MUSIBA AFUNGUKA MAOVU YA MAKAMBA,KINANA NA NAPE/WANATAKA KUNIUA/KUNA GARI INANIFUATA

  Рет қаралды 462,550

Bongo5

Bongo5

5 жыл бұрын

Пікірлер: 713
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 10 күн бұрын
Musiba pole sana walikuonea. Munyonge hana haki wakakupoteza. January Makamba baada ya haya yote, akapewa uwaziri. Hii ni kuwatapikia watanzania
@DandasiKundi
@DandasiKundi 9 күн бұрын
Asante sana musiba unatuonyesha viongozi wenye sifa mbaya sana ninachoomba raisi wetu usituletee viongozi wasio waaminifu watatumaliza .
@georgeerick3140
@georgeerick3140 5 жыл бұрын
ndugu watanzania wazalendo tuseme ukwel wa mungu ktk watanzania wazalendo na waliojitoa kutetea nchi huyu musiba yumo ebu tunamuunge mkono kwa kugonga like hapa kum-suport yan tumtie moyo.
@titorazalo2546
@titorazalo2546 2 жыл бұрын
Brother upo?? Kama upo fanya basi kwenda kumchangia izo bilion 6 mzalendo.
@czmediaconsultant5640
@czmediaconsultant5640 Жыл бұрын
@@titorazalo2546 Musiba yupo na yuko salama 100% mnaomuombea mabaya kamwe hamtafanikiwa.anakula maisha
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 8 күн бұрын
Hongera bro Musiba
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 8 күн бұрын
Mwana wasu simama na Yesu kristo atakuonekea tu kwani msema kweli hupigwa mawe
@aliceannasepan9644
@aliceannasepan9644 Жыл бұрын
Brother musiba mungu akulinde we ni shoka big up huna unafik Kama walio nao wapuuz wengne hawana msimamo mwanaume yakupasa kuwa na msimamo c kunyekea wenye au kuogopa mtu musiba aisee hongera saaaana
@KafumuBoniphace
@KafumuBoniphace 12 күн бұрын
Hongera musiba kwa hizo nondo.Tunaomba umsaidie Samia wanamsumbua sana watu hawa.
@isaacsanga6171
@isaacsanga6171 3 күн бұрын
Mama yetu SAMIA SULUHU HASAN RAICE WA JAMHURI YA MUNGANO. AMTEUWE HATA KUMPA UWAZIRI HUYU JAMA ANAUZARENDO WA DHAT NA ATAKUSAIDIA. AMA ANGALIE MAHAL PAKUMUWEKA. MUNGU BARIK TANZANIAN MUNGU BARIK AFRICA
@BernadethaSimba-qi4dw
@BernadethaSimba-qi4dw 10 ай бұрын
Hongera unasaidiaje swala la bandari inatuuma sana watanganyika
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 5 жыл бұрын
Kwa hili nakupongeza sana bro mungu akubarik
@princepiusmutaihwa9606
@princepiusmutaihwa9606 5 жыл бұрын
Kwa kweli nashauri mmojawapo kiongozi mkuu mwandamizi wa CCM ajitokeze hadharani aombe radhi watanzania kwa kulea wezi, mafisadi na walanguzi. Hongera JPM
@mo-linehabari9569
@mo-linehabari9569 5 жыл бұрын
Kina Zitto wanasema hao wanaosenwa ndio WEMA sio hawa wasasa
@latlailat274
@latlailat274 5 жыл бұрын
yap
@davidraulence305
@davidraulence305 5 жыл бұрын
Mmh haya bhana
@mosaymophosa9567
@mosaymophosa9567 5 жыл бұрын
my friend siasa ni mbaya sana pengine hata huyo anaeongea ni FSD
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Katika mtu ataingiza nchi kwenye vita ni huyu Musiba. Bada ya Lusifa/Shetani kuona Tanzania haijawahi kumwaga damu ameamua kumtumia Musiba kutimiza lengo lake. Kwa kuwa akili za Watanzania ni finyu sana wanashangilia maneno ya Musiba wasijue huyu katumwa na Shetani kuwaingiza Watanzania vitani. Musiba amekuwa akiwasema watu hadharani asijue kuwa watu kama akina Slaa walikuwa katika vyama vya upinzani. Atuambie yeye yuko chama gani cha upinzani mpaka awataje watu hadharani wakati anajua kabisa hao anaowataja wana familia na wana ndugu. Hivi mtu anapotaka kugombea uongozi nchi hii kitu gani kinamzuia wakati katiba inakubali. Kila Mtanzania anaruhusiwa kukopa Bank hata kama ni kiongozi. Kinachotutesa Watanzania ni kuogopa kukopa. Wenzetu wa kanda ya Kaskazini wameendelea sana kibiashara mpaka kuitwa Mafisadi na Magufuli. Huyu Rais amerudisha wafanya biashara nyuma sana kwa kuwafilisi na kuwasingizia ufisadi. Tanzania haya yakiendelea lazima zipigwe tu. Muulizeni Magufuli moshi uliojitokeza akiwa kusini ulitoka wapi. Huyu amuongezee tu Magufuli maadui akijidai anamfanyia kampeni kumbe anamuongezea maadui. Waache wakuhurumie maana wana Dini.
@MustafaOmach
@MustafaOmach 9 күн бұрын
Mda mwingi SANA sijakuona kwenye midia
@saidmalata5154
@saidmalata5154 2 жыл бұрын
Pole sana musiba kwakukosa check and balance Hujafa hujaumbika Sasa ujifunze kwa kiherehere chako Siku zote anaemtegemea mtu badala ya mungu amefeli sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Sana ililiwa sana sasa hivi wananchi wameamka kila alae hii nchi afe
@robinchristian3125
@robinchristian3125 5 жыл бұрын
Hongera Musiba na poleni sana wazee. Mwanafalsafa aliwahi kusema historia huandikwa na mshindi.Wazee na vijana wao wameandaliwa mtego wakaujaa kirahisi. Ilikuwa ni kiasi cha kuwasubiri wawasiliane kwa simu tu. Sasa tushajua matatizo yetu yote tangu tupate uhuru kasababisha nani! Hizi zote ni harakati. Sio za 2020 bali za 2025. Kuna kambi imeingia kambini mapeeema.
@rashidmchopa6164
@rashidmchopa6164 2 жыл бұрын
hihuqq
@chrisantgeorge3677
@chrisantgeorge3677 5 жыл бұрын
Jamaa anajiamin sana, huu ndio UANAUME KAMILIO SIO KULIALIA
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 Жыл бұрын
😂😂😂😂 leo kiko wapi sasa fala tu huyo
@user-do5mp8zl1v
@user-do5mp8zl1v 6 күн бұрын
Aliyataka Mama yoote haya matapishi urudie kuyala nikichefuchefu ayaone hayo atahiyo kikwete naye ndio kigogo mkuu
@luttumohamedfafara9630
@luttumohamedfafara9630 5 жыл бұрын
Kama namuelewa huyu bwana!! Mmmh,hatari sana.
@sadickmkanda4531
@sadickmkanda4531 5 жыл бұрын
Sema tu baba kuna mijitu mijinga bado tu haikuelewi achana Nayo.
@georgefaustini8890
@georgefaustini8890 5 жыл бұрын
Yaan kuna majitu mengi hayaelew
@anuaryally7149
@anuaryally7149 5 жыл бұрын
Mimi mmoja wapo ambae simuelewi huyu jamaa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 10 күн бұрын
wajinga tu ndio wanaojifanya kumuelewa
@kuryangamakesenimakeseni2611
@kuryangamakesenimakeseni2611 5 жыл бұрын
Huyu jamaa Musiba naanza kumeelewa, yuko right kabisa!
@user-ps7kv7lp4m
@user-ps7kv7lp4m Күн бұрын
Du nilikosa mda vitu vya ukweli,msiba uko sawa nakukubali sana
@AdamuChayupa
@AdamuChayupa 6 күн бұрын
Mungu akulinde na maadui kwakupigania haki ya taifa
@user-xh8kd9ze7o
@user-xh8kd9ze7o 9 күн бұрын
Ooooi nchi yangu Tanzania kuishaaaaa! Tuende wap cc mungu wangu.
@jumamavind7713
@jumamavind7713 3 жыл бұрын
Asante kaka kwakutufahamisha , sasa watu hao hawana nafasi tena katika nchi hii
@tembeletadei7136
@tembeletadei7136 5 жыл бұрын
uko vizuri,tupe ukwel
@augustinonestorysasi3683
@augustinonestorysasi3683 11 ай бұрын
Amepandishwa Leo hii Waziri mambo ya Nchi za nje CCM mtaleta vita nchini mwetu!!
