл бұрын
Simlikua mkisema kapata mama mkwe nyie siku yakwazanilimuona huyu bibi fisadi
Allah awahifadh na vizaz vyetu yote hyo ni kutokuwa na elimu ya dini ramadhan yte hii halaf mseme mumefunga inna lilah wainna ilayh ragioun
@sifatiiman2 жыл бұрын
hata hao wanaokwenda kuwahoji na liushungi lake 😏😏
@nurumwinyi7962 жыл бұрын
Hali,inaskitisha sana,saa akiongea hivyo mambo ya gest ndio yuwamfunza nni huyo bint yake,pili kumbe amezoea zinaa ndio masha anagan'gana zabibu Anakin kwake ila hali hawajaowana kisheria ya dini ya kiislam
@hassinaalharthi59842 жыл бұрын
Hii family hovyo saana hawana maana hata kidogo. Fanyeni toba kwa mungu wenu.
@aminahadi19662 жыл бұрын
Allah atunusuru ramadhan hii usochukua mswala ukaomba Mungu ama utafute kazi ufanye wanawake wengi tutaingia motoni subhanallah
@kessytajiri63202 жыл бұрын
Subhanallah. Huyu Mama hana hofu Mungu na hajielewi. Si Mzazi mwema. Aibu tupu.
@omanphone34552 жыл бұрын
Me nlikwambien mamazabibu hanamakosa kwanza anahof yamungu naanajiheshim
@thumnathumna59462 жыл бұрын
Mungwachana na izi family.watu wa vijiweni na mada ya kulevya ndio maisha yao..halfan na zabibu ni pipa na mfuniko.mama omali na mama zabibu ni ivyo ivyo pipa na mfuniko.
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Wale punguani na madanga wenzio walokua wakikusifu kwa sifa tofauti na kukusisitiza umzinishe mwanao na mtto wa watu kwa kuwaeka kwako na kukutumia mpaka pesa leo wakupe na taji mana umefurutu ada. Zinaa unaiona km maji ya kunywa na utu uzima huo ulokua nao usorudi kwa Mola wako ukatubia pale ulipopakosea na kueka sawa kwa wtto wako wasirudie makosa uliyoyatenda ndio kwanza unajisifia. Allah akurehemu, amiin.
@mariamissa40292 жыл бұрын
Subhannallah 😭😭😭😭😭😭,yarrabi ninusuru mm na kizazi changu
@leahchalresi56322 жыл бұрын
Mwenyez MUNGU awasamehee jamani Ehee MUNGU baba naomba ikisaidie kizazi chetu
@noxlosingida23692 жыл бұрын
Mama mtu mzima na wajukuu juu ana jisifia Umalaya!
@saebajoma84192 жыл бұрын
Kwamaisha hayo watoto wenu hawawezi kuacha kuvuta bangi mungu awasemehe tuu
@bahatimwinga25012 жыл бұрын
Mungu tunusuru gai wee upatane na mum in law kaa huyu uko shule walai 🔥
@vbnmmnbv52922 жыл бұрын
Du huyu mama hafai kabisa pia tumeshachoka Habari zao maana hana hata akili mpuuzi huyu anajisifia umalaya jitu zima hovyoo
@chani_tayra_official18602 жыл бұрын
Afu uyo wifi wa Zabib utoto unamsumbuwa sanaaaa God keep them safe inauzunisha sanaa Daaah afu eti anataka kua doctor kwa style hiyo...!
