Mashaallah ww ni mama bora na si bora mama Allah akuzidishie iman na uwe na msimamo huo huo
@selemanmateja46073 күн бұрын
mama hongera sana hiyo nimeipenda mama angu🙏🙏
@mejumaabaraza3989Күн бұрын
Masha Allah tabaraqallah mama mungu azidi kukuondosea tamaa za duniani na akuongoze kwa mema ya akhera in shaALLA ❤❤❤❤🎉🥰
@Ablahisaid3 күн бұрын
Huyu mama sio mpumbavu nimtu wa dini anahofia imani yk na anamuogopa mungu ss ukiwa na tamaa zakijinga ikosiku itakukosti mama mashallah unamsimamo bora masikin kuliko kumkosea mungu wk mungu akikupa anakupa tu sikutafuta pesa kw kumshirikisha mungu
@nyembomajid12623 күн бұрын
ningi tumaini tafsili ya neno ubumbavu,ujinga,sisi wana damu tunaitumia pale mtu aki pewa kitu ooh amekataa yule mjinga ok sawa nimejukua na ndo uerevu....hata Mimi nimemupongeza huyo mama
@Naw892 күн бұрын
Mama Allah akupe Pepo ya juu ya firdaus Wallah nimekupenda bure Hakuna maisha mazuri kama maisha ya peponi
@TitusMutemi-y4b3 күн бұрын
Uyu mama sio kichwa anakijua anachokisema ..ye do anajua udani wa mwanae ... Amna yoyote anamjua mwanae kuliko mzazi
@ShamsiMbago-n2q2 күн бұрын
Uyo tajili chui ndo nan
@AminaAminjay-dv8tr2 күн бұрын
Hakika, na tajili nae kakubali kuwa hayo mambo yapo ila hayatakuwa na madhara kwa mama yake zawadi achukue tu 😢,mungu tusaidi kutuepusha na tamaa
@teedullah5708Күн бұрын
Kabisa
@3leggedbird222Күн бұрын
Vany boy 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅@@ShamsiMbago-n2q
@MuunganoChrisanthКүн бұрын
Msilazimishe maji kupanda mlima imeandikwa ivi, Wapumbavu ninyi na vipofu; maana ni ipi iliyo kubwa, ile dhahabu, au lile hekalu liitakasalo dhahabu? Mathayo 23:17 Hata Mungu mwenyewe kasema Kuweni na ufahamu wa kimbingu musiwe kama nyumbu hapo wazazi wasiomjua Mungu washawaka tamaa sikiliza yuko sahihi na nimempenda sana huyo mama angu pia imeandikwa Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Mithali 22:3 iwe funzo kwa wazazi wenye tamaa mbaya mcheni Mungu aliyeziumba mbingu na ardhi na chemchemi ya maji mcheni katika Roho na kweli mtambue hatari iliyoko mbele yenu wawe!😟😟
@CareenTemba-j4l2 күн бұрын
Hongera Mama yangu kwa kujitambua raha ya muda mwishowe tunapelekana pabaya
@ellyjacob98972 күн бұрын
Mama akibanwa vizuri nje ya camera ana mengi yakutwambia 😂😂
@rajabuhassan19323 күн бұрын
Mashallah ,, Eeee mamaa ang Allah akulinde sana
@Magreth-f2j2 күн бұрын
Hongera hongera hongera mama uko vzr yaani hawa watoto wetu wameingiwa na pepo la utajiri na tamaa acha aende na gari lake.
@MarthaKibassa2 күн бұрын
Safii Mama!!. Shetani hajawahi kumpa Mtu kitu cha bure!!. Lazima kiwe na malipo
@jaydenbedas57293 күн бұрын
Mwisho wa mwaka huu mama kashituka
@SijaliSaid2 күн бұрын
😅😅😅
@elidasimon5042 күн бұрын
😅
@MarthaKibassa2 күн бұрын
Sanaa!!. Sadaka zinahutajika😅
@SANTANNAMSODOKI2 күн бұрын
Umeona
@ReychoMc2 күн бұрын
😂😂😂
@GladTolage2 күн бұрын
We mama safi kaa na msimama wako huohuo mbingu zinakufurahia
@RayChausa-g6m2 күн бұрын
Mama anamjua mtoto wake vizuri ❤❤❤
@ShamsiMbago-n2q2 күн бұрын
Uyo tajili chui ndo nan?
@pancrasmalamla97993 күн бұрын
Kwanza zawadi ilipaswa alete mtoto muhusika mwenyewe Kwa Mama amuelezee lakini Kwa hali hii na aliyoyaongea mama kiukweli wasanii wetu mnajitafitia laana kama mama anasema kwenye familia mandondocha mengi na inaonekana kijana ni muhusika basi wasanii wetu mnapotea kama mama kakataa zawadi na mashakan yaliyopo haufiki mbali
@festokemibala58322 күн бұрын
Hongera mama kwa kukataa kuunganishwa na kuzimu! Mungu aendelee kukufungua macho ukaone na kuishi sawa na kusudio lake
@janedamian1433Күн бұрын
WEWE NI MAMA WA PEKEE SANA KULIKO HAO WENGINE WANAOONA SIFA KUPOKEA HAYO MAJENEZA. HONGERA SANA
@Zuuh1073 күн бұрын
Mungu akulinde tu mama maana hawatakagi kuwambiwa ukweli na kuchukua hatua za kuangamiza watu ndo walivyo hao 😢😢😢na kwann kaagiza mtu alete baada ya alete yeye mtoto ama
@Joppa5553 күн бұрын
Kama kiki au drama lakin kama kweli saa ingine ukiwaza😂😂😂😂😂😂meneja naye kichwa imeanza kuchemuka😅😅😅kijanaa kila jumanne hapigi dili😂😂😂😂😂😂
@MashaMbwana3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@saidaramadhan34813 күн бұрын
Mama amesema ukweli tofauti na wengine wanaoficha
@JacksonMwailamla2 күн бұрын
hongera mdogo wangu naona hii imeenda kweli mjini imekubarika mtandaoni ila unajitaidi sana mana nakumbuk enzi za kuuza matikiti ubungo stand had apo sio poa,,
@salmaabdu50112 күн бұрын
Mama ni jasiri sana hongera mama mungu yuko na ww
@JenipherNersonКүн бұрын
Hongera sana mama Mungu akupe maisha mrf
@Yana_queen12 күн бұрын
Mama ana kitu kikubwa sn ndani yake❤
@Happizo2 күн бұрын
Mimi ndio huyu mama ..naelewa kabisa nikipewa hiyo gari sitachukua raundi...na sitadumu nayo. ... Hongera sana kwa msimamo mama
@MartinLaizerКүн бұрын
Hongera sana mama yangu upo vizuri
@rufaidahmbwana77012 күн бұрын
Hii ni kiki tu. Kama kweli camera wangezima kabisa wala wasingerusha kwa media.
@FatumaKishasha-ph6ii2 күн бұрын
Dah 😢 ngoja nipambane na waarabu wazazi wangu waenjoy
@Asyawaamidu-g7p2 күн бұрын
Tutumwe tu huku umeona😂😂😂
@japhetjonathan-l8n15 сағат бұрын
Chukua gari hyo mama Nenda kalipigie dua kwa imani yako
@kondeboishukuru3 күн бұрын
Uyu jama nimemuelewa kiukweli ni freemasonry maana ata alipo ulizwa akujibu jibu lolote lakukataa Bali anasema aina madhara elewa neno ilo AINA MAZARA
@salimswedy61142 күн бұрын
Huyu freemason kweli msanii gani hata umaarufu hana eti anafanya mziki alfu anahela kumpa mama zawadi
@Shadia54422 сағат бұрын
Huyu mama kastuka jamaniii sasaivi zawadi gani hiyo ya gari mama kama mama usipokee bora uwe masikini tuu 😢😢😢😢
@AIKABAHATI2 күн бұрын
Mamaa kashtuka dili😂❤
@VeronicaRugoyiКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SadaSaid-n3k2 күн бұрын
Hakuna mzazi yeyote alibeba mimba miezi Tisa amsemee mwanae haya maneno huyu mama anajua michongo mzima mama hongera kataa tuu hiyo chuma jeneza Hilo tutakupoteza mama vijana wetu wamejaa tamaa sana hawaoni Kaz kumpoteza mtu na kuzidi kupata umaarufu
@AzizaShaik-v8o3 күн бұрын
Asantee mama
@carolinecaroline-rs7pr2 күн бұрын
Asante mama kwa msimamo juzi wanatupima akili kwa mwaposa ati anaombewa ati wameokoka jamani
@MdNasr-jm8pj3 күн бұрын
Mama anaongopa isijekua jeneza😢 mtihani jmn
@aishahahmeddy9288Күн бұрын
Mama mtu mzima ndie aliyemzaa kamlea anajua mwanaye vizuri masikini bi mkubwa anaogopa mungu
@MihayoMageta-k4n2 күн бұрын
Safi sana huyu mama apewe maua yake, ni ujasiri wa Hali ya juu kukataa zawadi kutoka kwa mwanao.
Subhanallah dah maskini mwenyezi mungu atuepushe na haya 😢
@saidaramadhan34813 күн бұрын
Asee jamaa kakiri ni freemasonry 😢
@ramadhanigau2 күн бұрын
hakuna kama mama love you mama. Nakupenda hata kama umezeeka
@rayahamisi1182 күн бұрын
Kweli mama nimekupenda bulee
@Nuryia-q8x2 күн бұрын
Mama Allah akupe pepo njema I love you mom
@faithkaganda-k3s2 күн бұрын
Mama asante kutufungua macho maan ata meneja wake kasema j.nne kwann asifanye kazi🤷♀️😮😂😂
@RehemaMgoba-v4z2 күн бұрын
Hongera mama
@cheiknamouna20583 күн бұрын
Mpelekeeni mamake martha analilia utajiri wa mwanae yeye hajui kama kuna masharti huyu nae Jumanne hafanyi kazi ndiyo sharti lake mama nae kaikataa😂😂😂
@MerckKabuga3 күн бұрын
😂😂😂 nimechekaa saana aisee
@RayChausa-g6m2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Shishinaya15542 күн бұрын
What a Good mother
@zakayombuba8953Күн бұрын
Jamaa kweli ameimba nyimbo nyingi2 ila hazijavuma search tajili chui mtaziona ziponyingisana
@NassoroSipemba3 күн бұрын
Ongera mama kwa msimamo wako ridhi na chako kilicho halali.
@LovintaAdhiamboКүн бұрын
Mama nakupenda...kataa kabisa
@RahemaJumany3 күн бұрын
Asante saaana mom
@Jacklinejohn73 күн бұрын
Kwani huyo msanii kaimba nyimbo gani huyo chui ndio nani tz
@ShamsiMbago-n2q2 күн бұрын
Mwenyew nawaulza
@AllyMAlly-cr6uw2 күн бұрын
Rayvan
@SophiaAlly-ih2ss2 күн бұрын
Kumbe leivani tobaa
@VeronicaRugoyiКүн бұрын
Siyo rayvan
@PanyaBuku-qo7tu2 күн бұрын
Mama bora ❤❤❤❤
@JansanMokiwaКүн бұрын
Jamaa kamchoma mwana😂😂😂
@simonjumbe1782 күн бұрын
Mnaaminishwa kuwa ni freemanson na mama yake kakataa gari kwahiyo mjiunge jicho la tatu na mtoe kiingilio,msikilize manager naye 😂😂😂😂
@rajabumkwawa60532 күн бұрын
Ni usaniii tu hapo. Mnaaminishwa mitandaoni ili kesho muwatafute muombe connection alafu mupewe connection kwa matapeli ambao wamishaandaaa na ndio watu wengi mnapigiwa hapo.
@greydonalds42862 күн бұрын
Hakika
@TitusMutemi-y4b3 күн бұрын
Elewa chenye uyo jamaa amesema kwenye call ,,"ety ayo mambo Ako na AYANA mathara yoyote " eleweni ilo neno
@exaverysimon1064Күн бұрын
MSIPO SAIDIWA MNALALAMIKA MKISAIDIWA HAMTAK SAS MNATAKAJE😢😢😢
@farhanahannanaКүн бұрын
Hana wema hana adabu
@KisiginoКүн бұрын
Huyo Mama yupo sahihi usipokee,,,ukipokea tuu umekwisha
@SophiaKamgunda2 күн бұрын
Mama Hongera sana Mama nikinga na anajuwa kiundani
@omaryrjohn652 күн бұрын
Karibu Mbeya ndiyo kaulimbiuyetu
@rachelndaki56422 күн бұрын
Kwani chui ni nani jmn ila mama huyo Mashallah kiukweli umekuwa mzazi mwenye maono ya mbeleni nahii mambo ya frmason vijana weng Tz wanajiuga bila kuzingtia mashalit ndo wanamaliz familia 😭😭
@AllyMAlly-cr6uw2 күн бұрын
Rayvan
@kondeboishukuru3 күн бұрын
Vijana tutafute pesa za alali jameni
@paskaziasholla74712 күн бұрын
Eti jamani ili familia ifurahie maendeleo yenu
@AmosBPeter2 күн бұрын
Dah hadi manager amekiri kuwa jamaa haeleweki japo yupo nae karibu basi kuna changamoto
@Happizo2 күн бұрын
Mimi ndio huyu mama....siwezi pokea mali za mwisho wake Ni ubaya😊
@ShadrackShadrackison2 күн бұрын
Huyo sio mama ake ray waongo wanatafita kkk haoo
@machakuroger70682 күн бұрын
Ndie
@RidhiwaniMrisho2 күн бұрын
Ww unamjua kama unamjua mpost tumjue
@ShadrackShadrackison2 күн бұрын
@RidhiwaniMrisho me najua ndio
@UmayyaMunisi3 күн бұрын
Mama hongera sana
@SaraphinaJaphet-y9e18 сағат бұрын
Mama hogera sana umesimama kwenye ukweli
@jaydenbedas57293 күн бұрын
Pesa za chui, chief godlove hazijanyooka konakona nyingi ndo maana familia inayeyaa
@Yana_queen12 күн бұрын
Pesa za macelebrities wote yn wotee sio za kawaida (Kongole kwa mama)
@EGM-TZ2 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians ukifuatilia kwa makini kadri mambo haya yanavyoenda na Comment za wadau hapa utagundua kuwa EGM Hatuna lolote la ku-comment but Enjoy the Beautiful Music from EGM
@alimatambwe34023 күн бұрын
Mama ana msimamo.
@SUMAIYAFILAM2 күн бұрын
Hivi nyinyi mnahakili vizuri
@JansanMokiwaКүн бұрын
Jamaaa kazingua 😂😂
@LilyKoba-wx2pj3 күн бұрын
Tajili chui pesa zake sio za alali kwasababu mziki wake sio pendwa ata kidogo sasa utajil kaupata wapi
@NadsmaaliAli2 күн бұрын
Kwa hiyo mam nikuulize ni gari peke yake utaki na pesa zake watumia ama pia uwa wazikataa..Ebu twambie mama
@dorisNyanda3 күн бұрын
Sasa diamond hapo ameingiaje.mijitu mingine kufatilia watu TU.
@TunauzaSimu-fn2ff2 күн бұрын
Ni mpango. C kweli!
@AwaziRajabКүн бұрын
Naludia Tena Kama Hi Sio Kiki Kweli Basi Msanii Amekua Kwenye Chama Cha Utamu Kunoga Kama.Sio Kiki Hi Mana Siku Izi Mama Wa Bandia Wengi Kuliko Mama Wa Kweli
@SUMAIYAFILAM2 күн бұрын
Huyo mama ni msenge tu hajielewi
@elesianakabuje5832Күн бұрын
Ubebe mimba miez9 changanya uchungu duuh! Afu uje umseme mwanao vibaya Tena kwa mitandao mmh hapana....!uyu mama anasiri kubwa mnoo..na ipo siku akichoka atafunguka.
@SadamSarita-t7z3 күн бұрын
Gar yenyewe sio mpya
@AllanKalu-y3u2 күн бұрын
Wewe ni mama muzuri angekuwa mwegine angejigaragaza
@awenamalendo73782 күн бұрын
Jamaniiii kwenye ukucha hamna upele
@imranbasy4022Күн бұрын
Mama ameongea, manager amewa Rubber Stamp. Kisha mwanae kakiri uchawi upo ila hauwezi kumfanya mama lolote. Haya... Mimi siongezi wala sipunguzi.
@mariakalama3014Күн бұрын
Mwache mama huyo hana akili kabisa anafikiria ujinga na yeye ndiye mchawi
@TambweByamungu2 күн бұрын
Kweli sana mama yangu
@MosamMchulu2 күн бұрын
Kama mamayangu vile daaah vilevile
@IreneTairoКүн бұрын
Mama hujakosea ila ungemuongelea mwanao tuu na siyo mtoto wa mtu kama diamond ulivyomtaja
@Swahili.pictures2 күн бұрын
Inauma sana
@IsmailNsengiyumvaa2 күн бұрын
Safi cana mama
@JasminMuhq2 күн бұрын
Wamama wengine jau2 asioosaidiwa naneno akisaidiwa anasema freemoasn😏😏
@Dafatma.112 күн бұрын
Nikweli kabisa mama
@HhNn-f5s2 күн бұрын
Pole mama
@namsifubwana21522 күн бұрын
Huyu mama nimempenda bure. Aangalie tu asitolewe kafara
@suleimanmohd.7197Күн бұрын
Huyo tajiri chui ni masikini tu hana hela ni mipango yenu
@MauaKayombo2 күн бұрын
Mama we na imagine yako
@mariakalama3014Күн бұрын
Mtoto kapambana na mziki acha maneno ya mtaani na mtandao
@AishaZuber-z6gКүн бұрын
Chui ndo nan et jaman nauliza😢😢
@ShadyWhite-y1j8 сағат бұрын
Anajiita tajiri chui
@Majhidymhessa3 күн бұрын
Mmmh hii ni hatari sana kwa kweli. Hatua tulipofikia inatisha sana tena sana
@aishafrancis77143 күн бұрын
Tungepata wamama kama hawa 20 watoto wetu wangeacha kitonga na wangejituma kwenye utafutaji wa halali.
@Omar-y1s9bКүн бұрын
uu mchezo WA kuigiza wanatafuta umaarufu ni timing nzuri ya kujibusti umaarufu na na hao waleta gar hawawez toa Siri za bosi wao j4 hafanyinkazi km ni serious!!!!!?