MAMA SABRINA AJITOKEZA |AMWAGA PICHA ZA NDOA YA MWANAE |ATEMA CHECHE |MAZITO BALAA

  Рет қаралды 102,276

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.

Пікірлер: 854
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 жыл бұрын
chat.whatsapp.com/HN3h2cmMUucGq6438nYZGj JIUNGE KWENYE GROUP LETU LA WHATSAPP
@richardelias6003
@richardelias6003 2 жыл бұрын
huyu mwanamke amelipywa na muungu inaonekana alimkosea mumewake wa mwazo na kumzara kwa sababu kuwa nimasini ila hayo ndio malipo yake
@swaumumwanalia7054
@swaumumwanalia7054 2 жыл бұрын
Nimechukia sana huyu kaka
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
@@swaumumwanalia7054 huyu kama kipo anachokitafta n mwanaume mastarab sana akiongea maneno mazuri matandaoni na kuwateka wanawake na kukingia mkeenge 😂 looh
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 2 жыл бұрын
Mama Sabrina nimekupenda buree..wewe ni mama bora..ni mama wa kupigiwa mfano. ni mama honest kwa kweli umetawaliwa na busara mama maashaaAllah 👌
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 2 жыл бұрын
Ni kweli mama ana busara na utu
@teedullah5708
@teedullah5708 2 жыл бұрын
Msatarab kweli huyu mama
@sudymgeni701
@sudymgeni701 2 жыл бұрын
Mama Sabrina yuko sawa sawa kabisa tena anabusara sana jamani.yani anafaa kua mamamkwe bora.nimempenda sana sana mama mwenye busara zake mungu akubaliki sana sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Sana Mashallah
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Kam stiri sabrinaa sasa.
@wizmashin8011
@wizmashin8011 Жыл бұрын
@@saumusalimuhassan2499 mkm
@balozibalozi4483
@balozibalozi4483 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah mama anajua ana khekima ana hofu ya Allah naskia raha kumsikiliza hata SABRINA nimempenda kwakweli atulie awe na subra amsikilize sana mama!!!
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Mama ana busara sana ila sikuizi maisha yamebadirika ukiona mwanao anateseka chukua mwanao maana ukichelewa utachukua maiti ndoa atapata kwengine
@mohamedelzobery7194
@mohamedelzobery7194 2 жыл бұрын
Hakika fety umenena jmn using'ang'anie ndoa maana kama mtu alikutamani utamwona tu mambo yake
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
@@mohamedelzobery7194 Hutu kaka amekera sana wala sio shekh mdhalilishaji mmoja tu huyu
@mohamedelzobery7194
@mohamedelzobery7194 2 жыл бұрын
Hakika huu ni uzalilishaji wa wanawake tu nasi vinginevyo
@rahmaa1573
@rahmaa1573 2 жыл бұрын
Jamani hongera sana wewe mama Ila uyo mwanaume haaaahaa nishidaaa
@allymsimbe3122
@allymsimbe3122 2 жыл бұрын
Sana
@kuruthumrajabu2394
@kuruthumrajabu2394 2 жыл бұрын
Mashaalah nimekupenda kwa busara zako mamii
@mirryamabubakar3305
@mirryamabubakar3305 2 жыл бұрын
Bado mdogo Sana tafuta maisha utapata mume bora
@fatmasalima3847
@fatmasalima3847 2 жыл бұрын
Mash Allah I'm a mum but she a very good woman God bless her ameen 🙏
@rajeep-ni7lh
@rajeep-ni7lh 2 жыл бұрын
You are very good woman InshaAllah every becomes alright InshaAllah❤❤❤❤❤❤
@nellyrhn5369
@nellyrhn5369 2 жыл бұрын
Miaka 22 bado mdogo sana ashukuru Allah kwakumuondolea ilo tapeli wawanawake andelee na maisha yake miaka bado Kwakweli ❤️😓😓😓
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 2 жыл бұрын
safi sabrina umefanya vizuri kuwasaidia akina Diva na wengine kunyamaza sio vizuri kuanikwa ndio mpango mzima😃
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Wapi
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 2 жыл бұрын
@@adijaniyonkuru9731 utandawazi
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 жыл бұрын
Nimempenda mama sabrina Masha Allah
@seinabelimi2296
@seinabelimi2296 2 жыл бұрын
mashaa Allah mama ni mama hikma ya hali ya juu mola awahifadhi zaid na sabrina mola atampa risk yke kwa wakati sahihi na mtu sahihi atupe sote wake na waume Ammyn🤲🤲
@claudia1500
@claudia1500 2 жыл бұрын
Huyo Abdul ukimwangalia vizuri anaonekana km hana akili vizuri
@hadraomar9762
@hadraomar9762 2 жыл бұрын
Huyu Abdulrazak ni tapeli wa maneno mimi nilikuwa najua wake zake wana raha tupu, kumbe mweee, mama sabrina na sabrina mlichofanya ni vizuri sana matapeli kama hawa lazima tuwajue
@halimasaid4977
@halimasaid4977 2 жыл бұрын
Hata wametufumbua macho hata mie nilijua huyu abduli ni mtu sahihi hadi nilimtamani kumbe balaa tupu ya raby tusaidie
@halimaabdi4829
@halimaabdi4829 2 жыл бұрын
SubhanaAllah. Ndoa gani hyo ya mwanamke mjamzito. Ya Rabb tuongoze
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 2 жыл бұрын
Wanawake plz tutafuteni pesa zetu wenyewe usitegemee ndoa ndio chanzo Cha wewe kuwa na furaha na maisha mazuri kwa kutegemea pesa ya mwanaume,dunia imebadilika jamani furaha inatengenezwa na nguvu zako mwenyewe Trust me asilimia 75 ya wanawake wanaopambana hawaumiii Sana wakiachwa
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
True
@sumaiaomari6950
@sumaiaomari6950 2 жыл бұрын
Ukweli
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz 2 жыл бұрын
Ndoa ni chanzo Cha furaha usipokosea kuoa au kuolewa, Bali kwetu sie ndoa imeenda mbali Sanaa "Ndoa ni diyni"
@منذرناصرسعيدالحبسي
@منذرناصرسعيدالحبسي 2 жыл бұрын
Masha Allah, mama Sabrina anaongea ukweli mtukupu.
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
Muda si mwingi tunasuburi ya diva atatendwa tuu mi niko hapa huyu kaka ajirekebishe na haya 😭 dah inauma ila mama anabusara sanaa🥰
@shakilaburhan9552
@shakilaburhan9552 2 жыл бұрын
Yaani diva atajuta kuzaliwa
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
@@shakilaburhan9552 shauri yake ndo kapenda 😂
@pilealmas3079
@pilealmas3079 2 жыл бұрын
Tunamsubir diva ahaa ahaaa
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
@@pilealmas3079 Mujiii unamazito huu🤣
@asyaali1849
@asyaali1849 2 ай бұрын
Kashatendwa tayari
@Sam_me01
@Sam_me01 Ай бұрын
DUH, NA USHAHIDI HUU WA NDOA NA BADO KAMKANA MBELE YA MEDIA AMBAYO MAELFU YA WATU WANAMSIKILIZA. KWELI HUU SIO UTU ALIOUFANYA HUYU JAMAA
@ashuraissak8561
@ashuraissak8561 2 жыл бұрын
Mashaallah kumbe sabrina ni mrebo kama mamake
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Mwanaume anataka tabia sio urembo, ukiwa na tabia chafu utaachika kila siku
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 жыл бұрын
Lo!!!!huyo Diva kakanyaga Mavi, mwanaume bazazi, mnafiki, mwenyezi mungu atamuanika inshaalah
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Allahumma amiiin
@husnaameen9309
@husnaameen9309 2 жыл бұрын
Kitapeli subhanaallah ,Bora ukope kuliko kuwa tapeli hivyo
@zulekhahamad3512
@zulekhahamad3512 2 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 жыл бұрын
Mashallah 🥰 nilikuwa na hamu ya kumuona mama 💃 maana katika Ile interview ya Awali Yule mume WA Kwanza wa Sabrina nilisikia alikutong*🤦 kumbe mama uko vizuri Mashallah 😘 waoow
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Dah!Mungu anakuona wewe kaka mganga wallah atajibu kilio chahuyu binti(KARMA)ogopa sana hiikitu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
😱😱😱 subhanallah Allah atunusuru 🙏🙏🙏🧕 twapitia mengi San Allah atulinde kwakwel 🙏🙏🙏🙏
@zulekhahamad3512
@zulekhahamad3512 2 жыл бұрын
Uyuuuu ni maaaamaa wa Taifaaaaa kwa kweliiiii......💪
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 2 жыл бұрын
Natamani Mama ake Sabrina awe Mama angu Pia.. Mwanamke wa Shoka😮😮
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 жыл бұрын
@@fatmahashimu1487 muulize vzr mie sipendi mtu asema ivyo wallah kama unamkataa mama yako vile
@eashaeasha9776
@eashaeasha9776 2 жыл бұрын
@@fatmahashimu1487 angesema tu huyu mama MashaAllah nimempenda lakini mwezetu kapitiliza maneno
@wardahrasheed3947
@wardahrasheed3947 2 жыл бұрын
Allah akujalie umri mama hongera maongezi ya busara saut nziri Masha Allah
@Sam_me01
@Sam_me01 2 ай бұрын
Alimtesa sasa huyu dada jamani na kumkana na kumzalilisha nakumfanya vibaya kisa tu ni binti mwenye hali duni masikini. Na hivi juzi baada ya kuoa katoto cha miaka 17 ndio anajidai kusema ooh sabrina ni mke wangu sjui nampenda sana anisamehe. Yani huyu jamaa jamani msijichanganye wadada jifunzeni kupitia hawa waliopita kwake.
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 жыл бұрын
Kwa hali hii kwakweli diva kaukanyaga mkenge da duniani kuna mambo mungu nipe umli mrefu nijione mambo🤔🫢🤭huyu manaume ni tapeli wa kupindikia na kuwachezea wanawake kwa diva kafata kulelewa kwakweli wacha mimi nijikite kutafuta pesa 🤲👏🙏🏿namshukuru mungu kwa kila kiyu mpaka hapa nilipofikia mungu mwema🙏🏿
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Unaweza shangaa Diva akadimu daima.
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
Ila wamekutana Diva chopeko na Abdu Mnofu CHOPEKO&MNOFU
@gloryr9497
@gloryr9497 2 жыл бұрын
Abdul na diva ni pipa na mfuniko, labda watawezana
@theblessedone7526
@theblessedone7526 2 жыл бұрын
@@duhrurhhddhheud8575 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 жыл бұрын
@@adijaniyonkuru9731 pesa tu ndio itamtuliza lakn mwsho yatakua uchebe na shishi
@lm6373
@lm6373 Жыл бұрын
Huyo alo nifanye mganga wanakuwa matapeli sana
@hadraomar9762
@hadraomar9762 2 жыл бұрын
Mambo ya wanawake kunyamaza yamepitwa na wakati hili liwe funzo kwa wasichana wanaomsikiza huyu jamaa anajiita Doctor love! Ukweli utoke tu hamna kukaa kimya tuko 2022 WOMEN POWER
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo hatar
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
Kweli huyu jamaaa tapeli wa maneno sana kudanganya wanawake na kuingia kwake rahic na kuwatenda mabaya mjinga sana
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 2 жыл бұрын
@@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه tna tapeli na watu wanavyodanganyika bs heee.
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
@@malak-lz6kx Tunasubir DiVa Nate mud a s mwingi aki anaongeaga kama mwanaume kweli kumbe zero
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Lijitu litapeli
@husnaameen9309
@husnaameen9309 2 жыл бұрын
Ukimtazama tu yule Kaka utagundua kitu mungu atusaidie wanawake umdhaniae ndiye kumbe siye😄😄akaaaa umetuacha midomo wazi doctor wa mahaba
@ruqayyahmohammed3188
@ruqayyahmohammed3188 2 жыл бұрын
Me sijawahi mkubali hata
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 6 ай бұрын
Ni tapeli sana huyu jamaa ifike mahali aambiwe ukweli au afunguliwe mashtaka
@rayanaabdallah6580
@rayanaabdallah6580 2 жыл бұрын
Yote tisa kumi, wasichana tuacheni tamaa ya ndoa, tusihadaike na ndoa. Ndoa jambo la kheri na waeza ishi kwa huzuni for the rest of your life, ndoa sio kitu cha kubahatisha katu. When it comes to marriage be wise... It's heart, Pole sana swabrina
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Asante maana mimi huwaambia sana watoto wa Kike na hawasikii.Wanafikiria kuolewa ni issue ya maana sana au muhimu sana,mwisho wake ni majuto makubwa.
@emmahtamara4542
@emmahtamara4542 2 жыл бұрын
Tujitume tufanye kaz kwa bidii na tusiwe na tamaa yakuwa tutaolewa na wanaume wenye pesa, ukiwa na pesa zako nakujituma. Den sidhan kma tutachezewa. Tusijidanganye na uzuri, eti mimi mzuri nitapata mwanaume mwenye pesa
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@emmahtamara4542 wanajidanganya kuwa ukiwa mweupe unapata mume mwenye pesa ndio wanawake wengi wanajichubuwa .
@teddylameck3355
@teddylameck3355 2 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 2 жыл бұрын
Well Said.
@mirryamabubakar3305
@mirryamabubakar3305 2 жыл бұрын
Mama kijana mashallah mzuri
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
Ndo maana baba wa mtoto wake ali ali ali ali mtong***
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@duhrurhhddhheud8575 😁😁😁😁
@merymrema420
@merymrema420 2 жыл бұрын
Nimekupenda sana mama Sabrina unahekima Sana
@kisalaTV
@kisalaTV 2 жыл бұрын
Dada Tafuta cha kufanya . Achana na huyo mwanaume. Bahati yako imesha ishia hapo. shukuru Mungu. Songa mbere. Msaada ario kupa wa kulea mimba sio yake pia shukuru Mungu. Fanya kazi uvivu uperekea kulalama kama hiv. Funga mkanda sahau yote piga kazi fanya mambo yako
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
Well said
@hadraomar9762
@hadraomar9762 2 жыл бұрын
Bahati mkosi
@jazeerajuma4746
@jazeerajuma4746 2 жыл бұрын
Walio kuwa wanasema kaekt sasa wameumbuka
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 2 жыл бұрын
@@jazeerajuma4746 tena sana
@azizakombo376
@azizakombo376 2 жыл бұрын
Hongera cna mma Allah akuzidishie busara maana unataja mema na mabaya yake abduli
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Subhanaallah daaaaa umeumbuka kijana
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 2 жыл бұрын
Ameumbuka kidogo 😂😂😂
@saleemadhiyabalkhatri7800
@saleemadhiyabalkhatri7800 2 жыл бұрын
@@azizahamisi7349 mwenzangu kaumbuka njia ya muongo ni fupi mungu astiri huyo bidada diva ayasikie
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
🤭😁 Allah atunusuru 🙏
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
ogopa vitu viwili duniani MUNGU na TEKNOLOJIA
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 жыл бұрын
Manshallah mamayetu anabusara 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@machoshop8761
@machoshop8761 2 жыл бұрын
Duuuh nimeumia kweli poleni sana sabrina nzuri alafu anapita changamoto kubwa ajawai kufuraia ndoa, nipo tayari kunsaidia kama dadayangu nipo Mozambique Nampula kama ataitaji msada wowote nipo tayari kunsaidia kwa hali na Mali.
@aminamohd2427
@aminamohd2427 2 жыл бұрын
Mtihani
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Mtihani sn
@Kidotii
@Kidotii 2 жыл бұрын
Mkombozi wa mwanake ni kipato chake, mijegejoo ipo tu ukiwa na pesa wanaumee wapo tu na hawatakubabaishaa!
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Sabrina kaa utulie mlee mtoto Wako usibishane na mwanaume mtandaon tafuta kazi ufanye uendeleze maisha yako achana na wanaume
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Bora mumwambie asijizalilishe kwani maisha bado yapo tu na Mungu atampa rizki yake kwa kweli hata kama anampenda akaze moyo.Hawa watu wamitandao wanamtumia kupata faida kwao .
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 umr wake mdogo Angelea mtt Kwanzaa,,,akikua atafutut stara
@maryjonh311
@maryjonh311 2 жыл бұрын
😂😂😂 mtandaoni anajishongondowa kumbe akuna lolote toba nipisheni mie.
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
@@maryjonh311 Amina inshallah
@shabashmnoma7351
@shabashmnoma7351 2 жыл бұрын
Insha Allah mwenyezi mungu amupe wepesi kwa kila jambo mmi inaniuma nitamusaidia pia mtoto mdogo bado
@mouwanahamisi8216
@mouwanahamisi8216 2 жыл бұрын
Allah akuwezeshe
@abdulshakuru3992
@abdulshakuru3992 2 жыл бұрын
Mmmh inauma kweli
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@abdulshakuru3992 Mm sijaelewa jamaniii samahani, Kwani huyo mtoto si wa huyo Abdul?
@qilil7
@qilil7 2 жыл бұрын
Hapana si wa Abdul
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@qilil7 Ok....! Ahsante sana 🙏🏼
@zoozzoz9879
@zoozzoz9879 2 жыл бұрын
Uwiiii...Mganga na diva wameumbuka
@fatmahalfatmah4076
@fatmahalfatmah4076 2 жыл бұрын
Tapeli mkubwa uyo subuna Allah
@khadijamussa7727
@khadijamussa7727 2 жыл бұрын
Yalini Kuta haya tena mimi nimeachwa na mimba ila nimeshukuru TU mungu saii Niko zangu Mombasa naosha vyomba na maisha yangu yanaenda TU poa
@zubeidaahmed280
@zubeidaahmed280 2 жыл бұрын
Hata mm yamenikuta tu kma ww nilirudi kwetu msa hata nishajifungua mwanangu yuko namwaka sai nimekuja zangu oman kutafuta maisha
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Tuloumizwa tupo wengi na bado tunapambana tunalea watoto na Mungu anatusaidia
@ahmadzubeir2605
@ahmadzubeir2605 2 жыл бұрын
Mama Sabrina mi namtaka binti yako nimuowe na nitampenda sana na nitamtunza kwa kadri ya uwezo wangu. Mimi ni Muislaamu na Alhamdulillaahi naufahamu Uislamu wangu.
