Tazama alichokifanya HARMONIZE kwa baunsa wake ni kitendo cha ajabu sanaaa

  Рет қаралды 185,821

NYUNDO TV

NYUNDO TV

Күн бұрын

#nyundotv #harmonize #kondegang

Пікірлер: 87
@King_186
@King_186 3 ай бұрын
Mshukuruni Mwenyezi Mungu aliyewajalia mkapata mlicho nacho lakn pia na Diamond Platinumz aliyetumika kama daraja la KUWATOA,mpeni sana heshima anayostahili
@Gaetano64
@Gaetano64 3 ай бұрын
Baada ya kumshukuru mungu amshukuru diamond
@vyizigiroamuza
@vyizigiroamuza 3 ай бұрын
Kimufano harmonize asingetoka kwa mond ange kua ana iyo eshima? Yeye ali ona apafai aka sepa mapema kwe upe ndio mana ame fikia apo alipo
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 2 ай бұрын
diamond naye awashukuru walimpa hela na ni lebo siyo diamond
@IssaIddy-n5k
@IssaIddy-n5k 2 ай бұрын
Hhhhhh ap kwnz nichkeeeh
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Diamondi anahasala Duniani na ahelah wasiooacha.hawamziki chamoto atakiona akifa
@francisofisi9058
@francisofisi9058 5 күн бұрын
Show off za nini😮😮😮😮 Shukuru Mungu na saidia maskini
@arnold9406
@arnold9406 Күн бұрын
njaa mbaya sana.
@BENCHARLES-ho2ws
@BENCHARLES-ho2ws 3 ай бұрын
Umetisha brother 🔥🔥🔥
@EmanuelJames-h1v
@EmanuelJames-h1v Ай бұрын
Nakubaliana na ww brother harmonize
@Hilaire-dd5sx
@Hilaire-dd5sx 3 ай бұрын
The Hustler for Life Harmonize !
@HamisJuma-b6t
@HamisJuma-b6t 8 күн бұрын
Amna kaz apo
@FeisalIbrahim-kt4cw
@FeisalIbrahim-kt4cw Ай бұрын
Yan fujo zoooote nikwa ajili ya huyu mkosa pumzi tu! Alhmdlillah kwa yoyote anaepata rizki na kumtambua mwenyenzi Mungu
@sophiamwanga
@sophiamwanga 24 күн бұрын
Hizi njaa duu😂😂😂
@narebayememi1239
@narebayememi1239 9 күн бұрын
Bt Harmonize hmmm🎉😢😂❤
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 ай бұрын
Ila harmonize❤❤❤❤❤❤❤
@AbdallahOmar-bp8ij
@AbdallahOmar-bp8ij 2 ай бұрын
Jamaa kweli maskini akipata mpaka matako yalie mbwata uuuuuh uuuh kama kweli..
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 2 ай бұрын
wivu
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Mabaunzi ujinga tu
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Garihilo bovusana choka mbaya
@abdulsydney7393
@abdulsydney7393 4 күн бұрын
shwari sana
@BossTTunvyu-kt7yi
@BossTTunvyu-kt7yi 2 ай бұрын
Full broo konde
@Bahatijohnrais
@Bahatijohnrais 11 күн бұрын
Diamond platinum King music❤❤❤❤❤❤❤❤
@jeffhard5773
@jeffhard5773 2 ай бұрын
Daah kweli nuksi
@OfficialRhayci
@OfficialRhayci 5 күн бұрын
🇹🇿 watu wanahangahika sana ndomana mabahunza wamejaa ,na watatombwa sn ,p,Diddy amewaleteya kipya
@HatwibuJuma
@HatwibuJuma 15 күн бұрын
Mbn Sion kinachoendelea kwamaana nimekaa umakin kusikiliza ila Sion chcht vp?
@afandeboy-xx8sn
@afandeboy-xx8sn 11 күн бұрын
❤hamonaize ❤❤
@simonnyashi
@simonnyashi 3 ай бұрын
Great artist. But why the hype? Too much gets boring and forebaring
@erasto-ml6qd
@erasto-ml6qd 2 ай бұрын
Sawa kabisa ndio maisha ya duniani kote lazima upite dar
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 13 күн бұрын
Mm nimeona gari kwenye msafara haina plate number Ni maigizo tu
@HalfanKimbay-re7zt
@HalfanKimbay-re7zt 3 ай бұрын
Naomba kujua jina la huu wimbo mbn mmeushoot kama msafara wa rais
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 3 ай бұрын
Usenge tu Hamna kazi wazururaji tu
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 3 ай бұрын
Uwezo wao wa kiakili
@naphtalleyakoyi1336
@naphtalleyakoyi1336 2 ай бұрын
Hawa ndo madebe kawazungumzia ,wanaume wenye akili wanakesha ndani kujaza mimba Hawa nao wanakesha jimu kujaza vifua ,
@BarakaNgusa-g4n
@BarakaNgusa-g4n 3 ай бұрын
Ni nooomaaa mzeee
@OfficialRhayci
@OfficialRhayci 5 күн бұрын
Mtu akiwa na gari mbili tanzania anapata ma bahunza
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Wasanii wa africa wamejaa ushamba sana
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Wote niwanawaketu sijaona mwaume katiyao
@Bilioneabichwa331
@Bilioneabichwa331 3 ай бұрын
Yaani hii nchi maigizo ni mengi kweli kweli, unalindwa umekua mwanasiasa AU
@rooneynshimirimana8205
@rooneynshimirimana8205 3 ай бұрын
Ajabu gani😊😊nosence
@mussamkalawa2101
@mussamkalawa2101 5 күн бұрын
Nafauta watu laki 7 walijaa kama Hawa mabaunsa Ili tutengeneze jeshi letu tuipindue hii serikari mbovu
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Hao mabaunza wajitolee wawalinde madadazetu wanaobakwa bila atiya hapo watakuwa wanavimba vifuwa kwakazinzuri yakiwalinda wadadazetu nawakinamama.....maana uyo anayelindwa anaweza kuwa majawapo wamajambazi waobaka mabinti zetu
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Wanavimba bila lolote
@shugakombo9683
@shugakombo9683 Ай бұрын
Kwani harmoniz kunaubayagani mkubwa Jamii umeikosea mpaka uwena ulizi mkali kuliko samia
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Mabaunzi ujinga tu wanaume wanavimba bilalolote
@MariyimJumanin
@MariyimJumanin 9 күн бұрын
Eee mola raisi
@HamisiChikoi-n9d
@HamisiChikoi-n9d 3 ай бұрын
Vanakulowa wako lajabu kwan chan
@iginassales3433
@iginassales3433 Ай бұрын
Watu wapo kaxi
@seifntandala9137
@seifntandala9137 3 ай бұрын
Mbona sikunyingine anakuwa peke yake bila walinzi
@IrengeIssa
@IrengeIssa 2 ай бұрын
Naomba like plz🙏🙏🙏
@rashidkapile
@rashidkapile 2 ай бұрын
Huu niulimbukenitu mna tuuuuna akifilisika mna mkandiya nawewe nagoro unamsujudiya aliekuumbaaa na kukupa fedhaaaa?
@fulahajantinsongomba
@fulahajantinsongomba 27 күн бұрын
Tena zaid ya ushamba
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 ай бұрын
Bro bro
@josephusekwelas9743
@josephusekwelas9743 3 ай бұрын
Namukubali chopa sana 😍🫡
@ZuberSalum-mq4jy
@ZuberSalum-mq4jy 3 ай бұрын
Watu wengi wenye mitandao ma K mno
@DENNISMUTUA-nf7qt
@DENNISMUTUA-nf7qt 10 күн бұрын
Uyu jamaa aache ego
@ramadhaniwasafi4516
@ramadhaniwasafi4516 3 ай бұрын
Nyie ni wehu mbona hakuna cha hajabu
@PascalMsafiri-x1f
@PascalMsafiri-x1f 11 күн бұрын
Mabaunza wote ninaowaonahapo ninaonakama vile wameolewa nahuyojamaa niwakezaketu wasubiri wapokee ujauzito
@EdwardLizer-j3n
@EdwardLizer-j3n 8 күн бұрын
Weweni Shilole2
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 2 ай бұрын
Mtu akikutaka kukuuwa ata uwe na wainuwa vyuma wanakulaza mlizi mungu tu
@victormwanza1495
@victormwanza1495 3 ай бұрын
That's nonsense
@RashidBakari-y3d
@RashidBakari-y3d Ай бұрын
Konde kwer umewakamata nyeupe kamatish
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Anafirwa tu huyu
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul 2 ай бұрын
Kwn hz ni pesa au ni ushamba
@RukiaHaji-m8h
@RukiaHaji-m8h 2 ай бұрын
Mmh
@KhatibSalehKhatib
@KhatibSalehKhatib Ай бұрын
Bansa matumbo poda wasenge wote Tena nowashambaa
@salummaulid4860
@salummaulid4860 Ай бұрын
Hivi Kuna haja Gani ya kua na walinzi kama hivi kama ww ni mwema Kwa watu, mbona alli kina Hana huu ujinga ujinga
@aaronswai3092
@aaronswai3092 Ай бұрын
Huu ni ushamba, ulimbukeni, ujinga na upumbafu!
@mpsanga2914
@mpsanga2914 2 ай бұрын
Ndio nini hii wasanii wetu hawaishiwi ushamba waandishi wanamrecod yeye nayeye anawarecod waandishi
@johnrioba3929
@johnrioba3929 2 ай бұрын
Huu ni ushamba na ulimbukeni tu!,,mabaunza wa nini sasa? Kwani amekuwa kiongozi wa nchi?,,kweli masikini akiinuliwa tu kidogo hujiinua zaidi na matako hulia mbwata!!!.
@stanleymanya438
@stanleymanya438 2 ай бұрын
Oy ukilala kwako hua si haufungi mlangoo!!! ? Hua unaufunga WA nni!!?
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz Ай бұрын
Anatoa riziki sio ushamba
@simbamkali1928
@simbamkali1928 3 ай бұрын
Ushamba ni ugonjwa usiokuwa na dawa--Maskini akipata tafuta pa kupita-
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 3 күн бұрын
Diamond baba yenu yie vikojozi Mtoto mdogo wewe na kundi lako
@NdushaBertin
@NdushaBertin 2 ай бұрын
Asha wewe tumupe sida zake mwenye sif
@RamadhanAbdallah-k2o
@RamadhanAbdallah-k2o Ай бұрын
Kitu gani kibaya kimefanyika wapuuuzi nyie???? Mnalazimisha watu kuangalia video zenu
@charlesndewo4097
@charlesndewo4097 2 ай бұрын
acha awatie liziki .ili wenye kazi ya ubausa.wapungue.mtaani
@lawskuli9876
@lawskuli9876 3 ай бұрын
Wabongo wakipata pesa no kufuru na kutaka misifa tu
@VictorBugobola
@VictorBugobola 3 ай бұрын
Ulinz 😂kwa kipi Sasa si Bora ata ungekuwa na mlinz 1 tu bongo kwa sifa za kijinga
@muhammadsheekh7993
@muhammadsheekh7993 2 ай бұрын
Naona kuna video
@Farida-jx5nz
@Farida-jx5nz 3 ай бұрын
Ww ulindwe na watu wote hao una nini??? Mmmmhh
@ThedonThedon-bo7xm
@ThedonThedon-bo7xm 3 ай бұрын
We una nn? Wivutu kukunjua roho Aaaaah😂😂😂
@Gamba81
@Gamba81 3 ай бұрын
Farida sijajua kama una roho mbaya kiasiicho😢
@MariamHamis-d3n
@MariamHamis-d3n 3 ай бұрын
Ana ichoicho
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
mbombo harmonize yanga umeiyonaje
3:33
kazikazi company
Рет қаралды 299
HARMONIZE ASHUKA KIFALME TANDAHIMBA / WAMAKONDE WAMUITA RAIS
5:22
SHINGO TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 718 М.
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН