MANENO YA CHAMA BAADA YA KUPEWA JEZI NAMBA 17 NA FARIDI MUSA |

  Рет қаралды 166,875

Yanga TV

Yanga TV

Күн бұрын

Пікірлер: 369
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 2 ай бұрын
Huyu ndio Farid Bwana, Man of God, isitoshe namba haichezi, kikubwa mguu, Respect farid
@Manywele.Maluja
@Manywele.Maluja 2 ай бұрын
Safi Sanaa faridi pamoja na uhodari wako uwanjani na vituko pia unaupendo na heshima kwa wachezaji wenzako mungu akulinde na awalinde wapambanaji wote wa wananchi msimu uwe Bora kwenu na uwe mbaya kwa makoroooo.Mwananchi itikia aaaamiiiina.
@veelmng7746
@veelmng7746 2 ай бұрын
Safi tunafurahia sana kuona wachezaji wetu munapenda .Mungu awape afya njema. Hongera sana Farid kwa kuwa professio sana
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 2 ай бұрын
Elewa Jina MALIK hakika FARID umebarikiwa sana ungwana mkubwa sana Namba itabaki tu kua namba ila kipaji chako Allah amekutunuku....Big up sheikh Farid Musa Malik.
@PlanetLeo721
@PlanetLeo721 2 ай бұрын
Faridi is incredible player. Well done
@imanikubwa2896
@imanikubwa2896 2 ай бұрын
Mungu ,watunze wasipate majeraha Pia wewe ukaangalie sadaka wanazotoa kwa wasiojiweza. Naamini huu msimu tunafanya vizuri kuliko uliopita kwa msaada wa Bwana tutatenda Makuu Aminaa
@Shebe_traLove
@Shebe_traLove 2 ай бұрын
Nimependa kbs kuona mwamba kuomba namba yake hakika faridi wew ni mungwana san kk upendo njo kila kitu
@aishafranco1055
@aishafranco1055 2 ай бұрын
Like nyingi kwa faridi mussa tafadhari
@marystambuli8045
@marystambuli8045 2 ай бұрын
Damu ya Yesu iwafunike. Na Mungu awalinde na kila lililo baya. Amen
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 2 ай бұрын
Amen🙏🙏
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 2 ай бұрын
Farid ni mtu wa mungu sana
@violethkalinga2980
@violethkalinga2980 2 ай бұрын
Farid much respect wananchi tunakupenda ❤
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 2 ай бұрын
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu kazi njema barikiwa Sana Yanga
@DjFae.b255
@DjFae.b255 2 ай бұрын
Farid umekua muungwana sana ndo asiri yetu watanzania❤❤❤❤
@ntakakasendebayi9992
@ntakakasendebayi9992 2 ай бұрын
Farid musa weweni mtu safi wananchi tunakupenda sana yanga daima mbele nyuma mwiko💛💚🔰
@octavianluambano9081
@octavianluambano9081 2 ай бұрын
Ni jinsi gani upendo na amani vimetawala katika timu respect sana farida mussa huo ndio uungwana big up👏
@yussufshaaban1013
@yussufshaaban1013 2 ай бұрын
Ustadh Farid Mussa Allah akupe mafanikio zaidi na zaidi Aamin
@malick_jrzramadhan7298
@malick_jrzramadhan7298 2 ай бұрын
Ahsante farid mussa malick
@5googleuuu727
@5googleuuu727 2 ай бұрын
Mungu akujalie afya njema Farid mussa. Ungwana ni kitu bora alihamundulih
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 2 ай бұрын
Yani ktk mwaka ambao natamani tufanye vizuri kuliko miaka yote basi ni msimu huu kuanzaia ndani mpaka ligi ya mabingwa Eh Mungu tunakuomba wasaidie wachezaji wetu wote wakawe bora mara 10 ya mwaka jana na wapya wote wakashikane vizuri na wenzao kama walikuwaga pamoja na kusiwepo hata majeruhi kabisa Mungu uzidishe furaha yanga na tukazidi kukaa kileleni asiwepo wa kutufikia wala kutugusa♥️🙏
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 2 ай бұрын
Wachezaji wote wanafuraha sana ila ni wachezaji wa Dar Young Africa pekee ndo wenye furaha na Amani tele hadi Raha wananchi wenzangu tuna amani na Imani na timu kubwa yetu👍
@ShakiraMasoud-ox5tj
@ShakiraMasoud-ox5tj 2 ай бұрын
Acha ujinga hamna tm inayoitwa dar young aftican tz hii n young african tm ya tanzania nzma na cyo dar 2!😅😅
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 ай бұрын
​@@ShakiraMasoud-ox5tjtimu ya kariakoo sio dar nzima wala tz nzima km Simba tu ya kariakoo
@jumambwambo
@jumambwambo 2 ай бұрын
Farid huu ndio uungwana maana uungwana ni vitendo sio maneno mungu akubariki sana kutoka arusha nawafwatilia sana walio sema mkude kachwa mbona namuona hapa
@JosephEthan-z6o
@JosephEthan-z6o 2 ай бұрын
Mungu azidi kuwa nasisi na heri katika msimu ujao ❤❤❤❤❤ LOVE AND PEACE FOREVER ❤❤❤❤
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 2 ай бұрын
Thank u Faridi kwa huugwana❤❤❤..but nimefurai chama,musonda,.mkude na chama...
@NgasaLuhamba
@NgasaLuhamba 2 ай бұрын
Farid wewe ni mtu muungwana sana kaka Mungu akuzidishie uendelee na moyo huo HERI KUTOA KULIKO KUPOKEA
@raymondkisinga4374
@raymondkisinga4374 2 ай бұрын
Big Up Farid Musa👏👏
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 2 ай бұрын
Jamani young African club nawakumbusha hivi talent wins the game but team work and intelligent wins the champions
@JusminSaid-zi6id
@JusminSaid-zi6id 2 ай бұрын
Kila LA kheyr farid musa na namba 12 In sha Allah. Allah akakutendee muujiza mkubwa kupitia namba hiyo In sha Allah
@amaniomar1755
@amaniomar1755 2 ай бұрын
Nungunungu in the building safi sana wanajeshi wetu. Endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
@AdolfJosephmassawe
@AdolfJosephmassawe 2 ай бұрын
Bigapu sana kaka Farid nimependa sana hih
@ShukranKawind
@ShukranKawind 2 ай бұрын
Hapo mkude anakwambia chama siunaona Kule hakuna kitu madunduka watakuchelewesha tyu
@francepaul7711
@francepaul7711 2 ай бұрын
Ila watu 😂😂😂
@mrsabdul-mz8hh
@mrsabdul-mz8hh 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Akh nacheka zangu tuu mie😅😅
@elikanakuhanda7559
@elikanakuhanda7559 2 ай бұрын
😂😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Respect kwako Farid Mussa
@BonifasMjuni-zi1wg
@BonifasMjuni-zi1wg 2 ай бұрын
Me Nimnyama ila Nimeipend san Hoi respect ya Farid
@sumadashsumadash-yx8eb
@sumadashsumadash-yx8eb 2 ай бұрын
Umetisha mnyama wa ukweli.. Simba na Yanga zote ni Timu zetu pendwa hapa Tz na palipo na wachezaj wazur hakuna bud kuwasifia nakuwakubali.. Kiujumla Farid Musa kaonesha Kumheshimu sana Chama na kukuonesha upendo wa dhat kama kaka yake pia kitasnia
@nelsonleonard6768
@nelsonleonard6768 2 ай бұрын
Like nyingi sana kwa farid hao ndo wananchi amani amani bwana 🎉🎉
@sulleymanjimmy2214
@sulleymanjimmy2214 2 ай бұрын
Macho yangu kwa huyo dada pembeni ya Mwamnyeto hapo sijui kama kweli wanetu hawajaomba namba 🙌🙌🙌 dada yupo kwenye zizi la Leopards 😂
@kimrudiger4454
@kimrudiger4454 2 ай бұрын
Mke wa mtu huyo yupo kazini🤣
@Encky3v
@Encky3v 2 ай бұрын
Oi😂😂😂😂🙌
@bethmahela2182
@bethmahela2182 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@geralddeus1434
@geralddeus1434 2 ай бұрын
Mmmh balaaa😂
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 2 ай бұрын
Faridi mungu akubaliki na huenderehe kuwa na moyo huo muzuri sana
@FredyPeter-rn2il
@FredyPeter-rn2il 2 ай бұрын
Amen amen Mungu kwanza Ushindi mwingi Yanga Bingwa CAF
@LuckyAden-cd7wo
@LuckyAden-cd7wo 2 ай бұрын
Farid Musa Respect we løve you BIG HEART 💛💚
@Shadia544
@Shadia544 2 ай бұрын
Wamekutana sasa 😂😂😂😂 Ila raha sana 😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Asante kaka Farid Musa
@awetumtengera1147
@awetumtengera1147 2 ай бұрын
Hongereni sana kwa upendo wenu na kwa umoja wenu pia Mungu awabariki sana.
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 2 ай бұрын
Narudia tena kusema MAX NZENGELI ANA NIDHAMU SANAAAAA NA ATAFIKA MBALI SANA!
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Tunawaomba viongozi wetu Farid aongezewe mshahara hata 2M ikiwezekana
@ezekiaomary7927
@ezekiaomary7927 2 ай бұрын
kwan unajua analipwa shingapi
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko 2 ай бұрын
Nawapenda wapambanaji wetu ❤❤❤❤😂
@CharlesWilliam-iz3fz
@CharlesWilliam-iz3fz 2 ай бұрын
Farid ur man full of love to the fellow player
@SüddyThíägø
@SüddyThíägø 2 ай бұрын
Farid M2 peace 🕊️✌🏿💚💛💚💛
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 2 ай бұрын
Aamiyn yaarabi Allah awaepushie husda na majeraha
@salumnamjupa-sy6cm
@salumnamjupa-sy6cm 2 ай бұрын
Haya wananchi nawasalimu kwa jna la young afrcns
@MarthaGabriel-s6b
@MarthaGabriel-s6b 2 ай бұрын
Kazi iendelee
@yusuphally6420
@yusuphally6420 2 ай бұрын
Ushindi uendelee furaha idumu na makombe yaendeleea
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 ай бұрын
Makombe yaongezeke😅😅
@firdawsrammy9992
@firdawsrammy9992 2 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 2 ай бұрын
Ubingwa uendelee
@_kidayyo
@_kidayyo 2 ай бұрын
Faridi hanaga baya🔥🔥🔥👏
@CalvinMbaraka
@CalvinMbaraka 2 ай бұрын
So wise Farid much respect
@amidoibraimo6021
@amidoibraimo6021 2 ай бұрын
Ongera Faridy kwa uweledi ulionae big up sana
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 ай бұрын
Kumbe Kiswahili kinapanda vizuri maa'shaallah 💚💛💚💛
@gwantualexis4064
@gwantualexis4064 2 ай бұрын
Mzize hana makuu.. kajikalia zake back bench anazoom2 mazingira...🏃‍♀️‍➡️..😅😅
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 2 ай бұрын
😂😂😂
@HadiaMohammed-ec2dn
@HadiaMohammed-ec2dn 2 ай бұрын
Hahaha kama sio yy
@sumadashsumadash-yx8eb
@sumadashsumadash-yx8eb 2 ай бұрын
Hapo anawaza mchakato wa kujipambania kwenye kupata nafas na kuzitumia vzur... Maana nayy Sasa kazini kwake Kuna kaz
@MichelEliya
@MichelEliya 2 ай бұрын
Mbona chama kanawili uso unaoneka wenye tabasamu ila sijui nimmtu ndoo nimemuona💛💛💛💛💛💛
@steamtvtz
@steamtvtz 2 ай бұрын
Hapo bila shaka Jonas Mkude atakabidhiwa namba 20
@magrethmakauki235
@magrethmakauki235 2 ай бұрын
Farid Mungu azid kukulinda na mkawe na msimu mzur wote kwaa pamoja
@SaimonPaul-r2v
@SaimonPaul-r2v 2 ай бұрын
Kubali sana faridi musa
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 ай бұрын
Mungu akubariki farid musa malick for the love
@MaarufuAmani-bq6qc
@MaarufuAmani-bq6qc 2 ай бұрын
Naipenda sana yanga
@mkombozimella8436
@mkombozimella8436 2 ай бұрын
Farid musa Mungu akubarik Sana tena sana
@AtuAtu-v9f
@AtuAtu-v9f 2 ай бұрын
Faridi hakika mungu akuanyie wepesi una moyo wa pekee nawapenda woteee
@aminangano3635
@aminangano3635 2 ай бұрын
Upendo wa dhati FARID❤🔥🔥🙏
@SarhaSaid
@SarhaSaid 2 ай бұрын
Inshaallah ikawe kheri kwenu nyote
@malietamaliet
@malietamaliet 2 ай бұрын
😂😂😂kumbe Chama anakuaga na tattoo ila Simba mlijua kumfubaza kwakwel😢 Asante sana Farid ubarikiwe Allah awajalie Kila lenye kheri daima mbele nyuma mwiko
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 2 ай бұрын
😁😁😁😁🤭wewe acha nimecheka sana
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 2 ай бұрын
Ila umbea kazi nyie si nimerudi kuangalia vizuri 😂😂😂😂
@SuhuurFarxaan
@SuhuurFarxaan 2 ай бұрын
Alifubazwa maskn ya Mungu kwa wakoloni😂😂😂
@malietamaliet
@malietamaliet 2 ай бұрын
@@Mary-fs4mc merry 😂😂🤣🤣🙌we acha tu
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 2 ай бұрын
@@malietamaliet Mwamba kapoa , ameanza kuwa na nuru sasa ,kaanza kung'aa.
@Ba63828
@Ba63828 2 ай бұрын
Twatotela baiche for playing for WANANCHI
@VanesaKeneth
@VanesaKeneth 2 ай бұрын
Farid mungu akutangulie muungwana sana
@ErastoAmosy
@ErastoAmosy 2 ай бұрын
Umetisha farid bigp saana
@CosmasCosam
@CosmasCosam 2 ай бұрын
Uwe na moyo huo huo bwana mdg nami nakuombea kwa mungu toka moyon akusaidie ufikie marengo yako faridi n wachache kwenye dunia hii walio kama wew
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 2 ай бұрын
❤❤❤❤ farili umeonyesha uungwana
@fikcountry5547
@fikcountry5547 2 ай бұрын
Shekhee mtu wa maan kabisa faridi mussa mariko💛💚💕
@daudimichael7338
@daudimichael7338 2 ай бұрын
Mshery anategea😂😂
@RazakciAbdulRazakciAbdul
@RazakciAbdulRazakciAbdul 2 ай бұрын
Allah Shahid mungu akupe kla unacho muomba
@elishamwakihaba942
@elishamwakihaba942 2 ай бұрын
Big up kwa Farid Musa ❤
@KiletoKahima
@KiletoKahima 2 ай бұрын
Asante sana upendo wenu
@ameirfaki9277
@ameirfaki9277 2 ай бұрын
Big up farid mussa
@HamisKibungulu
@HamisKibungulu 2 ай бұрын
Big up faridi ndo uhungwana huo
@pascaljonathan6865
@pascaljonathan6865 2 ай бұрын
Yanga rahaaaa sanaaaa nyieeeeee
@HamzaAbdlla
@HamzaAbdlla 2 ай бұрын
Farid big up sana kaka
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 2 ай бұрын
Chama mwenyewe kakubali "yaani kwa mazoezi haya ni sahihi mlivotupiga zile 5"😅😅
@elisantemoses1602
@elisantemoses1602 2 ай бұрын
❤❤❤ faridi ni mtu na nusu haswa
@RamsoPedro
@RamsoPedro 2 ай бұрын
Yanga bwana mko Vizuri
@davidndungu8619
@davidndungu8619 2 ай бұрын
be kind as the other players like dube and duke abuya they will do big things
@barakawabuge5285
@barakawabuge5285 2 ай бұрын
Ewaaaah..wamekwisha sasa😂
@mosesjacksonkarashani2642
@mosesjacksonkarashani2642 2 ай бұрын
Chama mbona kama amepania sana 😅😅
@sewandomkuchu9267
@sewandomkuchu9267 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
Hahahaha,,,,,Mpira ni umri kaka!!