@asiachengula57432 жыл бұрын
Udocta atausikia hatumuombei mabaya ila Kwa stail hiyo Mungu amsaidie
@modysultan61702 жыл бұрын
malezi mabovu mm nimekulia iswahilini lakini tabia za ajabu sikuwahi kuwa nazo nikitoka shule madrassa nikitoka madrassaa tuwaleeni watoto kimaadili atakama akipinda unajua ulimpitisha njia iliyonyooka lakini sio unamuandalia mazingira kama hayo badae akipinda utamlaumu nani hatari nikuomba mungu kwakweli atupe vizazi vilivyo vyema
@rahmahussein2020 Жыл бұрын
Kwa staili hii ukimwi utapiga hodi kumcheza mtoto sikia tu ni kufru kwanza dini haitaki ujinga. Mashekh wanasema usiku na mchana . Mbadilike dunia fupi rudini kwa mungu
@leylahleylah45992 жыл бұрын
Yaani huyu mama kumsifia kote kumbe alijivesha ngozi y kondoo ndani ni mbwa mwitu khaah🙌🙌🙌🙌 wazungu wamesema time wil tel sasa tunaanza kumwamini mama zabibu hii family siyo mkitaka mtuchambe lakini uswahili mwingi sana afu ubaya ni kujitia wajua kuongea mwezi wote huuu...Astaqafuruallah tusamehe mola wetu
@habbibtymonah69122 жыл бұрын
😂😂😂
@habbibtymonah69122 жыл бұрын
Ukisikia umdhaniae sie kumbe ndie maana halisi hii
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Huyu mm nilimjua tangu siku nilomuona mwanzo. Na nilimbaini kua hajifahamu na uzinifu kwake km maji hajali kabsa na wala hajui km mwanawe amekosea ndio mana anazidi kulazimisha vitu visivyoeleweka. Zinaa anailazimisha iwe km ndoa. Ati saba moja nije nimchukue....umepata kuyaona wapi hayo? Hasbunallah! Ni aibu kwa muisilam hata kuyashadidia/kuyakubali sikwambii kuyatenda.
@lucksonkalima19882 жыл бұрын
😃😃😃
@leylahleylah45992 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Naam
@fatmasalim82932 жыл бұрын
Hii family toka mwanzo nilijuwa sio family maskini mama zabibu mpole na alisema ukweli toka mwanzo hawa watu ni mtihani zabibu rudi kwa mama yako
@tifaomy5272 жыл бұрын
Mama akili aziko sawa
@remiomar71542 жыл бұрын
mmmmh hata kama n uswahilini Ila hy mama n binti yake hata sikumdhania yaani analazimjsha umaarufu uzeeni mamazabibu alisema tukaona hapendi hii family tuliona n masikini kumbe n zaidi ya umasikini walionayo....tulete laylat n mamayake tujuwe swiha ya mamaake inaendeleaje .......
@rahmasalum21302 жыл бұрын
Yaan mama unajisifia kuwa ww ulikuw muhun mbele ya kizazi chak0 na unaiman ya kurithisha wajukuu zk0. Innalillah wainna ilayh rajiun
@hajirewa11092 жыл бұрын
Subbuhanallwah Daah mitihani mama itakllwah muogope molawetu hebu muache zabibu aishi na mamayake halafu hizo kauli zakujisifia uovu acha
@zuhurahamisi86872 жыл бұрын
Yaani ujisikii Aibu ww mama loooh makubwa mungu tustili
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun 🙄😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Yaan Mama anajisifu bila yakuwa na woga kwanza mwezi mtukuf wa Ramadhan pili mtoto wake yupo anatarajia atafata nini jmn tustir cc na kizaz chetu😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
@kawtharalbarwani13372 жыл бұрын
Bint Salim mama khalfan anasema kawaachia watoto uhuuni yani kwake kawaida kuzungumza hata kama mtoto wake yupo:anaona asemavo ni vizuri atasifiwa kumbe kaharibikiwa subhanallah Mwenyezi Mungu atustiri inshaAllah
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
@@kawtharalbarwani1337 Ammim yarab 😭😭😭🤲🤲🤲🤲
@bintsalimalbimany2872 жыл бұрын
Yaan anafuraha kuona watoto wahin jaman sisi kila siku tunawaombea dua watoto wetu na wa wenzetu Allah awaongoze yeye Anasema et kawaachia watoto innalillah wainnailaih rajiun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@elizabwakila25482 жыл бұрын
Muwe mnajionea huruma kwanza Hali zenu sio nzuri. Badala ukazane kusoma unaendekeza uswahilin. Huyo mama mwenyewe Ana nn? Alifubaa mpk alivyopewa mtaji wa mkaa ndio kaanza kupaka na lotion. Tupumzisheni kwanza na Hawa waTu. Mpk ngoma bado mnacheza🤣🤣🤣.
@aminakipande56452 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mamafau98062 жыл бұрын
Mmmm kumbe wamalaya watupu awoo duu mtihani kwa kwer
@ashaally69932 жыл бұрын
Zabibu nakuhurumia sana kuingia kwenye hii familia wewe na mama yako wote mwaongea kitaratibu ila upande wa pili micharuko...mungu akuvue salama haya ni majanga mama mkwe mwenyewe majanga kukaa na watoto wadogo kuchamba watu mbele ya camera 🥺🤔
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Huyo zabibu mzuri yeye mwenyewe ndio kundi hilo hilo angekuwa na adabu asingekuwa nayule mwanaume kwakuwa yeye mwenyewe mwehu namume nae mwehu
@berthahamsi49332 жыл бұрын
Hakuna,zabibu hana ustarabu wowote,tabia zake ,za wifi take, na za mama Mkwe wake ni sawa tu hizifaii kusaidiwa hizi familia
@heyumi23402 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا hana ustaarabu wowote bangi tupu upole wake hauna maana yoyote
@judithmelvinealuchio89682 жыл бұрын
Zabibu alipelekwa sehemu yenye haina makundi anakuwa mama muzuri sana sasa hivi ashaa jielewa vile huyu ma mkwe wake anavyo jibeba lazima hata zabibu atakuwa ananyamaza tu sababu anawaogopa
@heyumi23402 жыл бұрын
@@judithmelvinealuchio8968 upole wa bangi subiri mtoto achangamke uone
@kessynurutajiri49402 жыл бұрын
Ma Khalfan si Mama mwenye maadili. Zahir na Timu yenu achanane na hii Familia.
@zaiiomary89702 жыл бұрын
kwahiyo Zabibu ndo kawafunguliya njia mnajulikana mama mkwee na mtoto wake wame chachuka mmhh fanyeni kazii munone kama mtasemwa umbeya upo dunia nzimaaa
@sharifanyumayo63142 жыл бұрын
Yani ni shida ila inapendeza cz ni moja ya vipindi vyenu ila mama mkwe wa zabibu kiboko mwanzo nilikuona MTU poa mno bt sasa umeamua kutuonyesha makucha yko. Kaka Zahir hatutak tena habar zao za kusema ooh tunashida na kile labda iwe ugonjwa. Wazima wa viungo hao jmn waendeleze mitaji yao.
@vumiliamgendi1482 жыл бұрын
Unauzuri Gani wewe na mungu anajua, ungekuwa mzuri ungewapanda watu kichwani
@hassinaalharthi59842 жыл бұрын
Wewe mwenyewe mbeya na kumchukua mtoto wa mtu kuishi nae bila woga. Mungu a nakuona
@aminakipande56452 жыл бұрын
Mama kashamaliza guest house zote mjini looh kwanza ukapime tb wewe maana sio kubanja huko loooh mtu mzima kisheti 🤣🤣🤣
@aminaabdalla99492 жыл бұрын
Unajisifia madhambi subuhanallah Allah akusameh utubie
@shi5a_2 жыл бұрын
Kwa kweli mm nampenda mama zabibu mpole hana maneno ya kijinga
@saumuomary21172 жыл бұрын
Mh! Hii mbona kali😂😂😂😂😂😂😂😂
@marykirigiti2032 жыл бұрын
Kaka zahil naimani utakuwa umeona na huyu mama mkwe wa zabibu anajifanya anampenda zabibu Hana mapenzi yoyote na zabibu Ana mapenzi na misaada tu na zabibu utambue mama ako hawez kukuchukia ukapendwa na mkwe hata mwanzo nilisemana mungu akatuonyesha mama zabibu walikusema hata Kama una mapungufu tusamehe tu jishugulishe
@maryamdunga38962 жыл бұрын
Mumama mtu mzima khaa zahiri hatutaki hii family
@azizakipanya71032 жыл бұрын
Bora ukose mali kuliko kukosa akili nini hiki mbona anaongea yy naona aibu mimi 🙄🙄🙄
@yakfizahran45362 жыл бұрын
Subulllh allah yan anasema gest gan hajaenda na mwanawe anasikia usooo mkavu mkate wa hitma mtunzima ovyo bora hukula hela yangu maan sikukuelewa zawan
@elizabwakila25482 жыл бұрын
Umeona ee
@nigamo96452 жыл бұрын
Kwani huyu dada wa mbanga anaitwa au anaenda mwenyewe maana sielewi kila siku huko
@khadjaiddlis2832 жыл бұрын
Mama mrudie muumba,, mwanga wajua usituhadai umri ulionao na uyasemayo haviendani hata kidogo unajivunjia heshma
@yakfizahran45362 жыл бұрын
Huyu mama saa mbovu nilimuon toka siku ya kwanza alohojiwa sikuwah kumuelewa hata siku moja
@almailalwafi97192 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@ramlaali41302 жыл бұрын
Mama crazyyy mtoto bangi motooooo halufanii🙉🙉😤😤😤
@ramlaali41302 жыл бұрын
Damu haipotei tabia hutoka kwa wazaz kuenda kwa watoto
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Huyu mama kanikinai nafsi laiti ningejuwa uwiiiiiiii, Tabia chafu sana hiyo na umri hata haviendani looooooooooh, 😏😏😏😏😏😏
@mwanaidjuma30712 жыл бұрын
😂Haki uyu mama toka mwanzo sikuwahi kukubali Yaan nili his tu uyu mama ajitambui
@zakhiamsuya49222 жыл бұрын
Jmany mnaomlaumu zahir kuhusu kuwaleta hawaa sioo sadmoment hichi kipind nikingne mbanga za uswaz sasa haya sindomambo ya uswazi elewen kwanza hapo kabla hamjalajmu
Uyu mama innalilah sasa umeambiwa kwa wema sasaunaona kama wananuonea mwanao
@zeddydaqueensy46122 жыл бұрын
Alafu kuna watu wanasaidia hii familia kweli pesa zao hazina kazi😂😂😂😂
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Mimi naona ni wajinga hela zao hazina kazi
@AminaAhmed9992 жыл бұрын
hawafai kabisa kuchangiwa wameshindwa kumuogopa Allah .mwezi mzima wa ramadhani . wanaweza kukaa kusutana kutafuta pesa hawataki
@fatmamansour6762 жыл бұрын
Sahv hawamchangiwi hao
@ukhtyrayyan78842 жыл бұрын
Hawalaumiki mana mwazo walikifanya wema
@alfarsialfarsi27542 жыл бұрын
Tulikuwa hatujui Ila uyu mama jamani
@mammam47012 жыл бұрын
Mtangazaji kapooooooooooooooooooooooooo za hana pambe, 🤣😂😂😂Au swaumu🤭
@magrethelias67122 жыл бұрын
Mhh nishida kwakweli uyu m mama nikiboko khaa
@fhfbfhff92062 жыл бұрын
We mama mapungufu ya mwanao huwezi yaona mwenyewe lazima jirani ayaone sasa ukiambiwa kuwa mpole Acha kushindana na walimwengu tulia wewe bi mkubwa Acha kuropoka ovyo siyo wambea Bali wanashindwa kuvumilia aibu
@aishaamwalimu28872 жыл бұрын
Sina cha kusema M/mungu tustiri waja wako.
@maimunamsakamali91522 жыл бұрын
Duh huuu ni msiba Allah tunusuru
@matatomlik18462 жыл бұрын
Innalilah wainna ilayihi rajiun huu ni mswiba wallah
@edgarelikana72042 жыл бұрын
Kuma mayo kbx, 2000 yangu imeniuma bora ningeunga bando
@rosaliembarikiwa5922 жыл бұрын
Upumbavu gani huu Jamani? Kaka Zahir, kwani tumemaliza kusaidia wote wenye matatizo???🤔🤔🤔
Huyu mama wakati kipindi anaanza kuhojiwa nilimuona wamaan kwl lkn kwass duh nimemshiba kbc
@gladysrodrick32282 жыл бұрын
Wifi ake zabibu intavy yako yakwanza ulionekana mstalabu kumbe ulikuwa una igiza kwakweli mwenyez mung atusaidie
@nigamo96452 жыл бұрын
Yaani kumbe mwehu kupindukia halaf inaonekana karithi kwa mama yake na vya kurithi huwa vinazidi
@OmanOman-fr5hl2 жыл бұрын
Kiufupi maximum TV hawana mana kuhoji washangingi hasara yenu na kama mtaendeleya hv wallahi wte wanaosaidia wataacha
@hpmobilephone99512 жыл бұрын
Walinalilahi rajuu wewe mama mtu mzima unakaa nawatoto wadogo kupiga ubea jamani mama zabibu pole yako rudi kwa mamayako mzazi hiyo family haikuufai kabis tena umepotea njia mdogo wangu usije ukamua mamayako bure
@mariamfataki80252 жыл бұрын
Kwani Zahir yuko wapi?
@yazu30072 жыл бұрын
Mm namlaumu sn zahir mana yy alimtia mama zabibu aibu kwenda kudhalilisha na kipindi chake wakati anarekodi akichukuwa vitu kule na kupeleka kwa huyu gawadi zahir hata ukanuna ila leo nakwambia ww huna adabu na umedhalulisha mama wa mwenzio kupeleka mtoto wake kwenye nyumba ya zinaa na ulanisi
@farajaf4492 жыл бұрын
Ndio maana tzabibu anakupenda kwa mama alfani I , kwa sababu kunaendana na tabia yake, mama zabibu Hana tatizo ila watoto wake wanamsumbua na anahofu ya mungu pia, tusimsema vibaya Anahaki kabisi ya kumlilia mwanae sio kwa ajili ya msaadatu.. Hakuna mama yeyote ambaye atataka mwanae aende kwenye njia mbaya. ,
@biubwamohd60892 жыл бұрын
Jitu zimaa majiranizako ndio nduguzako usilete ujinga
@ummusamira35182 жыл бұрын
Innalilah wainnailaih rajiuni MTU Una muasi Allah halafu unajisifu mbele ya mwanao?? Mtihani mkubwa unawafundisha mini watoto walioko Hali na mwanao?? Kwaiyo name akiwa muhuni nisawa?atakuwa anapitia nyayo zako??kufanya maasi halafu unajisifu ni dhambi kubwa sana
@rachealbandeke48482 жыл бұрын
Groupe yawamelaya na maman Haltani anajiuza watu wazima hawawezi kuwa kamao😮😮
@munaqtr89852 жыл бұрын
Hawa watu wote hawajasoma maana watu wakusoma hawako hivi na si upuuzi kiasi hiki chakuongelewa hakijulikani mama mtu mzima nae kazi bure na kama uhuni uliufanya wewe mwenyewe sasa ivi unafundisha watoto.
@felistersmejumaa51882 жыл бұрын
Mama shangingi kumbe huyu alikua anaficha makucha kumbe zombi tu uswahili mwingi balaa Zabibu arudi kwao huyu mama siye kbsa 😡😡 Jimama lizima likona magroup ya watoto wadogo nonsense
@mwanaidmajani8562 жыл бұрын
Eee jmn mama anajisifu uhuni Mbele ya watt khaaa ni uzuni kwakweli
@rahmaayubu25142 жыл бұрын
Habari za huyu mama mngetupumzisha wanatuchosha leteni habar zingine