DOTTO MAGARI NA MWIJAKU WAZICHAPA NGUMI MBELE YA VUNJA BEI / HANA AKILI HUYU DOTTO

  Рет қаралды 38,662

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

Пікірлер: 87
@bensonjr4879
@bensonjr4879 2 ай бұрын
Dotto hajasoma mwijaku kasoma ila kuna utofauti sanaaa ....elimu ya tz banaaa
@robsonnyakunga3917
@robsonnyakunga3917 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mwijaku elimu haijamkomboa
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 2 ай бұрын
Dotto uko vizuri, usijichanganye na huyo ....achana naye, humuitaji...fanyakazi na vunja peke yake.
@raheemsaleh14
@raheemsaleh14 2 ай бұрын
Dah maskini mwijako kajielelzea sana mwishowe kauza point zake kichakani mwishowe dotto kachukua heshima ya hekima, na muekezaj uyoi km anavosema bwana dotto (akili kubwa) yule si boss kaegemea upande wa dotto kwa yale aloyasema dotto , #mwijaku kiboko yake Dotto magari
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Dotto nakukubali sana mwanangu❤🎉
@Mrmakavu
@Mrmakavu 2 ай бұрын
Dotto ungesoma tu yan tungekupa nchi
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 2 ай бұрын
Huyu mzumbe alisoma Nini adi doto kamzid akili kabisa
@godsson5954
@godsson5954 2 ай бұрын
Doto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@krispinkisanga3261
@krispinkisanga3261 2 ай бұрын
Dotto anaakili kuzidi kichwa mviringo
@tumainimushi8836
@tumainimushi8836 2 ай бұрын
Yaani we doto una akili sana unajua kuliko uyoo nazi maana anaongea ujinga
@husseinkhalfani5619
@husseinkhalfani5619 2 ай бұрын
vunja bei anajuta kuwapa ubalozi hao mbwa 😂
@bizoboy1168
@bizoboy1168 2 ай бұрын
Kwani dotto huwaga anacheza music upi😂😂😂
@hijaally8032
@hijaally8032 2 ай бұрын
😀😀😀Nikajua nimemuona mimi tu
@HamiyHamadi
@HamiyHamadi 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂anamuziki munene mwilini
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
😂😂😂
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂nilizani Niko pekeangu ninae shangaa
@godsson5954
@godsson5954 2 ай бұрын
Big meech
@hajihasani7004
@hajihasani7004 2 ай бұрын
Karibu mtwar kak msimu wa korosho kumenoga
@BakariMnefi
@BakariMnefi 2 ай бұрын
Kadri siku zinavyokwenda mwijaku nazidi kumtoa katika wenye umaarufu
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 2 ай бұрын
Ila dotto magari wewe kiboko kbs ume jua ku munyohosha kbs
@godsson5954
@godsson5954 2 ай бұрын
Doto ana PhD
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 ай бұрын
Vunja bei umeshakuwa P didy nini?😂😂maana maboya wanakugombania.
@hakiba1207
@hakiba1207 2 ай бұрын
Hawawezi kupigana hao ni family moja Sema wana utani utani tu
@ahmed59122
@ahmed59122 2 ай бұрын
watu kama awa zamani wanakuwa watoto wa watu.uwezi fanya hivi kwa mwanaume mwenzio labda ndio maana sisi wazawa wa Dar tunakufa maskini atujuagi kumbabaikia mtu kama hivi. this is Crazy ...
@SalamaJuma-s8e
@SalamaJuma-s8e 2 ай бұрын
Doto na kupenda sana
@UgwuEmmanuel-u3v
@UgwuEmmanuel-u3v 2 ай бұрын
Mwanaume unamfagilia mwanaume mwenzako njaa mbaya sana
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 2 ай бұрын
Hahahaa machawaaa hawaa 😅😅😅😅😅the
@hamisiyangakozwe147
@hamisiyangakozwe147 2 ай бұрын
Million 20000000 dah 😢🙏
@GadiyeMosses
@GadiyeMosses 2 ай бұрын
Mwijaku ananiuzi anavyoongea na kumpiga piga mtu 😡😡
@kingblack6560
@kingblack6560 Ай бұрын
Mwijaku kama mwehu
@bfox3549
@bfox3549 2 ай бұрын
Kama kweli Mwijaku kasoma Mzumbe basi TZ kama nchi tuna shida kubwa
@awemaqway1201
@awemaqway1201 2 ай бұрын
😂😂😂exctra miles chawa😂😂😂 sasa mbona fujooo😂😂
@ElizaJackob
@ElizaJackob 2 ай бұрын
hayo makofi anayo yapata vunja bei sasa😂😂
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa mbavu zangu
@SaidiKitange-us2ej
@SaidiKitange-us2ej 2 ай бұрын
Ugimbiiiiii na ukiaziiiiii undeleeee Tanzania.
@MaendeleoMohammed
@MaendeleoMohammed 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimeamini maisha ni magumu sana
@EdwardAnthony-c7u
@EdwardAnthony-c7u 2 ай бұрын
Ila Vunjabei yupo Humble sana
@stevenmanase8162
@stevenmanase8162 2 ай бұрын
Hawajamaa nawakubali sana hatariiiii
@malimanyanja562
@malimanyanja562 2 ай бұрын
Ww Akili una unawakubali machawa unashida jichunguze mzee
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 ай бұрын
Machawa yana ng'atana. " hovyo "
@edsonishengoma6434
@edsonishengoma6434 2 ай бұрын
Nchi hii imekwisha aise. Dah!
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 ай бұрын
Mtoto wa Kirugulu na mtoto wa Kizaramo. Wote ni watu wa taratanta.
@AllyHashimu-d8p
@AllyHashimu-d8p 2 ай бұрын
Hadi raha nawakubali sana hawa jamaa
@UgwuEmmanuel-u3v
@UgwuEmmanuel-u3v 2 ай бұрын
We na ww acha kujaribu bei
@ShaDrohd
@ShaDrohd 2 ай бұрын
Doto naye ni celebrity??? Kweli nchi hii imefilisika ma celebrity
@RainbowTanzania
@RainbowTanzania 2 ай бұрын
KUMBE NDIO MAANA SASAHIVI WAPAKWA MAFUTA WENGI
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 2 ай бұрын
Vunja bei unafeli sana kumwalika huyo kenge wa mwaijaku
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 2 ай бұрын
Ilo mwijaku sijui mnalipenda nn jinga
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 2 ай бұрын
Duh yani uchawa ni shida hadi vunja bei anapigwa pigwa ilimradi asikilize badae atoe laki tatu😂😂😂
@johnbenedicto8935
@johnbenedicto8935 2 ай бұрын
Awachukui lakitatu
@Mwana-k2g
@Mwana-k2g 2 ай бұрын
ILA HILI JAMAA LINA AKILI SANA YA UWEKEZAJI...SEMA KWAKUWA PESA IPO ANATAFUTA TU NJIA YA KUPITA ILI MAMBO YA NYOOKE.
@IddyNchama
@IddyNchama 2 ай бұрын
doto uko vzr
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 2 ай бұрын
Yaani unapigwa pigwa kizarau ivyo maanake Nini tupo nyuma lkn na sisi wauza nguo huku Zambia
@abdirizakibrahim1975
@abdirizakibrahim1975 2 ай бұрын
Watanzania nguo hizooo bei rahisi
@Kevworx
@Kevworx 2 ай бұрын
Moshi mzee leta duka utafurahi
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 ай бұрын
Njaa mbaya😅
@HabibuabdiAmiri-xi4fi
@HabibuabdiAmiri-xi4fi 2 ай бұрын
Machawa og
@daudimasawa
@daudimasawa 2 ай бұрын
huyu mjinga mwijaku katoka wapi?
@ismailhamisi3461
@ismailhamisi3461 2 ай бұрын
Hao wote machawa tu,huyo Dotto na Mwijaku wote lao moja na wameamua kufanya comed iwe kama sehemu ya promo,sasa nashangaa baadhi ya wadau kumtukana mwijaku na wengine kumtukana Dotto hamuoni kama nyie ndio hamjui kitu? Hao wote lao moja ni kama pipa na mfuniko tu.
@RehemaSaid-ww1mm
@RehemaSaid-ww1mm 2 ай бұрын
Doto bana eti acha kumfanya hivo binadamu
@EvodiaMisanga
@EvodiaMisanga 2 ай бұрын
Bora doto lakin kichwa mviringo chawa
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
Kweli
@abdulmgassa7848
@abdulmgassa7848 2 ай бұрын
Hahahahhaha hatari doto mbona mwajaku amekuweza leo vp
@bakarisalim6482
@bakarisalim6482 2 ай бұрын
KCB tuko ndani karbuni sana
@hamisiyangakozwe147
@hamisiyangakozwe147 2 ай бұрын
Dotto 😅😅😅😅😅
@Jariffat
@Jariffat 2 ай бұрын
Mwijaku anakera
@UgwuEmmanuel-u3v
@UgwuEmmanuel-u3v 2 ай бұрын
Wapuuzi
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 ай бұрын
Doto magali unaadabu kua msitaarabu
@Baruti-ofice
@Baruti-ofice 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 ай бұрын
Wafanya biashara mnasiri nyingi nyinyi
@aboodsutre668
@aboodsutre668 2 ай бұрын
Hili naloo makeleleee tuuuu ,,,unatumiaa miguvuu kuliko akili
@kijangapeter5135
@kijangapeter5135 2 ай бұрын
unawezakuta mchizi keshawapaka mafuta kudadeki
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb 2 ай бұрын
😂,,,,,,😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdab8466
@abdab8466 2 ай бұрын
This is money loundering
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 2 ай бұрын
Kuna Piddi wa bongo
@atumikwaleo6169
@atumikwaleo6169 2 ай бұрын
Kcb tz
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 2 ай бұрын
Ujinga ukiulipa pesa bado hautaacha kuwa ujinga
@MwitaSenso
@MwitaSenso 2 ай бұрын
Wote wajinga t u hamwelewek
@ayoubliyanga7802
@ayoubliyanga7802 2 ай бұрын
Kalibu mtwara kaka huku tunakusubili @vunjabei
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН