Tatizo nchi hii wanafk ni wengi asa hawa wachambuz uchwala inshu ya manara inawaumiza sana buga kashard soon mtakaa kimya
@HABIBHASSAN-wf5mr2 ай бұрын
YANGA kuweni SANA na HAWA waandishi LENGO LAO uchonganishi
@fidelisjoseph-tt9zl2 ай бұрын
Kuwa mnara pia ni kazi
@halimamasai22342 ай бұрын
Manaraaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@saidishekalaghe34962 ай бұрын
UNAFIKIRI ENGINEER HERSI KASAHAU? ALISHAWAH KUMUITA KUWA HANA AKILI CLIP IPO NA WENYE AKILI PALE YANGA WAWILI TU! BABA YAKE NA RAIS MSTAFF KIKWETE. UNAFIKIRI ATAWEZAJE KUMSAFISHA ENGINEER KUPITIA MITANDAO? ✍️✍️✍️. TUWE NA AKIBA YA MANENO, TUMUOGOPE MWENYEZI MUNGU NA TUJIHADHARI NA MITANDAO. SINA KUMBUKUMBU KAMA ALISHAWAHI KUMSIFIA ENGINNEER TOKA AINGIE YANGA. 😂😂😂😂
@CikeTanzania2 ай бұрын
Jamaaa aliropoka sana tujifunze kuongea vizuri huijui kesho yako.
@methodluoga84832 ай бұрын
Acheni uchonganishi wasenge nyiny
@mohamedhussein35832 ай бұрын
Mwenyekiti amesema wazi kwamba Manara alikuwa lakini kwa Sasa ni mwanachama wa kawaida sasa huo uchonganishi unatoka wapi?
Kaukana wadhifa wake Wanatarajia kumpa wadhifa mwingine au sikumsikia vyema
@hassanmwallimu57672 ай бұрын
Hersi hajamkana msiwe mnapotosha watu wote tumemsikia Hersi alivyosema
@happysanga68462 ай бұрын
Kichwa Cha habar kinauchonganishi acheni ushamba
@IMRANITV12 ай бұрын
Ningekuwa mwanamichezo nisingekuwa nawajibu wachambuzi wapumbavu sana wanagombanisha
@EdwardElikunda2 ай бұрын
Atuendi huko azam
@KabungaKalla-fw4pp2 ай бұрын
Hapo mnatafuta content bila kumsema Manara nakuweka jina lake hapo watu watapita wima kumbukeni ana Tv yake.kusema Hana kazi wakati anaajiri watu Kama mlivyo ajiriwa hizo ni chuki au kawanyima kazi?
@hassanmwallimu57672 ай бұрын
Hersi hajamkana msiwe mnapotosha watu wote tumemsikia Hersi alivyosema