MANARA ATANGAZA VITA KWA SIMBA BAADA YA KUFUNGULIWA | ALLY KAMWE | AUNGURUMA MUDA HUU SERENA

  Рет қаралды 29,636

Ayoma Media

Ayoma Media

Күн бұрын

Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv

Пікірлер: 69
@DavidMeshack-c6s
@DavidMeshack-c6s 2 ай бұрын
Karibu tena mwamba wetu tulikumic sana kaka. Sasa makoolo wako wanaharisha huko kusikia upo huru. Mungu akutangulie jiandae tuijenge yanga yetu.
@suleimanali2017
@suleimanali2017 2 ай бұрын
Hongera sana ndugu Manara, nimefuatilia maelezo Yako na kabla nimekuwa nakuangalia na kukusikiliza sana. UPO VIZURI MASHAALLAH. Omni moja TU punguza sifa husisan kwenye mahusiano
@JacksonFrances
@JacksonFrances 2 ай бұрын
BUGATI kama BUGATI" Huwa Nakuelewa Sana Hujawahi Kuniangusha BUGATI kama BUGATI"
@asifznz
@asifznz 2 ай бұрын
WAONGO NYIE KASEMA WAPI AMETANGAZA VITAAAAA DAHHHH MBONA NYIE WAANDISHI WANAFIKI
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 2 ай бұрын
MANARA NI SHUJAA WA AINA YAKE ....HONGERA SANA "WELCOME AGAIN AND AGAIN"
@godfreymwandara
@godfreymwandara 2 ай бұрын
Ayoma tv boresheni camera zenu sio quality
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 2 ай бұрын
Kamanda
@charleslinhege690
@charleslinhege690 2 ай бұрын
Hujui Yanga nao walishakuweka pembeni. Pole sana
@nassorseif
@nassorseif 2 ай бұрын
Meno ya kijani😂😂
@IsayaShokaulaya
@IsayaShokaulaya 2 ай бұрын
Mimi simba ila nilikumisi sana mzeee wa kuchaluwana
@SirajiZacharia
@SirajiZacharia 2 ай бұрын
Karibu El-Bughatti wapate tabu..😂😂
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 ай бұрын
Subiriii vita vya manara na Ally Kamwe vimbelembele wawili kugombea bwanayao Hersi
@Fatma-jt6zn
@Fatma-jt6zn 2 ай бұрын
daa nirikuwa nakuombea Sanaa urudi mungu nimwema sikuzote hongeraa sana
@hamadabdullah9702
@hamadabdullah9702 2 ай бұрын
Ushafunguliw uache maneno ya ovyo mjinga wew utulie
@alitante4279
@alitante4279 2 ай бұрын
Aki kamwe jeur kwisha 😂😂 soon utarud kuchambua mpira
@AAbubakariSharif
@AAbubakariSharif 2 ай бұрын
Uache matusi na kashfa kwa watu wazito we manara ni kitu kidogo Sana kwa watu Acha dharau
@AlmasSamwel
@AlmasSamwel 2 ай бұрын
Wewe manara simba ndio alikufungia?hujitsmbui kweli
@DavidJuma-b4h
@DavidJuma-b4h 2 ай бұрын
Aly kamwe vs Haji manara,mh mm sijui je,aly kamwe anafraha ulejeo wa manara?
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 2 ай бұрын
Furaha itoke wapi.akae Pemben amuwez manara
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 2 ай бұрын
Manara ukikaa kimya itakusaidia badala ya Kuchamba
@japhetpwiti9651
@japhetpwiti9651 2 ай бұрын
Heshimu sana walioko madarakani kinyume cha hapo utakuwa unajivunjia heshima yako
@theonasmkoba6121
@theonasmkoba6121 2 ай бұрын
Rudisha kadi ya Simba
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 ай бұрын
Matusi si uungw'ana kwenye mitandao, kuna kosa gani hapo kwenye media? Au uyanga na usimba?.
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 2 ай бұрын
Unstema mateee sanaa punguzaaa domo
@KudraEliasa
@KudraEliasa 2 ай бұрын
Hongela San jmn mandala
@davidruhasha9670
@davidruhasha9670 2 ай бұрын
Umelipia faini bado hujatumikia kifungo
@salehhemed9388
@salehhemed9388 2 ай бұрын
Sasa umesema unasubr kupangiwa majukumu huku unaleta ratiba zako hii si kulazimisha jmn😂😅 Watauwana
@lusekelonelson7256
@lusekelonelson7256 2 ай бұрын
Kweli Rudi Yanga imepwaya sana
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 2 ай бұрын
Huyu jamaa simba mnfiki tu anataka ugali achana na sisi yanga nahuyu iko mwaka atarud simba nabatatunyia mbovu
@ClementKonda-uj1nj
@ClementKonda-uj1nj 2 ай бұрын
Ulivumilia nini chawa wa gsm
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Hauna vita yoyote ss ndio Simba tutapambana na wewe mzushi ukicheza tunakungia tena
@johnelias2166
@johnelias2166 2 ай бұрын
UPANDE WA HAMASA KWA YANGA ALI KAMWE AMEMALIZA KIUKWELI MENGINE NI FUJO KAMWE AMEVAA VIATU VYAKE KWA WELEDI, MM NI SIMBA LAKINI HAMASA IKO MBELE TOKA KWA KAMWE, MIMI NI SIMBA UBAYA UBWELA SIMBA NGUVU MOJA
@kasongoIDDi-mx7gz
@kasongoIDDi-mx7gz 2 ай бұрын
Wewe utatutishia wanawake tuu hauna mapya
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 2 ай бұрын
Yule msomari wa tff kaumbuka umempa mirioni kumi umeflai sana
@MohamediIbrahim-cl4gc
@MohamediIbrahim-cl4gc 2 ай бұрын
Mwamba karudi mzigoni tar 4 sio mbali.
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
Hawezi kufanyakazi na Ali kamwe hii vita itakuwa ya kwenu yanga kwa utopax
@Clement-rm8xu
@Clement-rm8xu 2 ай бұрын
Omba omba kama kawaida, mpaka mda huu yanga hawajakupokea maana hakuna post yoyote kukuhusu wwe, inakubidi uwe na adabu ilifika wakati ukajawa kiburi jeuri na kujiona wwe ndo wwe hakuna mwingine kuliko wwe. Sasa nafikiri umejua kuwa wapo wengi kukushinda wwe aiseee dunia imefika mbali sanaaaaaa
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 2 ай бұрын
Fara utafungiwa maisha Vita na simba nani hasa
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 2 ай бұрын
Na ili urudi mjini lazima ukitaje kilichokuzid kama magoma na kongowele fc na huyo mlemavu na simba timu namba 6 kwa ubora afrika
@goodluckygobam4477
@goodluckygobam4477 2 ай бұрын
Ahmed all wameomba nguvu bwana😂😂😂😂😂
@IbrahimOmar-tu5tc
@IbrahimOmar-tu5tc 2 ай бұрын
Bugati karud makolo mjiandae
@DICKSONKALINGA-uq7by
@DICKSONKALINGA-uq7by 2 ай бұрын
Karibu sana haji manara yanga Bado yamoto ilikua ni fitina tu mungu atakusaidia uwe juu yawabaya sahau yote songa mbele I love manara
@yayananajota5838
@yayananajota5838 2 ай бұрын
War with simba😏,
@Mjukuuhoteli
@Mjukuuhoteli 2 ай бұрын
Karibu sana manara ila upunguze mdomo
@tintz3157
@tintz3157 2 ай бұрын
Mbona umemtaja mke mmoja tu mwingine hana umuhimu au
@JosephTibu
@JosephTibu 2 ай бұрын
choko tu uyu hana inshuu
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 2 ай бұрын
Ataku fira huyo manara
@lusekelonelson7256
@lusekelonelson7256 2 ай бұрын
Si ulisema mambo ya mpira basi tena. Kumbe ni sizitaki mbichi hizi
@SaidAwadh-mq2tn
@SaidAwadh-mq2tn 2 ай бұрын
Ww msemaji wa yanga au
@OnikaMsungu
@OnikaMsungu 2 ай бұрын
usimwamini binadamu yoyote dunia 😂
@ErnestMalima
@ErnestMalima 2 ай бұрын
Nikaongo🤔
@EmmanuelMandela-f7k
@EmmanuelMandela-f7k 2 ай бұрын
Sis tunakula tarh tatu alfu Kuna umbwa anakuja kumalizia makombo tarehe nne
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 2 ай бұрын
Ulisema mpira basi Sasa unaanza kuhangaika
@JumaSelemani-q1d
@JumaSelemani-q1d 2 ай бұрын
Huna jipya wewe habari ya mjini Hamedi Ally na Aliy kamwe wewe ushakuwa mzee wala swaga huna yan huna mvuto tena wewe
@saliieking7279
@saliieking7279 2 ай бұрын
Watakukoma El bugatti
@lusekelonelson7256
@lusekelonelson7256 2 ай бұрын
Haji bhana😂😂😂 unatoka mpaka mate
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 2 ай бұрын
Rudi yanga maana wewe ni msemaji bora kuliko Ali kamwe yule bado mtoto hajui kuongea na hana mvuto yudi kaka
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 2 ай бұрын
Na tutamfungia tena
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 ай бұрын
Hizo ni opinions zake, wewe unakasirika bila sababu yoyote kisa usimba na uyanga, tuliza ball.
@MuhamedHassan-l5u
@MuhamedHassan-l5u 2 ай бұрын
Tukana tena
@kassidpandu866
@kassidpandu866 2 ай бұрын
sasa Mbona ulikuwa unalia lia kila siku ufunguliwe wee wacha kujisifu bwana Mpumbavu wewe?
@AdamuJuma-tp1xr
@AdamuJuma-tp1xr 2 ай бұрын
Anafuta kiki au nin anataka mbona kawa sitaa anataka nini tena
@florencemushi2088
@florencemushi2088 2 ай бұрын
Acha huongo wewe huna familia
@makamejuma6959
@makamejuma6959 2 ай бұрын
Kesho utafungiwa tena domo bwabwaja
@JustusiKazana
@JustusiKazana 2 ай бұрын
Ongera sana semaji la GSM mungu azidi kinda kipaji chako!!!
@jumamngazija4321
@jumamngazija4321 2 ай бұрын
Vita na Simba kuhusu na nini?
@samsonmwaipaja5231
@samsonmwaipaja5231 2 ай бұрын
makolo mmekwisha
@RamadhaniMussa-v7x
@RamadhaniMussa-v7x 2 ай бұрын
Lud baba una bayaa
@joviinnocent624
@joviinnocent624 2 ай бұрын
😅😮😮😊
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 1,3 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
DP Gachagua ahota gutiga wira mbere ya athiite mbere ya mbunge ya Senate.
28:11
The Match That Made Ronaldinho Retire
13:33
BR7 Football
Рет қаралды 2,6 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН