DOTTTO MAGARI AMKAANGA VIBAYA MWIJAKU "MANENO YAKE HAYANIUUMIZI ZILE ZILIKUWA CHANGAMOTO"KUHUSU GMY?

  Рет қаралды 26,114

Bongo5

Bongo5

Күн бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 34
@harrisonngeta7
@harrisonngeta7 3 ай бұрын
Dotto! Mimi ni mkenya nakusikiza sana. Lakini epuka kuongea kiingereza. Hakieleweki kabisa!
@GeorgeEdward-mu1xg
@GeorgeEdward-mu1xg 4 ай бұрын
Doto akivaaga fuengo uwa anatembea kishambaa sana anabuluta miguu😂
@EmmanuelAngribert
@EmmanuelAngribert Ай бұрын
Nakukubali kwa kusema ukweli
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 4 ай бұрын
Doto brand yako inakuwa kwa kasi sana ndio mana wanakutaja kwenye biashara zao sasahivi Africa mashariki ni wewe tu unaeumiza vichwa wasomi na watu fidenge😅😅
@YousraSalimMohamad
@YousraSalimMohamad 4 ай бұрын
Haaaa doto family uwazia na moja bana baba mama na mtoto mmoja wawili haijalishi mkioana tu more na mume pia uwitwa family 😊
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 4 ай бұрын
MKE wa mwijaku hajazaa bwana mtoto Yule wakufikia wa mwijaku si wazae sio kila siku makelele tuu
@GeorgeJusto-y4v
@GeorgeJusto-y4v 4 ай бұрын
Dotto mbona unatembea kama unafunza zamani ulikuwa unatembea peku nini
@ndorobocarworks-dx4pf
@ndorobocarworks-dx4pf 4 ай бұрын
Sasa mbona haina sauti au amjajipanga kwenye mic
@josephlorri431
@josephlorri431 4 ай бұрын
'..jioni mida ya lunch..' andika kwa kiswahili
@markovuruga86
@markovuruga86 4 ай бұрын
Ila interwiew nyingine bn😂😂😂😂😂
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 4 ай бұрын
Ferry welly au Very Well🤣🇰🇪🇵🇸
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 4 ай бұрын
Jamaa Wameunda Mpango Wa Kuishi Kwa Sitahili Ya Kusemana Kumbe Awana Hata Ugomvi Kwenye Uhalisia
@OmaryMasambiro
@OmaryMasambiro 4 ай бұрын
Oyaa iyo suti tena na tena
@davidrulobhavako8551
@davidrulobhavako8551 4 ай бұрын
Fundi wa suti akamatwe
@FamuOmie29
@FamuOmie29 4 ай бұрын
Kabsa😂
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 4 ай бұрын
Yaani Doto umesema ukwelt
@YousraSalimMohamad
@YousraSalimMohamad 4 ай бұрын
Kingereza kingereza 😂
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana 4 ай бұрын
Dotto ajifunze kizungu hamuwezi mwijaku
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 4 ай бұрын
Kizungu ni lugha tu doto ale maisha yake wakati wake yaani
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 4 ай бұрын
Siku nyingine mlizeni hakuwahi kumizaa watu juu wizi
@attunelson8828
@attunelson8828 4 ай бұрын
Samia mi tano tena❤❤❤
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 4 ай бұрын
😂😂😂 gym
@abdallahmdiliko8088
@abdallahmdiliko8088 3 ай бұрын
Mwamba UMEMCHANA SANA YULE MWINYIJAKU ANA MAMBO YA KIKE NA UJINGA UJINGA MWINGI.. MALA ALAMBE VIATU VYA WATU .MJINGA SANAAA KAKA
@alovehussein4502
@alovehussein4502 4 ай бұрын
Asofaa kafaa
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 ай бұрын
Doto balaa
@EdwardJasper-wk9yn
@EdwardJasper-wk9yn 4 ай бұрын
X😂 😂 😂😂😂
@salumukatumbi9460
@salumukatumbi9460 2 ай бұрын
Sarut dogo
@FatmaHassan-t4q
@FatmaHassan-t4q 4 ай бұрын
Suti ya doto sasa!
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 4 ай бұрын
MBGD au PHD🤣🇰🇪🇵🇸
@Xuxu-f7j
@Xuxu-f7j 4 ай бұрын
We nawe kwan si kasema kabisa kama hajasoma sa we kinachokushangaza nini
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 4 ай бұрын
Kilichonishangaza ndo nilichokiandika apo unless you have cow dung in between your ears🇰🇪🇵🇸
@Xuxu-f7j
@Xuxu-f7j 4 ай бұрын
@@Abu-Hamza254 koment zako zinakera huku unatumia calculator au maana nyie mnaotumia infinix au tecno mnakuaga washamba kila kitu kinawashangaza
@shinipapaya846
@shinipapaya846 4 ай бұрын
​@@Abu-Hamza254hivi ww ni mwanaume?
@Abu-Hamza254
@Abu-Hamza254 4 ай бұрын
@@shinipapaya846Njo ujionee mwenyewe🇰🇪
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 61 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
MWIJAKU NA BABA LEVO HAWAISHI VITUKO
8:37
Wasafi Media
Рет қаралды 48 М.
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33