MAMA WEMA AMETEMA NYONGO KWENYE BIRTHDAY PARTY YA WEMA, JE MAMA ALIKUWA SAWA KUMSEMA MBELE YA WATU?

  Рет қаралды 38,742

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

9 ай бұрын

CLOUDS DIGITAL INAKUSOGEZEA INFO ZOTE ZA YALIYO JIRI KWA WEMA

Пікірлер: 57
@MaryMmole-en9qz
@MaryMmole-en9qz 9 ай бұрын
Mama anaogopa kwa mungu atakuja kudaiwa hongera mama
@user-md8op2rv7i
@user-md8op2rv7i 9 ай бұрын
Inawezekana kamkataza sana private, hasikii. Isitoshe labda kaona watu wanazani anafurahia anayofanya mwanawe wanadhani amuonyi, kaona watu wajue kuwa afurahii hizo vitu
@aminaayan3460
@aminaayan3460 9 ай бұрын
Uyu mama anaumia sana tena sana ..acha aseme tu
@user-ef1pg5jp6r
@user-ef1pg5jp6r 7 ай бұрын
Kama ni kweli wema amekosea sana ila mama nae amekosea zaidi kumsema mwanae hadharani.hivi jamani yeye ni mama na yule ni mtoto alaumiwe nani?kama alimshindwa kuna ngazi za kufuata.ameshachelewa.hiyo sio dawa ni kujizalilisha tu.malezi yahusika asilimia fulani.pole mama
@pierreh255
@pierreh255 9 ай бұрын
Mtu wa media anaonywa kweny media pia ... Mama Yuko sawah
@user-vt7kl8dz3o
@user-vt7kl8dz3o 6 ай бұрын
Tunaweza sema mama wema kakosea kusema hvo mbele za watu lkn anaweza kua sawa pengne huwa anamwambia lkn wema hasikii ndo maan kasema tuwaheshim wazaz
@mwanamgenimwamzandi1941
@mwanamgenimwamzandi1941 9 ай бұрын
Amemfanya kisiri hakukskia hakaamua kumuanika mana haskii, the woman is very correct we r leaving our African culture kwa uzungu huu ambao hauna maadili mema. Good mamaa..
@user-fb9nh4fq6n
@user-fb9nh4fq6n 9 ай бұрын
Saafi mama mwisho watu waseme mamake hamfunzi kumbe mtoto ndo Hana mipaka
@yonamakeleleilenge2545
@yonamakeleleilenge2545 9 ай бұрын
Mama una ogeya vizuri Sana kweli
@user-ym6ts2tb1i
@user-ym6ts2tb1i 5 ай бұрын
Ajakosea ata sekunde mama anaumia Sana mistake sofa awa wazazi wanaumia
@salhashaban9346
@salhashaban9346 9 ай бұрын
Me cjapenda bhana huyu mama anazeeka vibaya ilibidi amwambie wakiwa wenyewe
@alphablondponera2367
@alphablondponera2367 9 ай бұрын
Mama yupo sahihi Sana kama una akili utaelews
@Byeragordian3572
@Byeragordian3572 9 ай бұрын
Great woman❤
@nelsonngowi3950
@nelsonngowi3950 6 ай бұрын
Inaonyesha Huyu mama Ana machungu sana. Tabia za mwanae zinamkera. Ukimsikiliza mwanzo utagundua aliahaongea nae mengi kabla ila hajamsikia. Ndio maana kacheulia sebulen.
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 7 ай бұрын
Mamake hizi za uso hizi Ko wema kapigwa oya inaelekea kaambiw mara nyingi mhun wema kapuuza mama nenda kwa aman huna den
@janesuma-is4wc
@janesuma-is4wc 9 ай бұрын
Sawa kama mzazi kaongea vema ila kiukweli kakosea alipaswa kuita wazee na kuyaongea sio kwa namna hiyo hatakama hamsikilizi kwani kumsema hapo ndio atabadilika wazazi acheni kuzalilisha watoto wenu hadharani
@soniangure5256
@soniangure5256 9 ай бұрын
I agree ,this is just toxicity of the highest level .
@mjoko_96
@mjoko_96 9 ай бұрын
na wakuseme tena wakusem na bado munaishi maixh ya ovyoo xana tena wew ni wa mfano wape habr majiran zako,,,, nitumi3 namba ya mama nimpe kongole
@wawerulucy7885
@wawerulucy7885 9 ай бұрын
Heshima kwa mama
@damsonshania6863
@damsonshania6863 9 ай бұрын
Eeeh munguuuu.... Kesho nikanunue kanga😂😂😂😂😂
@marthahussein3850
@marthahussein3850 9 ай бұрын
Kasema kwa niaba ya mama wengine huwa hatusikii kabisaa tukisemwa na wazaz wetu sio peke yake ambae Hana khanga mabinti wengi siku hiz wana khanga
@dasadremandad9208
@dasadremandad9208 9 ай бұрын
Punguzeni uzungu tanzania ni nchi ambayo yenye maadili yake ata sisi ambao sio wantanzania tunalijuwa hilo from moçambique
@Haika28
@Haika28 9 ай бұрын
Safi sana mama
@mamertarweyemamu3438
