Huyu mama apewe cheo kikubwa hapo Zanzibar wallah anaipambania mpaka raha wallah 😘 Allah amjaalie thawabu nyingi ...na amlinde na wabaya maana Tanzania ukisema ukweli unakuwa adui .😭
@it-vw4zj4 жыл бұрын
Fantastic dada etu, mchango wako ni mkubwa na Allah atakupa nguvu na mchango wako usipotee bure
@farajiyapesa80474 жыл бұрын
allahuma amiin
@agnessmasanelo84763 жыл бұрын
uko vizuri dada
@afnanfromomanweloveyouraya8083 жыл бұрын
Pppòlpĺ
@asianfadhil42824 жыл бұрын
Mashaallah mama upo vizuri wanawake tu jiheshimu tuvae mavazi mazuri hasa mbele ya mkusanyiko wa watu ili tuheshimike
@nassernajm54174 жыл бұрын
Sub'hanaLlah!! Pole MH Mwinyi kwa majanga ulioyakuta..!! Allah akusaidie uyaweze maana kila kona kuna mapungufu mengi tu😐
@ahmedkhamis95394 жыл бұрын
Hongera sana mama umeongea maneno mazito sanaaa allah atakulipa heri tupu inshaallah
@fatmasayid88954 жыл бұрын
Ameen
@fatmaabdalla85433 жыл бұрын
Aamin
@ahlamharoub11304 жыл бұрын
Love you mum angalau Zanzibar yetu itarudi back insha Allah 💓💓💓💓
@zainarashid10244 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mama angu.M.Mungu atakuhifadhi na wasiomjua Allah .Umezungumza vizuri sana Ahsant😘
@babuadam72933 жыл бұрын
Inasikitisha sana.jamani kuna muumba ambaye ametuumba.tumuogopeni Mh.Rais fanya kazi kwa haki mungu akupe nguvu Mama hongera Allaj akupe.afya wepesi na.nguvu
@mpondamedia24164 жыл бұрын
Jazaaka llahu khayra mama Allah akulipe firdausi na akulinde na maadui Aamin
@andresmartin63324 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe Afya njema dada ama kwa hakika sauti yako itabaki milele na Mungu atakupa ulinzi wake juu ya maisha yako wewe ni mama haswa HONGERA SANA
@zwinaalhabsi6644 жыл бұрын
Asante dada kwa kusema ukweli allah akuzidishie kila la kheir
@mukrimkhamis6784 жыл бұрын
Apewe cheo uyu mama atasaidia sanaa##🙏🙏🙏
@hassanturky75114 жыл бұрын
Serikali chukueni jukumu la kumhifadhi huyu mama. Akijikwaa tu hampo salama.
@munasuleyman31594 жыл бұрын
Mashaalah mashaalah mashaalah Allah akujaalie kila kheri akupe ujasiria zaidi usirudi nyuma mamaaa
@yunushamdan60794 жыл бұрын
Hongera cn Mam yng Allah akupe umr mrefu na ujasiri wa hal y juuu
@asfarsham90374 жыл бұрын
Allah amjaalie kheri zote za duniani na akhera huyu mama na watu wake . Na ajaalie harakati zao zilete mafanikio ya hali ya juu.Ameen
@5ffGg-uy7mf Жыл бұрын
Amina Yaarabbi
@zubeidaukasha50944 жыл бұрын
Alhmdullah Yarrab mpenguvu huyu Dada🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
@iliasaliogopen65054 жыл бұрын
Wallahi wallahi wallahi huyu nimama wakiislam mungu akulinde
@salimsasco84334 жыл бұрын
Mashaaallah mama mungu akusimamiee
@al-mamarial-mamari54574 жыл бұрын
Wallah sina lakusema isipokua. HasbiyaAllah Wannima Alwakil. 😭😭😭. Serikali gani hio ilopita. Mungu atawaona kama walikua wanafanya haya kwakujua.
@zuwenasuleiman42774 жыл бұрын
Sema dada Allah akuhifadhi, kwa vile unasikilizwa semaaa
@allymadad66254 жыл бұрын
Hongerani kwa kazi nzuri na endeleeni ivyo ivyo kuilinda jamii na hawa wasio wajali jamii .wanaharakati mnafanya kazi nzuri sana
@safiasaleh6694 жыл бұрын
Nakuomba Mh Raisi huyu mama mpe cheo cha ukuu wa wilaya ya mjini Maguarib ili tuende Sawa anafaaa saaaanaa maana aliwekwa Mh Ayub aliondoshwa watu walinyooka lkn Kwa sasa serekali yako ya wachapa kazi huyu mama anaweza . Ahsante Sana mama wewe ni mkombozi Mungu akupe ulinzi zidi ya maadui watakaokuzunguka ubaya uwarejee wale wote madhalim wa nchi na mahafighina 😘😘😘😘👍
@cadabra74024 жыл бұрын
Maasha Allah Mungu akulinde mama wangu.
@aliabeid62264 жыл бұрын
Dada hongera sana hayo ndio mambo ya kusema Zanzibar inameharibika sana Allah atakulipa kwa moyo huo wazkujitolea
@hassanturky75114 жыл бұрын
Masha Allah alhamdulillah Allah ampe Nguvu mama yetu huyu na amhifadhi
@nassiralli93044 жыл бұрын
Aamiin...aamiin
@machintangachibwena59224 жыл бұрын
Na RC Ayub pia Allah ampe kila la heri inshallah
@ChristmasMaheri6 ай бұрын
Ahsante sana,nashukuru Mungu kwa kazi yako njema.
@humudimohd90654 жыл бұрын
Asante mama kwa maneno yako mazima inshaallah Allah akupe msimamo mzuri
@jumafaki16974 жыл бұрын
Mashallah Furaha yangu kuona Ktv imepata nafasi kwenye list ya Trending mnatakiwa kuwa wabunifu
@iliasaliogopen65054 жыл бұрын
Ewe mola mpe mama huyu pepo pamoja nasi
@hadijasechui56114 жыл бұрын
Ameen
@farajiyapesa80474 жыл бұрын
amiin ya rabbi
@fatmaabdalla85433 жыл бұрын
Aamin yaa rabbi
@baloz89743 жыл бұрын
Amin inshaAllah
@daatyabdul6523 жыл бұрын
aaamiiin
@الزغويالزغوي-ض3ن4 жыл бұрын
DUH ! MWENYEZI MUNGU AJA'LIE NUSRA 🤲!
@ibrahiym_khan79844 жыл бұрын
Yes yes, nmependaaaa snaa comfidence ya mama mwanaharakat👍
@it-vw4zj4 жыл бұрын
Maneno ya maana sana na yenye kuskitisha sana aloyasema dada etu huyu. Msiba mkubwa uliopo kwani huyo alokaa pembeni mwa Dr Mwinyi (Simai) ni mmoja wa hao wanoimarisha biashara za mabaa, club za pombe pamoja na hayo matamasha yaitwayo Busara. Yuko mstari wa mbele katika uharibifu wa maadili yetu. Ama dada etu huyu ametuwakilisha vizuri sana na ametusemea yanotuumiza nyoyoni mwetu, mashaAllah huyu ni mtu wa kupigiwa mfano.
@salimsaid72004 жыл бұрын
Kumbe Huyo IBLISI Mwenyewe Yupo Hapo🤣🤣🤣
@fatmasayid88954 жыл бұрын
M.mungu awashinde
@khushipyaar77704 жыл бұрын
yaani mpk nimehic baridi wallah
@muhammadmuhammad50434 жыл бұрын
Mashaallah Allah Akuhifadhi Yarabiy
@abuuazhaar26173 жыл бұрын
MashaaAllah mama angu Allah ndie mlipaji atakulipa naamin unasema kwa hisia kali pole mama yang. Tuombe dua Allah ampe moyo huyu kiongozi we2
@jumasaid16194 жыл бұрын
Umeongea point Allah akubariki kwa fursa ulio ipata
@rukiyatajir80644 жыл бұрын
Mhe. Rais kazi kubwa sanasana unayo na huyu mama wa kufikiriwa sana na aliyo eleza yafuatiliwe kikamilifu. Mungu akupe busara na hekima ktk kutekeleza majukumu yako. Pia tunaomba maelezo yetu tuliyatuma angalau yawe acknowledge bado tuna mengi ya kukueleza Mhe. Amina Mungu akuhifadhi akulipe ajra kubwa kwa kazi yako.
@aminakassim4093 жыл бұрын
Mashaallah dada allah akulipe kheri ....allah azidi kuilinda zanzibar yetu
@mkambamaulid447 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akupe hekima na Busara maishani mwako na hata kesho mbele za mwenyezi Mungu 🙏🏼 Uko parfect 🤲🏽
@alawialawi21924 жыл бұрын
Bi Amina anaamini Allah yuko juu Alhamdulillah,1:50 -2:10 Kuliko jamaa flani hivi wanazunguka mjini mzima kupinga hili na hawatoweza
@mohdmata20434 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ma shaa Allah Ma shaa Allah .........Allah (sw) atakulinda na atakuepusha na Kila balaaa mana hapo wapo wanaoumizwa na ukweli uliousema na Kila kitu ulichokiongea ni sahihi kabisa Mama angu .....Hongera sanaa 🥰
@nassirmustafa274 жыл бұрын
Uhakika viongoz na ukweli viongoz wa awamu ya Saba imeongoza
@nassirmustafa274 жыл бұрын
Walimuondosha ayubu kwa kulinda ushoga
@aliarkam95484 жыл бұрын
Mwenyez Mungu akupe kila kher . Mashaa allah mama
@kautharsalim50254 жыл бұрын
Mashaa Allah mama kasema maneno mazito mtihani sana huu rais mwinyi tunakuomba utusaidie kuyaondoa haya na Allah ataleta wepes dr shein utakwenda kujibu kwa Allah uongoz wako uliutumia vip mambo machafu yote yamefanyika Katika serekal yako na wewe hukufanya lolote
@mwanaishazain79854 жыл бұрын
Machozi yananitoka siwezi kujizuia. Wallahi mama wewe ni mtu mwema na mtu mwema jaza yake ni pepo ya daraja la kwanza. Allah awe pamoja nawe na wote wanaokuunga mkono kwa namna moja na nyengine. Yaa Allah mlinde Amina na watu wake wema, mpe nguvu na busara zaidi ya alivyo, msimamishie ushindi katika dhamira zake njema. Amina🤲
@suleimanseif32904 жыл бұрын
Mama mashallah nakuomba usichoke natamani nikuletee binti yangu umlee
@rayhanchunu77794 жыл бұрын
Ma Sha Allah mumefanya kazi nzuri. Na shauri msiwapeleke polisi wasagaji na makhanisi bali wape daawa. Si kisa ao bali walifundishwa wakiwa wadogo. In Sha Allah Allah atasaidia.
@MuhmediJuma Жыл бұрын
Allah akulinde inshaalah❤❤❤
@habeebnayman69804 жыл бұрын
Hatimae amepatikana wa kumfunga paka kengere! Allaahu akbar! Allah akuhifadhi mama katika dunia na akhera!Kilichobaki tuone utendaji wa raisi tu!
@walidmgonja3644Ай бұрын
Asante mama,Allah atakulipa fungu lako kwa kutekeleza wajibu wako. Serikali haina mpango wa kukomesha haya maovu kwani hayajaanza leo nao wanajua lakini hatujaona hatua za makusudi kukomesha maovu hayo
@ahmedmalick18984 жыл бұрын
Allah akulipe kwan umeongea kwa niaba ya watu wengi Allah akupe ujasiri wa kufichua madudu..Allah akulipe kila la kheir na akupe mwisho mwema
MashaAllah mwanamke jasiri mungu akuzidishie kila kheri kusimamia haki
@ibramiddo48634 жыл бұрын
Mashaallah Allah akujaalie maisha maref yeny mafanikio ndani yke
@aliy33034 жыл бұрын
Allah muhifadhi huyu dada
@rahalee54794 жыл бұрын
Sawa sawa sasa pako pakukimbilia jiripue kwa ajiri ya Allah!
@sheikhanasser94714 жыл бұрын
Pepo iwe ndio maakazi yako ya milele na Allah akujalie husnil hatma jituhada yako Allah anaiona kwa kweli Allah akubarik akufungulie khr na barka Amin ya rabb
@allymuhammad89564 жыл бұрын
Daaah allah amlipe huyu mama anasema kwa hisia kubwa na imaan kubwa kwa kweli na muheshimiwa nilivo muona yamemgusa sanna
@تاتا-ن6ن3 жыл бұрын
Asante mama Allah akulipe kila la kheir
@hamadrashid51404 жыл бұрын
Subhanallah inna lillah wainna ilayhi raajiun ya rabb stara
@salmasalim3525 Жыл бұрын
MashaAllah Allah atusaidie ktk hili
@babarungurallyteam27542 ай бұрын
Mamayangu hongera sanaa pia TUSIKATE TAMAA KUSAIDIA JAMII.
@nooor11203 жыл бұрын
Allah akuhifadhi dada yetu dunia na akhera aamiin
@abalhassan59904 жыл бұрын
hongera mama dooooooh umetishaaa wallah nitakutafuta in shaa Allah is
@ALIMOHD-bk9lr4 жыл бұрын
Maashallah Raisi MSIKIVU na WANANCHI wasemaji kero zao. Mungu awekwe TAWFEEQ ktk kupambana na HILI janga. Hali sio shuwari KWA kweli ya udhalilishaji.
@TahirAli-i9o4 ай бұрын
Mashaallah mama allaha akuhifadhi
@salmaabdallah83634 жыл бұрын
Asante mama 😘
@al-mamarial-mamari54574 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi na akuzidishie kupambana kwako.
@nassourali86683 жыл бұрын
Assalaamugh-alaykum, pamoja na kazi kubwa ya wana harakati, pongezi kubwa kwa Rais Mwinyi kuweza kujiweka karibu na raia bila ya wasiwasi wakaongea mbele yake na wakiwa na uhakika na usalama wao MASHALAAH.
@magellasaid283 жыл бұрын
Allah akulinde ktk hili nimekulia Znz naijua vzr sn bila kuipigania asili ya Znz inaenda kupotea, ongezeni mapambano inshaAllah tutashinda
@muhammedwakif62164 жыл бұрын
Hii ni kweli kabisa Zanzibar mambo ya liwati yameenea na wengi wao wanalindwa na watu wa juuu
@binothman92844 жыл бұрын
Subhana llah huu nimtihani kwahakika Allah atakulipa kila la kheri Inshaa Allah mama yetu
@umyusuphumyusuph57063 жыл бұрын
Asanta ndugu yangu mungu akupe maisha marefu ila
@bakarali30934 жыл бұрын
"Its logic". Allah atakulinda kwa kueleza ukweli na kuficha unafiki ambao wengi kati ya waislamu wengu tumejivesha. Allah akupe kila la kheri duniani na akhera. Never give up. Mama Amina allah akuzidishie afya, siha njema na akili timamu kwani Dk. Mwinyi anakuhitaji.
@DalilaMuhamedHaji2 ай бұрын
Allah akulinde mama uchafu umezidi. Zanzibar na tunataka zanzibar yetu kama ya zamani tuishi kwa heshima na amani .
@EK-kp2np4 жыл бұрын
Mheshimiwa rais Mwinyi, tafadhali mlinde huyu mama, watoto ni Viongozi na raia wa kuijenga nchi kesho. Mungu asimamie yote 🤲
@khushipyaar77704 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Allah atawalipa ktk hili
@khalidsindano47473 жыл бұрын
Allah akulipe kher inshaa allah
@jinaabdullah41074 жыл бұрын
Mashaallah mama hongera sana Allah atakulinda zaidi
@abdul-rahmanfakijuma18794 жыл бұрын
Maa Shaa Allwah 🤲🤲🤲. Good hope for Mr: President.
@azizaaziza7996 Жыл бұрын
Allah akulinde mama etu na mwisho mwema
@yunushamdan60794 жыл бұрын
Allah akuhifadh mam yng
@zezezeze84084 жыл бұрын
mashaAllah...wakitokea wanawake 2 km hawa tu bas znz itarud km mwanzo
@nasrafita69094 жыл бұрын
Hongera sana mama hakika mungu atakulipa ujira wako nikweli unguja ya jana sio unguja ya leo imebakia stori tu
@mulhatramadhan94253 жыл бұрын
Allah akubark dada angu, Rais yafanyie kazi.
@hkk24503 жыл бұрын
Yarabi tulindie watoto wetu wote duniani
@neemarajabu3054Ай бұрын
Mungu akubariki sana mama na akupe ulinzi wa kutosha
@laylayl5166 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭mungu awalaani wote wanao tetea maovu nakuwadhalilisha watoto piya mungu akulinde mama nakila shari yaarab
@JumaHamad-i3fАй бұрын
Hongera mama watu wanaumia hapo lakn umeongea vitu sahib Zanzibar inapotea
safi sanna mama yangu Bi Amina mapambano na in shaa Allah Allah ajaalie kheir kwa kila khat-wa uipigayo na tupo pa1 sannaa dhidi ya hilo
@fatmaalzidy1170 Жыл бұрын
Alllah akuhifafhe Allah asimame na ww Allah huma Ameen
@shersaid79884 жыл бұрын
Hongera mama kusema kweli tunaomba raisi amuekee ulinzi kwa usalama wake na Allah atamuhifadhi na awahidi wanaodhalilisha watu .Zanzibar iwe salama na balaa hilo.
@anahna67884 жыл бұрын
Duuu kweli mwana harakati huyu kajiripua kiutu uzima
@mohamedomar76924 жыл бұрын
Mashallah Allah atupe nguvu dhidi ya udhalimu Amiin
@tawakalmohammadsalum42524 жыл бұрын
Shukran Sana bi Amina haya masuala yapo sawa sawa na tunamuomba . muheshimiwa RAIS ayafuatilie kwa makini na hususani mabaa mitaani, makaka poa na madada poa , pía hapo ccm maisara kunafanywa ukahaba dhahiri shahiri na pía madawa ya kulevya ndio kichocheo chá haya yote na wahusika wote wanajulikana na police ila wanawalinda kwa maslahi yao binafsi ya kinyume na maadili ya nchi
@saleemrashid43083 жыл бұрын
InshaAllah mamaangu Allah akuhifadhi na awaongoze biishnillah 😢😢
@bakarrama61574 жыл бұрын
Mueshiimiwaaaaa daaaah kazy kweliikweliiiii munguu ibarikiiii zanzibar
@asianfadhil42824 жыл бұрын
Innalilah wainnailahi rajiun 😢 dah watoto wetu ndugu zetu Allah awalinde na balaa
@sameermilo24924 жыл бұрын
Hongera sana
@hajiussi30444 жыл бұрын
Umeongea ukweli ambao siku za nyuma ulikuwa ukifichwa na kufunikwa. Ww ni jasiri. Hongera sana mama. ALLAH akulinde. Hongera pia kwa Rais wetu Dr Mwinyi kwa nia ya dhati ya kuhakikisha zanzibar yetu inapiga hatua za kimaendeleo na inakuwa salama kwa kila mmoja wetu.