IGP WAMBURA AIBUA MAPYA SAKATA LA UTEKAJI | TUTABAINI NA KUZUIA UHALIFU KWA NJIA YOYOTE ILE.

  Рет қаралды 10,825

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@aluthajoseph2841
@aluthajoseph2841 22 сағат бұрын
Yaan tunajeshi la ccm na c la police,tutapata taabu sana,lakini wasijisahau kua nao ni binadamu,wamuulize Mobutu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 сағат бұрын
Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kuisha ndo umeona utoe tamko haya matamko ungeyatoa mapema kabla ya uchaguzi watu wasingeumizwa
@CharlesNjunwa
@CharlesNjunwa 20 сағат бұрын
Inakatisha tamaa,!! Sina hakika kama hao watekaji , hawajulikani,!!?
@ancientg7329
@ancientg7329 Сағат бұрын
Pole sana Tanzania.
@matiredms917
@matiredms917 14 сағат бұрын
Huu ni uongo na ukosefu wa maadili. Polisi wanahatarisha usalama wa raia.
@PiusAloyce-kr7uk
@PiusAloyce-kr7uk 22 сағат бұрын
Mbona sijasikia kuhusu utekajii apoo jaman
@ashtube1333
@ashtube1333 2 сағат бұрын
Bora vyama vifutwe Havina faida kuleta maneno tu ya uchochezi
@LeahMgunda-l8c
@LeahMgunda-l8c 42 минут бұрын
Tatizo Tanzania huwa tunashughulikia visehemu vya matatizo. mara ukeketajili, mara wanawake haki sawa, mara unyanyasaji watoto nitakutumia nguvu kubwa kuondoa shida zote kwa wakati mmoja kuna shida? Tunatetea watoto akikua ni halali kuu away? Wanaume shida zao zitajadiliw mwaka 3000. Tuliangalie hili.
@HappyAsenga-t4b
@HappyAsenga-t4b 6 сағат бұрын
Kutekwa kwa ndugu zetu hamjui
@TrustElbashil
@TrustElbashil 8 сағат бұрын
Usalama upi? Na mali zipi? Wakati jeshi linateka watu kuua watu mkishilikiana na ccm?
@EliahMasebo
@EliahMasebo 15 сағат бұрын
Poli ccm katika ubola wenu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 14 минут бұрын
Mmezidi sana. Jamii ipi mbona sie ni wanajamii? Mnaongea yakoandikwa kwenye makalatasi, mnayoyafanya ni unyama tu. Very shameful what you are doing to people. Mara zote neno weredi si bora mlitoe jmn
@healingclinic698
@healingclinic698 7 сағат бұрын
Ingetokea kundi linaloteka Watendaji wa mitaa au kata maafisa wa serikali , wabunge au mawaziri hapo hata masaa matatu wasinge dumu ila kwa sababu ni watanzania wala hamuhangaiki ila wakisema wanaandamaa tu hapo mtaanza kutishia usiku na mchana jeshi linazunguka mapaka kwenye mito na ziwani
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 17 минут бұрын
Jamani labda tupate jeshi jipya mmechafuka mpaka sasa hamwaminiki. Mnateka mnaua. Kuweni na utu
@CristinLyanga
@CristinLyanga 21 сағат бұрын
Vp gari ya watekaji imekutwa kituo cha polisi magogoni,hii imekaaje mkuu.
@annafredinandmatandiko8438
@annafredinandmatandiko8438 21 сағат бұрын
Hapo sasa polisi ndio watekaji
@Lughason
@Lughason Сағат бұрын
Kumbuka unamdanganya Mungu sio wanadamu na kwa akili yenu mnajua mmedanganya Hukumu yenu yaja.
@rutashobyanovath1116
@rutashobyanovath1116 22 сағат бұрын
Taka taka nyie
@AkishapendoMollel
@AkishapendoMollel 9 сағат бұрын
Police CCM sina imani nao.police kwa sasa Tanzania hakuna.ni la CCM.acha ss raiya tuendelee kujifua.ipo siku.mtajuta
@jumarajabu5066
@jumarajabu5066 44 минут бұрын
😢😢😢😢😢😢
@allyshaban406
@allyshaban406 21 сағат бұрын
Nini kinakufanya unatetemeka? Maana yake huamini unachokisoma
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 20 сағат бұрын
nilifikiri anatangaza kujiuzulu maana kazi imemshinda. crimes have significantly increases under his watch
@TostauFelix
@TostauFelix 10 сағат бұрын
Toa usalama Kwa raia,sema usalama wa ccm na vyeo vyao
@FrankOnyango-d2m
@FrankOnyango-d2m Сағат бұрын
Cha ajabu wamejisahau kama awana ndungu uku chini mh
@nditiPeter
@nditiPeter 20 сағат бұрын
Mbona watu wanapigwa risasi adharani kwenye uchaguzi uliopita wa mitaa tatizo mapolice ni chama Cha kijani hawapo upande wa wananchi
@KassimKassim-h1n
@KassimKassim-h1n 15 сағат бұрын
Jeshi la ccm sio jeshi la police hatuna imani na kenge nyinyi mbwa wakubwa nyinyi
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 14 сағат бұрын
Mnafikiri mtaishi milele,😭😭😭
@Kanyawela
@Kanyawela 5 сағат бұрын
Aise Aise Aise
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 18 сағат бұрын
Kama umeona anavyotetemeka mikono na hata karatasi inatetemeka kuonyesha anaongea mdomoni sio moyoni weka like
@RobertChacha-si1js
@RobertChacha-si1js 17 сағат бұрын
Spendagi kuskiliza Sauti ya polisi
@fabby1181
@fabby1181 22 сағат бұрын
SIASA Hadi polisi.
@PapaaKibaki
@PapaaKibaki 20 сағат бұрын
😂😂😂 Mwogope Mungu muraa
@Majebelemathias
@Majebelemathias 22 сағат бұрын
Makonyora nyie mnatuonea Sana CCM tupu
@SamwelMwakibuja-e5u
@SamwelMwakibuja-e5u 9 сағат бұрын
Imanii imeshuka
@NeemaSamweli-t4c
@NeemaSamweli-t4c 20 сағат бұрын
Natamani kuwatukana.
@StephenWamutale-o8i
@StephenWamutale-o8i 22 сағат бұрын
Mmmh
@BraytonMwakitalima
@BraytonMwakitalima 20 сағат бұрын
Nyinyi hamna kazi kazi yenu ni kuilinda ccm
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 22 сағат бұрын
Kazi ipo
@georgewambura7695
@georgewambura7695 22 сағат бұрын
Vip watekaji mkuu
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 26 минут бұрын
MANENO TU HATA KWENYE KANGA YAPO
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 22 сағат бұрын
Jeshi la Polisi Tanzania Hebu Mkuu IGP utekaji umezidi kama ni vijana wako ni nani anayewatuma? Mungu pekee ndiyo awaongoze ili hofu ya Mungu iwepo
@hamissomary6869
@hamissomary6869 18 сағат бұрын
Hili siyo tukio lakwnza "jeshi lako ni jeshi CCM"ipo sku tuuu
@judithmwamukinga4448
@judithmwamukinga4448 8 сағат бұрын
Mmewapa madaraka mapolisi wote nchi nzima wananchi tutakapoamua kushikamaana na siraha zenu tutaonana wabaya tumechoka kuonewa na hawa polisi
@Majebelemathias
@Majebelemathias 21 сағат бұрын
Igeni wanaajeshi wetu hawaonei raia
@allyhamad4344
@allyhamad4344 21 сағат бұрын
Sio kweli sema ukweli ww ni mtu mzima
@furahamwikombo-p7g
@furahamwikombo-p7g 8 сағат бұрын
Uthalilishaji wa kijisia na kutekwa..
@WalterMtweve-xn2dl
@WalterMtweve-xn2dl 19 сағат бұрын
Drama tu, watekaji ni sehemu ya askari polisi, kila utekaji IGp na Rcio na wengine wana jua wanacho kifanya kwa lengo kulinda nafas au sifa kwa walio wateua
@juniorlimbanga517
@juniorlimbanga517 20 сағат бұрын
Eti "Niwakumbushe kuwa jeshi la police ni chombo chakutoa huduma kwa jamii" hauna hata haya mzee wala ujui usemalo, jeshi la police tanzania ni police force, sio police service. Wenzetu kenya jeshi lao la police ndio police service.
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 19 сағат бұрын
Kazi zuri ya kuuwa
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 20 сағат бұрын
Gari la watekaji hapa kwetu babati ilikamatwa na kuchomwa na wananchi cha kushangaza Kuna raia walikamatwa na kupekwa jela tena police hawana aibu
@AnthonyJoram-ll9qk
@AnthonyJoram-ll9qk 18 сағат бұрын
Mmeshindwa. Kazi
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 18 сағат бұрын
Kitakacho wakomboa watanzania katika kila sehemu ni katiba mpya mkisimamia hilo mtakuwa mmejitambua
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 22 сағат бұрын
Yangu macho
@nditiPeter
@nditiPeter 20 сағат бұрын
Sheria inayo waruhusu watu wausalama kukamata raia na hawana vituo vya kupeleka wahalifu ibadilishwe
@KassimKassim-h1n
@KassimKassim-h1n 15 сағат бұрын
Sasa ulichiokiona ni unyanyasaji tu mbona huo utekaji na uuwaji huyasemi mbwa mweusi weee
@dullamasantula-sj3vm
@dullamasantula-sj3vm 19 сағат бұрын
Acha bs kudanganya watu😊
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 14 сағат бұрын
Mbona hujasema utekwaji
@charlzmboya
@charlzmboya 17 сағат бұрын
Hii ni ninii??? !!! Cmwelewi huyu !!! Yaaani najihisi hasiraa!!! Alafu .. sasa!! Mmmh .... Watulie tuu waache comed
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 7 сағат бұрын
Watekaji wapo hapo hapo na mnawajuwa
@Miriam-m2b
@Miriam-m2b 19 сағат бұрын
Endeleemi kulinda ccm ila kuna cku yenu inakuja
@msarama5406
@msarama5406 18 сағат бұрын
Nchi hii haina kuwajibika kwa kushindwa kazi kwani😢😢
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 19 сағат бұрын
Tuache unafiki mungu atalipa kwa mema yetu na mabaya yetu
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 22 сағат бұрын
Siku hizi hotuba ni hotuba inayoishia hapo baada ya kusomws si jukumu la utekelezaji.....kwa wasikilizaji..
@GossesMwambene-eg8lo
@GossesMwambene-eg8lo 21 сағат бұрын
Kila cku tunachunguza
@kazinaimwishehe-ec3xu
@kazinaimwishehe-ec3xu 18 сағат бұрын
Uzuri mungu yupo😂😂😂😂 atalipa kwenye familia zao
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 21 сағат бұрын
Upelelezi unaendelea?
@hebronmwamwaja7660
@hebronmwamwaja7660 17 сағат бұрын
Akuna kitu apo
@salummsigiti6615
@salummsigiti6615 16 сағат бұрын
Mbona IGP anatetemeka?
@SamwelMwakibuja-e5u
@SamwelMwakibuja-e5u 9 сағат бұрын
Aya ni merekezo juu mbinguni kwa mmmmmm
@amanichaula1
@amanichaula1 20 сағат бұрын
Kuhusu watekaji iweje jeshi linashwindwa kuwabaini kusema hatuna jeshi la police ila tuna picha na kivuli cha jeshi la police
@MasaweMasawe-r5b
@MasaweMasawe-r5b 16 сағат бұрын
acha kudanganya wananchi
@edwindezidery632
@edwindezidery632 18 сағат бұрын
Ipo siku tunaamini
@hamissomary6869
@hamissomary6869 19 сағат бұрын
Hakuna kitu hpo niuhongo tuu "tumeshawazoea
@KassimKassim-h1n
@KassimKassim-h1n 15 сағат бұрын
Hawa mbwa wauliwe mmoja mmoja majumbani kwao
@healingclinic698
@healingclinic698 7 сағат бұрын
Tutafika uko sio mbali na Jeshi la wananchi si liko kimya naomba Kwenye Varangati hiii wasingilieee kabisa
@yordanyona8663
@yordanyona8663 21 сағат бұрын
leo ndio umetoka... mzee cheo hicho kitumike kutokomeza huu utekaji...nani.yupo kati...jamii inahitaji uwazi wenu kwanza
@timboxlee919
@timboxlee919 20 сағат бұрын
Mtuhurumie watanganyika,kwani mtatumaliza,kwa utekaji,
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 4 сағат бұрын
BABA WEWE NI MZEE SASA ACHA UNAFIKI HAYA MAMBO NI NYIE POLISI WENYEWE MNAYAPANGA NA KUYATEKELEZA!!! MSITUVUNGE ILA MJUE HATA KAMA MMETUMWA HAMTAKIWI KUKUBALI KUTEKELEZA UOVU SIKU UTAKAPOLIPISHWA WEWE NA UZAO WAKO WALIOKUTUMA HAWATAKUWEPO!!! ACHENI UOVU JESHI LA POLISI HAPA DUNIANI MNAPITA
@khamisjuma3760
@khamisjuma3760 18 сағат бұрын
Wapinzani jee
@denismisango6166
@denismisango6166 22 сағат бұрын
Makubwa
@fredlusambo2452
@fredlusambo2452 19 сағат бұрын
Kwahiyo mnakumbushana majukumu 😂😢😢😢😢😢😢
@samwelluhwago705
@samwelluhwago705 19 сағат бұрын
MUNGU ANA WAONA
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 20 сағат бұрын
Una uhaki na unachosemaa
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 19 сағат бұрын
Police.niwatumizi.waccm.wananchi.hatuwataki.polis.nimajambazi
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 19 сағат бұрын
Usitudanganye.achakutekawatu.police.munamamboyajabu
@sethkivuyo3342
@sethkivuyo3342 19 сағат бұрын
pumbavuu zenu mwisho wa ujinga huu upo..
@NatashaJonhson-es8si
@NatashaJonhson-es8si 20 сағат бұрын
nyiynyipolisi mnailindaccmkwanzia mwanachama waccm wotewanalindwanapolisi ilawapinzani wote wanatekwa hamchukui hatuna zozotezili mnafayakazi kwamaelekezo yawakuuweni angalieni mlivowabeba ccm niishalakua mlipewamaerekezo kwamba wapinzani wasishinde ilaccm ndio ishinde ss watanzania wote hatuwataki viogoziwa ccm watuongoze kwasababu hawachaguliwa kwakula wamepitiswa na mchengerwa pamoja nawakugezi kinachoendakutokea watashindwa kuitshamikutano wanaichi hawato endakuwasiliiza kabisa polilimjitafakilisana mnapatafaidagani
@ip_header
@ip_header 14 сағат бұрын
Uzuri wa Tanzania wa leo sio wajinga
@JosephJackson-f1s
@JosephJackson-f1s 20 сағат бұрын
Nyie hamna kitu tumechoka na nyie kazi yenu kunyanyasa wapinzani meshakuwa wanasiasa
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 20 сағат бұрын
Mmmmmmmm mwee
@Steven-i8w
@Steven-i8w 18 сағат бұрын
Mmmh
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 15 МЛН
Thank you Santa
00:13
Nadir Show
Рет қаралды 52 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 12 МЛН
MANGUNGU MSIBANI KWA NDUGULILE AMTANIA MANARA "HUYU  NI SIMBA"
6:45
LIVE: Exclusive with Gachagua
1:00:18
NTV Kenya
Рет қаралды 336 М.
Doomsday Glacier collapse! Time for MORE human intervention??
13:42
Just Have a Think
Рет қаралды 183 М.
ZITTO KABWE AUMBUKA, KUMBE SABABU NI MKE WA MTU
13:44
Uhondo TV
Рет қаралды 22 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН