Allahuakibaru allahuakibaru allahuakibaru. yah rabbi mjalie shkh wetu mwisho ulio mwema. Yah Allah tusamee sisi wanawake maana umetupa stara na kutueshimisha ila sisi tume kuwa wakaid katika maamrisho Yako. Yah Rabbi tuongoze katika kher zako 🤲🤲🤲😔
@سعدياقوت-ت2خ7 ай бұрын
Amiin yarab
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Shekhe umenifurahisha kwa mawaidha Yako Alhamdulillah
@khatibsalim7298Ай бұрын
Mashallah tabarakallah shekhe langu
@FatmaJambwali7 ай бұрын
Allah akulinde ww pamoja na familia yako na awarehem wazazi wako
@ZayanaIdrisa7 ай бұрын
Allah akuhifadhi nawatu wasio jua thamani yako
@Fatum1127 ай бұрын
Yaa rabbi tuajalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Allah atuongoze kwenye dini yetu
@a.8567 ай бұрын
Jazakallah khayran
@salmamfaume10735 ай бұрын
Subahanallah ❤❤
@hamidakhamis-ir5qv7 ай бұрын
Mashallah mada imefika pahali pake
@KabagwiraAmina-t6q7 ай бұрын
Allah akulpe mema
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Dini yetu Raha sana wallah
@OrnellaNtakarutimana7 ай бұрын
LAA HAWLA WA LAA QUWATA ILA BLLAHI.YAA RABB WAHURUMIE MAMA ZETU KAMA WALIVO TUHURUMIA TUKIWA WADOGO.KWA WALE AMBAO WALITANGULIA MBELE YA HAQQ YAA RABB NAKUOMBA KWA HURUMA WAKO UWASAMEHE MAPUNGUFU YAWO NA UWAINUWE KWENYE DARJA,JANNATUL FIRDAUS IWE MAKAO YAO YA MWISHO.NA SISI WANGALIKI HAI UTUWEZESHE YAA RABB KUWA WAZAZI WEMA KWA WATOTO HAWA UNAOTURUQQU...ALLAHUMMA AAMIIN YAA RABB
@salhaali92847 ай бұрын
Amin
@rehemachingwele7 ай бұрын
Allahummah Amiin
@hamadKhamis-p6kАй бұрын
Lkn pia nimecheka hapo uliposhukuru kuw umeumbw mwanamme na ukasema jee ungelikuw mwanamke jee ingelikuwa unapelekwa hivi sasa pale ah nimecheka kwanz