Mashaallah jazakallah khair,Allah akuzidishie baraka nying akujalie mwisho mwema,pia wanawake tujitahd kutekeleza alotuhusia ,,pepo ya Allah kuiingia ni rahisi sana,
@abdulsamadhassanali4003 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Allah akuhifadhi nakila Shari AKuzidishie klima zakheir akukinge na kila Shari
Napenda sana sheh kishiki mungu akupe zaidi yahiyo akuongoze kwakila jambo
@icecream26843 жыл бұрын
Allah tunakuomba tufanye kuwa ni miongoni mwa wanawake wema katika hao wanaoelezwa na shekhe wetu
@user-he2yw2il7d5 ай бұрын
Inshaallah mungu atujalie wepes na imani telee nakupenda shekhe wangu ila liniutakuja na mukoa wetu wa kondoa Inshaallah Shukurani kwa mafuzo mwema Allah azidi kukupa wepesi muzndi kutuelimisha mashekhe wetu woteee alahuma ameen wabila twafkh A alaykum waramatulah wabarakatuy
@halimaidd45393 жыл бұрын
Mungu akulipe shehe wetu
@jamilanassoro84082 жыл бұрын
Jazzakkallah kheir,Allah akujaze kheir sheikh wetu na atujalie masikio yenye kusikia tuyaepuke mabaya tuambatane na mema.Aamiin
@quteynajma8153 жыл бұрын
Allah atuongoze tuwe miongoni mwa waja wake wema Yaa Rab
@halimakalinga77643 жыл бұрын
Alaahumma Amiin
@asmahassan56619 ай бұрын
Ameen
@zenaabdallah37972 жыл бұрын
SUBHANNALLAH ALLAH ATUJAALI TUWE MIONGONI MWA WATAKAO INGIA PEPONI ALLAHUMA AMEEN