Tulikuwa na Manara ambaye Hana qualifications, show us your academic qualifications Manara.
@CikeTanzania7 ай бұрын
Kwa umri huo mapenzi hakuna masau usituchoshe.😂😂
@shaibutz14852 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@ramsonramadhan41562 жыл бұрын
Simba ni Dude kuuubwa ivi..
@AbuuAyubu-t7c2 ай бұрын
Jamaa ndio ninae mkubali mwenyewe
@festohaule11952 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 we chizi kabsaa
@hajihassan54332 жыл бұрын
Mapenzi ya Simba na Yanga hayabadiliki kamwe, unatudanganya!
@sarahmathias35182 жыл бұрын
kweliiii
@khalfani_ally2 жыл бұрын
Mimi mbona nimehama Simba pamoja na manara
@009biafra82 жыл бұрын
@@khalfani_ally Wee n mtu wa mkumbo
@hajihassan54332 жыл бұрын
@@khalfani_ally Wewe umefuata mkumbo Manara yupo kazini hana timu yule.
@009biafra82 жыл бұрын
Sema masawe n mzalendo sana pale Simba anatufaa
@fatmarashid00052 жыл бұрын
Kwa iyo ulienda yanga kwa kumkomoa mtu na si kwa sababu unaipenda 😂😂😂
@abahimbangerina3802 жыл бұрын
Masau sema ukweli uko wapi ktk timu hizi mbili
@alfredibrahim92512 жыл бұрын
Masawe anatupiga fiksi ivi mtu yupo sekondari anafukuza mtoto wa darasa la pili kijiji kizima hajamkamata hongera kwa fiksi
@amoskananasi75442 жыл бұрын
Malizieni hii stori....Mahaba yako kwa yanga yaliishia wapi kaka Masau Bwire???
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Had to understand him, respecting himself several times. I doubt if he had 20 siblings, just not scientific. Poor journalists - no probing on the number
@SleepyCheese-nt3so4 ай бұрын
Mapumbu yak
@aliyulukiza88572 жыл бұрын
Mzee wa mpapaso,
@Di-official972 жыл бұрын
😂😂😂
@josephinenyangi94842 жыл бұрын
Hata hivyo wewe bado simba
@abahimbangerina3802 жыл бұрын
Kweliiii
@rabsonchisumo66402 жыл бұрын
Eti mkong'oto
@hajimnubi45812 жыл бұрын
Muongo mkubwa bwire...siku unahojiwa na baruani muhuza kwenye nyundo ulisema wewe ulikua yanga wa kugalagala