So informative, thank you dada for sharing this, i know this very video will change someones life! will share this sis
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
That’s for sure baby sis❤️. Thanks😘
@festusnakadinakinyi22262 жыл бұрын
I love it 💓💓 good teacher
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Thanks🥰
@godwinaxwesso8726 Жыл бұрын
Hello Dada habari za Norway, asante sana kwa good news, kuhusu vyuo ninaye mdogo wako amemaliza kidato cha nne na ndoto zake anatafuta vocational school kusomea mechanical engineering
@azizaally66502 жыл бұрын
Asantee dear kwa kujitia, je naweza pata namba yako kwa maelezo zaidi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Maelezo gani? Maana yote yapo kwenye videos. Kama uko na swali uliza hapa kwa faida ya wengine. Barikiwa sana.
@jeanberchmansnsabimana21442 жыл бұрын
Thanks sana my sister. Ila unginisaidiya sana application links za izo university tatu zamwisho. I want to go for master's program. Na pesa inaombwa ningapi ili mutu apokelewe, na hiyo pesa wanakurudisha ukisha fika eko kisha unasoma for free? And I'm from Burundi.
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Google them. Kuhusu pesa Angalia video ya mahitaji ya elimu Norway.
@jacksonykaduma72213 жыл бұрын
We love u
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Love my Tanzanian people back❤️
@festusnakadinakinyi22262 жыл бұрын
Kama Mimi mkenya ni kiazi gani ya pesa ambayo inaitajika Mimi niwe Nayo,,alav pia nauli ya ndege ni ngapi?
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Unatakiwa kuwa na 1.610.400 hii ni proof fund tu yenye itakakinana kutuma huku kwenye account ya chuo. Hii utarudishiwa baada ya kupata visa. Mahitaji mengine ni Visa fee, application fee na usafiri. Bei za ndege zinatofautiana kutokana na shirika la ndege na which time of the year utasafiri
@festusnakadinakinyi22262 жыл бұрын
Tafadhali dadangu nisaidie na nambari ya simu
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Uliza hapa kwa faida YA wengine
@patriciakamugisha22943 жыл бұрын
Dorothy mdogo wangu mm nimekwama kwenye vyuo vitatu vya mwisho sioni link ya applications kwa ajili ya degree in English and scholership vile vitatu vyenye unaweza apply twice a year. Please assist. Asante sana sanaa
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Nakutumia link messenger
@mimiummie3 жыл бұрын
🤸🤸🤸🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 eti Ni D kushuja chini
@Keke_mrs_feeling2 жыл бұрын
Dada samahan naomba nisaidie namba yako ya whatsapp
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Naomba uulize swali hapa plz kwa faida ya wengine jomoniii🥰🥰🥰
@Keke_mrs_feeling2 жыл бұрын
Dada naomba unisaidie kupata kazi uko mimi naitwa zarina nipo tz ninamiaka 20
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
www.energyaupair.no www.workaway.com Kila la heri
@jacksonykaduma72213 жыл бұрын
Ni umasikinu tu lkn tunataman kufika mbali kielimu
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Nakuelewa sana. Hali ni ngumu kila mahali
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Karibu sana😻
@jonakahi982 жыл бұрын
Asante Sana kwa video hii sasa kuhusu scholarship hii inahudumu fees zote?
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Elimu ni bure Ila utahitaji mahitaji mengine yote juu yako
@anolddenismushi32652 жыл бұрын
My sister I wish one day to study in Norway na nafahamu hakuna kilipa Ada..Mimi najikisanya mpaka mwez December nitakuwa na tsh 20 millions...je nitaweza kuja Norway kusoma na kuhimili maisha ya uko..maana elimu n bure how about kujikimu kimaisha..maana nimeambiwa ni lazma uwe na account bank yenye dollar Zaid 15000..ndo uruhusiwe kusoma apo..is that real my sister..plz help us🙏🏽
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
Unatakiwa kuwa na 32mil kama garantee money ambayo ni ya kwako. Hawatachukua hata mia hapo.
@anolddenismushi32652 жыл бұрын
@@theopportunitygiver Hamna kitu kingine kinasumbua dada yangu ukiacha kuwa na that amount of money
@theopportunitygiver2 жыл бұрын
@@anolddenismushi3265 Hamna kbs. Hapo kwenye pesa ndio inakuwaga changamoto tu kwa wengi🥲
@fortunathakawiani74423 жыл бұрын
Thank you for the information dada
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Karibu sana😘
@ramadhantahila91313 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
😻😻😻
@yullyishengoma11403 жыл бұрын
🙏🙏naomba kuuliza hivyo vyuo vyote 10 tuition fees na accomodation ni free au ni tuition fees tuu
@theopportunitygiver3 жыл бұрын
Ni tuition fee tu. Vingine ni juu yako. Na ndio mana wanataka garantee money kuonyesha kuwa utaweza kujitegemea baada ya kupata nafasi ya masomo.