MANARA AOMBA SERIKALI IMLINDE Baada ya KUFICHUA VIONGOZI SIMBA WALIVYODUKUA SIMU YAKE ...

  Рет қаралды 52,571

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MANARA AOMBA SERIKALI IMLINDE Baada ya KUFICHUA VIONGOZI SIMBA WALIVYODUKUA SIMU YAKE ...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 72
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 жыл бұрын
Manara namkubali sana anajuabkuongea na ni mkweli. Big up manara💪🇹🇿.
@edwardgwaspika4943
@edwardgwaspika4943 3 жыл бұрын
Kubali yaishe kaka, mwenye hekima alivuliwa nguo huchutama.
@frankminja2343
@frankminja2343 3 жыл бұрын
Hii sio tabia nzuri kidukua mawasiliano ya watu.Kama mtu wanamshuku aitwe achunguzwe.Huu ni utovu wa nidham
@nasskidy8196
@nasskidy8196 3 жыл бұрын
apo mo kayumba tena palefuuu tutaanza kumweka kwenye ugaidi unadukuaje sasa
@salmamkwawila2779
@salmamkwawila2779 3 жыл бұрын
Umedukuliwa manara kumbe
@athumanibebe8969
@athumanibebe8969 3 жыл бұрын
Mmesikia doctor mama samia
@AshrafuJuma-l3l
@AshrafuJuma-l3l 8 ай бұрын
Simba mwanamke maraya
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Hatari sana
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 3 жыл бұрын
HAJI MANARA ! KUMBUKA MANENO YAKO ULO YASEMA KWENYE SHEREHE YA TUZO YA BABDEO : KWAMBA WEWE ULIKUWA MWALIMU WA MADRASA, NA WATAMANI SIKU MOJA URUDI KWENYE KAZI YAKO YA MADRASA, HIVYO MUNGU KAKUPA MTIHANI UPATE TAFAKURI URUDI KWENYE KAZI YAKO.
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 3 жыл бұрын
Usikhofu kijana wetu. Mungu yuko nawe na inshallah hawataweza kukudhuru. Allah muweza wa yote
@Wamikogo
@Wamikogo 3 жыл бұрын
mim nakuelewa kak Mo mdukuajii kwa hali hiyoo
@RichTeleza
@RichTeleza 7 ай бұрын
🎉
@khadijayusuph5815
@khadijayusuph5815 5 ай бұрын
Ulionekana wala usiseme kama unakibanda unapenda sana maneno kama mwanake
@veelmng7746
@veelmng7746 3 жыл бұрын
Anayoongea Manara yana faida sana kwa wapenzi wa mpira hasa simba. Kama company ambayo imeundwa na club inoongozwa kama company binafsi itakuja kufa kifo cha mende. Haya mafanikio madogo waliopata simba wasijisahau bado sana ndiyo kwanza wanaanza wakiiacha upuuzi anaosema Manara undelee bila kurekebisha simba itaishia pabaya sana. Hakuna club inayoendeshwa kibinafsi ikafanikiwa in long term.
@yustinomohamed8940
@yustinomohamed8940 3 жыл бұрын
Anaharibu tim ndugu simba ni yakupishana ajaaza yeye kuondoka au kuondolewa simba
@nasskidy8196
@nasskidy8196 3 жыл бұрын
😁kweli hajaanza yey ila wale wazaman walitolewa kwa amani mjifikilie team inakua yawahindi sio mda nasisi hatuwataki mje kulia na msije jazana uku
@magechuwa804
@magechuwa804 3 жыл бұрын
Hiyo ndo habari ya mikia poleni
@alfredjustinian9753
@alfredjustinian9753 3 жыл бұрын
Daaaah Ilo neno kbc Jmn maana airusiwi kudukua m2 jmn
@chidytz2851
@chidytz2851 3 жыл бұрын
Niliipenda Simba kwa ajili ya manara lakin kwa Sasa duuuu
@emmadora7848
@emmadora7848 3 жыл бұрын
Hamia huko anakoenda, haji hatadumu milele lakini simba ipo sana tu ,afu upende mpira ,then timu watu wanakuja na kuondoka
@nasskidy8196
@nasskidy8196 3 жыл бұрын
safiiii Bora umeshituka io team inakua yawahindi sio mda mazuzu hayaelewiii we tuliaa
@emmadora7848
@emmadora7848 3 жыл бұрын
@@nasskidy8196 watu wanakufa na wanaondoka lakini timu inabaki, watanzania wengi walimpenda Raid Magufuli lakini Akatangulia mbele za haki je Tz imeondoka nayo? Anayempenda MTU kuliko timu aondoke amfuate MTU wake
@emmadora7848
@emmadora7848 3 жыл бұрын
Watanzania mmekuwa wanafiki sana ,hakuna hata anayetoa sh 10 kuendeleza hiyo timu ila masengenyo na midomo ndiyo mnayoweza, kipindi hao wahindi hawapo hiyo timu yenu ilikuwa vipi?
@mussanganda505
@mussanganda505 3 жыл бұрын
We nae una matatizo,siku zote hizo ulikuwa wapi,
@simonmasunga7398
@simonmasunga7398 3 жыл бұрын
Hivi kinachokuliza ni nini Manara, si utafute kazi kwingine? Akili kumkichwa!
@chassalamu8886
@chassalamu8886 3 жыл бұрын
Nakukubali saana Manara. Mo Dewj kaeni na Manara muyamalize
@neembakona7354
@neembakona7354 2 жыл бұрын
Manara huna jpya Kataft Kaz ya kufny we umetmwa kuichfua simb na kuharbu biashara mo'
@ahmedesmail4488
@ahmedesmail4488 3 жыл бұрын
Mo angalia pesa zoko zitakutokea puani pesa zako zitakutokea puani cheza na vitu vyote lakin sio serikali uatatafuta hata sumni na nchi itakutokea puani heshimu watu
@kasmilkharid2700
@kasmilkharid2700 3 жыл бұрын
Usitualibie ham ya soka Tanzania uliisha toka umetoka maneno ya nini huo ujinga.
@jonathanmnyone4003
@jonathanmnyone4003 3 жыл бұрын
Bro. unaongea na uliokuwa unawaita takataka. Ama kweli yamekufika.
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 3 жыл бұрын
Basi itakuwa huyo Babra ni Chakula cha Mo Basi Maana Sio kwa nguvu hiyo aliyo Nayo ya kutimuwa watu
@MussaHassan-l6s
@MussaHassan-l6s Жыл бұрын
Haji manara unataka nn simba nitim yababaako wee siumetoka umedai talak umepewa ss nn
@mwanzalimaupilipili5112
@mwanzalimaupilipili5112 2 жыл бұрын
Mbona huchoki Kujikuna we bwege
@RashidiRashidi-jt3lm
@RashidiRashidi-jt3lm Жыл бұрын
B nambunju manara huna jlpya toka zako
@mohdsuleiman1605
@mohdsuleiman1605 3 жыл бұрын
Huyu bwege kweli
@salumtanganyika9551
@salumtanganyika9551 3 жыл бұрын
Siku moja watakuelewa usijali bro tunatambua mchango wako Simba wewe nizaidi ya mo n babra mungu akupe uvumilivu tyuuu...!
@muhibuadinani5245
@muhibuadinani5245 3 жыл бұрын
Ipo siku utakuja kuwaita waandishi wa habari uwaambie mkeo hajui kukata kiuno nyambaf
@alsaadyalsaady6838
@alsaadyalsaady6838 2 жыл бұрын
Huyo mama samia akupe ulinzi wewe mwendawazimu wa kariakoo pole yako umeshagundulika zaman kama wewe ni chizi ana kazi za kufanya mama yetu samia akushughulikie wewe kidonda ndugu kafirw. ukoo
@sulemanmagesa2181
@sulemanmagesa2181 3 жыл бұрын
Haji! hayo yote hayakujengi! Tuachie Simba yetu.. ongelea mambo yako.
@amrially5884
@amrially5884 3 жыл бұрын
Mbona wakati upo ndani haha haukusema mnafik
@ibrahimhussenihusseni2027
@ibrahimhussenihusseni2027 3 жыл бұрын
Hizo ni aibu kwani ata mm sasa nimekuerewa haukuwa mzuri kwa simba unajua wewe ni mtoto wa kiswhili umezaliwa kariakoo yani ss waswahili tunajuana wakisha kugundua kuwa ni msariti sasa unajiosha uonekane ni mzuri na tunajua hiyo unayoifanya umetumwa na wapinzani wa mo kibiashara hauna mapya nenda bwana simba nikubwa kuliko wewe
@VailethBeautus
@VailethBeautus 7 ай бұрын
KWNI HUYU C AMESHA TOKA AIMBA MBNA ANAIFUATAFUATA SIMBA JMNIIIII AIMBA INAMUUMA SANA MBNA HUYU MWAMBA?? C AACHANE NAYO JUMLA????
@sarahbadawi7908
@sarahbadawi7908 3 жыл бұрын
Simba ndioo imekujenga
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 3 жыл бұрын
Unaombaje wauaji wakulinde?
@mkundwaafile1826
@mkundwaafile1826 3 жыл бұрын
Mwanaume aongeagisana wewe jitabuwe
@ibrahimhussenihusseni2027
@ibrahimhussenihusseni2027 3 жыл бұрын
Were ata hao waandishi wa habari warikuwa wabaya kwako reo unaongea uongo haji kama ni ubaya uko kwa mo siku nyingi warisha kugundua no msariti huruma ya mo ndio garama yake we wewe waritaka kukufukuza zamani kwani ata hayo unayoongea ni maneno ya msariti
@eliudmaster2175
@eliudmaster2175 3 жыл бұрын
Babla kaja kuondoa uozo na sisi yanga tunataka mtu wa aina yake aje afagie uchafu wote pale yanga nimalize tu kusema Manara unaongea sana ,,,, kaamua kumchafua babla kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@gabrielichilumanga2900
@gabrielichilumanga2900 3 жыл бұрын
Rafiki wa kweli ,siku mkigombana,aanza Kuku ponda kwa jamaa zako,na kutoa hata siri zako za ndani,ujue ,alikupaka mafuta kwa mgongo chupa,,!!!au alijifanya kondoo kumbe mbwa mwitu,,,apo utagundua tuu
@saidiwaziri7950
@saidiwaziri7950 3 жыл бұрын
Haji ongelea maxwalayakomengine 2achiesimbaye2
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 3 жыл бұрын
Kuja umestuka itakuwa sio yenu tena
@nasskidy8196
@nasskidy8196 3 жыл бұрын
kweli kunamazuzu iii team mamae mnauza team kwa wahindi ntie
@odenlwila8390
@odenlwila8390 3 жыл бұрын
Unaongea sana mjinga wewe unapenda sifa
@neembakona7354
@neembakona7354 2 жыл бұрын
Shoga akikosa bwana lazma aangaike ndio saw na manara tuachie Barbra wet na simb yet kumbuk manen yako ulixma wApnz wA yanga akili zao zna pnd na kushuka kwaiy hat wew ushakuw kchaa unaanz kuvurugwa,
@erickzephania1030
@erickzephania1030 3 жыл бұрын
Wajanja wajanja lazima mfyekwe, tuliaaa
@joshuangoloke7709
@joshuangoloke7709 3 жыл бұрын
kwa kitaalam tunaitaje hii wanaachi,,,,, najua upande mwingine wamekeleka tayali
@ibrahimhussenihusseni2027
@ibrahimhussenihusseni2027 3 жыл бұрын
Watu tutaamini vipi kama hayo ndio mlio yaongea siku hiyo unasema wakulinde kwajiri yakuongea uongo wako hapo ndio nakubali ulikuwa msariti kabisa
@irenekithojoh4368
@irenekithojoh4368 3 жыл бұрын
Acha mbwembwe wewe, siri za ofisi hizo, yaanii ww utatoa hata siri za mkeo public, chunga domo
@maxcharles5436
@maxcharles5436 3 жыл бұрын
Gombaneni tu
@mkundwaafile1826
@mkundwaafile1826 3 жыл бұрын
Hivj wewe uwoni aibu wazako wamenyamaza wewe unatapatapa umeumia wewe nautachanganyikiwa sana
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 3 жыл бұрын
Una chafua brand ya simba wewe ume tumwa sio bure
@babujinga4511
@babujinga4511 3 жыл бұрын
Kwani wewe ninani mpaka upewe ulinzia jamani huyu mtu ana hisa gani upande wa serikari
@salimalghafr3494
@salimalghafr3494 3 жыл бұрын
Wacha blablawewe
@elinihakieliakunda9967
@elinihakieliakunda9967 3 жыл бұрын
Acha ujinga wewe ishukuru simba
@omarykianga7619
@omarykianga7619 3 жыл бұрын
Rizik aipiganiwi kaka
@olaismoses5186
@olaismoses5186 3 жыл бұрын
Simba anaishukru sana sema sio mo na hao waindi zake
@mbingukwetu817
@mbingukwetu817 3 жыл бұрын
Acha kutuongopea baada ya kutimuliwa unawachafua ,
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 3 жыл бұрын
Tukutane uwanjan mdomo mdomo hatutak
@hannansaad2675
@hannansaad2675 3 жыл бұрын
Hata wewe nenda, wacha kuanika chupi ya mkeo sebleni, kua msaarabu stop acting like a good 4 nothing witch!
@shabanihamisi115
@shabanihamisi115 3 жыл бұрын
Kama unaongea haya ukitaraji unaikomoa Simba, umekwama sana! Na kama unadhani kufanya hivyo kutakupa ulaji kwenye klabu nyingine, sahau pia kwani timu yoyote makini itaogopa kufanya kazi nayo kwa kuhofia kutoa siri za kambi na hasa kama hizo za kubumba ili kutafuta huruma.
@nasskidy8196
@nasskidy8196 3 жыл бұрын
uyo hana njaa anamkataba na azamu wa pesa ndefu anawaokoa nyie mazuzu mtajashituka team yawahindi ile ayaaa viongoz wakongwe wote wanatolewa hamfikiriii tuuu
@nasskidy8196
@nasskidy8196 3 жыл бұрын
tena bora wastafu ila wanawekewa tuhuma inamanisha haruhusiwi ata kukanyaga tena sasa jazeni umbumbu wenu msimwelewe
Who is that baby | CHANG DORY | ometv
00:24
Chang Dory
Рет қаралды 35 МЛН
SHE CAME BACK LIKE NOTHING HAPPENED! 🤣 #shorts
00:21
Joe Albanese
Рет қаралды 19 МЛН
Riggy G Addressing Wamunyoro residents before the Big Announcement
8:37