@vairasiv4228
@vairasiv4228 2 жыл бұрын
tulia wewe
@queenzey8173
@queenzey8173 2 жыл бұрын
Nawenzko walikuj na gia hyo2
@ahmadzubeir2605
@ahmadzubeir2605 2 жыл бұрын
@@queenzey8173 Shida iliyopo kubwa sana na hilo ndio tatizo kuubwa kwenu wanawake weengi. Hua hamuangalii dini wala Uislamu wa mtu bali munachoangalia ni hela tuu maana hata huyo Ustdhi au sheikh au mtu wa dini hata awe ni imaamu wa msikiti au mwalimu wa madrasa anapokuja mara nyingi hua munaangalia jee ana hela?
@ahmadzubeir2605
@ahmadzubeir2605 2 жыл бұрын
@@queenzey8173 Hilo ndilo ttizo lenu.
@omanigaming6430
@omanigaming6430 2 жыл бұрын
Mungu kamuepusha sana atapata rizk nyingine
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 жыл бұрын
Subhannahllah pole sana Sabrina Allah atujaaliye waume wema.
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 Ай бұрын
Maisha haya mungu atusaidie 😢😢😢😢😢😊
@wyclefnyangena3664
@wyclefnyangena3664 2 жыл бұрын
Masha Allah mama sabrina unaongea vizuri
@dhulkiflali2966
@dhulkiflali2966 2 жыл бұрын
Ipo hadithi ya mtume s.A.w hapana kupandiza palipo pandikizwa haifai kuolewa mtu na mimba kwa kupatikana uhalali wa kizazi kwenye mirathi na sio kama wanavyosema watu kuwa kww ajili ya mapambo au hina
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
Huyu Abdul laghai wa maneno , tangu day one tulisema kuwa huyu tapeli kafata umaarufu tu lakini tukaambiwa kuwa tuna choyo kuona Diva kaolewa . Na ile kujiingiza kwa media kupigana mabusu yote ni utapeli na ndio hiyo yalomchongea . Sabrina kafanya sawa sawa maana yule jamaa anajifanya msafi wa mapenzi hadi watu walikuwa wanamtamani kuwa naye .
@zeyanaalgheithy6561
@zeyanaalgheithy6561 2 жыл бұрын
Mambo mengine yanatatuliwa kifamia sio kisocial media mzazi mwenzangu kuwapa watu faida tu
@terrychaupole9473
@terrychaupole9473 2 жыл бұрын
Mama anabusara sanaaa🙏 nimempenda bureee
@istumaimilandu8739
@istumaimilandu8739 2 жыл бұрын
Mama sablina nimekupenda kwa maelezo yako
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Maa shaa llah,,,mama hyu Allah amhifadh
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 2 жыл бұрын
Mama una busara sana, ila mpambanie mwanao akae mbali na huyo kaka hata muweza, mwanao amekosea lakini amesaidia wengi ambao hawamjui wangedanganyika zaidi, mpe moyo mwanao asikate tamaa, atafute kazi ajitegemee, ndoa ni ibada mola atampa mume mwenye kheri na yeye
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Nimekupenda sana Mama Sabrina una subra sana na ustaarabu, Allah atampa bint yako Mume anaestahili inshallah 🙏Mackini alipendeza Mashallah, ila Sabrina Mrembo sana Mashallah, Mashallah.
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 2 жыл бұрын
Jaman hyu dada ambaye ni mama mkwe anabuxara xna❤️❤️
@galbyshaban1087
@galbyshaban1087 2 жыл бұрын
Subhanallah huyu kaka Allah amuone Instagram aliandika ujumbe mrefu kumkana huyu bint kwamba hajamuoa mbadala wake alikuwa msichana wa kazi tu daah inauma mno na ushahid upo hapo
@alshabje7185
@alshabje7185 2 жыл бұрын
Jamani wanaume punguzeni kuchezea watoto wawatu haijuzu wala haimpendezi Mola wetu
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Abdul nakuita umemuoa huyo Binti bila kulazimishwa angalia sana uko mbele maisha yako utalipwa maumivu uliompa huyo Binti hapahapa Duniani. Umemdanganya sana kakupenda kwa dhati kwa nini ufanye hivyo?.
@asiacruiz5165
@asiacruiz5165 2 жыл бұрын
Mmmmh pole Sana dadangu mamake swabrina ,wa llahi huu mtihani mzito ila Allah atatiya wepesi
@hadharaalli5201
@hadharaalli5201 2 жыл бұрын
Kisheria ya dini haswaa ukiifatilia abduli Hana MKE hata mmoja Kwa sababu mwanamme akiwa na MKE halafu akasema Mimi Sina MKE hapo MKE anakua ameshaa achika tayari kisheria sababu tayari amesha mkana mbele za watu kama alipokuja Kwa kina Sabrina akaulizwa unamke akajibu Sina MKE MKE hapo tayari ameshaa chika anatakiwa Abdull uisome dini kiundani kama ndio tabia Yako ukiona mwanamke mwengine ukamkana mkeo bs jua hapo wake zako wote umeshaa Wacha Kwa kuwakana hivo
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 2 жыл бұрын
noo hapo sio kweli maana mke haachik kwa kumuambia mtu kua huna mke, pili dini inaruhus kuoa mwanamke wa pili au watatu mpaka wa nne ata bila wao kujuana yaan ukaoa kisiri siri maana yakuoa kisiri yaan unaoa mke wapil hajui kua unamke mwingne tayar, NB simtetei uyo Abdul nimeelezea point
@moanamessi1749
@moanamessi1749 2 жыл бұрын
Dada sabrina njoo warabuni mwenzako yalinikuta sahii niko Saudia niko na mtoto 1 nasomesha mwanangu jikaze dada achana na waume msikilize mama
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 жыл бұрын
Kumbe Saudi Arabia tuko hapa😄😄🙈
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 2 жыл бұрын
Mshono haujamaliza ata miez 5
@moanamessi1749
@moanamessi1749 2 жыл бұрын
Inshaallah akipona mshono ajitahidi hataka kama nikutafuta kazi tu tanzania
@prettynayally2177
@prettynayally2177 2 жыл бұрын
Kabsa time gulf kazi kazi mme kazi akija atakuja na adabu zake
@FaidhaKihiyo
@FaidhaKihiyo 6 ай бұрын
Pole
@kattemwanambulu9403
@kattemwanambulu9403 2 жыл бұрын
Fabiani huyo Mama yake sabrina yupo makini sana , na tu smart
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 2 жыл бұрын
Mtihan kumbe huyu kaka ndo yupo hivi duuh mungu amsamehe
@hadijamulleris3734
@hadijamulleris3734 2 жыл бұрын
Ww mama bora sana kwa mtoto
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
Miaka 22 mdogo sana ulipaswa uwe shule jaman chuo au advance level.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 2 жыл бұрын
Sabrina achana na uyu kaka vunja ndoa kimwili pia omba Mungu sana avunje kiroho, tafuta shughuli ufanye yaani hasira na uchungu ulionao Wekeza kwenye kazi, mwanao, na mama na jamii uku ukimtanguliza Mungu uone Mungu atakavyokushangaza
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 2 жыл бұрын
Keshaachika mbona
@mwanashambanisalim8569
@mwanashambanisalim8569 2 жыл бұрын
Pole sana dear we lane true mistake
@asdasd9253
@asdasd9253 2 жыл бұрын
Tatizo tunaoana kwakufahamiana hatuoani kwakuojuana duh mwanamme sie lkn nifundisho mungu atusaidie
@umranim5854
@umranim5854 2 жыл бұрын
In shallah mungu mkubwa sabrina mungu atakufanyia wepesi na atakupa mume bora yarab 🤲
@swaumumohammed6450
@swaumumohammed6450 2 жыл бұрын
Mrejee mungu my young sister Allah atakufanyia wepesi duniani na akher atakulipa kwa subra yako nyanyuka simama endeleza maisha yak Allah atakulip yote yatapit mungu atakupa mzuri zaidi yake Jiamini haswa kama ni mzuri bado ni mdogo na una nafasi ya kuendleza maisha yake habibty😍😘
@zairaisaid6389
@zairaisaid6389 2 жыл бұрын
Ila kiukweli uyo Abdulkarim alimpenda tu dada Sablina ila Sablina hana kazi hana era alafu uyo Abdulkarim ni mkali sana na mkorofi sana tofauti na Sablina Sablina mpole au mkali kiasi tofauti na Abdulkarim ni moto wa kuotea mbali ila uyo Diva na Abdulkarim mmmh mmmmh Allah awe kati yao lnsha Allah
@aishajuma7813
@aishajuma7813 2 жыл бұрын
Mtihani jamani bora tutafute pesa akuna wanaume sikuizi
@laymashabani832
@laymashabani832 2 жыл бұрын
Mama nimekupenda sana❤️❤️ lakini si nasikiaga kuolewa ukiwa na mimba hairuhusiwi kisheria ya dini
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 2 жыл бұрын
Nawe unapumbaza watu kwano soalikataa akasema haifai ila abdulo kuna shehe kafatilia akasema inafaa
@laymashabani832
@laymashabani832 2 жыл бұрын
@@ukhtyrayyan7884 Hairuhusiwi wanafosi tu
@ayshasulaiman5026
@ayshasulaiman5026 2 жыл бұрын
Hairuhusiwi hawa wanaenda na matamanio yao
@laymashabani832
@laymashabani832 2 жыл бұрын
@@ayshasulaiman5026 Bora umenisaidia
@tifaomy527
@tifaomy527 2 жыл бұрын
Mama MashaALLAH una busara na akili kubwa
@nicholauspeter9454
@nicholauspeter9454 2 жыл бұрын
Anaoaga chapchap sijui ana lengo gani
@elinapouljensen9244
@elinapouljensen9244 2 жыл бұрын
Watu wamejawa na roho za kishetani humjui yupi ni sahihi kwako m mungu peke ake ndie anaejua sabra akubali tu magumu alopitia na asiruhusu tena uhitaji wa mme umpelekee kufanya maamuzi aya sio kwake tu yanatokea kwa wengi sababu ya uhitaji tunajikuta tunaingia sipo, Ila malipo pia ni apa apa kila mmoja ulipwa Kwa matendo yake, inshallah m mungu atampa mme mwema ataemfaa kwa wkt sahihi sa ivi aachane nao asubiri Yule ambae m mungu anataka kumpa wala asikate tamaa ni Mapito tu
@shamimuridhiwani7252
@shamimuridhiwani7252 2 жыл бұрын
Tusiwe wepex wa kuhukumu hayo yalikuwa maisha ya ndoa ya watu wawili lakini pia sabrina jifunze kuwa na subra mwanamke wa kiislam hatangazi mambo yake kwenye umati wa watu ukikataliwa muombe mungu akupe mbadala wake
@aishatest4451
@aishatest4451 2 жыл бұрын
Mashaallh mama🥰🥰
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mbona mtihani hiii duniya yameisho sijuwi wapi tunaelekeya pole dada
@Atb300
@Atb300 2 жыл бұрын
Uyu Abdul ni mzalilishaji tu kha!
@jamilzafa5230
@jamilzafa5230 2 жыл бұрын
Am sorry to say this but I guess people need to understand 1-talaka haipiti mwanamke akiwa mjaa mzito ndio maanakuna edda ya 3 months 2- mwanamke haolewi akiwa ana mimba ya mumewe not unless ilikuwa boyfriend Anyway hakuna jambo lisilo sameheka kwa mwenyezi Mungu hasusan usiliojua Nimetaka tu kufafanua watu waelewe Dadangu nakuomba do not do more interview about this story ama ukifanya fanya iwe audio kwa stara yako mwenyewe na mwanao na kwa mme atakaye kukuoa usoni I don't comment in KZbin but your story is really touching Mwanaume mzuri alikuwa yesu tu au nabii issa tunavomwita kwasababu
@raniakhan5463
@raniakhan5463 2 жыл бұрын
Yaani kifupi na kiuhalisia bila kupindisha ndoa hii haikuswihi kisharia maana bint aliolewa na mimba. Labda bint alikuwa desperate mama akaona ni njia ya kumuondolea aibu ila huu mtihani wallah
@yusufnoor215
@yusufnoor215 2 жыл бұрын
Mnaimizwa kusoma dini, ili mpate nuru mpate muongozo, mnajiendea kama magari mabovu halafu mnakuja kulia lia mitandaoni!
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Kwani baba wa mtoto anaswmaje na yuko wapi aty ukiachwa achika omba mungu akupe alie bora kwako
@nahyamohamedi6430
@nahyamohamedi6430 2 жыл бұрын
Mama nimempenda sana anataja mema na mabaya ya Abdul
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 2 жыл бұрын
Wanawake wa kiislam wanateseka sana na hii sheria ya wanaume kuoa wake wengi Poleni sana wanawake wa kiislam Inabidi mjitambue kuwa hii sheria inawakandamiza sana, wanao injoy ni wanaume. Jikwamueni kimaisha ili msitumiwe kingono
@dattnatasalum8919
@dattnatasalum8919 2 жыл бұрын
Hata wakristo wanaishi na zaid ya mke 1
@josephinekabuka8190
@josephinekabuka8190 2 жыл бұрын
kila siku naskia inatangazwa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kln toka enzi wazee wetu walikua wanaoa mitala na wanaishi vzr tu. mm naona shida ni kuwa wanaume wamebadilika si waadilifu sana na wanawake pia wamebadilika. ni kumuomba Mungu tu ndie mjuzi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
@@dattnatasalum8919 Amesema kuoa nasi kuishi na wanawake wengi kama wewe usemavyo 🤣 Ukristu hauruhusu kuoa wanawake wengi ... Sisi wanaume wakikristu hatukurupuki kuona kwani si kitu chepesi kwasababu ya sheria tofauti na uislam unaweza ukaoa leo na kesho ukatoa taraka ni very easy ndio maana unaona ukifika wakati wa mfungo watu wengi huoa ili waendeleze tendo wakati wakiendelea kufunga sasa hizo huwa nitamaa zakimwili
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 2 жыл бұрын
@@josephinekabuka8190 anaetangaza na anae fanya research ni mwanamme, so what do you expect
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 2 жыл бұрын
@@dattnatasalum8919 but not official How can you marry 4 women and uwaridhishe wote? Madness!
@yvetteuwase2740
@yvetteuwase2740 2 жыл бұрын
Maman bora
@EsterWiliam-to5mb
@EsterWiliam-to5mb Ай бұрын
Daaah jomon
@kuruthummussa3811
@kuruthummussa3811 2 жыл бұрын
Kiongoz samahah Kama huyu Dada yupo mwenyewe naomba unipe namba nimuoe maana napenda Sana mwanamke aliyeshika din
@berthamahangila4462
@berthamahangila4462 2 жыл бұрын
Siku izi matapeli wengi
@franciscaaugustino4305
@franciscaaugustino4305 2 жыл бұрын
Kuruthum???
@franciscaaugustino4305
@franciscaaugustino4305 2 жыл бұрын
@Rukaiya Rukaiya au mi nimedhania sivyo
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Hahaaa
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 жыл бұрын
@@franciscaaugustino4305 😄🤣😂😆😄
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 2 жыл бұрын
Masha Allah kumbe Sabrina bado binti ty duu miaka22 Masha Allah
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 жыл бұрын
Yaani abdulrazaq mshenzi sana tunasubiri kilio cha diva 😁😁
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 2 жыл бұрын
Haki
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 жыл бұрын
Uislamu sio kanzu Wala shuka na kilemba uislamu ni kuswali swala tano na kufunga ramadhani kaka hiyo SI muoaji hiyo diva ajiandae dada wewe sio wa kwaza Wala sio wa mwisho jipe moyo utashinda kwanza mzuri alafu mdogo unavyomzungumzia unampa kichea au ulisikia wapi kaburi kuna kaburi la mjane ?uyo akufai ata kidogo
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Kwa Diva atakoma atanyooshwa mana yule si mtt wa kinyumbani!! Diva ni wa mjini jambazi mwezie
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 Ай бұрын
Tapeliiii😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@munamuna4621
@munamuna4621 2 жыл бұрын
Sabrina ugeachana na hayo mambo tulia ulee mwanao usishidane na mwanaume kwenye mitandao..ipo siku hiyo mwanaume atakuja kukuchafua zaidi..umeachwa achika dada wengi tuliachika na maisha yanaendelea
@aysheraden7718
@aysheraden7718 2 жыл бұрын
Swadakta , halafu sijui kama kuna ndoa ya mtu akiwa na mimba
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 2 жыл бұрын
Umesema kweli, uyo Sabrina mcharuko
@raybby9291
@raybby9291 2 жыл бұрын
Ndo apo mwenye mtoto wala hawamuongelei
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa maana kama vile anashida nae sana bora angenyamaza tu
@مباركا-ر3ف
@مباركا-ر3ف 2 жыл бұрын
@@aysheraden7718 mimba sio ya Abdullazack ana ruhusiwa kumuoa kwa sababu sio mimba yake aliyemtia mimba ndie haruhusiwi kumuoa waulize mashekh
@markiolpima9285
@markiolpima9285 2 жыл бұрын
Acha chezea abduri namsubili diva misheuo nione
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 115 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 58 МЛН
"MIMI KWELI NIMEMROGA DIVA" - MUME wa DIVA (ABDUL-RAZAK) AFUNGUKA
9:51
Hii nyumba haina kasoro
3:34
DALALI WA TAIFA
Рет қаралды 25 М.