MANABI WA UOGO BY NDACHA (KASARANI DAY 5)

  Рет қаралды 9,664

WARNING OF LAST DAYS

WARNING OF LAST DAYS

Күн бұрын

WARNING OF LAST DAYS, ni channel ya kujulisha watu ukweli na kitabu cha mwenyezi mungu,nakutagaza ujumbe wa malaika wa tatu(ufunuo 14:6-5)_lego letu nikutetea Neno la MUNGU yaani bibilia , ili tuweke wazi Imani ya kweli,pia kuwajulisha kabila zote na jamaa na dunia zima ujumbe wa malaika wa tatu yaani ujumbe wa mwisho

Пікірлер: 32
@cyrusmutsami1195
@cyrusmutsami1195 6 ай бұрын
I repent for being look warm Christian. May God forgive me. I cried ooh Lord forgive me. I repent for being a sleeping Christian.
@gekongachacha
@gekongachacha 2 ай бұрын
Mwenye kusikia na asikie, maana neno ndio taa ya njia yangu wala sio manabii. Eee Yesu Kristo nitongoze katika Imani na sio kuona kwa macho yapendayo miujiza. 😢
@phoebemulama5529
@phoebemulama5529 27 күн бұрын
Amen
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 ай бұрын
Ndacha huko sahihi
@KerroffinNyamai
@KerroffinNyamai 6 ай бұрын
Barikiwa myumishi welcome to lolgorian
@simionkimani7669
@simionkimani7669 5 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 6 ай бұрын
Amen sana watumishi
@furahag3098
@furahag3098 6 ай бұрын
Barikiweni sana watumishi wa mungu kwa mafundisho ya uzima nawapenda sana 🥰🥰🥰🙏🙏
@johnkimani-vm8vn
@johnkimani-vm8vn 6 ай бұрын
Asante sana Ndacha na karibu hapa olkalou
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 6 ай бұрын
Amen sana
@user-os3tg5bo6v
@user-os3tg5bo6v 6 ай бұрын
Okoka,kuhubiri bila wokovu hupitani na wanaokmbea wafu. 2kor 6:2,Yoh 4:20-24, Gal3':15-23-24-29,Rum 8:1-9. Hapo hapo ni nabii wa uongo wewe,1kor 12:1-3. Amen
@chancekambale3498
@chancekambale3498 3 ай бұрын
24:11 matayo 24:24 7:15 matayo 14:14 yeremia 8:20 isaya 13:17 waebrania 18:20 kumbukumbu latorati 😂😂😂😂😂😂😂
@user-to8on2pj9x
@user-to8on2pj9x 2 ай бұрын
Ndacha yuko sahihi anafata biblia inavyosema
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 6 ай бұрын
Jinga Sana Wewe hujitambui
@tutukagara9452
@tutukagara9452 6 ай бұрын
Can you preach what you want to listen, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 ай бұрын
Una laana
@AbrahamBoaz
@AbrahamBoaz 6 ай бұрын
Be blessed to all
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 6 ай бұрын
Hellen g white ndio Mungu wenu we mnafiki acha kudharau wachristo wenzio yesu anafaa ahubiriwe siku yeyote usabato ulishatoweka
@jaysonnyabicha1266
@jaysonnyabicha1266 6 ай бұрын
Hebu nifundishe mahali usabato Ulienda
@samkabayiza6212
@samkabayiza6212 6 ай бұрын
Toa mandiko kbla ya kutukana eti Ellen G White ni Mungu wetu? Sapin Pastor kamusema huo G White?
@vincentkemei2522
@vincentkemei2522 6 ай бұрын
Ole wako ndugu, soma biblia uwelewe
@Karithif
@Karithif 5 ай бұрын
Repent, repent
@felixmuasya6601
@felixmuasya6601 3 ай бұрын
toa quote sabato ilitoweka....
@hassanadam3007
@hassanadam3007 6 ай бұрын
Wewe kafiri hauna lolote hata haujui mama yako
@warningoflastdays254
@warningoflastdays254 6 ай бұрын
MUNGU hakusamehe
@AbrahamBoaz
@AbrahamBoaz 6 ай бұрын
Mungu akusamehe
@simionkimani7669
@simionkimani7669 5 ай бұрын
Utafrahia siku utajua ukweli. Wewe umepotea
@SamsonHumbe
@SamsonHumbe 3 ай бұрын
Duuuhh wewe kazi yako ni kushambulia makanisa tu. Unataka wakristo wote wawe wasabato?, aaah maajabu kwelikweli.
@felixmuasya6601
@felixmuasya6601 3 ай бұрын
kanisa la Mungu ni moja.... imani moja.... roho moja... kristo mmoja na Mungu mmoja. 😊
@felixmuasya6601
@felixmuasya6601 3 ай бұрын
according to you makanisa magapi yatakuwa mbinguni.
@felixmuasya6601
@felixmuasya6601 3 ай бұрын
adi mbingu mmpya kutakuwa na sabato.
JE WATAKA KUMUONA BWANA - PR. DAVID MMBAGA
1:01:22
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 22 М.
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 41 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 85 МЛН
WAFU WAKO WAPI ? KASARANI DAY 4 BY FRANCIS NDACHA
57:16
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 4,6 М.
Mtu Wa Uwour Kwa Mhadhara
1:11:49
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 70 М.
OMOSHI ONE HOUR AMEPATIKANA LEO, JACARANDA
2:07:03
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 19 М.
Mdahalo: Utatu na Uunga kati ya Pr. Henry Kang'entu na  Pr. Francis Ndacha
1:52:20
SAUTI NYIKANI MINISTRY
Рет қаралды 16 М.
Ujumbe wa wakati wetu/ Ujumbe wa malaika watatu/ 3angels messages by Bro. Nicholas Kinyili
41:42
Divine Harvesters Ministers Kenya
Рет қаралды 1,1 М.
Je Mungu BABA ni nani?
2:07:10
Testimony Tv
Рет қаралды 5 М.
QORAN SI KITABU CHA MUNGU: BUKAVU CONGO (NDACHA VS UPANGA WA RADI)
57:19
WARNING OF LAST DAYS
Рет қаралды 19 М.
MASWALI NA MAJIBU By MWALIMU NDACHA.
28:41
BIBLIA MSINGI WA MATENGENEZO.
Рет қаралды 8 М.
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 8 М.