@sanyengekiyumbageita9107
@sanyengekiyumbageita9107 5 жыл бұрын
Upo sawa bro
@nestor384
@nestor384 5 жыл бұрын
Musiba hawakuzoea waambie.. Na sali nikiombea hawa wote kina January, Kinana nk mkono mkali wa sheria na ukawe juu yao.. shame on them!!!! Magufuli for life, long live JPM
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 5 жыл бұрын
Sir:Musiba nakuomba umuambie Mheshimiwa MKINGA nae afuate nyayo zako na UJASIRI.
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 5 жыл бұрын
"Ninyi ni nuru ya ulimwengu,mji(nchi)haiwezi kusitirika ikiwa KIZANI..." Ramadhan aldawiyya from ZANZIBAR
@edithazmwasanga7091
@edithazmwasanga7091 5 жыл бұрын
Nestroy Buyungu Ndugu tureze
@mkushioriginalsillo5074
@mkushioriginalsillo5074 7 күн бұрын
Tanzania kumezuka Joka moja la kufugwa litasumbua sana.Joka hili linafugwa kwenye shamba linaloitwa ccm
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 7 күн бұрын
Hatahivyo huyokinana simtanzania nawala hanauzalendo .sisi tunaponzwa na upolewetu nandiyo utamaduni wetu. tofauti namajilani zetu.
@lucylyuki4852
@lucylyuki4852 6 күн бұрын
Hivi hii nchi ni ya watu wa aina Gani? Jifunzrni Kenya jamani ...Ukweli na uwazi ,hao ndio nani .asantee msiba kwa kuwaheshimu nguli wakuu wanchi hii
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 күн бұрын
Mama Samia mpe zawadi Musiba na mpende kwa taarifa zake tale yaliyomkuta Msgufuli na wewe yamekukuta Mama umewarudisha lakini wamekusaliti wanataks Urais
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 7 күн бұрын
Margarethpolepole una maana wasingekua wanazengea kiti chake angewaacha tu eti ee! Wananchi tumeshajua ccm hakuna yeyote mwenye kumuogopa Mungu atakayethubutu kuuachia utajiri abaki amepauka!!?
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv 9 күн бұрын
weweugana namakonda muikoboe hii nchi
@user-fw3jq3ff5s
@user-fw3jq3ff5s 6 күн бұрын
Wakichunguzana humo ndani hakuna atakae Baki salama
@othmanhaji1832
@othmanhaji1832 5 жыл бұрын
Hatukani mtu. Anatuelimisha, hasa sisi wanyonge. Tunamshukuru sana , Endelea Musibaaaaaaa
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 2 жыл бұрын
Yuko wapi sasa
@stellakaluwa3647
@stellakaluwa3647 Жыл бұрын
Mungu akurinde jamani mtoto wa mwanamke mwezaku jasili
@kenanmakere5325
@kenanmakere5325 2 жыл бұрын
Wajumbe mlivyowanafiki bado mnamulewa musiba 2021😀
@mo-linehabari9569
@mo-linehabari9569 5 жыл бұрын
Ukweli hujitenga na uongo daima. Hongera Musiba kutoka kwenye microphone moja mpaka 20.
@ipyanamwakabana858
@ipyanamwakabana858 5 жыл бұрын
Ulikwa wapi mpaka tunaibiwa ndoo unasema sass?
@stuartrwebangira2061
@stuartrwebangira2061 5 жыл бұрын
Keep it up Musiba
@husseinthabit5416
@husseinthabit5416 5 жыл бұрын
@@ipyanamwakabana858 pp
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 5 жыл бұрын
Mm nakuelewa sana kaka musiba ......timua vumbi timuaa
@listerelieza56
@listerelieza56 3 жыл бұрын
Supiriani majula msiba,nakupa hongela sana kwa yote ulie kuwa unae yasema KILA mala mimi niko tayali nikutafte kulingana na wewe kwa ajiri ya kutetea Taifa letu,naomba niruhusu nikutafte
@jacksonedward201
@jacksonedward201 5 жыл бұрын
Duuu!maneno haya ni mazuri na mazito.mbona haukumsuauri Rais asimteu Mwizi huyu.msaidie Rais mzee
@mbarakafitina8255
@mbarakafitina8255 5 жыл бұрын
No comment for me today... We Musiba tukuache2 sababu kama ulivosema haya tunaugeni nayo kuyasikia... Lakini Mungu akutangulie Inshallah.
@papafikiri
@papafikiri 5 жыл бұрын
Lushoto imelambwa Bumbuli imetikiswa ...wapi watu wa Mayo na Funta.????
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 5 жыл бұрын
Leta vifaa ijengwe reli ziwa victoria 😂😂😂 Hapo veeepeee
@massawejose3594
@massawejose3594 5 жыл бұрын
Sema kak
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv 9 күн бұрын
bgap sana wambie
@MwanahawaMusa
@MwanahawaMusa 4 күн бұрын
Asante sana baba
@getrudangoto6742
@getrudangoto6742 2 жыл бұрын
Amina nimekupata Mr msiba hakika na kweli
@DrSuleman-r1d
@DrSuleman-r1d 9 күн бұрын
Uko vizur
@Mima-cl2im
@Mima-cl2im 10 күн бұрын
Huyu Mzee makamba ndiye aliyesema wenye dhambi wanakufa mapema.
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 Сағат бұрын
Unasema kweli kabisa lakini Hayo yalisha pita na Mama amewarudisha wote baada ya kumuuwa Shujaa wetu mama anaogopa yaliyomkuta mtangulizi wake Magufuli atakumbukwa milele
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 2 сағат бұрын
Sio walitaka kuifanya kichaka Cha wezi Inchi hii ni kichaka Cha majambazi na wauwaji wakubwa Hayo unayoyasema yote yamerudi Kama zamani wote wamerudi kwenye kichaka chao
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 6 күн бұрын
Dunia lazima ukiishi uweke mipaka ya maneno na uweke akiba ya maneno dunia lazma mtu auchunge ulimi ulimi ni hatary katika maisha ya binaadamu
@athumanimpenza5657
@athumanimpenza5657 5 күн бұрын
Huyu jamaa naye mzushi yeye naye ni mtanzania si angeenda mahakani akawashtaki, anaongea amekosa mgao tu huyo wote ni walewale tu
@GraceGaudent
@GraceGaudent 8 күн бұрын
Ao ndo wanao sababisha tanzania tunaishi maskin
@leonardmfikwa78
@leonardmfikwa78 5 күн бұрын
Mr msiba this country msiba mungu akakulinde
@zenj1986
@zenj1986 5 жыл бұрын
Dah Musiba. Nakuunga mkono. Wazee hao waje kujibu hoja. Kila mtu atakufa lakini namuombea maisha marefu rais wangu na wale wote wanaotaka kuinyoosha nchi.
@kallahassan4896
@kallahassan4896 5 жыл бұрын
Sema musiba usiogope wanaichi tunakuelewa
@anethlukuna1474
@anethlukuna1474 3 жыл бұрын
Asante Sana nimekukubali wewe ni mwanaume uogopi kabisa
@bahatadof5543
@bahatadof5543 8 күн бұрын
Jamani mpaka Leo naanza kuona wasukuma ni kabila ambalo wananiamini,wanapenda haki,waungwana,wakiomba uingozi tuwape na huyu baba apewe nafasu serikalini,mtajua wenyewe ni nafasu gan me nasema
@kadilamore802
@kadilamore802 5 жыл бұрын
😂😂😂lakini cheo kikija ntashukuru mungu...
@kidodosimichael349
@kidodosimichael349 5 жыл бұрын
Microphone 1 mpaka 20😄😄😄😄😄😄😄 Kazi kweli kweli!!!
@salmawage7259
@salmawage7259 2 жыл бұрын
Kweli kweli kabisa mungu anawaona mungu atalipa hapa hapa duniani
@salmawage7259
@salmawage7259 2 жыл бұрын
Mmmmmh mungu akulinde wewe baba watakuzuru watu wengi binadam wachache ukweli siku zote unauma
@rehemamlowe1464
@rehemamlowe1464 2 жыл бұрын
Tunakupenda msiba chonde chonde msiba,
@albertnshunju4172
@albertnshunju4172 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka.
@sosasoda567
@sosasoda567 5 жыл бұрын
Wape wape Baba Musiba...
@gwaujuma2531
@gwaujuma2531 5 жыл бұрын
Msiba we mnafiki namba moja na ni mtu hatari hata maongezi yako Yana maegemeo upande mmoja na hajui tageti mi naona muogope mungu
@florianbeatus5682
@florianbeatus5682 4 жыл бұрын
Unajiskiaj na hali
@tafaqurtvtz7669
@tafaqurtvtz7669 3 жыл бұрын
Kaka hongera unauzalendo mkubwa hongera
@selegioelias9076
@selegioelias9076 2 жыл бұрын
Mi nashauri tujitenge tuu mara inne hii inch nikubwa sana imekosa wazaleondo kuiongoza wamebaki loyal familia kufaidika na haki za wengine
@chidybwax8080
@chidybwax8080 5 жыл бұрын
mimi sielew kabs sasa kama huku kwetu kondoa hatuelew hata nch inaendaje celew kabsa
@ndagiletv521
@ndagiletv521 5 жыл бұрын
bola aludi kwenye kazi yake ya zamani ya kutangaza taharifa ya habari
@upgo6112
@upgo6112 5 жыл бұрын
Hahaha fumua bro..Tunakuombea kwa Mungu
@emilianimalala9306
@emilianimalala9306 5 жыл бұрын
Unajua watu was ccm siwaerewi na raising wao wajipime
@mashakaemmanuel7147
@mashakaemmanuel7147 3 жыл бұрын
Kuna kenge anasema msiba ni mchonganishi au wewe nae nifisadi Nini au makamba no mme wake?
@peninamafuru9638
@peninamafuru9638 2 жыл бұрын
Mungu akutetee naona magu amesimaa umenikumbusha magu baba sema
@emmanuelkahangamabula6527
@emmanuelkahangamabula6527 2 сағат бұрын
Wazee waovyoovyo majambazi wezi wa mali za Watanganyika wakamatwe wafikiswe mahakamani
@kitosio
@kitosio 9 күн бұрын
Duuh Siku Nyingi Kijana hatujakuona. Ulikuwa wapi tokea afariki Mzee wetu ulipotea.
@abdallabashili2295
@abdallabashili2295 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie
@JoyceWaisai
@JoyceWaisai Күн бұрын
Maji bu yanayohusu aliko RC Mako nda yanatia mashaka
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 жыл бұрын
Asant kwakutetea taifa mungu akulinde
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 жыл бұрын
Wee Jamaa Nakukubali Sana Yaan , Yaan wewe pure Ni Mtanzania Mzalendo Timu JPM , Nakupenda Sana Mimi mwenyewe Timu JPM 4life
@user-do5mp8zl1v
@user-do5mp8zl1v 6 күн бұрын
Huyo Zito nimsenge na mwizi mkuubwa
@sara3stephy195
@sara3stephy195 3 жыл бұрын
Uko sahihi kabsa .mungu atakusimamia
@irenevedastombamanyile7615
@irenevedastombamanyile7615 5 жыл бұрын
safi sana Msiba we we sema sisi tunakuombea
@bmctz1729
@bmctz1729 3 жыл бұрын
Umejipendekeza mwenzio kakuacha, tusimtegemee mwanadamu tukawatukana watu.
@francohaule8057
@francohaule8057 2 жыл бұрын
Mbona Sasa umenyamaza Kama hukutumwa
@francohaule8057
@francohaule8057 2 жыл бұрын
Wewe ulikuwa na masalia na kulipwa hakuna demokrasia ya uteuzi wa chama kimoja ni udikiteta huo
@francohaule8057
@francohaule8057 2 жыл бұрын
Kati ya watu wajinga na wewe msiba upo
@sambiaj
@sambiaj 5 жыл бұрын
Jamaa ana hoja nzuri sana
@saidymtenda9777
@saidymtenda9777 5 жыл бұрын
Duh mungu wangu!!
@adrianokubila8374
@adrianokubila8374 5 жыл бұрын
Nani aliuza nyumba za msaki
@meddyyassin4741
@meddyyassin4741 2 жыл бұрын
Alhamdulillah hatupo kwenye hizi zama tena.
@user-xn5yv6yg8g
@user-xn5yv6yg8g Жыл бұрын
Kweli bwana
@WilliamSamwel-vh5op
@WilliamSamwel-vh5op 7 күн бұрын
Safi sana mwana harakati
@derrikdesertman4564
@derrikdesertman4564 3 жыл бұрын
Hahaha Musiba anachekesha sana.. Safi sana
@FabianJustine-bq6qv
@FabianJustine-bq6qv 9 күн бұрын
ukweli utaonekanatu mkuu tuko Yuma yako mikataba ya kuagamiza nchi
@mzeewajambo8293
@mzeewajambo8293 5 жыл бұрын
😂😂😂😂atashukuru mungu cheo kikimkuta
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 5 жыл бұрын
Ubatizo wa moto.... hehehehehe
@saddykayage1441
@saddykayage1441 5 жыл бұрын
Musiba unanifurahisha fumua makaburi yote halafu kuna zawadi yako nione ukimaliza mwana harakati
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 7 күн бұрын
Dahaaàe hatariiiii kasemae lakini mwiba ukikuchoma mguuni kutoka ulipoingilia acheni kujadili mtuu mmoja mmoja tunachahitaji ni siaasaa safiii isyo kwa ya matusii unafiki tuelezeni mtakachofanyia watanzania wekeni mpira uwanjani mupimwe CCM Chadema''' wazalendo CAF fainali tuta amua seye wapiga kuraaaaa Apo vipi
@issamasimba9813
@issamasimba9813 3 күн бұрын
Huyu nae mpuuzi katokea wapi Tena nimuongo sanahuyu ,enzi zamagufuli alijiamini sanaa
@frankmsasa948
@frankmsasa948 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana blo musiba hawa watoto waviongozi huawanahis hawafi kwakweli
@wamburachacha1248
@wamburachacha1248 5 жыл бұрын
Noted
@mohamedhella7899
@mohamedhella7899 5 жыл бұрын
The beautiful one are not yet born @MUSIBA
@florameza9529
@florameza9529 5 жыл бұрын
Mmmhhh nchi ililiwa kweli Rais amefanyakazi hebu jibuni hoja hizi so painful
@rukizaseba5741
@rukizaseba5741 5 жыл бұрын
Ahsante mama
@princepiusmutaihwa9606
@princepiusmutaihwa9606 5 жыл бұрын
Kukopa kiasi kikubwa cha fedha katika taasisi ya umma ambapo ndiko wazee wetu wastaafu hutegemea kupata kitu cha kuendeshea maisha yao ni ukatili wa kimaisha. Nafikiri wote waliotajwa ama waombe radhi na wawajibike au wawajibishwe ama waende mahakamani kama wanaona wamechafuliwa
@sokoinekagali9759
@sokoinekagali9759 2 жыл бұрын
Ndiyo maana wazee wetu wanastafu hawapati pesheni na stahili zao kwa wakati kumbe pesa wakubwa walishata pita nazo wanachelewa sana.
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 5 жыл бұрын
Hatimae mic zimeongezeka tulizoea mic 1 Mungu ni mwema
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 жыл бұрын
Selemani Mkonga haaaaaaaaaa, umeniacha hoi, kwa kweli, ila umaarufu ni shughuli, jamaa katoili haswaaa
@azizawadh5973
@azizawadh5973 2 жыл бұрын
Kama mobutu
@grecioussilas9885
@grecioussilas9885 5 жыл бұрын
Kweli wanararuana wenyewe
@philemonjonikenyato2919
@philemonjonikenyato2919 5 жыл бұрын
Sometimes jamaa anaongea facts sana! Nape Nnauye alikuwa jeuri sana mwaka 2015, acha anyooshwe
@yahayaolomi1057
@yahayaolomi1057 2 жыл бұрын
Sasa kanyooshwa yeye badala ya kuwanyoosha yeye hatmae Yuko kijijini analima na uvuvi
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94
26:39
CHALAMILA : NIMEOA ILI NIYATUMIKIE HAYO MAPENZI WANAYOSEMA NAPENDA
8:18
Gangana Info Channel
Рет қаралды 33 М.
Смотреть до конца!
0:19
Привет, Я Ника!
Рет қаралды 1,6 МЛН
Хитрая ГОРНИЧНАЯ вернула ДОМ матери 😱 #shorts
0:57
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 2,7 МЛН
M&M IN MY THROAT
0:35
dednahype
Рет қаралды 4,4 МЛН
Neden yüzünü saklıyor
0:19
H. DANIŞIK
Рет қаралды 35 МЛН
il caldo fa brutti scherzi #dog #fight #punch
0:18
Cronache della Campania
Рет қаралды 26 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
0:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН