MAMA MZAZI WA MATHA MWAIPAJA ASIMULIA MATESO YOTE ALIYO YAPITIA, ITAKUTOA MACHOZI

  Рет қаралды 75,227

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 570
@puriejose
@puriejose Күн бұрын
Martha mwaipaja,, natamani Sana kuwa na mama ,sikiza nikwambie hata kama ni mdogo ki umri soma hii,,itakusaidia sana, Ephesians 6:1-3,,kumbuka mama alikubeba 9month,akakuosha 4 /3 mpaka ukajielewa wewe ni nani,ulikuwa wala kamasi hadi mama ka kufuza kuyafuta,hivi kweli unamcha Mungu wewe,maandiko inasema kutii ni bora kuliko dhabihu, kweli unatii haya mandiko wewe,hauzi kuhesabu makosa ya mama hata kama alikufanya nini,je huyu mama angekutoa,ungetoka wapi? Je huyu Mama angekunywa dawa utoke ungetoka wapi wewe? Kwanza shukuru Mungu Sana kwa ulezi wa mama alijitahidi sana ukajulikana ulimwenguni,angetaka ufe angekuzaa na akuachie baridi ufe tuh,dada yale unayofanya mamako mzazi akiwa anateseka namna hii, sikudanganyi unafanya kazi ya bure na sijakuhukumu, Mungu wa kwanza ni aliye juu mbinguni,wa pili ni wazazi na watatu ni familia yako ,kwa hio Machozi ya mama ni makali sana,changua moja lahana ama baraka,,imeniuma sana hii pole sana mama 😭,kama wakubalia na mimi comment hpo chini na u-like.
@ebbykiberenge9106
@ebbykiberenge9106 Күн бұрын
😢😢
@purityjames3668
@purityjames3668 Күн бұрын
Nimekupitia nipitie pia tugrow pamoja
@puriejose
@puriejose Күн бұрын
@@purityjames3668 asante sana puri
@zamtaa9001
@zamtaa9001 Күн бұрын
HALAF MBONA KUNA SURA MBILI ZINATREND MTANDAONI SASA YUPI NA MAMA MZAZI HALISI WA MARTHA
@jepchumbamildred8265
@jepchumbamildred8265 17 сағат бұрын
Nipitie pia ​@@purityjames3668
@Migapogospel678
@Migapogospel678 Күн бұрын
Martha pesa zake za majini ndiioman hakumbuki hata mam yake mzazi Mama ni mungu wa pili ❤❤
@NathanaelBawil
@NathanaelBawil Күн бұрын
Mungu nisaidie kupitia ushuhuda huu wa familia hii,ukabadilishe loho yangu nimsaidie mzazi wangu aliebakia duniani pia ukanipatie upendo kwa wanadamu wote,kwakweli Martha mungu akafungue moyo wako umkumbuke mzazi wako, kama kweli unaamini huduma unayoitoa nizawadi kutoka kwa mungu basi mkumbuke mzazi wako na ndugu zako, kumbuka kuwa biblia inatukumbusha kuwa mtu asiependa wa nyumbani mwake ujue huyo naye nimchawi kama wachawi wengine, na mzazi ni mungu wa pili hapa duniani,usije ukajikosesha ufalume wa binguni kwa ajili ya kiburi,epuka kiburi muombe mungu afungue moyo wako,hatakama kunamaagano mabaya ambayo umesha jiingiza omba mungu akutoe kwenye moto huo mtazame mungu
@salomedarema304
@salomedarema304 Күн бұрын
Ni ngumu sana Mungu kumfungua mtu anayejiona yeye yuko sawa na hajatekwa kivyovyote. Martha Mungu akupe kutambua uko mahali siyo sahihi. Uimbaji ni kipaji tu hata mpagani ataimba na watu wataguswa. Usipumbazike kwa kuona unakubalika na wengi na kwamba hupandishi mapepo unaweza usiwe na vyote lakini ukawa vifungoni
@NgamangaNgamanga-d4w
@NgamangaNgamanga-d4w Күн бұрын
Huyu mama mm namfaham jaman mm nmezaliwa ngamanga wakati huo ilikuwa Wilaya ya njombe na Mathar amekaa ngamanga kwa bibi ake na bibi ake alikuwa anaitwa mwilongo walikaa kwa bibi yao mathar msaidie mama yako
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Күн бұрын
@wolperstylish uje usikie maana wewe unamsaidia na kumsifia mama yako halafu unasherehekea mwenzako kwa tabia yake
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 Күн бұрын
Pia wanafanana useme mama mtumzima pia mazingira yanakuwa ya uzeeke mapema
@Shaniatwain06
@Shaniatwain06 Күн бұрын
​@@begukulemosobe9685Huyo lazima atetee wasagaji wenzie yy mbona wazazi wake kuwajengea Mlandizi yaani mtu akiwa na chembechembe za hizi ni wakuogopwa 🌈😂
@SashaRamadhani-uu1wv
@SashaRamadhani-uu1wv Күн бұрын
Duh jamani aisee huyu mama nilipomuona jana nilijua kuna ukweli ndani yake umekuja kuthibitisha kabisa
@aidancosmas9863
@aidancosmas9863 Күн бұрын
Jamani kwani bila kusaidiwa na marther, maisha hayawezi kuenderea. Tupunguze kulia lia, kila mmoja anafungu lake.
