Thanks kwa kunitia moyo na mimi Siku moja nitakuwa Kama wewe kusimama mbele za watu kufundisha jamii kuwa kujiajiri Ndio fulsa na wasomi tujifunze kujiajiri, Mimi pia nimejiajiri pamoja na elimu yangu na Nina ndoto kubwa kuja kunfanyia Tanzania yangu mabadiliko.
@salmambogo24945 жыл бұрын
Mimi ningepata nafasi ningeomba nikutane na wewe ,ili nizidi kujifunza mengi zaidi tunatamani kupata marafiki Wa namna hii lakini inakuwa ni vigumu kukutana nao,tunaamini tunaweza ,tunatamani kuwa hivyo
@elizachota63617 жыл бұрын
thanks kwa kipind maneno mazuri sama😍😍
@salummohdnyiga97607 жыл бұрын
asanteni sana ni kweli maisha ni kuchagua. unaweza ukajinyima siku kadhaa ili ufanikishe mipango yako.
@jacksonemily65529 жыл бұрын
Maneno ya kinywa chako, ni kama booster katika magari ya fast and furious,, i wish to get a chance to tourch even a piece of cloth. Your so different my uncle.
@aishaomar43185 жыл бұрын
Asante kaka ubarikiwe.ujumbe umefika
@samwelpanga24046 жыл бұрын
hakika tunakushukuru mtumushi Wa Bwana James kuwa pamoja nasi kwenye mkesha Wa vijana Wa Mlima Wa moto hakika umetusogeza viwango vya juu zaid
@BrazaBabu7 жыл бұрын
nimewasikiliza hao jamaa kwa makini sana na kuwaelewa at the end nakwambia usidanganyike "try this at your own risk"
@frankjoshua57243 жыл бұрын
Tunakuomba sana utufikie mbeya natamani niuzulie semina yako
@caroaisha25367 жыл бұрын
Asanten sana kwa mawaidha yenu mungu awa bariki
@alibell52463 жыл бұрын
Naomben namba ili nipate mafunzo vzr
@eliudbeyanga85754 ай бұрын
Asante
@mkamamfungo32004 жыл бұрын
Naomba muwe mnatoa namba zenu na email zenu ili tupate mawasiliano zaidi,hongera sana
@kelvinmpinga57038 жыл бұрын
shukrani kwenu.
@citymaxbookshoptanzania29247 жыл бұрын
Nawafuatilia sana nipo Iringa JE mtakuja lini huku.
@imagepower36415 жыл бұрын
naam ni kweli
@hoseamuyungu91335 жыл бұрын
Safi Sana
@yusufuchinunga26209 жыл бұрын
Nimekbali maneno yenu Shigongo na mag'amba mnafanya poa sana kutoa elimu ya ujasiriamali.
@shedracpeter19759 жыл бұрын
habr? nimekusikiliza kwenye radio .nikiwa ndani ya dalala leo ? kamna ulikuwepo .ndani yangu ,nitakutafuta kwa ushauli zaid, ktk,bssness
@glorykimambo12037 жыл бұрын
Asante sana nimekuelewa na pia nitajitaidi kuufanyia kazi
@EcoEssence_wellness7 жыл бұрын
Okay
@wilfredmartin93028 жыл бұрын
inspired
@hassanbakari15096 жыл бұрын
Nilikuwa nauliza jee kipa hicho kitabu nakama kipo kinapatikana vp na kama ni CD jee inapatikana vp