Рет қаралды 2,572
Karibuni kuangalia video hii kuhusu AU PAIR NORWAY. Kwa wale mtakaopenda kujua zaidi jinsi ta kuja, karibuni kwenye group la whatsapp number +47 973 73 407. Usije kabla hujaangalia video keani sitakuwa ba MUDA WA kukuelekeza tena kuhusu yaliyopo kwenye video. Nitakuelekeza TU jinsi YA kupata familia sasa. Ukiniuliza swali lolote ambalo nimeliongelea kwenye video tayari, sitakusaidia kabisa. KARIBU SANA❤️