MAMBO 5 MAKUBWA : UWANJA WA NDEGE MPYA WA JULIUS NYERERE "TUNAPAMBANA KUWASHINDA MAJIRANI ZETU"

  Рет қаралды 9,092

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 4 жыл бұрын
Kweli kabisa dada.. Hapo umenena.. Watz lazima sasa tujidai.. Huu uwanja ungekuwa unaliwa ningesema ni keki taamu sana sana sana... Uwanja unameremeta... Sasa natamani kuuona utakao jengwa Dodoma na mzee wetu Magufuli
@johnmlay4759
@johnmlay4759 4 жыл бұрын
Kwa kweli yajayo yanafurahisha tuzidi kuomba uzima tuishi miaka mingi kwani tutashuhudia mengi mazuli, nimeona pic zake kweli na wadodoma nao utakuwa 🔥🔥🔥🔥🔥 Mola azidi kumlinda kiongoz wetu azidi kuwa mzalendo wa nchi yetu na viongozi wote na watz kwa ujumla tupendane na tuwe wazalendo wa nchi yetu tupende maendeleo ya nchi yetu, Mungu ibariki nchi yetu Mungu ibariki Africa amen.
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 4 жыл бұрын
Millard Ayo ningependa kujua utaratibuwa namna ya kuupigia kura uwanja wetu wa Ndege kama uwanja bora Afrika
@ruphysambaya3288
@ruphysambaya3288 4 жыл бұрын
hongera mama angu kwakujitahidi leo sauti imekaa poa
@kakawamashariki8978
@kakawamashariki8978 4 жыл бұрын
Nimependa sana hiyo Sanaa ya picha ya wanyama kuwepo hapo uwanjani nikiwa mdau wa utalii,Sanaa na mazingira.
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Kuna vitengo vingapi hpo uwanjani oooooooh ooooooh jibu moja kwa moja vipo kumi basi tatizo nini sasa unazunguka
@romadanromadan4398
@romadanromadan4398 4 жыл бұрын
MUBARIKIWE na RAISI mutupe na Sisi kenya🇰🇪🇰🇪
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1
@sofiashaban6089
@sofiashaban6089 4 жыл бұрын
Huyu dada ni mkenya anaogopa kuongea kiswahili cha kenya. Kwaiyo anajichunga aende sawa
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
Hahaaa kumbe umegundua iloo hahaaaa, yeah ni mkenya Kamilii hyuu
@papafranco7506
@papafranco7506 4 жыл бұрын
❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@pauldaniel5685
@pauldaniel5685 4 жыл бұрын
Dada haujielewi unaulizwa swali jibu swali
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Umeona eeeeeeh
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 4 жыл бұрын
Huyo dada no mkenya 🤣🤣
@kheirmbarouk8373
@kheirmbarouk8373 4 жыл бұрын
majirani wapi ao mliokusudia nyinyi
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
Kenya
@HASASON
@HASASON 4 жыл бұрын
Kwanini mnaajiri wakenya wakati watanzania wenye vigezo wapo wengi na hawana ajira?
@triplea3463
@triplea3463 4 жыл бұрын
Huyu dada ndo mkenya au
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 4 жыл бұрын
Waafrica ni wamoja.
@triplea3463
@triplea3463 4 жыл бұрын
@@beaugosseadam6831 hio sio sababu Mana sijawahi sikia MTz anafanya kazi JKIA
@triplea3463
@triplea3463 4 жыл бұрын
Ila huyu dada ni MTz sio mkenya anakaribiana tu ila sio mkenya nimefatilia vizuri hasa lafudhi yake
@magorymara5515
@magorymara5515 4 жыл бұрын
Hii comment yako imekaa kipumba zaid mambo ya kazi hayanaga hizo ni vigezo tu ndo vinakupa kazi somesha watoto usituletee habari
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 жыл бұрын
Wangeri we mkenya au?
@karyori69
@karyori69 4 жыл бұрын
Aisee kama upo kichwani mwangu!
@godblessjrtz.8652
@godblessjrtz.8652 4 жыл бұрын
Ni mtanzania coz kuna kabila la wajaluo Tanzania
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
Yeah ni mkenya hyuu tena Original na sio mjaluoo wala ninii,
@polycarpmicky4151
@polycarpmicky4151 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri kzbin.info/www/bejne/i4jFpqOmgMSjbZo
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 58 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 125 МЛН
UNACHOTAKIWA KUFANYA UKIPANDA NDEGE
5:20
Wasafi Media
Рет қаралды 4,1 М.
Why the U.S. Is Reviving a Remote Island Airfield Used in Atomic Bombings | WSJ
6:55
SABABU ZA VIJANA KUPENDA MISHANGAZI HIZI HAPA
7:57
Wasafi Media
Рет қаралды 553
LIVE: RC CHALAMILA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU DAR ES SALAAM
17:09
JIONEE: ULIPOFIKIA UJENZI WA JENGO JIPYA AIRPORT DAR ( TERMINAL 3)
14:39
KERO ZA JULIUS NYERERE AIRPORT na @EllyDavid  #zanzibar
17:32
Witness Vlog
Рет қаралды 5 М.