@NdayiTitia
@NdayiTitia Күн бұрын
Jamani naomba tusimuhukumu huyu mama hadi kuja hapa mtandaoni nikwasababu amechoka kashindwa afanye nini. Wewe unae muhukumu Jaribu kuvaa kiatu cha huyu mama kama umezaa ndipo utaelewa huyu mama anauchungu kiasi gani. Huo Martha ingawa yupo hai anaishi kama amekufa kwa mama yake hayupo nachoona mimi huyu Mama martha sio kwamba ahitaji misaada kwa Martha hapana anahitaji tu ukaribu na mwanae hilo tu linamtosha. Naomba Mungu amfunguwe akili Martha amurudie Mamake aache kuwathamini watu baki kuliko Mama yake. Pia aache kuimba hizo Taarabu zake anazomuimbia ndugu yake Beatrice ati Hatufanani Hatufanani kira mtu na neema yake ni kweli lakini mimi nasikia kama nyimbo zake nyingi kwasasa zimekaa kitarabu Tarabu ni nyimbo zenye malengo yakukomoa mtu fulani. Martha fanye urudi kwenye mustali uimbe kwa kusifu na kuabudu Mungu wa kweli katika roho na kweli. Ulikua umeanza Vizri. Kuna wakati wakulia wakati wakuomboleza wakati wakusema Mungu wangu mbona umeniacha.
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s Күн бұрын
Kabisa sasa hv aimbi kama zaman
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
​@@AbiaWilliam-s1syaaniiiii saiz ndo najua kuwa nyimbo zingine kumbe anaimbia mtu au watu kama hiyo hatufanani. Inasikitisha nlikuwa nampendaaaa Martha mnooooo. Simchukii hata sasa ila namuonea huruma na kinachonikera anajifanya hajali kabisa hayo mapuuza yanakera. Anatoa wimbo katikati ya haya na kujifanya hana habari inakeraaaaa
@nuhumwikwabe2647
@nuhumwikwabe2647 18 сағат бұрын
Hata mimi nimegundua kuwa mafumbo yote anayoimba kumbe anamwimbia Mama yake na mdogo wake jamaniii Martha ni huzuni
@manasemoses6922
@manasemoses6922 5 сағат бұрын
Ukiona mwimbaji wa injili aliyeanza vizuri na kuwabariki watu kwa nyimbo za kuabudu, kusifu na zenye mguso wa roho wa Mungu lakini kwa sasa akawa anaimba tu hazigusi tena kama zamani jua kuna roho iliyotofauti na ya Mungu aliye hai imemuingia na hapo ndio mambo huanza kuharibika
@AgreyMsigala
@AgreyMsigala 22 сағат бұрын
mamangu mzazi naye anapitia maisha haya magumu huu mwaka 2024 ee mungu ukiniinua naomba nisaidie nimkumbuke mamangu ndugu wanatutenga sana sisi tuloifiwa na baba zetu
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn Күн бұрын
😢😢 Martha tuna kupenda embu rudi kwenye njia ili umree mama watu tunaumia sana kuoma wazazi wetu wametangulia mbele zahke 💔🤧msamni mama Ustaa hauto kufikisha popote acha zalau ipo cku kama ni kweli haya tunayo yaskia Dunia itakufunza uzuri wewe ni mwanamke una jua uchungu😢🙏mama assnte kwa kuniweka hp duniani nakupenda Sana ❤mamaangu😢
@ruthee1895
@ruthee1895 21 сағат бұрын
MImi niyapitia haya,nimesomesha watoto,mmoja yuko ngambo America mwingine ana kazi tena ameoa na anaishi vizuri,wa tatu anafanya biashara kitinda mimba tu ndiye bado niko naye lakini mimi upitia mateso jamani na hakuna wakunisaidia..Nimejifunza kufanya kazi wa bidii na ninapokwama huwa naenda kwa magoti ,namliia mungu na ananisaidia..Nimelia sana na nikagundua kweli ni vizuri kumtegemea mungu tu..wazazi wengi wanateseka hapa nje na hawasemi..Ushauri wangu kwa wazazi ni ,unapolea watoto wako,ngangana ujijenge nawe pia kwa maisha yako ya uhusoni..Hiki kizazi halijali wazazi
@zuhurayusuph4826
@zuhurayusuph4826 12 сағат бұрын
Eee mwenyez mungu nisaidie mimi ni pate zaid nimpe na mama yangu kila inapoitwa Leo kabla sijafa nimfanyie kitu Cha kumbumbuku
@leahkarangi960
@leahkarangi960 Күн бұрын
Jitolee zako mama nyongo popote afu kamuombe Mungu akusaidie.Stress zinaua vby sana
@kayitesbonito4879
@kayitesbonito4879 22 сағат бұрын
Mama ni mstarabu Sana nime mpenda bule
@esperenceamris
@esperenceamris 17 сағат бұрын
Wewe acha zako hapo kila mtu anampenda sana too, lakini ukiwa rafiki mzuri lazima utowe ushauri
@rahabudave9932
@rahabudave9932 Күн бұрын
Kina diamond wamewatunza mama Zao vizuri.wamepea dada zao jina aafu wakristo mtu anangara aafu mamaake anakaa hivi kweli
@Rose-ue2ho
@Rose-ue2ho 22 сағат бұрын
Usihukumu kuwa dini ndio sababu, hio ni moyo na roho ya mtu dini haihusiki.
@simonkatole1393
@simonkatole1393 14 сағат бұрын
Lakini kamkataa babake,ni kama Martha tu hawana tofauti
@victoriasweetbert1128
@victoriasweetbert1128 Күн бұрын
Natamani hii leo ningekuwa na wazazi wangu mm mpaka leo jamani ,Mungu mtie huyu mama nguvu jamani huyu Mather kweli kweli ni akili yake kweli .😭😭😭😭
@CyprianTraiphon
@CyprianTraiphon Күн бұрын
Hii Dunia satki kutamani kabisa maisha ya watu..kikubwa niwe na hela ya kula na uhakika wa kesho.. Masharti stoyaweza
@AbiaWilliam-s1s
@AbiaWilliam-s1s Күн бұрын
Ameni
@UserGooduser-k5u
@UserGooduser-k5u Күн бұрын
Wew nimimi kabisa
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Күн бұрын
Good point
@mablemadahana4758
@mablemadahana4758 Күн бұрын
Ukweli kabisa Masharti yao hatuyawezi Daah
@CyprianTraiphon
@CyprianTraiphon 20 сағат бұрын
@@mablemadahana4758 Ushirikina mwingi
@MichaelMasomba
@MichaelMasomba Күн бұрын
Mungu mkumbushe mja wako Martha kuwa Kuna wazazi tofaut na umaalufu sad story from mather😢😢😢
@marymohammed-wf8tr
@marymohammed-wf8tr Күн бұрын
Kwekweli kwajisi na mupenda mamayangu eeh Mungu nakushukuru kwakunipa roho nzuli ikotofauti nawengine namupenda mamayangu nipate nikose tutacangia wote .sasa mathar kweli unaimbia Mungu kumberohoyako ikovibaya polesana
@beatricekisese3272
@beatricekisese3272 Күн бұрын
My dear hongerah lakin mda mwingine unaweza kutana na mama akakufanyia vitimbwi ad ukajuta kuzaliwa na huyo mama .... Especially wamama wa kibena....... My dear Kuna usem like son like Dady ...... Tusimlaumu sana Martha...... Mambo n mengi wazaz pia wanajeruhi sana mioyo ya watoto wakijivunia wao n miungu ya pili....... Inahitaj hekima..... Mungu amsaidie sana Martha
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Күн бұрын
Hiyo ni kweli mpendwa lkn mzazi hakosei inabidi ukubaliane na mapungufu ya mzazi wako wewe kama mtoto ujue namna ya kusolve hilo tatizo. Simu Martha tu namimi mwenyewe yashanikuta niliumia sana ​@@beatricekisese3272
@rosenight272
@rosenight272 Күн бұрын
Ndio maana mm kuna waimbaji nyimbo zao sisikizi kabisa. Unless Roho Mtakatifu aniongoze maanake wengi wao....they're just displaying their beauty & nothing else. Mm sina mapato but am trying my level best to help my parents...coz sisi hatuna pesa but najitahidi
@ImaniTinda-h6x
@ImaniTinda-h6x Күн бұрын
Uyu mama ananiliza kila saaa Kwa sisi tulo zaaa uchungu wa mwana unaumaaaaaaa pole mama huu niwakati wa MUNGU kukujibu
@seranyambu3208
@seranyambu3208 Күн бұрын
Kweli kabisa ni uchungu sana kama mama ukiona mtoto wako uliomzaa akiteswa na shetani. Mungu aliye hai ameona kilio chake tumsaidie kwa maombi tunaofahamu kuwa kunazo nguvu za giza na naamini dada yetu Martha atafunguliwa kwa minyororo hiyo kwa Jina kuu la Yesu 🙏🏻
@abedysteven4930
@abedysteven4930 12 сағат бұрын
Dah pole 😭😭😭
@EBENEZER-z3j
@EBENEZER-z3j Күн бұрын
Wanafanana sanaaa matha unapoteza baraka zako mludie mama yako
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 14 сағат бұрын
Daah nampenda mama yangu n asiwez kumsahau Asante mwenyezi mungu kwa kutupa wazaz♥️♥️♥️🇹🇿
@theafricanphilosopherqueen3032
@theafricanphilosopherqueen3032 23 сағат бұрын
This lady reminds me of the story of my grandma Phoebe who was born an only child and when her father died her uncles expelled her from her village together with her mom because she was a girl and therefore disinherited,but God saw her through together with her mom whose sister raised my grandma and she eventually married,became succesful and a wiman of honor in bunyore society in western ,Kenya ...and beyond.....this practice of disinherting women and girls needs to stop because women rughts are human rights....may God bless mama martha whose songs I love and may she be reconciled with her beloved daughters....pole sana mama kwa yote,imani yako ita kupa matokeo mazuri❤. Foll
@RebekaJaphetp
@RebekaJaphetp 18 сағат бұрын
Martha mwaipaja kumbuka mama ni mungu wa pili ko msaidie mama yako
@EmmaKirua
@EmmaKirua Күн бұрын
Matha matha nakupenda mno nyimbo zako zinaishi kwenye moyo wangu na pia zimenifanya kua na msimamo,nakuomba sana nenda kwa mama kamfute machozi
@bennamush4616
@bennamush4616 Күн бұрын
Yani hizi mila na desturi kwenye baadhi ya mikoa embu iwe huruma kidogo jamani eeh mtu ukifiwa na mumeo unafukuzwa bado ukirudi kwenu ufukuzwe hali ya kuwa una watoto jamani sasa wanategemea unaenda kuishi wapi dah nimeumia mimi😢 mila nyingine ni za kuumiza tuu wanawake pole sana mama😢
@MagrethCharles-ne2ts
@MagrethCharles-ne2ts 20 сағат бұрын
Umenenaa sawiaa mila na desturi za ki africaa, zinaumizaa saana na zinamkandamizaa mwanamke , delivarance za kufutaa hizi milaa inatakiwaa ktk baadhi ya makabilaa, wanawake wanatesekaa na kudhalilikaa saana ! Mimi ni mhangaa wa mirathi!✍️✍️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
@brysonmwakina
@brysonmwakina 18 сағат бұрын
Huuuu ndo mwisho Joan Mungu anakomboa Martha na family yote
@siryklyubov7989
@siryklyubov7989 13 сағат бұрын
jamani huyu mama ni muungwana sana,anaongea kwa utaratibu na anaonekana ni mama mwema sana. na mwenye upendo.
@lucysingano8131
@lucysingano8131 23 сағат бұрын
Yule mtoto wa Martha aliyesema Martha na Beatrice mama yao ni tofauti alikuwa anajielewa kwel
@JosephinaNgoma
@JosephinaNgoma 18 сағат бұрын
Mama nimekusikiliza sana nimekuelewa Kaa chini na watoto wako mshirikishi mungu alihai muyamalize hayo matatizo usimkaribishe shetani akutawale kwani mnajiabisha sana
@CatySungula
@CatySungula Күн бұрын
Mama anafanana Sana na Matha mpaka sauti. Sema Tu Matha kajichubua.
@careymariahhhh
@careymariahhhh Күн бұрын
Wamefanana ata na Beatrice
@reytonie4362
@reytonie4362 Күн бұрын
Hata hajajichubua ni filter Tu live ni mweusi namuona kanisani kila siku
@NafsahRajah
@NafsahRajah Күн бұрын
hajajichubua ni filter tu
@ericrakamba7572
@ericrakamba7572 22 сағат бұрын
​@@reytonie4362ni kweli mamake mzazi?
@maryaloyce3828
@maryaloyce3828 20 сағат бұрын
Mungu awe mpatanishi wa hii familia,familia zina siri nyingi sana mama mtegeme Mungu.
@SuleimanGodwin-f6j
@SuleimanGodwin-f6j 12 сағат бұрын
Leo. Umeongea sawa Mungu atamrudisha mwanao
@MarySteven-k3c
@MarySteven-k3c 17 сағат бұрын
Mama ni mama kweli mm siwezi mwacha mama yangu na pia siwezi waacha watoto wangu na mpenda sana mama angu nasio mama angu tu mama yeyote nampenda
@petermaroaofficial
@petermaroaofficial Күн бұрын
Mungu naomba unipe hekima ni watunze wazazi wangu na kuwaheshimu mbaka mwisho 🙏
@purityjames3668
@purityjames3668 Күн бұрын
Hi nipitie nimekupitia pia tugrow
@theafricanphilosopherqueen3032
@theafricanphilosopherqueen3032 23 сағат бұрын
Baraka tele
@zahramuna7951
@zahramuna7951 21 сағат бұрын
Ameen
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 20 сағат бұрын
❤❤❤ kabisaa
@HekimaHissa-de3lu
@HekimaHissa-de3lu 21 сағат бұрын
madha dada yangu kipenzi nakupenda sana samehee yote yaliyojitokeza kwenye maisha yako achilia
@mapachawetuamazingflaterna2657
@mapachawetuamazingflaterna2657 Күн бұрын
Usijali Mama, Yesu kamtumia Bite kufikisha ujumbe kwa jamii ili Martha apone
@shedrackngaila383
@shedrackngaila383 18 сағат бұрын
Tuma namba nitoe sadaka
@ernestkashunja1514
@ernestkashunja1514 Сағат бұрын
Matha haya machozi yatakugarimu sana katika maisha yako, Mungu hadhihakiwi atakulipa kwa wakati wake usio ujua wewe
@DoreenDorcas-oh2vy
@DoreenDorcas-oh2vy 19 сағат бұрын
Martha kama fedha zako ni za halali msaindie mamako uchunge sana usiimbe sisi tukaingia mbinguni ama wengine wewe ukakosa kule kumbuka chakula ya kwaza ni titi la huyu mama hata kama amefanya aje mama ni mama mama ni mama na kama umefugwa na kitu chochote naye aanze kuteseka nawe ufunguliwe in Jesus name Ameeen Ameeen
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Күн бұрын
Kuna ki2 kati ya Joan Na Matha kinaendelea aiwezekani athaminiwe kuliko Mama yake Nakuita Matha Mama ni Mungu wa pili Apa Duniani Sisi Ambao hatuna Mama wameshalala tunawa wa Miss Sana Mama Zetu
@Hanifa4-d4q
@Hanifa4-d4q Күн бұрын
Wana maagano yakishetani
@josephmusagasa
@josephmusagasa Күн бұрын
Mungu ni mmoja tu hakuna Mungu wawili. Hivyo mama hawezi kuwa Mungu. Jiangalie sana kupotosha watu na kumbuka kila neno litatolewa hesabu. Kazi kwako.
@OmbeniMwalupindi
@OmbeniMwalupindi Күн бұрын
​@@josephmusagasammm.haya unahuo usemi unaosema baba na mama nimungu wa pili.naile amli inayosema waheshimu baba na mama.hampotosh mtu.kila mtu anaamini anavyojua yeye.na wew unaamini unavyoamini wew.mungu ndio anawajua walio wake.sio wew ukosoe wenzio kama umekamilika sana.kwan mungu amekutembelea kukwambia wew umekamilika
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 13 сағат бұрын
Ee mwenyezi Mungu nipe roho ya ufanisi nifanikiwe zaidi niweze kusaidia mamangu asiwai toa machozi 😢😢 juu ya shida nikiwa hai
@Adje244
@Adje244 Күн бұрын
Matha tutakuandama mpk umrudia Mungu wa kweli
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Күн бұрын
Saut na sura ni mama kbs😢😢
@thomasmukoswa6098
@thomasmukoswa6098 Күн бұрын
Shida si Martha,shida ni ule msichana anae control Martha but we pray for you mum.
@Josephmwambe-r6n
@Josephmwambe-r6n 10 сағат бұрын
Mama ni mama ni mama ni mama ❤❤❤ Matha Matha unyama gani mama yako aliyo kutendea mbaka umfanye adui yako
@AminaKyungu
@AminaKyungu Күн бұрын
Pole sana mwanamke Mungu akupiganie
@alishaplate6290
@alishaplate6290 23 сағат бұрын
Nataman sana kuwa na mama mm 😢 jmn lakn ndio ivo mungu amemchukua 😭
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 19 сағат бұрын
polesana 😢
@stelayunami7779
@stelayunami7779 23 сағат бұрын
Haya ni mambo ya ndani sana ya kifamilia ila hata kama Kuna sehemu waliteleza wakakukwaza dada Martha achilia wasamehe hakuna mkamilifu chini ya jua ,Tengenezeni Martha nakupenda sana na nyimbo zako zinanibariki sana
@Bboy-ek8vn
@Bboy-ek8vn 20 сағат бұрын
Mama hakosei kamwe mungu ndo anaweza mhukumu
@esperenceamris
@esperenceamris 18 сағат бұрын
Ukweli husemwa, Martha hayuko sawa hatakama kuna nini mama ni mama, I can feel there’s something wrong kwa Martha Mungu ahingilie Kati too.
@Samiafficial3942
@Samiafficial3942 17 сағат бұрын
Mama hakoseyi mama ni mama 😭😭😭😭😭
@joyblessing191
@joyblessing191 13 сағат бұрын
​@@Bboy-ek8vnbibilia pia inatuambia kwamba wazazi wasiwachokoze watoto wao wasije wakakataa tamaa WAGALATIA 3:21
@GodbetterEmmanuel
@GodbetterEmmanuel 10 сағат бұрын
Mamako anaweza akakukwaza NDOO umtupe usimsaidie,josa Gani au ni dhambi ipi ambayo haisamehewi,hasa Kwa mzazi,uyu Hana huduma kabisa,.
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 Күн бұрын
Hivi hy Martha utatueleza nini tuliokua tunazpenda nyimbo zako...unaziimba tu kibiashara kumbe rohoni mwako hakuna kitu...wapo wanaotamani kua na mama zao km mm ili maisha yetu tufurahikie alafu ww unamfanyia mama yk hivi😢
@Graceyohana-s2c
@Graceyohana-s2c Сағат бұрын
Daaaaaaah km mama anasem ukwl. Da Martha rud msklize mama aisee
@WitnessSambala-mw4ch
@WitnessSambala-mw4ch Күн бұрын
mlio bahatika kua na wazazi mpaka leo mjitahidi sana kuwatunza wazazi wenu tusio na wazaz tunapitia mengi magumu lakini hatuna pakukimbilia inauma sana
@lidyakinono9917
@lidyakinono9917 Күн бұрын
Pole dear 🙏😓
@veronicakayungi
@veronicakayungi Күн бұрын
Mimi ninachoona ni Mungu aingilie kati Martha apate ukombozi maana kuna vita ,huyu mama anawafanana sana watoto wake mpaka sauti. Sasa nashindwa kumuelewa Joan anavotaka kuvuruga familia ya watu,Mungu amponye pia Joan anatumika kusambaratisha hiyo familia,Mungu pigana na wanaopigana na hii familia
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Күн бұрын
NAOMBA NIKUSIKIZISHE SOMO HAPO.Ikiwa JOAN NI YATIMA NA MATHA MWAIPAJA kapewa JUKUMU NA YESU LA KUMLEA JOAN halafu ndugu wanampiga VITA JOANA AU MATHA Mwaipaja.MATHA MWAIPAJA NI LAZIMA ATASHINDA VITA kwasababu AMEMTII MUNGU.Hilo suala mwachieni MUNGU .
@OmbeniMwalupindi
@OmbeniMwalupindi Күн бұрын
A​@@YOSHUAMWAMPETAaliekwambia Joan niyatima ninan? Au hufatirii vizur intavwe.nahuyo martha alipewa kibali Cha kumlea huyo yatima joan.unamjua?
