Habari. Nikuombe usubscribe ili usipitwe Angalia video ya namna ya kuchek in kwa kutumia mashine kzbin.info/www/bejne/rp3EnJiQZcmLrLc
@silvanfelicianmvungi271 Жыл бұрын
@witnessvlog kwhy bila cheti cha covid hauwez kusafiri?na je!unaruhusiw kupanda na vyakula kwa ajili ya kula ndan ya ndege?
@Witnessvlog Жыл бұрын
@@silvanfelicianmvungi271 Sasa hivi unaruhisiwa kusafiri bila cheti cha Covid. Sio lazima tena na muhimu tena. Snacks unabeba
@happyelias3225 Жыл бұрын
Sorry madam mm naomba nipate no Yako for private questions
@Witnessvlog Жыл бұрын
Nitafute facebook @witness vlog
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Habari wapendwa, asante sana kwa kuchukua muda wako kwa kuangalia video hii. Naomba sapoti yako kwa kusubcribe, nimegundua watu wengi wana angalia video na wanasahau kusubcribe. Kusubcribe kwako kutanipa nguvu zaidi ya kutengeneza video nyingi. Asante sana
@salumally27342 жыл бұрын
Dada witness
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Habari kaka
@salumally27342 жыл бұрын
Salama tuu
@salumally27342 жыл бұрын
sorry nilikua naomba kuuliza
@salumally27342 жыл бұрын
Nataka ku visit Dubai kwa 1 month visa..... Mwezi huu mwishon na nimeshakata ticket online kwny kampun ya Emirates ila nimekata ticket ya one way je naweza kuzuiliwa safari kama ticket yangu haina return date??
@ahazimzebo9086 Жыл бұрын
Hongera
@jumaswalehe9072 жыл бұрын
Nimependa
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Asante sana kaka
@halimaally2311 ай бұрын
Siku nikisafiri sina haja yakuuliza mtu mana maelezo yamejitosheleza kabisa
@yohanasiminzile2096 Жыл бұрын
Obeja sana mayu umenikumbusaha safari za masafa marefu ubarikiwe sana sana👍
@Witnessvlog Жыл бұрын
Karibu sana
@Simply_ammy Жыл бұрын
Thank you Witness for the nice and detailed video ❤
@Witnessvlog Жыл бұрын
Your welcome. Thank you for watching
@georgerapemo18122 жыл бұрын
Extremely informative
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Glad you liked it
@ausonjeremiah62462 жыл бұрын
Asante sana Be blessed nimejifunza kitu kwakweli
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Thank you. Nafurahi kusikia hivo
@marymboje24862 жыл бұрын
Thank you witty🥰🙏
@Witnessvlog2 жыл бұрын
My pleasure dear, i hope you liked it
@marymboje24862 жыл бұрын
@@Witnessvlog yeah nmeipenda sis na nmejifunza
@vitymteysemere4777 Жыл бұрын
Hongera sana dada umenifurahisha
@Witnessvlog Жыл бұрын
Asante sana mpendwa. Naomba sapoti kwa kusubscribe.
@moana49872 жыл бұрын
Unaongea vizuri na nimekuelewa mno,hongera mpz
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Asante sana sana dear, usisahau kusubscribe
@moana49872 жыл бұрын
Nimeshafanya ivo mumy
@rosemery3017 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🙌 witness bhana eti maembe jmni ila poa tu hakuna kilichoharibika sis we love you😘
@Witnessvlog Жыл бұрын
😀😀😀😀Yani nabebaga vitu haswaa. Love you
@luciajulius6274 Жыл бұрын
Dear God on day its me and soon i will be in airplain 🙏🙏
@Witnessvlog Жыл бұрын
Amen. Dreams do come true Hang on there
@Swedishmumy Жыл бұрын
Nilikuwa sijaona Hii video Daa wit Ukaamua kubeba na maende 😂😂 ila maisha ya Nje ya nchi uwa tunamis Vitu vya Nyumban Jaman Mimi nakumbuka first Day nasafir nilikuwa napenda grand malt san nimebeba carton nzima viungo vyote nilibeba, unga wa muogo 😂😂 Afu sasa Kilo zikazid walichukua vitu vingi ( Nivea, izi zilizid mil 100 perfume ) malta na vingine. Yan ach tu. Moving out of Your Confort zone Una experince vitu Mingi
@Witnessvlog Жыл бұрын
😂😂😂😂eeh cartoon zima lazima vizidi kwakweli. Siku hizi mimi napata exta luggage kwasabab ni member wa KLM. Acha tu nilivofika huku this time moyo una waka nataka Mirinda nyeusi😂. Utaipata wapi? Ni kazi sana
@Swedishmumy Жыл бұрын
@@Witnessvlog hahaha Afu sasa vitu bei uwa kuna watu wanauz bidhaa za nyumban dagaa, Mlenda unakaushwa ila bei yake Mhh ukiwa huku Utakula First Food Paka ukome.
Hv mtu akikusindikiza Anaweza kwenda had waiting area au mwisho wake ni hapo chin?
@Witnessvlog2 ай бұрын
Hawezi enda waiting area.
@ghaosalsalum Жыл бұрын
Kama computer ipo kwenye begi jee na ushapeki? Lazima uitoe
@Witnessvlog Жыл бұрын
Eeh lazima uitoe for checking in
@ghaosalsalum Жыл бұрын
Mana nlitaka nikujakuondoka nitie mpaka masufuria vijiko
@Witnessvlog Жыл бұрын
@ghaosalsalum 😂😂😂😂😂😂alooooo
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Wengine washamba sie
@halimaally23 Жыл бұрын
Miongoni mwa video zilizonishawishi ku subscribe this channel ni hii naipendaga sana xichoki kuangalia
@Witnessvlog Жыл бұрын
Thank you sweetheart
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
😂😂😂 eeeh adi dagaaaa kweli tumetoka mbali😂😂😂
@Witnessvlog Жыл бұрын
😂😂😂sana yaniii
@dorismjema80062 жыл бұрын
Sitakua mshamba ,when time comes.Thank you Witness ila hapo kwenye kupunguza vitu umewaza maembe yako,na dagaa huwezi acha
@Witnessvlog2 жыл бұрын
No you will manage, kabisa shoo niliona niache maembe
@dorismjema80062 жыл бұрын
@@Witnessvlog hahaha
@RonnieBertin28 күн бұрын
Mbona misafara mingi chukua Emirates mpaka Dubai mpaka hapo unapoishi very simple au Qatar airways
@Witnessvlog28 күн бұрын
Still bado nitaunganisha hata nikichukua hizo ndege. In fact Napenda kuunganisha kupitia nchi za ulaya kwasababu visa inaniruhusu kutoka nje ya uwanja na kutembea nchi kuliko huko Dubai ambapo nitahitaji visa nyingine
@RonnieBertin28 күн бұрын
Sio boot dada yangu ni cargo
@Witnessvlog28 күн бұрын
🤗Asante sana kwa kunisahihisha.
@halimaally23 Жыл бұрын
Nilichoshindwa nikuizoe hii video kila siku naona ni mpya kwangu
@Witnessvlog Жыл бұрын
🤣🤣🤣lol
@ghaosalsalum Жыл бұрын
Da witty uje uandae video inayoonesha jinsi ya kuomba ticket ya ndege kwenye google flight naona inachanganya sana.
@Witnessvlog Жыл бұрын
Sawa i will do that
@mariamdimosso621 Жыл бұрын
Unga wa ngano mzuri nunua kwenye maduka ya Watailand
@Witnessvlog Жыл бұрын
Asante sana nitafanya hivo dear
@halimaally23 Жыл бұрын
Usisahau kuturecodia Amsterdam Airport
@Witnessvlog Жыл бұрын
☺️Sawa
@halimaally23 Жыл бұрын
@@Witnessvlog usinichoke na haka kavidio nakapenda sana
@moshirajabu51482 жыл бұрын
tupo pamoja dada
@Witnessvlog2 жыл бұрын
Asante sana kaka yangu
@moshirajabu51482 жыл бұрын
@@Witnessvlog poa
@zyagimstafa2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jasiri aachi Asili..nimecheka sana asee
@Witnessvlog2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂acha tu ndugu yangu
@SharifuBakari-w4o10 ай бұрын
Vp kama una mzgo wa laptop na cm utahitaj kulipa pesa kutoa pesa?
@Witnessvlog10 ай бұрын
Sijui
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Lete video kama hzi kama sstr witness
@Witnessvlog Жыл бұрын
I will bro. I am glad you liked it
@halimaally23 Жыл бұрын
Bora nijikumbushie tu mana dalili ya video mpya siioni hiyo likizo naiiishe jamani
@Witnessvlog Жыл бұрын
I love you Halima. Your support is higly appreciated.
@camillahamis1069 Жыл бұрын
Sasa hyo mizigo unaacha tu hapohapo wanakwambia au 🤣🤣
@Witnessvlog Жыл бұрын
Hapana kwakweli😂.Nilienda na ndugu yangu alirudi nayo nyumbani
@camillahamis1069 Жыл бұрын
Kumbe muha Kama mie
@Witnessvlog Жыл бұрын
Ndio ndio wachu. Gute?
@camillahamis1069 Жыл бұрын
Dada hapo kwenye kuacha mabegi ndio umeniacha njia panda🤣🤣🤣🤣
@Witnessvlog Жыл бұрын
😂😂Hawakua na huruma nilipunguza vitu ilibidi
@camillahamis1069 Жыл бұрын
@@Witnessvlog baada ya week 2 naenda Denmark yani sijawahi kusafir kwenda nnje me naona ntachekesha watu aki hapo , naomba kujua tu pale ukishapima mabegi nmeelewa Sasa mabegi unaacha hapohapo au unatoka nalo kupanda nalo Hadi katika lifti kwenda juu au
@camillahamis1069 Жыл бұрын
Yani ukipima mabegi na ushachukua ticket yako begi unaliacha katika mashine ya kupimia na mm naenda kupanda lift kwenda juu au
@camillahamis1069 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka na dagaa juu muha wewe hapana
@Witnessvlog Жыл бұрын
😂😂Acha mwenzangu na zimeisha wiki iliyopita mnitumie tena😂. Vyakula huku vina boa kidogo. Angalau unabeba vya home vikusukume
@herrielymahir2493 Жыл бұрын
Mwanza dar nauli shngp???
@Witnessvlog Жыл бұрын
Inategemeana na ndege na muda wa kukata ticket. Tembelea website ya airtanzania na Precision kwa maelezo zaid
@herrielymahir2493 Жыл бұрын
Ohh ok but VP kuhusu Kwa tusiona NIDA usafiri wa mikoani pia mpaka niwe na NIDA???
@halimaally23 Жыл бұрын
Hapo kwenye kupunguza maembe jamani huwa nacheka sana , ila ulichoka maskini
@Witnessvlog Жыл бұрын
🤣🤣Hii video umeingalia mara nyingi sana. Sana yani nilifika na embe chache sana
@halimaally23 Жыл бұрын
@@Witnessvlog naipenda sana halafu hata siichoki
@Witnessvlog Жыл бұрын
Aw😍
@bigboys016 Жыл бұрын
Waletwaye ni ndagala,yani wewe hahaha ulitisha sana