@mamertarweyemamu3438 9 ай бұрын
Wema Ana matatizo kichwani. Yote anayofanyaga Ni abnomal
@julianapeason6254
@julianapeason6254 13 күн бұрын
brazia hajavaa chupi hajavaa jamani shetani ana tuzo yake mbingunu kila mwaka maana kwenye kitengo chake ana A za mfululizo
@user-op7zl7fo1r
@user-op7zl7fo1r 9 ай бұрын
Tuache haya yote kwan clouds uyu mtangazaj wa kisaut kama ich kwel 😢
@lindahjoseph8360
@lindahjoseph8360 9 ай бұрын
Hahahaaaa sijapentaaaa
@EJIDIJASSON-in2gt
@EJIDIJASSON-in2gt 8 ай бұрын
Yeah!msimamo mama unao
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 9 ай бұрын
Mtu mzima kabisa huyo anakosaje kanga jamani. Ila mjomba nae jamani kaharibu shughuli.🤣🤣🤣🤣🤣
@aminakibunde5296
@aminakibunde5296 9 ай бұрын
Maumivu ni makali mno wazazi tunaumia saana mtoto anapokiuka
@zahrakassim6407
@zahrakassim6407 9 ай бұрын
Mbn sijaona baya aliloongea mama wema
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 9 ай бұрын
Anatafuta kiki tu huu mama
@jumahamis5758
@jumahamis5758 9 ай бұрын
nice point mama
@pendokabanga8580
@pendokabanga8580 9 ай бұрын
Uwiiii sina khanga
@priscaluvinga5197
@priscaluvinga5197 9 ай бұрын
Ni huzuni kwa kweri,wazazi waheshimiwe tu jamani
@tatumakadara5793
@tatumakadara5793 8 ай бұрын
Alipomsema hapo ni bora kwani cku zote analaumiwa mama yake kwa anayoyafanya mama manunu
@damsonshania6863
@damsonshania6863 9 ай бұрын
Mjomba ameyatimba😂😂😂😂
@maryamalrayami1513
@maryamalrayami1513 9 ай бұрын
Good 👍
@paulinajoseph
@paulinajoseph 9 ай бұрын
Mama yuko sahihi......anaumia aki
@noelkyando9490
@noelkyando9490 9 ай бұрын
Safi sana
@tonneymadeit3369
@tonneymadeit3369 9 ай бұрын
👏👏👏👏👏
@vibetz9991
@vibetz9991 9 ай бұрын
Mama Oyeee😂
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 9 ай бұрын
huyu mama hajaongea vibaya kwani kuongea mbele ya midia kamuonya mwanae na wengine wajifinze.mzazi hakosei
@mariamkiharo6345
@mariamkiharo6345 9 ай бұрын
Hata wema ni wa media sana acha aonywe through media labda ndo ataelewa😂😂😂 kongoke kwa mama
@gaspernyiti2253
@gaspernyiti2253 9 ай бұрын
Na nyie mko sawa ku post mambo yao kwenye channel yenu
@dasadremandad9208
@dasadremandad9208 9 ай бұрын
Huyu mama apewe ua lake
@lomnyakinaijorie7365
@lomnyakinaijorie7365 9 ай бұрын
Mama ni mwafrika hataki ufala
@julianapeason6254
@julianapeason6254 13 күн бұрын
hivi luludiva kavaa chupi kweli??
@Golden2025Circle-fg3bt
@Golden2025Circle-fg3bt 9 ай бұрын
Kumbe kanga za muhimu😂😂😂
@madammbago9787
@madammbago9787 9 ай бұрын
Mtangzaj una boa ach watu waongee tutaskia htutak kuelezewa
@sagboison6297
@sagboison6297 9 ай бұрын
Lulu diva hiyo nguo vipi uishone mwenyewe Tena uone aibu mwenyewe
@mwanaharusimatata8721
@mwanaharusimatata8721 8 ай бұрын
Akujua kama kutakuwa na aibu😅😅😅
@miriamowenya1928
@miriamowenya1928 9 ай бұрын
Huyu mama maetema.nyongo
@user-xg9kg8dv2u
@user-xg9kg8dv2u 9 ай бұрын
Mama nime mwelewa san
@Princewaweru
@Princewaweru 9 ай бұрын
Unapigia mbuzi gitaa
@user-gz6it6ef9c
@user-gz6it6ef9c 9 ай бұрын
Nani kamuona mjomba
@lucytoroitich3881
@lucytoroitich3881 9 ай бұрын
Mjomba kapewa nguvu this is embarrassing
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 83 МЛН
I CAN’T BELIEVE I LOST 😱
00:46
Topper Guild
Рет қаралды 76 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 4,7 МЛН
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 21 МЛН
Cook with Wema Sepetu S03E08 Whozu & Tunda
8:10
Wema Sepetu
Рет қаралды 682 М.
Достали существо из под земли
0:29
RICARDO
Рет қаралды 1,5 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
0:15
Jojo Sim
Рет қаралды 8 МЛН
Khi em gái tôi đắp mặt nạ || Mask of joy #shorts
0:11
Linh Nhi Shorts
Рет қаралды 4,7 МЛН