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi Күн бұрын
​@@YOSHUAMWAMPETAUnasoma maandiko vizuri kweli wewe? Mungu yupi anayesema watoto wawatelekeze wazazi wao na kulea watu wengine? Amjali mama yake kwanza ndipo akasaidie wengine
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b Күн бұрын
Wewe unauwakika kama uyo ni yatima? Kwaiyo yatima ndio anatakiwa kutoa ufitin ?​@@YOSHUAMWAMPETA
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
​@@OmbeniMwalupindikwakweli sio yatima
@HekimaHissa-de3lu
@HekimaHissa-de3lu 21 сағат бұрын
nakombea kwenye maombi ya usiku dada madha mungu akutie nguvu
@سعيدالشكري-ت8م
@سعيدالشكري-ت8م Күн бұрын
Sipend mama kuhojiwa kila media matha dada yangu mpigie mama cm mwambie mama sitaki uhojiwe tena mm ni mtt nilipo kosa nisamehe tuongee mm na ww tumalize mm nina mama kuna mda hua tunapishana lakin siwez muacha nikilud nyuma amenizaa nikiumwa apati usingiz mzaz hakosei inaniuma kuhojiwa mitandaon ongea na mama
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 13 сағат бұрын
Mbona watanzania mila na desturi zenu mbovu...unafanyia mtu uovu hila yeye ni mjane badala mshikane mikono msaidie yeye weeeh maajabu 😢😢😢
@CafeJohn-n9o
@CafeJohn-n9o 2 сағат бұрын
Yaaani mathar umefanya niriye kweli wewe mathar niwakumufanya mama yako ajizaririshe mtandao kweli hii niaibu kubwa sana mathar huyu nimama yako kumbuka mungu uwa haziakiwa MAM mm tu
@JenifaJohn-d7t
@JenifaJohn-d7t Күн бұрын
Matha mpumbavu sana wewe unamjali hausgel kuliko mama yako hata Kama Amekukosea una kwama wapi Yesu gani unamtangaza kwa watu! Wakati mama yako Ndiyo mwana maombi yako!
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 Күн бұрын
Ajenti huyo dada anavuruga familia zawatu
@angelemmanuel7143
@angelemmanuel7143 Күн бұрын
Yani hayo ya Martha na Beatrice yalitokea kwetu na familia yangu pia ila namshukuru Mungu alimrudisha dada yangu Martha kweli anakosea
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
​@@angelemmanuel7143kumbe. Basi Mungu amsaidie Martha kabla Mungu hajamchukua mama yake asijekuja kufunguka akakuta mama hayupo duniani ataliaaaaaaaaaaaaaa
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
Yaaniiiii ​@@angeljoseph8103
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
​@@angelemmanuel7143abadilike kabla hajamkosa mama Mungu akimchukua ataliaaaaaa Martha atalia mnoooo
@albertmdemu5136
@albertmdemu5136 23 сағат бұрын
Mama wa martha na bite kumbe hana hali ngumu saana kwaanzia muonekano hadi maongezi japo historia ya nyuma ni ngumu kwakweli 😮😢😢
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 16 сағат бұрын
Ila mila inamponda mwanamkee😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@MARRYKUNGULUCHE
@MARRYKUNGULUCHE Күн бұрын
Mhuu naishiwa cha kuzungumza zaidi Mungu akuonekanie Mama
@NuruMukwana
@NuruMukwana 22 сағат бұрын
Martha tafadhali najua una Hadith ya kuadidhia lakini kumbuka tunamhudumia mungu wa second chance,wasamehe umsaidie mama 😭😭😭 jamani nalia kwa badala yako dada
@nurumwenkale7278
@nurumwenkale7278 Күн бұрын
Mama muamini mungu ipo siku itakuja kukupgia magoti kukuomba msamaha hayo maisha alio pata yanampa kiburi
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Күн бұрын
Pole Mama kipenzi😢naimani Mungu amekusikia na kupitia wewe wakafanikiwe wazazi wote wanaopitia machungu Ya watoto wao Mwenyezi Mungu akasikilize kilio chenu Aamiin
@purityjames3668
@purityjames3668 Күн бұрын
Nimekupitia nipitie pia tugrow pamoja
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 Күн бұрын
Umenena vyema Mungu akafungue akili za watu woote waliofanikiwa na kuwasahau wazazi wao.. Amina.
@DeusLukas-i5p
@DeusLukas-i5p Күн бұрын
Matha dada yangu mbona nasahau🎉ulikotoka Hadi kumfanya mama yetu kuumia kiasi hicho hakika mungu anakuona. 😂😂😂😂
@TumainiMkemwa-ee1rz
@TumainiMkemwa-ee1rz Күн бұрын
Jamani sio kilafamilia watoto wote wanaotunza wazazi wao ilawazazi walio wengi wananyamaza ,jihesabuni ninyi kwenu wote mlivyo zaliwa kwenye familia moja mnawatunza wote wazazi wenu
@amidajackson1413
@amidajackson1413 13 сағат бұрын
Nimelia sana , 😢 i miss my mama i.wish she was still a life .
@sandrauwasezoe1031
@sandrauwasezoe1031 21 сағат бұрын
Naliaaaa sanaaa
@Samiafficial3942
@Samiafficial3942 17 сағат бұрын
Martha nakupenda rakini dada mama ni mama nenda kwa mama muyamarize mpenzi 🙏🙏🙏😭😭😭😭
@musnamohamed4199
@musnamohamed4199 Күн бұрын
Huyu mama nimrembo kwerikweri kiukweli nimetokea kumpenda
@JamaliMalike
@JamaliMalike Күн бұрын
Yani vijana wa ovyo utawa juwa tu
@musnamohamed4199
@musnamohamed4199 18 сағат бұрын
@@JamaliMalike haha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mimi sio kijana mm nimwanamke na huyu mama nimetokea kumpenda kama mama yangu mzazi maana nimrembo kama mama yangu mimi ni musna
@khadjamhozya
@khadjamhozya 14 сағат бұрын
wanafanana adi sauti, na macho na sura kwa mbari , ira sana sana sauti
@devotamwaikonyole271
@devotamwaikonyole271 23 сағат бұрын
Nasikia kulia kwa saut nalia mungu wangu
@LinaSalimu-x7q
@LinaSalimu-x7q Күн бұрын
daa ina umasana tuna tesekasana nawatoto kuwalea mpaka kuwakuza. nilijuwa bitris anaonge uongo. Masa mshilikishe mungu sana mama ni mungu wako wapili maana mungu Ali mwami ni mamayako mpaka ukawa ivyo
@SylvesterMasalu-u5w
@SylvesterMasalu-u5w Күн бұрын
Jmn wapare kwani hauwajui jmn kwanz wanaroho mbaya cn tena unamkee mpare chunga cn muda wowt unawez kufaa amini haya maneno
@MarahSiwale-h6x
@MarahSiwale-h6x Күн бұрын
Kawaida ya watu wa njombe wanarogana wao kwa wao usishtuke kwa hili, wakikushindwa kukuzuia ufalme wako basi watakushinda kwa lingine, nayajua haya yamenikuta..nazungumza kama mbwa jaja mr bg man 😁😁 kauli ya mchawi alizike yeye ingawa hafidiki dunia ipo kubinuka yapo mengi hatujayona na tutashuhudia😁 mungu yupo kazini... Utanikuta KZbin kama MBWA JAJA
@BarakaKalawa
@BarakaKalawa Күн бұрын
Matha matha mwaipaja uchungu wa Mama unaumiza sana wewe ni mwanamke
@Jackline-s1k
@Jackline-s1k 22 сағат бұрын
naivo ndivyo atafanyiwa namwanae,ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga
@HappynessMarco
@HappynessMarco Күн бұрын
Mama Mungu atakutetea
@UPENDOMWAKALINGA-t2q
@UPENDOMWAKALINGA-t2q 23 сағат бұрын
Pole sana mama,,,ila huyo joani ni pepo tena inavyoonekana kuna kitu kamlisha martha cha kumbumbaza.
@brysonmwakina
@brysonmwakina Күн бұрын
Martha hatopatana amani hadi amsaidie mama😢
@Jackline-s1k
@Jackline-s1k 23 сағат бұрын
martha ,martha,sina mama muzazi,sai ata sai najuiliza hi christmas nani atanipokea kama aliekuwa muzazi wangu,your mum angekuwa mukwnya ningemuwomba awe mamangu anipanguze machozi hii,navile your mum iso biutyful aki,tena anakaa roho safi tena mucha mungu,ooi mungu kumbuka huyu mama yangu ju mwaipaja alimukana,mum ilov you ata kama sina chochote chakukupea,ilove you🌹🌹🌹❤❤
@IrenJob-x3y
@IrenJob-x3y 17 сағат бұрын
Duu jmn imeniuma matha mungu akutoe kwenye icho kifungo najua co ww B mungu akubarik na akutunze uwe mkomboz
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 Күн бұрын
Mama mzuri hivi tena anabusara sana mwenye uvumilivu na mwenye upendo mkubwa, nàfikiri kila mtu angetamani kumpata mama kama huyu... sijui kwanini baadhi ya watu wakishafanikiwa wanawasahau wazazi na kuwadharau...
@stellasheba842
@stellasheba842 Күн бұрын
Tena kijana.ningeringa nae..ningemuhudumia. Hawaoni hata wanamziki wa dunia?kina diamond, kina jux wanavyopenda wazazi wao
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 Күн бұрын
Huyu Mama nimempenda bure asee daah Mungu amtunze na ampe maisha bora and i love my mom Lakin sitaki kuingilia ugomvi because sijui chanzo but Mungu atafanya njia ❤
@sumaiyahmwinyiamani2862
@sumaiyahmwinyiamani2862 Күн бұрын
My dear hakuna ugomvi wakukutenganisha namama yako mama nimama apewe heshima ata aweje ata akukosee nn kwaimai yangu ata mama yako akikukosea ukinyanyua mdomo kwakauli mbaya unaalaaniwa mpaka mama atabasamu kwasababu yako ndio unafunguliwa no one like mama on the world
@purityjames3668
@purityjames3668 Күн бұрын
Nimekupitia nipitie tugrow pamoja plz
@joshuaomari3556
@joshuaomari3556 12 сағат бұрын
Huwoungo si mama yake baba dio moja.mama tofauti.martha anawatoto wawili uongo
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e Күн бұрын
Uyo muimbaji anapoteza sana mma akosei iv Toka upo tumbon unapga mateke mma anatapka awezi kula kullah vzuri mbaka unazariwa anakurea shida ngap ameptia umemkosea kiasi gan eee
@eliasmyamba4767
@eliasmyamba4767 21 сағат бұрын
Kwakweli ndugu na dada,kama utajili tunao upata ndyo chazo cha mateso ya wazazi wetu kama mateso anayo pitia mzaziwetu huyu tafadhali tuukatae huo utajili nibora tuishi tungiwa masikini.🙏🙏
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 5 минут бұрын
Yani Matha kukupenda kote leo hi unashindwa kumuhudumia mama yako Yani ww na pesa zako mama yako anaishi maisha kama ya mama yangu embu mwangalie mama yako bwana unatutia haibi
@mbuerecarlos1396
@mbuerecarlos1396 Күн бұрын
Mchungaji Mgogo alisema wazazi wanasahauliwa wanunua nguo za mitumba baba ananunua blauzi za kike anajua ni shati. Hii ni somo .
@MariaJoseph-l9p
@MariaJoseph-l9p Күн бұрын
Mimi nimechukia nyimbo zake mama ni mama
@TulizoIgnatus-co1jd
@TulizoIgnatus-co1jd Күн бұрын
Ila Martha mwaipaja useme chochote uache unafiki unaliachia litoto lidogo likuongelee ulipokuwa unazaliwa lili kuwepo😢😢😢😢😢😢😢😢
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Күн бұрын
Nashangaa tena litoto lenyewe linadharau familia..😊
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial Күн бұрын
Sio yeye amefanywa kuwa zezeta 😢 yaan hana usemi wowote juu ya joana,joana anacontrol kila kitu
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Күн бұрын
Kabisaaaaaa ​@@WiselightOfficial
@RahmhRr-d9v
@RahmhRr-d9v 13 сағат бұрын
Natamani kumuona Tena Maman yangu R.l.P Maman yangu umeondoka mapema jtm mm😭😭😭
@Christella12-g3j
@Christella12-g3j Күн бұрын
Mi nafikiri huyu mama hako hapa kutafuta musada wa pesa kutoka kwa manae japokuwa na kumusaidia ni wajibu wake kama mutoto, ila anauchungu sana kwa kumupoteza mwanae anahuzuni na mtoto wake. Inauma sana.
@SophiaKufakunoga
@SophiaKufakunoga Күн бұрын
Acha usenge Hela kitu gani
@Christella12-g3j
@Christella12-g3j Күн бұрын
@ sasa unanitukana nini labda hukuelewa message yangu . Nimesema kuwa huyu mama hatafuti pesa kutoka kwa mwanae bali anauchungu na mtoto wake. Soma message vizuri. Kwani nimesema anatafuta pesa ?
@purityjames3668
@purityjames3668 Күн бұрын
Nimekupitia nipitie tugrow pamoja
@Christella12-g3j
@Christella12-g3j Күн бұрын
@@purityjames3668 Thank you , nakuja 👌
@HappynessJohn-q3c
@HappynessJohn-q3c Күн бұрын
Pole mama hii imeniumiza sana Ata sikuwahi kuwaza kama dada anaeimba nyimbo za injili anaweza kufanya ivyo,mama msamehe tu Binti yako inaumiza san
@JenniferJackson-m5t
@JenniferJackson-m5t Күн бұрын
Mi nna roho ngumu japo sina pesa ila martha kanizidi japo ana pesa😢😢😢
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 Күн бұрын
Mungu nihurumie😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 23 сағат бұрын
Mama ni mingu wa pili dunian jitaidi kurudisha upendo Kwa mama yako Martha inauma sana😭😭😭
@SylvesterMasalu-u5w
@SylvesterMasalu-u5w Күн бұрын
Nikwel wanafanana hadi sauti jmn kwanz huyu mama kafanana na wanae wote huyu mungu
@justinemasweta2877
@justinemasweta2877 Күн бұрын
Sema mama ni kijana
@josephpeter8511
@josephpeter8511 Күн бұрын
kama kijana ndo hastahili kusaidiwa na wanaya?????!!!!
@Janemuthoni289
@Janemuthoni289 Күн бұрын
Yule msichana wa kujiita Joan mtoto wa Martha jina lake kamili ni Leah kuna kitu kikubwa wanakifanya either ndio kitega uchumi wa mali ya Martha ndio ana hizo tabia, za kumkataza asimsaidie mama😢😢😢😢😢
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 Күн бұрын
Natamani sana ningekuwa nawazazi wangu wote.😢 Wewe una wazazi lakini unajitenga😢.ningependa sana watumishi wa mungu waingilie kati .kuileta familia hii pamoja.
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Күн бұрын
Yaani we acha tuu!😭😭😭😭😭
@DanielBenard-c5m
@DanielBenard-c5m 21 сағат бұрын
Kama Mimi tu ndugu yangu
@hamisgonga2137
@hamisgonga2137 Күн бұрын
Pole sana mama huyo Martha si unaona machozi ya mama mludie mungu
@benignajosephwatendewao2065
@benignajosephwatendewao2065 Күн бұрын
Nimelia😢😢😢😢
@mablemadahana4758
@mablemadahana4758 Күн бұрын
Masharti yanamfunga wakuelewa ataelewa
@EmilyMwisukulu
@EmilyMwisukulu 23 сағат бұрын
Mama Mungu akusaidie sana tena akupe ufahamu upate kukumbuka kuwa Martha ni binti yako hizo midia hazikusaidia kitu hivyo mwombe mwanao msamaha ili mkakae chini mtamaliza watu hawatakusaidia kitu
@aishabakari4686
@aishabakari4686 Күн бұрын
kumbe watoto wake wamerithi sautu ya mama yao 💯💯 📌
@angeljoseph8103
@angeljoseph8103 Күн бұрын
Wanafanana
@niyogushimaoscar9248
@niyogushimaoscar9248 Күн бұрын
Lakini kuna mtu anakuja nakusema ohh eti sio Mama yake wakati anasikia sauti inadhihirisha kabisa
@purityjames3668
@purityjames3668 Күн бұрын
Nimekupitia nipitie tugrow pamoja
Beatrice Mwaipaja - Mama (Official Music Video)
5:43
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 208 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANATOA TAMKO ZITO MUDA HUU..
JAMBO TV
Рет қаралды 2,2 М.
MY DAUGHTER | ep 9 |
17:54
CLAM VEVO
Рет қаралды 136 М.
SAMAHANI ASANTE |ep 14|
16:46
KitaleMkudeSimba
Рет қаралды 4,2 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН