Shukran sana shekh wa mkoa wa Mwanza,maongezi yako yana hekima na elimu kubwa mno,tofauti na wengi wa mashekh wanaendeshwa na Mihemko na jazba
@MohamedAbwala2 күн бұрын
MashaAllah
@مبغضالبدع-ع9ص2 күн бұрын
"تحسبهم جميعا وقلوبهم شتى ذلك بأنهم قوم لا يعقلون"
@swahilitherapytv384612 сағат бұрын
Wanaharakati leo wanalingania AMANI wakati wao ndio wakubwa wanazalisha MAKHAWARIJI
@abuushakiraddausiy86662 күн бұрын
Nyie ndio mnaotubagua wala huku dodoma twayapitia makubwaaa yaan kana hupigi maulidii wewe unabaguliwa mchna kweupeeeeee huku dodoma twayapitia mengiii
@MohamedHussein-ws9jm10 сағат бұрын
Barakallahu fiiq allah akulipe kheli sheikhe kwakusema ukweli