@mosesjacksonkarashani2642
@mosesjacksonkarashani2642 2 ай бұрын
@@jumakapilima7295 Tusubiri tuone kama ni kweli. Kuna wazee wa kazi.
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 2 ай бұрын
Kuna timu itakuja kula goli 30 nyie ngojeni ligi ianze❤❤❤❤❤❤❤
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 2 ай бұрын
We huogopi?
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 ай бұрын
Big up 🎉🎉🎉
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 2 ай бұрын
Allaah Akbar
@fredanthony740
@fredanthony740 2 ай бұрын
Respect sana Farid mussa
@LimseyMassawe
@LimseyMassawe 2 ай бұрын
Mmemuona diara
@UmmySilayo
@UmmySilayo 2 ай бұрын
Mazoezini hayupo ila Airport walikuwa watatu Aucho musonda na Diara
@AmisihalunaKilung
@AmisihalunaKilung 2 ай бұрын
Mungu awe pamoja nanyi
@DavisSongolo
@DavisSongolo 2 ай бұрын
Ukomavuuu mkubwa sana kwa Farid 👏👏👏
@graceanyungu2774
@graceanyungu2774 2 ай бұрын
Hapo wanapngelea simba jike shirikisho
@BeckaJunior
@BeckaJunior 2 ай бұрын
Aliyesema mkude kaachwa anyooshe kidole juu😅😅😅
@tintin0019
@tintin0019 2 ай бұрын
OMBI LANGU KWA CLABU WACHEZAJI WAPIMWE MENO PIA SABABU MENO PIA HUCHANGIA KWA MCHEZAJI INJURY ZISIZOISHA
@paulnzilo7252
@paulnzilo7252 2 ай бұрын
😂😂😂😂 meno aina gani huchangia kupata injury?
@steamtvtz
@steamtvtz 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 Big up sana
@SamwelMnaga
@SamwelMnaga 2 ай бұрын
Farid respect 💪💪💪💪🙏
@DismasWilliam-cp3qe
@DismasWilliam-cp3qe 2 ай бұрын
Naipenda sana squard hii.
@ellymtz6886
@ellymtz6886 2 ай бұрын
Safi sana faridi Musa..🙏🏻
@ChachaWambura-ol2lq
@ChachaWambura-ol2lq 2 ай бұрын
Hapo sawa kama kapewa jezi yake kazi ipo
@ZainabuIddi-t6o
@ZainabuIddi-t6o 2 ай бұрын
💚💚💚Kwako faridiiiiii
@AmisihalunaKilung
@AmisihalunaKilung 2 ай бұрын
Aisee Raha sana
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 27 МЛН
«Кім тапқыр?» бағдарламасы
00:16
Balapan TV
Рет қаралды 163 М.
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Cameroon vs Kenya 4-1 Highlights & All Goals 2024 HD
10:19
TUẤN HOA MẬT ONG
Рет қаралды 65 М.
Amavubi yageze i- Abidjan aho agiye kwesurana na Benin
7:29
Pascal Sports tv
Рет қаралды 86
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 27 МЛН